Nakuona mbali sana dadangu unajua kuimba napenda sana nyimbo zako.
@priscaphedrick5970
Жыл бұрын
Katika wanamziki woote wakike bila uongo wala kupepesa macho ni RUBY sema tu wakumshika mkono ndio hakuna
@Mina.15
Жыл бұрын
💯👌🏾 Ruby anasauti bwana wamemroga TU 😂
@kaxoghursantos2696
Жыл бұрын
Ruby inaonekana discipline hana yuke
@ZenaMsumagilo
16 күн бұрын
Nimependa ulivyosema ukweli Ruby ni kifaa anajua
@wahidamaulid9527
Жыл бұрын
zuchu aachwe juz juz alikuwa anaekwa kwa Nandy zuchu mmja akaekwa kwa angela huyo huyo kwa yami ina mana mkali ❤️💯 but u team haufai umoja ni nguvu wanawake wenyewe wachache kwenye industry
@iddjuma4126
Жыл бұрын
Yeah ❤
@nairatomar9389
Жыл бұрын
wenye wivu mjinyonge tyuu👌🏼❤️❤️ kw qeut Yammi mambo ni🔥🔥🔥 mjipange sn👌🏼🥳🥳🥳
@damaspius1620
Жыл бұрын
Siku zote wa2 uanza kwa moto badae upoa , bt ngj 2subr😊
@fadhilamlay407
Жыл бұрын
Kabisa
@MussaChristopher
Жыл бұрын
Nandy huyo mtoto ume mtolea wap man ni fire
@fauziakitenge8061
Жыл бұрын
Mnagombanisha watu kwa Kichwa Chenu cha habari…Mnataka kumuharibia wakati ni mtoto mdogo anajitafta mfyuuuu shenzy
@kalssambaboo9932
Жыл бұрын
Hawa waandishi niwachonganishi sana hawa
@damaspius1620
Жыл бұрын
Zuchu ni zuchu yammi ni yammi ko mcjisheue kumchamba zuchu kisa yammi , kwan zuchu alivyoanza kuimba almtaarfu yammi uo ni unafki jaman wote ni wasanii wetu na wanaitaj support zetu so msifanye k2 kwa kukandamiza upande mmoja mpoo, tena tatizo la watanzania wengi wapo wapo 2 wanafata upepo ko kila m2 ana sauti yake ko mcfananshe fananshe ovyo .. Je yammi asinge kuwa msani mngemfanansha na nani zuchu¿¿¿??? Bt kazen buti cc 2pokwajr ya kuwa suport
@user-me8vz7fe8o
14 күн бұрын
Zuchu kiboko we yammi kaa pembeni asaaa
@SarahIbrahim-je1oo
13 күн бұрын
Acha wivu wewe humfiki zuchu
@aminabashirmohamed5752
Жыл бұрын
Usiguse Moto utanguunguzaaa,achana na zuchu namba one
@user-pw2bl4qd8w
3 күн бұрын
Yammy we mzuri sana ❤❤❤❤
@SafiaHabib-ie2se
Күн бұрын
Yami we kweli umeukoka Moto na utakuunguza kweli maana kutoka kwa Allah kwenda kwa shetani.shetani katuahidi machafu na Allah katuahidi msamaha namuomba Allah akurudushe kwake akutoe kwa shetani. Dunia ni mapito hutokwenda kwa Mola wako na Nandi utkwenda peke yako na uliyoyafana ukiwa Duniani. 13:27
@SafiaHabib-ie2se
Күн бұрын
Yami maasi yako unafananisha na rehma za Allah huo ni mtihani imeingia kwenye sauti ya shetani kakuita umemfuata na mwisho wa siku anakutaa anakwambia hukumuona hio ndio sifa ya Ibilisi aliyelaaniwa. 13:27
@user-me8vz7fe8o
14 күн бұрын
Kwanz huyu yammi hajui ata kuvaa kw kwel😂
@lisauroble31
16 күн бұрын
Yami unasauti nzuri weembo umenifrahisha
@Joylinemakeup
6 ай бұрын
Kumfikia zuchu bado sana my dear 😊
@salamalsawaqi1206
15 күн бұрын
Huyu bado mikojo mtupuuuu
@ushyentoabdulnunu8044
Жыл бұрын
Hahahahahahaha weee Yammi kiboko zuchu ayumo ....Yammi mpole maskin n pia yaonekana life ilikuwa ngumu maskin ila kuwa msiriwa waja wambea dadangu
@yusternyirenda7231
Жыл бұрын
Vina muda basi zuchu she is something else wasikudanganye dada mgeni, yammi kuimba anaimba sawa lakini kumfikia zuchu bado mno, hizi comment za walimwengu dada mgeni zisikuvimbishe kichwa ukajiona wewe unajua mno bora uendelee kupambana ili ufike mbali nenda kwenye post za zuchu na interview za zuchu za zamani wakati ametambulishwa kuwa ni msanii mpya uone comment za waja zilivyokuwa nzuri nzuri kama hizi hizi zako lakini sasa ivi nenda kwenye post zake mpya na interview mpya uone comment anazopewa hahaha utafurahia shoo hao ndio vigwegwe wanaopatikana kwenye nchi inayojiita tanzania
@happinessburton7529
Жыл бұрын
Hahahahha ashindan na boss wake kwanz
@sarishy0664
Жыл бұрын
Kwanii amesema anataka kumfikia zuchu😜
@yusternyirenda7231
Жыл бұрын
@@sarishy0664 muulize huyo kilandage wako ndugu matangazaji aliyetuletea huo upuuzi
@getrudaFransis-zo7kp
9 күн бұрын
Nakupend nlikupenda Zaid kweny tiririka
@ashuu7772
Жыл бұрын
Zuchu ni hela ndio maana anafananishwa na wasanii wengi
@mwabiawahadi6247
Жыл бұрын
Zuch Humuenz Jipange Zuch Level Nyengine
@aishamagoshi2852
Жыл бұрын
Amesemaanamweza
@anthonybanda4483
Жыл бұрын
Who said so
@mwanaidibushiri9048
Жыл бұрын
Achen kugombanisha wa2 jamani kama unaon hajui kaimbe wewe all in all wanaweza
@damaspius1620
Жыл бұрын
Daaah wasanii wanakazi sana cjuh wanaona wanachoongea mashabiki
@kanyihambamontana5971
Жыл бұрын
Uyo ni moto sana,anamzidi zuchu mbaliiii kuimba tena bila wongo
@thedon8467
10 ай бұрын
HAKIAMUNGU ZUCHU NI MTANZANIA
@hadijachionda5580
Жыл бұрын
Anaweza sana
@zena6203
Жыл бұрын
Usijisifu unambio wakati hujakimbizwa subiri ukimbizweeee kwanza
@fbr5113
Жыл бұрын
WASANII WANAUME WANAHANGAIKA NA DIAMOND WANAWAKE NA ZUCHU DUH KWELI NDIO UJUE KWAMBA DIAMOND NA ZUCHU NI TISHIO NA NDIO WAKO JUU KULIKO WASANII WOTE TANZANIA NA EAST AFRICA
@SafiaHabib-ie2se
Күн бұрын
Ikiwa kweli mama ako hakupenda uimbe kwasababu alikueomesha misingi ya dini ya Kiislam na leo anakusapot kwa unachokifanya basi hana msimamo thabit kwa Mola wake na yeye atakwenda jibu kwenye mahakama ya Allah, umetoka kwenye misingi ya Mola wako kisa dunia yakuishi muda mchache tu unakaa uchi mama ako anashangiria na Dua anakuombea uzidi kumkosea Muumba wako sijui Kama hayo ni mapenzi ya mzazi maana Moto wa dunia na wa Akhera haulingani yeye yupo tayari aje mtu aweke Moto mbele yake amwambie mama yako namchoma Yami hapa Leo atakubali? Kama hatokubali basi kwa Nini akubali ukachomwe kwa Moto wa Allah usio na mfano? Kisa pesa tu . Tukumbuke wazazi Lina siku ambayo haitamfa mtu mali yake wala watoto tuiyogope hio siku dunia tumeikuta na tutaiyacha.
@user-oj4rw2jr7n
Жыл бұрын
Yamy i like your songs❤❤❤❤❤ mungu akuzidishie
@mwanamisimwangaro8001
Жыл бұрын
Zuchu apingwi kwakua yuko kwa diamond( wasafi) tu ngoja pekeake kama nandy ama wasanii wengine ....atakua chini sana tu
@antonywilliama2868
Жыл бұрын
hasa huyu yami si ndo anajitafta mmeshaanza kumjaza kichwa
@rosejosephat9690
Жыл бұрын
Mbona mtangazaj anaongea na Yammy kama vile amemuelewa? Au nyie mnaonaj duuuuh! Au pengne hyo nmeiona pekeangu 🤷
Zuchu sio levo ya nand jaman labda gani na wasanii wengine chipukizi
@aishamohamed9981
4 ай бұрын
Mama alikua sawa kukataa usiimbe... Mbele ya Mungu anamajibu...
@TopTop-vo6pe
18 күн бұрын
Hujamfikia zuhura dada, nandy ackudanganye, zuhura motor sana, jitahidi sana ukitaka mfikia zuhura
@user-do9fp4js3q
19 күн бұрын
Yammmin nakukubar pambana dada angu
@idayaassumani4102
Жыл бұрын
❤❤
@user-ck4cv5rh7i
4 күн бұрын
Yammy anafanana na ruby
@khadjamhozya
Жыл бұрын
Wa tz bhana,!!!,🤔 saivi zuchu mumemsahau, mumeisahau, watsubir Sana , mwambie apunguze kampeni, Jimbo rshacukuriwa, my namba one na ley,vanny, na lmiss you , na vanny Yan arisema sere gogo, na kwikwi na sukari nanisamee na, ninamuogesha namnyonyesha,na nyumba ndogo,,,, na kpendwa lahaa zngnezo aloimba na mboso na wasan wengine na wa injee za kngereza zilzofanya vzur , mpaka leo nandy mwenyewe kwa zuchu hagusi iweje huo mwenye mipua Kama ya babalevo anamzidi, labuda zuchu ashindanihwe na sarafina sio huo kijuso🤧🤧🤧🤧zuchu 🤍🤍🤍🤍
@damaspius1620
Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 umeamua utaje kbsa na orodha ya nyimbo za zuchu 😂😂😂😂😂😂 we kiboko bac taja naza yammi😋😋
@HannanAlly-o8k
5 күн бұрын
We mtoto was juzi tuuu funga ilo domo lako
@user-hn6vo2sn6e
11 ай бұрын
Hata pi a zuchu alianzia chini poa yeye alilia xaa pia kitu chaanziwa chini msaport ni moto sana
@raphaelbravo8432
Жыл бұрын
Kuna msemo fulani niliusikiliza kwenye wimbo fulani eti umejifunza ngumi so unataka kupigana na Tyson... Utaweza kweli wewe dada, wewe si level ya Zuchu kwanza anza kushindana na bosi Wako umpiku.
@SharrifCharo-mi1bn
10 ай бұрын
Sasa huyu unamuigiza zuchu
@user-us7id9hp7p
4 ай бұрын
Ucmfananishe zuhura na vitu vya ajabuuu
@patimamadaha9160
Жыл бұрын
Iko kipand3ee nakipenda mno
@maalimkicheko8731
5 ай бұрын
Huyu Anaweza duu hii nibayyati maimuna
@ghadaalzuhari2739
Жыл бұрын
Mashallah unajywa❤️
@asiaedward5247
Жыл бұрын
Ul
@ashaali7154
Жыл бұрын
Wanaowapaisha Zuchu na Diamond ni hao hao watangazaji na ndio hao wanawaharibia kwa madongo yao. Wasanii wengine wanahangaika na maisha yao tu hawana muda wa ugomvi.
@watuhuru6128
Жыл бұрын
Bila zuchu mambo hovyo
@user-se7oh4xu5r
2 күн бұрын
Komwe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rukiaathumanathuman7875
6 ай бұрын
Yaamy yuko moto
@aminumlekeni1397
Жыл бұрын
Oyo mikwala sas
@djjimmyjey7470
Жыл бұрын
Mfyuuuuuuuu
@Amisikashindi.
Жыл бұрын
✌️✌️
@salamalsawaqi1206
15 күн бұрын
Anaibaga taarab
@watuhuru6128
Жыл бұрын
Walikuja kina anjela we uombe mungu
@wahidamaulid9527
Жыл бұрын
mkali ila zuchu asithubutu kushindana nae asivimbe kichwa kiivo 😂 zuchu level zile
@halidhemed7524
Жыл бұрын
Label inambeba... Ila talent n kawaida
@wahidamaulid9527
Жыл бұрын
@@halidhemed7524 na uyo nae c kabebwa na lebo au zuuuchu achwe jitihada pia anayo
@halidhemed7524
Жыл бұрын
@@wahidamaulid9527 ulivyosema asithubutu kushndana nae .... Wote walkuwa hawafahamik.... Ila kiuhalisia bila kuangalia nan kaanza kutoka kwng game.... Mwny talent ya kuimba Yammy sio Zuchu, hii haimaansh kwmb Zuchu hajui kuimba.. lahasha
@wahidamaulid9527
Жыл бұрын
@@halidhemed7524 zuchu anajitihada na talent yami nyimbo zake hazifikii za Zuchu uwo nd ukweli sema watu Zuchu huangalia makosa sana kama ile performance alosema mic sijui watu tena nd sababu ya kumuona kuwa zuchu hana kipaji mi naona siyo kweli ata iyo lebel ingebeba watu wengi wakafika level za zuchu mbna wameshindwa je una uhakika ata fika level xa zuchu? siamini msanii ukiwa huna jitihada hata lebel mzigo 2 kina angela wamefika wapi ,lavalava au hata mbosoo hana ata tuzo na yupo lebel iyo unosema zuchu hana lolote kabebwa
@wahidamaulid9527
Жыл бұрын
@@halidhemed7524 tumuangalie mana pia zuchu hakuanza vibaya alianza vizuri zaidi ya yammi na akaendelea na kukua zaidi hii haimaanishi kila msanii anaweza wapo waloanza vizuri ila kumeintein nd mtihani
Пікірлер: 92