Huyu mtoto anautumishi ndani yake,,, mweny macho ya rohoni anaelewa ninachoongea,,,, ipo siku atakuja kuwa mtumishi mkubwa,,, Mungu akutunze BRIAN
@levocatuspjohn8638
Жыл бұрын
Hata mimi nimeona
@UsafiMichael-mc8kt
Жыл бұрын
Anaitwa brian
@sophylaurian8186
5 жыл бұрын
Watu hucheka sana lakinia mwenzenu hapo kasha hubiria mtu kuhusu habari njema ya Yesu hapo nimtu kujiongeza
@smavilifestyle2471
5 жыл бұрын
Umewaza kama mimi...yan huyu ni mtumishi wa Mungu kabisa
@unknownsshayo1527
5 жыл бұрын
dhuuu!!! ni kweli
@tomasikisase7478
5 жыл бұрын
@@unknownsshayo1527 kabisaa
@ayubukalamba5573
5 жыл бұрын
Beni uko vizuri sana
@beatriceandrew8623
5 жыл бұрын
Kabsa
@doreenswai7805
4 жыл бұрын
Kama unamkubali huyu jamaa anavyo bonga piga like apa
@jumagubert5552
3 жыл бұрын
Big up
@cathbertsakaya5977
5 жыл бұрын
malaika wanaazimana external 😂😂😂😂😂.... ...nakukubali sana unavyomtanguliza mungu.. ....@Free Tunaishi
@mariyaal5366
5 жыл бұрын
Nimekupenda unavomtanguliza Mungu kwanza utafika mbali jitaidi
@graychuma2708
5 жыл бұрын
Wana mambo ya kiwaki 😂😂😂😂😂😂😂😂kifo cha kokorochi god bless you bro stay here
@bilioneatilionea7727
5 жыл бұрын
Mimi nimvivu kucoment nimekukubali big up much
@imanilaurent9270
5 жыл бұрын
kwel
@felislitajonathan4189
4 жыл бұрын
Sana
@abdallahwatende6676
3 жыл бұрын
Nakubal mkali wao
@nickrocker_tz5282
5 жыл бұрын
ma like ya malaika wanoazimana external kwa hapa fasi
@deogratiaselias3294
4 жыл бұрын
Jamaaa unampenda mungu thankyuu so much ndio maana unafanikiwa
@ericstephenm.844
5 жыл бұрын
Good job cheka tu. You are the Churchill of Tz. Your shows are 🔥🔥🔥. Pia it's very good mmefanyia kazi video colour!!!👏👏👏 Keep going!!!
@elibarikielikana1824
4 жыл бұрын
Umehubir mr beneficial kweli Mungu akubariki
@mrjohn4446
5 жыл бұрын
These is using comedy to preach word of God, very good
@gmkatoliki5598
3 жыл бұрын
Hongera Sana
@eliarichard9218
5 жыл бұрын
Ben wewe Nouma sana yani mungu kwanza ubarikiwe sana
@subrynerysegerow1323
5 жыл бұрын
Uwiiiii saf sana asee niliisubiri sana hii yafunga mwaka mpo vizur broo nakubaliii
@samwelimadaraka4358
5 жыл бұрын
Chuga moja kama unamuelewa gonga like
@elibarickbarnabas955
5 жыл бұрын
We chuga noma sana
@shitakacheko7839
4 жыл бұрын
@@elibarickbarnabas955 ni mtu mmoja hivi hatari sana kwenye kazi yake chuga oyyeeeeee
@mossesmayunga3608
4 жыл бұрын
Chuga hatari sanaaaa
@elibarikielikana1824
4 жыл бұрын
Ufunuo huo hakika blessed umeifanya kazi yako kwa sanaa ujumbe umefikaaa
@gladynaasi2390
5 жыл бұрын
Eti tunawachosha malaika hahhahaha.... Bryan we kiboko ya Cheka tu😂😂😂
@wiliammarry1995
5 жыл бұрын
Vp
@raymondulimbagha7580
5 жыл бұрын
Haaaahh
@eliyadiga3482
3 жыл бұрын
Mop
@gabrieldaniel5328
5 жыл бұрын
kaz nzur mjomba ila...elew kuwa kit kinamuda wake....mafanikio unayoyapat Leo fany kama haitotokea tena.....nadhan utafanyia jambo la maana.....napenda kazi yako ...pia napenda ufanikiwe kupitia kaz ako kama wengne walivofanikiwa...
@anoldnelson6109
5 жыл бұрын
Chuga noma sana kama una wakubali kongo like apa
@neemarichard3474
5 жыл бұрын
Wakurya wenzang naomba like hapa
@emmapalanjo2316
5 жыл бұрын
Like ya nini sasa mm sijaelewa
@nyamingoxamwita2812
5 жыл бұрын
Neema richard Among'ana
@denisimarwa1910
5 жыл бұрын
Eeeeeeeeeee tupo
@philipomartin1407
5 жыл бұрын
Neema richard Hahahahaha
@tonymlatino4810
5 жыл бұрын
Baby hadi hukuuuuuuu
@maryangela107
5 жыл бұрын
aise kaka napenda unavyomtangulizaga mungu jamani ubarikiwe Sana beni
2022 September still his king of stand up comedy....
@afandebrighttz2887
5 жыл бұрын
yaaani narudia kila siku ,,,,Mr Beneficial plz mbavu zangu
@merryeduward3028
5 жыл бұрын
Aiseee wew kaka umetisha mkono wabwana ni mkuu sana aisee umenichekesha ww
@kelvinnassary6165
2 жыл бұрын
2022 on February am still interested in this comedy
@vailethmtemekele1347
4 жыл бұрын
Duuuh,uko vzr kaka,unshubiri injiri kwa njia tofauti Sanaa,kiukweli nimekuelewa,Mungu akubariki
@mariammwanzalila8400
4 жыл бұрын
Nilikuwa nimelala bila kusali duuh nimeamka kusali 😭
@stellahyohanna6038
3 жыл бұрын
Ubarikiwe charrrry kutukumbusha god 😍 bless
@CizaChadrack
27 күн бұрын
Mungu akulinde kaka we nimtumishi wamungu
@memurutisayanga8308
5 жыл бұрын
Nammi nimeuona mkono wa Bwana,,,,,, uko juuuuu xana brooo
@rastylerepublik
4 жыл бұрын
Wenye dhambi ndogo ndogo watakua wakiota Moto😂😂👊👊🇰🇪
@damianmosoka8254
5 жыл бұрын
Dah sema mmechelewa kuipost
@flova7022
3 жыл бұрын
Hahahahaha eti nliibiwa simu.. hhhhaha huyu jAmaaa dahh
@godisgood8700
5 жыл бұрын
Wasukuma wenzagu naomba like zenu jamani
@tabumboje7416
4 жыл бұрын
Chukua
@jozzsimbatv1199
4 жыл бұрын
Michembe ginehe
@deavistz5162
5 жыл бұрын
Ni huyu Mimi sasa. Wahaya wenzangu gonga like twende sawa
@bellamygong
5 жыл бұрын
Nataka kulijua jina la hii nyimbo aloingia nayo TAFADHALI 🤗🤗🤗🤗
@lebecajuma1707
5 жыл бұрын
Bellamy Gong Unaitwa mkono wa Bwana
@johnsiapetro3885
5 жыл бұрын
MKONO WA BWANA
@lebecajuma1707
5 жыл бұрын
Johnsia Petro ndio
@lovebaby9305
5 жыл бұрын
Mkono wa bwana
@briannyiti208
5 жыл бұрын
Inaitwa Mkono wa bwana zabron singers kahama
@mikaelmashimba4374
4 жыл бұрын
Mr Ben punguza kidogo uko vizur ila kwa kutumia maandiko na kuzungumzia habar za Mungu katika vichekesho nikushauri uache najua unaelewa nini namaanisha mengine sio lazima niandike hapa
@Iamraychris
5 жыл бұрын
Mavazi yake yameninasa sana bro wewe chizi wakueneya kama mkali amunautofauti wowote kwau chizi
@esterjema2484
4 жыл бұрын
Daah uko vizuri, kizuri Zaid unamtanguliza Mungu
@thabitgibson1657
3 жыл бұрын
Yupo vizuli
@kilazajr3720
5 жыл бұрын
halafu huyu mshikaji anafanana gnako.
@saidjagger.5543
4 жыл бұрын
Sana
@jonathanigwila1293
4 жыл бұрын
Sana
@linustarimo8170
3 жыл бұрын
Saana
@chibaleh.vicent4705
5 жыл бұрын
May God Bless You Brother
@sweetestgospelmelodies5723
5 жыл бұрын
KAMA umesikia malaika wanaazimaana ma external ni masikio yako😂😂😂
@frankjuma1689
2 жыл бұрын
Kwa kweli nimecheka kwa saut walah
@geofreywayesu5638
2 жыл бұрын
Gonga like
@davidngowi1534
2 жыл бұрын
Tunataka huyu jamaa aje tena cheka tu atoke huko Usa
@mkaapwekekariakoo6417
2 жыл бұрын
kila mtu amezaliwa na malaika wake... SI NINAWAULIZA!!! genius hadi leo
@AlexMakanta-zn3zc
4 ай бұрын
Jamani huyu jamaa alipotelea wapi? Naangalia Leo tarehe 18/06/2024
@elizabethbuhatwa987
3 жыл бұрын
Safi Sana head boy wetu duuh nimefurahi themi moja
@tegemeareuben7618
3 жыл бұрын
Haki this man is preaching
@benjaminiwilliam2648
5 жыл бұрын
Mr Benefial upo vizur komaaaaa kuendelezea kipaji
@damianmosoka8254
5 жыл бұрын
Keep it up Mr beneficial
@philemonsamwel7761
2 жыл бұрын
Alikuwa Ana roho mbaya NYOKA, enzi za uhai wake nyuma NYOKA by Chindo Man 😂😂😂😂
Mbeba camera lazima ujue kuchezesha camera kuchukua audience na mshereheshaji sasa nusu saa unamwangalia tu mtu mmoja
@chiloclassic7004
5 жыл бұрын
Joel Joel kesoy anazingua huyo camera man
@pendocharles8786
5 жыл бұрын
kaabisaa
@sammanjeka7357
5 жыл бұрын
Umeongea ukwel mkal
@earlybird5647
4 жыл бұрын
Kaifanye wewe hio kazi alafu atajua
@dazmeddvevo2375
5 жыл бұрын
Sisi hao chalii ya chuganian fas ya hapo Kat😂😂😂😁😁😁😂😂Hamna kaz hapo 😁😁😂😂😂😂hutaki au 😯😯😯😯😯😯😯😯😯😯😯😯😈😈😈😈😈😈😡😡😡😡😡😡😡😡😡
@simonleskar5018
5 жыл бұрын
yechu sana ben umetisha sanaa
@migostv2151
5 жыл бұрын
Daz Medd Nandy
@afandebrighttz2887
5 жыл бұрын
Migos TV hahaaa
@samwelyizrael7122
5 жыл бұрын
@@afandebrighttz2887aikatox baba
@chitumwaipopo4089
5 жыл бұрын
OK
@judithsobore3778
3 жыл бұрын
Uko poa sana brother bigup
@gloryfrank5706
4 жыл бұрын
This is my role model
@sirmwita3351
5 жыл бұрын
Hii ni show yangu, nafurahi sana uwepo. Marekebisho ni madogo tu, kwanza muwe mnawaisha kuipost, pili mfanye promotion za kutosha, mfike na mikoani, then camera man ajitahidi kuonesha na audience. But keep it up
@geraldpeter9370
4 жыл бұрын
Another 1 h
@magesanka1708
4 жыл бұрын
Ur real amazing be blessed
@eliyadiga3482
3 жыл бұрын
Mamaaa
@jeydanjapheth7701
5 жыл бұрын
God ana fight tutoboe heaven #hahahaaaaaa
@lizzynkifu4179
4 жыл бұрын
Mungu akubarik umewakumbusha watu Dunian tunasafr tu
@devothaemmanuel1145
5 жыл бұрын
anaeneza neno la bwana kwa njia yake 👏👏👏
@fransiscajohn1965
5 жыл бұрын
Noma sana
@fransiscajohn1965
5 жыл бұрын
Noma sana
@paulomichael3087
5 жыл бұрын
Oy nimecheka laana eti adi malaika wanaazimana external 😂😂😂😂😂😂😂
@omarykasuku9508
3 жыл бұрын
Pw
@johnrogath1066
5 жыл бұрын
hahahaha malaika wanaazimana external
@firemanoriginal6758
3 жыл бұрын
tunaoangalia mwaka 2021 like apa
@fidelspamba9353
5 жыл бұрын
Mungu ambaliki beneficial
@RemmyLyimo
Жыл бұрын
Ni yechu yechu dingiii haikatox💯
@katebrown4209
5 жыл бұрын
Unazid kukua chalii ya r soon unaenda to the world
@henrykimaro6591
5 жыл бұрын
Daaah unatisha sana mkaliwadee🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
@ummulkheirzubeir6320
5 жыл бұрын
Perfect sana
@dwhitetz4213
5 жыл бұрын
angalia shalo alivyo fanya usiku kuamkia leo
@lomayanmigaro2779
5 жыл бұрын
Chali wa R good
@rehemammbando5791
5 жыл бұрын
Hongera sana mwanangu kipaji ni kwafamilia yenu wote nawaelewaga sana hongera mno
@syliviansteven5570
5 жыл бұрын
Nice
@daudfyedrack6144
5 жыл бұрын
Mungu akubaliki
@agonza1949
5 жыл бұрын
Jmn jmn waooooooooooh i reaaaal lov your wooooork beneficial
@eliaburuhaza4735
5 жыл бұрын
Mungu kwanza,, nakubali sana broo
@hellaindavid8405
5 жыл бұрын
Ahahahaha nakukubali sana dingiiiii
@annakwimbere8723
5 жыл бұрын
Nakuelewaga knoumaa anii...pambana ya ela ote...😁😀#chuganian
@neemaneema5215
5 жыл бұрын
Gabu gabu ganu jamani uwiiii
@hassanamiry6417
4 жыл бұрын
hatar sana kaka nakukubali kinoma
@elinaikeregnald9722
5 жыл бұрын
U kill it man....yechu yechuuuuu
@maromjay6184
5 жыл бұрын
uko vizuri brother beneficial
@jacksonline2831
4 жыл бұрын
Hivi hii cheka tu uko wap nihudhurie hata siku moja jaman..
@reginakennedy3498
5 жыл бұрын
Jaman huyu chunga nakupenda sana. Unajua kunifurahisha
@mariammwanzalila8400
4 жыл бұрын
Nakukubali sana bro nipo uarabuni
@marysixmund5713
5 жыл бұрын
wale tutakao kuwa tunaota moto tujuane tuyajenge tutaenda na mahindi yet ya kuchoma au tutayakuta mbele hahahaha
@sundaykateti4275
5 жыл бұрын
Mary Sixmund 🤣🤣
@evacharles9264
5 жыл бұрын
Mary Sixmund hahahahha
@samweljackson8308
5 жыл бұрын
hahahahaha
@HoseaObeid-wo7kg
5 ай бұрын
Mungu akupe longlife
@romwaldjumanne2066
5 жыл бұрын
Sanaaaaaaaaaa Nakubal haikatai kabisa
@barakamshangamshanga6425
3 жыл бұрын
Shoooo nikwambie kitu😂😂😂🙌🙌🙌
@estermpare4078
10 ай бұрын
24 .11.2023 bado nakufwatiliaa chaliiii yangu😅😅
@barakamnkunda2130
5 жыл бұрын
Chali R respect sana
@ElysherJoh-zr6pt
3 ай бұрын
2024 am here
@maswinyabichemo7760
5 жыл бұрын
Mura dhambi ni dhambi mura embu ingia huku😂😂😂😂😂😂
@lovelymonner7804
5 жыл бұрын
nmependa ulivyoondoka chali
@stivinnyigu683
3 жыл бұрын
Upo vizuri sana wavunje mbavu
@laurentmchunguzi5863
3 жыл бұрын
You are the best
@saudafakir5421
5 жыл бұрын
I love the show buuuuut Mambo ya kidini mbona km yamezidi lol
Eti walele wenyedhambi ndogondgo watakuwa wanaota moto
@brunombulanya1189
4 жыл бұрын
Ni noma xana
@jacksonalbin4465
5 жыл бұрын
nakukubali sana chalii yachuga kama unamkubali gonga lick yakutosha
@linahdickson2602
5 жыл бұрын
Chuga baba toka nmehamia nchi ya watu sijaendaga kanisan utanifanya nitafute herven ilpo malaika wasije wakaazimana antena
@ombenikisunga5059
5 жыл бұрын
Hakika umefikisha ujumbe barikiwa saaana
@utajiriniafya9789
5 жыл бұрын
Karibu katika page zetu za Afya kwa ushauri na huduma. Utajiri ni Afya Instagram instagram.com/utajiri_ni_afyaa/ na Facebook web.facebook.com/BFsumtz/ . Karibu uhudumiwe.
Пікірлер: 547