HUYU SHEIKH OTHMAN MAALIM HACHUJI KILA SIKU NI MPYA HAISHI RADHA KUMSIKILIZA MASHA ALLAH.. ALLAH AMPE UMRI MREFU ZAIDI TTUWEZE KUFAIDIKA
@abubakarially059
2 жыл бұрын
Allah akupe mwisho mwema shekhe wetu🙌🙌🙌🙏
@ivyroses9019
Жыл бұрын
Nakupenda,mimi mkristo,laah namiini kwenye Islamic na ukristo,niweke sawa hizi dini mbili naamini, kwenye ukweli,Napenda kusikia wakiabudu,hadithi na mawaidha,natamani kuilewa Quran na bible tena bila kubagua,nazipenda hizi dini mbili ,bila dharau wala kejeli,Namshukuru Mungu kwa dini ya Islamic na Christian's nawapenda wote 🙏🙏✍✍🙏🙏
@sangokipozi4611
2 жыл бұрын
Ma shaa Allah! Mawaidha mazuri sana. Raha ilioje kwetu kuwemo ktk kundi hilo la wanawake. Lakini shekhe kuna wenzetu ambao hujitolea kwa hali na mali kutunza familia zao akiwemo mume. Mara nyingi waume kurudi nyumbani wakichunguza mezani kuna chakula gani ingawa yeye kwa kawaida haachi matumizi yoyote. Haya ni maisha ya kila siku kwa wanawake hao. Je, nini hukumu yao wanawake hawa kwa mola wao? Na hawa huwajali sana waume zao, wakiwatumikia kwa maisha yao yote. Kama kuna maelezo kuhusu wao, bila shaka watafurahi kusikia darsa linalohusu mchango wao huo. Jazaakumullahul kheir Shekhe wangu.
@mwanayamumambo2837
2 жыл бұрын
Mashallah shekhe wetu m mungu akuweke akujaalie afya njema uendelee kutupa elmu ishaallah
@hafswaomar2841
2 жыл бұрын
Jamanii kumbesisi tuna thamani lakini waume wengine hawaiyoni thamani yetuu wanatufanya kama watumwa waoo
@jimilamuzanga2551
2 жыл бұрын
Masha Allah mwenyezy mungu hawungoze mwanaume
@mrboogie255-dr2kh
2 жыл бұрын
MashaaAllah Darsah lipo vyema kwakwel may Allah blessings us and this media...TV
@bushraaljadidi7747
2 жыл бұрын
Maa shaa Allah darsa nzuri sana
@siwemangalunda4655
Napenda. Sana mawaidhayako nilikuwa nimekata tamaa kwenye ndoa Allah atujalie mwisho mzuri ila ninamtianisana kwenyendoa
@bushraaljadidi7747
2 жыл бұрын
Maneno mazuri sana. Allah atujaliye wanawake wema
@mukreemhassan7347
2 жыл бұрын
MASHALLAH 💯 jamani maneno ya ALLAH Msiandik kwa harufi ndog yandiken kwa herufi kubw mfn km INSHALL. N.K mshanielew ndg zanguni tn sehem yeyet panapo stahik
@TausiSinaela
Mashaallah mawaidha mazuri mungu akupe umri mrefu uzidi kutoa darasa maana wengi wetu hatujui majukumu yetu
@malombemunyithya9341
Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akujaalie umri na afya njema shekhe wetu Inshaallah
@bilalybarisesa5206
2 жыл бұрын
Allah akujaze kheri sheikh wetu, pia akupe mwisho Mwema Aaamin 🤲
@aaliyahholden9282
2 жыл бұрын
Wanaume hao hawapo ukae yeye akahangaike mmh! utasimbuliwa mpaka ujute kuzaliwa Allah atujalie mwisho mwema yarabi
@fauziaabdalla7925
2 жыл бұрын
Mashaalla Allah akupe umr shekhe wetu uzidi kutuelimisha inshaallah🤲🏼🤲🏼🤲🏼 ila sauti kdg imekua na kukwamakwama mamodereta hakikisheni mnaset speaker vzr plz ndio sauti tuiskie clear🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@ZuwenaAlvin
Allah akupe umli mlefu sheikh othuman
@bushraaljadidi7747
2 жыл бұрын
بارك الله فيك شيخ
@latifahnassoro17
2 жыл бұрын
Mie tangu nainukia naanza kusikiliza mawaidha namkubal mpk leo huyu shaikh jaman maa shaa Allah tabaraka rahman Allah akuweke shaikh quran yake sasa subhanallah akisoma
Пікірлер: 179