Such a wonderful Leader, poleni sana Watanzania kwa kumpoteza Rais wa Wanyonge.
@charlesnyao8970
11 ай бұрын
Mob love from Kenya. Keep resting in peace JPM
@ferouzmasoud4741
4 жыл бұрын
Asante Sanaa Baba magufuri Mw/MUNGU akujalie maisha marefu Zaid 🙏 🙏🙏 🙏
@brobabuu3973
4 жыл бұрын
Amen
@ferouzmasoud4741
4 жыл бұрын
@@brobabuu3973 🙏🙏🙏
@joycemaregesi4189
4 жыл бұрын
Hahahahaha! Et na ole wako uile big up uncle Magu Mungu akubariki uishi miaka kama yote
@asheryngaiti5549
4 жыл бұрын
Mh huyu Rais jaman akisimama sehemu lazima mtafurahia uwepo wake
@madiyaahmad7453
4 жыл бұрын
Ole wako pesa uile iiiiiiiiiii baba wewe Mungu akudumishe akupe uhai na uzima kura zangu zote kwako wewe Ahsante saanna❤❤
@shanifesto9037
4 жыл бұрын
NINA BABA YANGU ASIYE SHINDWA KAMWE,,NAMPENDA SANA RAIS WANGU ,NAFUATILIA SANA ,MWENYEZI MUNGU AKUTUNZE BABA.
@robertsuna
4 жыл бұрын
Magufuli daaaah wewe mwanaume wewe una upekee sana ndani yako. I respect you
@emmanuelbonifase1114
4 жыл бұрын
Too much respect JPM utampenda
@husseinshabani9522
4 жыл бұрын
Mungu Akulinde sana Rais wetu. Pole sana kwamajukumu.chapa kazi zetu ni Dua kukuombea Afya njema.In sha Allah Allah Akufanyie Wepesi.
@aishakhamis2996
4 жыл бұрын
Ameen ishawah
@zainabubakari8489
4 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu jpm
@amosmahona433
4 жыл бұрын
Hapo unaweza ukanya Bila kutegemea nampenda Sana raisi wangu maana anachukua maamuzi pale pale kwa WATU wazembe wazembe
@kiariedavid8370
4 жыл бұрын
kwa kweli Amos hehehehehehe
@madammanka2731
4 жыл бұрын
Tena unajinyea ukiwa umesimama hatari hii jamani
@retstyuternchimbi6379
4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@fredrickfresters3610
4 жыл бұрын
Hahahahajaa kweli
@brobabuu3973
4 жыл бұрын
Mambo mengi yamerahisishwa. Kazi kwetu kuchapa kazi.
@lifeinmiddleeast8179
11 ай бұрын
😢😢😢 kama ni Mungu aliamua ufe pumzika kwa amani lakin 😢😢😢 Mungu hujua zaidi
@isaachayes9783
4 жыл бұрын
Man of action!!
@exalttarimo5083
4 жыл бұрын
My president my choice
@shunshmc8868
4 жыл бұрын
Wa llahi Wa billahi wstaghafillah hakuna rais bora duniani kama john pombe magufuli ,,,,,Allah akubariki ,,,tena unafaaa upewe tuzo ya noble
@fredrickfresters3610
4 жыл бұрын
Hahahahahahaaa.... Aiseee..!! Rais inabidi utembelee kila sehem. Tutanyooka tu watanzania.. !! Maisha yanasonga..!!
@jaklinifaustini4259
4 жыл бұрын
Nimecheka kwa saut unajua kunifurahisha musukuma mwenzangu rais magufur😄😄🙏
@teresaonduko4443
4 жыл бұрын
Mtukufu Rais Magufuli, Mola akuangazie Neema na faraja tele👏👏Nakupenda kwa kazi njema uifanyayo@Kenya
@abrahamsamwel7955
4 жыл бұрын
Oyooo big up kwa kamanda huyu captain mi tangu zamani namkubali sana watoto wakae tuu kuna wasenge wachina walileta barabara mbovu!!!!!mh dingi nakuelewa #.ar to nmg
@patrickissakalenga589
4 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu Muheshimiwa MAGUFULI. Afrika, tungekuwa na Ma Raïs kama na wewe, Afrika ingkuwa imeendeleya mbele sana.
SHUKRANI sana Rais wa AFRICA NZIMA ✊😢 mimi siyo mtanzania ILA TUNAKUECHIM SANA kwetu burundi MUNGU AKUBARIKI baba yetu na akup maisha marefu
@rosemarymsangi3960
4 жыл бұрын
Matumbo lazma yaishe huu mwaka, hapa kazi tu!
@nahyialetomia9284
4 жыл бұрын
RC wa Morogoro aanze gym
@emmanuelbonifase1114
4 жыл бұрын
Matumbo yatafungwa mkanda
@rezegerezege691
3 жыл бұрын
Tutakukumbuka Baba yetu 😭😭😭😭😭 R.I.P BABA
@ilynpayne7491
4 жыл бұрын
Kaah yani mkurugenzi amekoma😢😀😀
@harounlyakunga4982
4 жыл бұрын
Kupita bila comment siyo kweli Daaaar!tuna mtu ambaye sikutarajia kama nilikosea kumpatia nafasi ya kuwa Rais 2015 kikweli unafaa kuliongoza taifa kwa awamu nyingine ya pili.
@rahimamkumbo3238
4 жыл бұрын
Ww ni Rais wa dunia
@emmanuelbonifase1114
4 жыл бұрын
Aibu shule ya mwinyi wanakaa chini duu that's problems JPM oyeee
@donardmsomi8451
3 жыл бұрын
Nitakukumbuka daima baba. Pumzika kwa amani
@farhatfarhat3816
4 жыл бұрын
Yani akifika hoi maana kila sehem anasimama
@madammanka2731
4 жыл бұрын
Huyo ni jiwe wewe usisahau tena
@mathytz25
Жыл бұрын
Dah! i miss when The True king spoke out,Every line was a hit..we had the president once..tunakukumbuka na utusamehe kwa kila kitu
@raulmagige2698
4 жыл бұрын
Dahh!! Huyu raisi kwann tunataka atoke why? Kwnn tusimuache akae milele tunataka nn tena
@nahyialetomia9284
4 жыл бұрын
21st century, Tanzania kwa uchumi wa pili na hamna viti? Mnamuangusha rais!
@BeatriceHenry-t3i
11 ай бұрын
Magufuri wetu maskini tunakumiss
@moudyngereza
4 жыл бұрын
Thats my president...
@mimitijara4806
3 жыл бұрын
Wil mss u alot big ddy
@doctorwamapaatz6571
Жыл бұрын
I MISS YOU DADY💚
@alenyema
Жыл бұрын
Rais kaomba radhi kwa kuwapotezea muda watu wake
@dorcaskidoti249
4 жыл бұрын
Na olewako uile hahahahahahah...akila pesa yako hajipendii.
@madhuru2554
3 жыл бұрын
R.I.P.Mr.President Kazi ya Mungu Haina Makosa.
@rehemashafi4809
4 жыл бұрын
Mashallah rais wetu adi raha jmn
@jumakapilima5674
4 жыл бұрын
Tunavifanyia kazi,,,,, mh!!
@johnkariuki2907
4 жыл бұрын
Mzee Safi sana
@agnesvintan1538
4 жыл бұрын
Daaaah hii ya secondary kukaa chin jau kwel🤔mi nakumbuka shule yetu viti vilikua vya kugombania,,had tunaandika majina kwenye viti
@mnyamisiofficial
4 жыл бұрын
kzitem.info/news/bejne/spCAwISvb2pjoHY Tazama shairi walilotungiwa wajumbe wa Ccm na Mpoto, joti na dk Kumbuka.😂😂😂
@auntdorah9141
4 жыл бұрын
Nakupendaga bure
@maulidimadjid7088
17 күн бұрын
Inspired by his unique strict leadership for the benefit of wanaincha.
@bikozikomo9496
4 жыл бұрын
Sion umuhim wa jpm kupgaa kampeni mwaka huu2020,akae tu ofsin ajirekond tu bas
@ilynpayne7491
4 жыл бұрын
Mbunge katoa million 2 fasta bila kupenda
@karimmkejina980
4 жыл бұрын
Ahahaha
@josephmanyama435
4 жыл бұрын
Inaitwa chap kwa haraka hiyo
@kiariedavid8370
4 жыл бұрын
inabidi vinginevyo kutumbuliwa kunakuhusu
@bjzee1981
4 жыл бұрын
huenda kajikuta katamka bila kujijua
@madammanka2731
4 жыл бұрын
@@bjzee1981 akifika kwa wenzie anawauliza hivi nilisemaje pale
@edrisalusonge4141
3 жыл бұрын
Mungu akulehemu kwakweli
@jacobodaudi-b1v
Жыл бұрын
mwamba pumuzika kwa amani nakama ulilala kwa mapenzi ya mugu basi jina lake lisifiwe ila kama kuna mipango ya wanadamu mungu atalipa ila pengo lako linaonekana
@akidanyanje9072
4 жыл бұрын
Huyu jpm Niko tayari kufa kwa kuilinda picha yake tu isichanwe...
@hassanjumabajwala1862
4 жыл бұрын
Tutashukuru Sana ukijatena muheshimiwa
@mauyahamisi7525
4 жыл бұрын
Mh magu akila pesa yako huyo dc atakua hajipend
@MohamedBlanker-jw9qy
11 ай бұрын
Rip magufuli
@cecilemkandama5051
4 жыл бұрын
Makufuli dhaaaaaa
@anawa4326
3 жыл бұрын
Endelea kupumzikaaa Muheshimiwa
@salmaluhombero8466
4 жыл бұрын
Wakuu wa mikoa ina maana hamjui kuwa watoto wanakaa chini dah Tanzania viongozi mnafanya nini sasa Raisi asingepita ndio basi tena watototo wanakaa chini waziri wa wanawake na watoto jina tu hajui kero za watoto na wanawake ni mambo ya kusikitisha sana Raisi anahitaji asaidiwe peke yake hawezi sasa mnachaguliwa ili mfanyeje duh hii kali
@abdihq4228
4 жыл бұрын
Mh helanyingi sana hiyo wasikuibie
@ksmally1985
4 жыл бұрын
Watoto wengi wa Shule za Serikali wanakaa chini kabisa. Tena shule za manispaa kabisa. Wahusika angalieni hilo
@somanet_tech
4 жыл бұрын
Sawa baba
@abelialsen5383
Жыл бұрын
J.p.m pengo lako halitazibika
@hamzamohamed5007
4 жыл бұрын
piga kazi baba magu itapunguza madudu kiasi
@mkombozifreshoil
3 жыл бұрын
Laaaah masikini, jembe limelala.
@mkombozifreshoil
6 ай бұрын
Laaah jemadari R.I.p
@jonathankaranja5857
3 ай бұрын
Natazama kutoka nchi ya Kenya 🇰🇪.
@mnyamisiofficial
4 жыл бұрын
kzitem.info/news/bejne/spCAwISvb2pjoHY Tazama shairi walilotungiwa wajumbe wa Ccm na Mpoto, joti na dk Kumbuka.😂😂😂
@mnyamisiofficial
4 жыл бұрын
kzitem.info/news/bejne/spCAwISvb2pjoHY Tazama shairi walilotungiwa wajumbe wa Ccm na Mpoto, joti na dk Kumbuka.😂😂😂
@Paschal-t8p
11 ай бұрын
I hate you ccm. Ee mungu naomba unipunguzie hawa watu bado hawatoshi
@EmmyKisura
10 ай бұрын
❤❤❤
@fidelisiboniphacekatole1139
4 жыл бұрын
Ukisikia wimbo wa serikali ya awamu ya 5 utafikiri Tz imeishakuwa paradiso ,kumbe usanii tu kila kona vilio mara maji, madawati ,shule hovyo
@siwonikewilliam9146
Жыл бұрын
Pumzika kwa amani
@PaulMelikizedeki-py1ke
Жыл бұрын
Mwamba
@emmanuelbugabu115
Жыл бұрын
Upumzk salama
@arnoldarnold6271
7 ай бұрын
Rest in peace sir
@Donyo-rh8do
3 ай бұрын
Kama kuna kitu Tanzania tulishawahi kupoteza ni jembe la namna hii. Apumzike Kwa Amani mbinguni
@neemahaji5766
3 жыл бұрын
Aaaaaah jmn rest easy baba angu😭😭🙏
@josephpetermaganga2907
Жыл бұрын
Mwamba kabisa
@stanleymakambi8304
4 жыл бұрын
Shule yangu mwinyi kitambo sana
@Jimmy-kq3bi
2 ай бұрын
Rais Samiya Suluhu
@dastanmrope162
3 жыл бұрын
R I p kiongozi
@samakisamaki3226
4 жыл бұрын
wamejikanyaga hawa. katoa idadi ndogo ya uhaba wa viti, bei ya meza na kiti ni zaidi ya elfu 70. mzee kawapa wiki moja na hali ya kuwa hakuna hata kimoja cha mfano. hapo ndipo vitakapotengenezwa kwa kasi ya zima moto, ubora ni wa muonekano tu.
@gracemisokalya1061
4 жыл бұрын
Lazima aongezewe muda madarakani kutokana na uzalendo alionao. Kweli he is a man of action lkn hata viongozi wote wa Mkuranga wanaonekana ni wachapa kazi ndiyo maana hawajateteleka ht kujibu malalamiko ya wananchi wao,pigeni kazi kila sehemu one changamoto zake siyo huko tu jamani,hii nchi ni kubwa mmmmmmno
@mkalimala3564
4 жыл бұрын
Hao viongozi wilaya ni wazito/Subload
@edrisalusonge4141
3 жыл бұрын
Inauma sana
@tawfiqmbagwa9407
4 жыл бұрын
Yaani hapa issue hii Magu alikuwa ashatonywa ndo maana akauliza kuna shule hapa?
@bajunihilali95
4 жыл бұрын
Hahahaa maguuuu
@halimasalim5477
3 жыл бұрын
😭😭😭😭 roho inauma
@jumajuma6970
3 жыл бұрын
Kirausiefum
@ShijaNtolela-rh9rk
11 ай бұрын
atakumbukwa
@kissdubaleewabibi812
4 жыл бұрын
Kuliwa
@nicholausmushi44
4 жыл бұрын
Nchi hiii bila kuendeshwa kikamanda mambo hayaendi
@rizikionesmo8314
4 жыл бұрын
Aloo
@highonebalo8289
4 жыл бұрын
Baba Mungu akupe maisha hadi useme mwenyewe sitaki tena!!!
@bjzee1981
4 жыл бұрын
Hawa watoto wana bahati Sana. Kila siku wanakutana na rais ana kwa ana
@richardelias3952
4 жыл бұрын
Kusini mwa Tanzania bado watu ni wavivu kufikiri.matatizo mengine ni wananchi kumaliza na viongozi wao.ila kwa kuwa ni wavivu shida zote serikali
@misungwikids563
4 жыл бұрын
Hahaha na ole wako uile
@pauloJames-r3v
Ай бұрын
Dah😢😢😢😢😢
@jeradkanyuru5745
4 жыл бұрын
Raisi hawa niwatambili
@badboy2577
4 жыл бұрын
Aibu kwani hakuna wizara? Rais anauliza kama kuna school Waziri wa Elimu yuko wapi? Tanzania mko chini bado Uozo uko chini kwa mwananchi.Huku Watu wanasifu oooh Tazara imependeza, oooh ..... mnasifia mtu sana badala ya kuelezea hali halisi
Пікірлер: 156