Huyu mh waziri Bashe anafaa kwenye wizara zote big up waziri wa kilimo
@jamesjohn9160
4 жыл бұрын
Safi saana Mh. Bashe Ingefaa huo mti ufanyiwe utafiti wa kama hiyo sumu haina madhara kwa matumizi ya Binadamu na kwa muda gan baada ya kupuliza Ni salama hizo nyanya kutumika kwa Binadamu TMD na Mkemia Mkuu wanaweza kusaidia. Na zikiwa approved basi tushirikiane na viwanda vyetu ku-scale up huo mmea katika sehemu zingine
@MariamDilla
6 ай бұрын
Hongera mh. Bashe....
@jaafarwibonela7402
Жыл бұрын
Bashe, wewe mtu wa watu. Mungu akubariki na akuhicadhi. Nakuheshimu, nakupenda
@christopherkiswaga9270
10 ай бұрын
Hongera sana Mh. Bashe
@charlesmanga7362
3 ай бұрын
Hongera sana mheshimiwa waziri..... huwa nakuona lkn sasa nakuamini ni msaada........
@sosthenessotter9432
6 ай бұрын
Well done mheshimiwa BASHE!!
@CK-ri1mo
6 ай бұрын
Namkubali sana waziri bashe🙏🙏
@ericagalla6921
3 жыл бұрын
Aisee milion 400 nyingi sana hongera sana muheshimiwa
@salumnyiga3801
4 жыл бұрын
Kwa Bashe kweli tumepata jembe Hongera sana
@paulmayunga-bz5mr
5 ай бұрын
Bashe umetisha
@azizimpwanyera-oo2iw
Жыл бұрын
Bashe ur the best minister
@emiryfaida2437
Жыл бұрын
Bashe Yuko vzr sana
@JacintaNjoki-jv1ye
10 күн бұрын
Naomba no yako
@MariamDilla
6 ай бұрын
Naomba mh. Bashe unifahamishe namba yako
@benjambesseltdltdt.v.shiny9457
3 жыл бұрын
*☺☺😊Tulepela wasukuma tujuane*
@laulymo2063
3 жыл бұрын
Kweli hii ni timu ya KAZI hongeren sana bashe
@karimujuma-mj3uj
5 ай бұрын
Bashe apewe kuwa rais tu Basi anafaa Sana.
@eyoboboytzeyobo1187
6 ай бұрын
Naomba namba yako mr msekwa niko mkwa university hapa nahitaji nije kujifunza kilimo cha nyanya kwako apo
@reganmartin5485
4 жыл бұрын
Safi ile mikataba ya kutuuzia madawa yenye sumu mwisho itakoma tu
Bashe zidi kupiga kazi na mi natamani kuingia kwenye kilimo.
@stanlugallah-ux1vn
Жыл бұрын
Kilimo ndio mpango
@mosesamon6233
2 жыл бұрын
Naomba nitumie picha ya muda na je unachanganyaje huo mikono. Maji kiasi gani.
@mariamm2724
3 жыл бұрын
Iringa sehem gan jmn nimfuate huyu mzee nikajifunze
@msalikemedia
3 жыл бұрын
Iringa Tanangozi kijiji cha malagosi
@aidamkemwa6393
Жыл бұрын
@@msalikemedia nitapataje mawasiliano
@najmamgallah8154
11 ай бұрын
Ndg yng funguen mipaka mahindi rukwa 55000 gunia moja, n mbolea mbazid kupandisha bei, je hy mbolea tunanynua na nn? Ikiwa hatujauza mazao tunalima vip , tuoneeni hurumaaa
@simonmwanyika8288
3 жыл бұрын
alie sikia kambun gonga like yako hapa,
@zariadunia6328
2 жыл бұрын
Hi serikali ilikuwa makini sana kwa umeme huyu waziri makamba amebadilisha ķaabisa Tanesco yetu imekuwa ngumu mpaka wanyonge haitujali
@lawrenciamkolwe796
2 жыл бұрын
Naomba namimi nijiunge na wewe kwenye kilimo hicho
@yohanasefue869
2 жыл бұрын
Mi natafuta hiyo machine ya kungolea miti nitapata wapi
@abdallahmdiliko8088
Жыл бұрын
Mimi AFISA UGANI ABDALLAH MDILIKO KUTOKA BAHI. NAELEWA SAWA FALSAFA YAKO YA KILIMO. MALENGO MAKUBWA KUWAINUA WAKULIMA WA TZ. KILIMO NI BIASHARA
@mussasadick770
Жыл бұрын
Dawa za mitishamba nazo zitumike kwenye kilimo ili kupunguza gharama kama zinauwezo wa kufanya kazi
@nasirmohamed1589
9 ай бұрын
Kweli kabisa
@hadijamandanje6189
3 күн бұрын
Tena ninaamini Haina madhara makubwa katika jamii
@zariadunia6328
Жыл бұрын
Enzi za Jpm hizo hakuna kulala
@nderingomunis5398
Жыл бұрын
Unaitwa utupaaa huoo
@elispiuselias1339
Жыл бұрын
Mh bashe ni jembe Sasa wakulima wapewe Nini tena jamni
Пікірлер: 41