Pamoja na kwamba mi mgumu kucheka ila ya Leo kiboko😂😂😂
@tariqhassan1385
Жыл бұрын
Mpangaji anaruhusiwa Kuiuza nyumba, Eandapo atapata changamoto za kibinadam 😂😂
@user-se4ng1lt5v
9 ай бұрын
😂😂😂😂
@mrenjoyfootball8403
2 ай бұрын
Kaisaaaaa hahhahahhaha
@salumumawaya
Ай бұрын
😂😂😂😂 mwenye nyumba kayatimba
@EliyaUhaula-ck3pu
Жыл бұрын
Haaah NYIE Jamaa watu wananicheka huku nje wanaona nacheka pekeyangu
@MM-Advanced
Жыл бұрын
Hahahahahaha.....Hii kama inauhusiano na mkataba wa bandari hivi!!!
@KALUMWASHIDAHA
17 күн бұрын
Try dullah noma sana😂
@nyotamy3678
Жыл бұрын
Et "Relax", "na umeshasaini" 😂😂😂😂 Sema Dullah zile pigo za kuazima kitu skuizi vipi..? Nilikuwa nazielewaaa... Yule jamaa anakuja ankuita "Tx Dullah mnyamaaaaaa" alafu na ww unasema " oiiii..." 😄😂😂😄 Irudie bana ile
@bwatamuramadhani8433
Жыл бұрын
😂😂😂 vichaa mmekutana na hii ni best combination kaka dulla
@yusuphmsigwa
10 ай бұрын
Dullah we ni Msenge 😂😂😂😂😂😂😂😂
@abubakarabdallah9297
Жыл бұрын
Wakwanza duuh mauwa wazee
@tumajunior6080
Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥anaitwa txdullaah mkataba wako mkali mwenye nyumba amekimbia❤❤❤
Пікірлер: 249