Ukiingia CCM muda huo huo unafanana nao kila kitu.
@generosennko8343
3 ай бұрын
Nadhani chadema imeshaingiliwa ili kuvurugwa. Ungetulia tuu chadema na kuwakosoa openly. Ila kwenda ccm ni sawa na kuruka mwiba mmoja mbaya na kukanyaga mbigili mbaya nyingi
Akili mkubwa imekubali kuongozwa na akili ndogo umekulupuka mng'ang'azi wa madaraka kweli huna uvumilivu akaanguka sikuelewi kabisa mimi
@plujoncylugano4611
3 ай бұрын
Maneno yake haya sijui kama anakumbuka,akili ndogo kuongoza akili kubwa,ametukosea sana lkn amechafuka kupita kawaida aache siasa akahubiri .Lkn pia atahubiri nn na usaliti ungali ukimfuata?Ovyo sana Msigwa
kuna wakati ulitoa ahadi kama ukihamia ccm gari lako nyumba zako sichomoe moto,,,vp utachoma mwenyewe au?
@ShaboMaguru
Ай бұрын
Mwambie achome huyo
@justinekamala9703
3 ай бұрын
Hivi kwann wabunge wa Chadema wengi ni njaa kali sn? Umelipwa mshahara miaka 10 kweli umeshindwa kuwa na miradi ya maana hadi mnakuja kuwa omba omba kwa mliowatukana kila kukicha? Mbn kabla ya Sugu hajakushinda ulikuwa hujahama na kuyasema hayo unayoyasema sasa? Akiri ndogo uliyokuwa unaisema kila ck ndo sasa nimegundua kuwa ulikuwa unajitukana wewe mwenyewe
@camilomassao8971
3 ай бұрын
Unaanza kuropoka sasa, nyamaza tu,
@faithmlay5944
3 ай бұрын
Pole sana Mchungaji. Hujatambua mpaka leo Ole wa kuwategemea wanadamu hasa wana siasa? Nadhani huko unakoenda ni shimoni rudi tu madhabahuni umtumikie Mungu wako.
@denisosward7464
3 ай бұрын
Nafikiri mnaendelea tu kufungua macho Leo ccm kinauchaguzi mzuri duu hatari Sana.Mchungaji pole Sana kwa mawazo finyu.
@mosessamwel1179
3 ай бұрын
Mimi nauliza swali, Endapo kama wote wakihamia ccm kama mnavyotaka, Je, kutakuwa na umuhimu gani wa siasa!
@leokamil6284
3 ай бұрын
Hakutakuwa na maana yakudanganya Dunia kama Tanzania kuna Demokrasia wakati hakuna. Huyu toka aingilie sakata la Ngorongoro nilijua hana maana kabisa. CCM wanatenda haki gani?
@alexjohn7361
3 ай бұрын
@@leokamil6284msisahau pia kuhama chama ni sehemu ya tafsiri ya democrasia na ni justification ya individual freedom katika kufurahia haki yake.
@kibwetere1418
3 ай бұрын
Juzi juzi tu alikuwa anawatuka anawaita akili ndogo jamaniii hawa wanasiasa ni kuwaogopa kama ukoma
@FredymaswiMwita-oj6gv
3 ай бұрын
makala ccm kuna haki?vp mpina na sukuri,,kama kuna haki,, mpina mbona asipate haki na ukweli?
@FredymaswiMwita-oj6gv
3 ай бұрын
why wanasiasa hamuaniki? mioyo yenu ina Siri gani na siasa? eeeeeeeewewwwwwwiiiii mchungaji peter msigwa.. Joshua nasari..david silinde...peter lijua likali...mbunge wa shinyanga mjini.. ( katambi} mmmmhhhh naona kama naota...je tuamini kama mnaruaminosha uongo unao fanana na ukweli ?
@Robust78
3 ай бұрын
Msigwa pole kwa madhila yote lkn hongera kwa kujiunga na ccm. Bila shaka umepiga hesabu ya kuangalia maslahi yako ya mbeleni. Kati ya demokrasia na fedha ukiamua kuchagua fedha pia niuchaguzi halali. Ila mwakani ccm wakikutosa kura za maoni usije ukachukia mana kule iringa mini tayari wanaccm wanaye mtu wao. Lakini usiogope zipo nafasi za viti maalumu.
@pancrasluoga4584
3 ай бұрын
Wewe ni mpumbavu...nenda kawekwe
@nestorygwanko4013
3 ай бұрын
kuna...siku mtaelewa..kuwa mpinzani katika taifa hili ni ZITTO ZUBERI KABWE
@AminaNdele
3 ай бұрын
Wanasaikolojia tumekuelewa zaidi ya aliyoyazungumza,nadhani amefanya maamuzi kwa kukurupuka,hata ukimuangalia ni kama hajiamini na maamuzi yake.
@TheresiaKwaslema
3 ай бұрын
Exactly! he was uncomfortable coz has already abused ccm party so anajua maccm wamempokea ilimradi kaja ila hawatamwamini kabsa!
@TheresiaKwaslema
3 ай бұрын
Exactly! he was uncomfortable coz has already abused ccm party so anajua maccm wamempokea ilimradi kaja ila hawatamwamini kabsa!
@juliusbura4550
3 ай бұрын
Wewe umegeuka chawa
@sylvanuskavindi2756
3 ай бұрын
Kwa Iringa Mjini Msigwa ni nguli wa siasa. Ataiathiri CHADEMA pakubwa kuelekea uchaguzi mkuu.
@twaibumikidadi7377
2 ай бұрын
Nakumbuka nilishawahi soma kitabu * The mine boy* Themes za kitabu hikoo ninkwamba mpambanaji huwa hakimbii tatizo huwa anarikabili! Sasa msigwa ww %100 ni njaaa umefikir kuwa nikitoka mapema huku 2025 ntapewa uongoz huko! na maisha yaende! Sasa na cc hawatakupa uongoz! Utajuta sanaa! 1- watu umeshapoteza iman yao kwako 2- Wadhiwa wako kama mchungaji umekuwa 000 Ila njaaa nyooooko kwakweli
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
3 ай бұрын
Tanzania tunahitaji chama kipya cha upinzani kitakachoendeshwa na viongozi wasio wabinafsi Ili kuiondoa CCM madarakani. Vyama tulivyo navyo kamwe haviwezi kuiondoa CCM. Wengi tunakimbilia kutukana wanaohamia CCM, kama hatutakubali kujichunguza na kujitafakari tuendelee kuwashutumu wanaohama kuwa ni wasaliti huo ni ujinga.
@camilomassao8971
3 ай бұрын
NJAA MBAYA SANA. LIJUA KALI HIVI YUPO WAPI. 🤣🤣🤣🤣🤣YUDA WAPO WENGI HAKI.
Msimtukane mtu kwa uhuruwake nyiemanyumbu msiokuwa nacheo chochote chadema
@clemenceparokola
3 ай бұрын
Uchungaji wake huwa siuelewi,,mchungaji huwa mkweli na asiye yumbayumba
@shabanimbega40
2 ай бұрын
CCM kama ulikihama ukirudi hawakuamini tena hivyo atafute shughuli ya kufanya akumbuke wenzie waliotupwa jalalani
@CalistusTitus-s5o
3 ай бұрын
Mpumbavu wewe mbona uliposhindwa uchaguzi, ulisema kwamba umekubali kushindwa na utaendelea kuwa mwanachama mwaminifu. Yaani hata usoni tu umeonyesha nuru yote imeondoka. Kumbe ulikuwa unataka kuuza kanda yote ya nyasa mchumia tumbo. Hatutakata tamaa ondoka wewe na mwisho wako mbaya. Je mbona ccm ulikuwa unaikosoa leo unauhalali gani wa kuhamia CCM hali ya kuwa ulikuwa mkosoaji? Mjinga mkubwa wewe
@VictorNgosi
3 ай бұрын
Hahahahahaha pole hutudanganyi nawe uwe unaitikia ndiooooo mikatapa yakutuumiza watanzania
@OswadSanga-hb2vi
3 ай бұрын
Umeanza upumbafu umechoka kisiasa kwani si umeshindwa uchaguzi unatoka
@georgempogomi7329
3 ай бұрын
Nilikuwa nafikiri wewe ni mtu kumbe msigwa ni pepo hajui analofanya tumsamehe tu
@mohamedturanardan8871
3 ай бұрын
Umekula hela, funga domo lako. Sisi watu wazima zaidi yako, shika adabu yako
@BobMollel
3 ай бұрын
Hiii nchi niyetu sote kuhama chama walasiyo tatizo tujenge nchi yetu kwaamani
@shabanimbega40
2 ай бұрын
Huyu sio mchungaji ni tapeli sawa Na chui aliyejika ngozi ya kondoo
@matinyahaule792
3 ай бұрын
Mchungaji msigwa umechelewa sanaaa kuchukua maamuzi. Ungewahi zaidi
@isacktesha6659
3 ай бұрын
CCM mchukue tahadhari kubwa na huyu mtu ,Niko paleee
@CalistusTitus-s5o
3 ай бұрын
Linaona hata aibu kweli chadema sasa kimekuwa ccm sasa wanachukua watu walioshindwa uchaguzi? Chakushangaa miaka 7 kanda ya nyasa hakuna alichokifanya. Amezoofisha chama na alikuwa pandikizi. Mi naamini sasa chadema ni chama kinachokuwa na tishio kwa ccm. Kwani kwa siasa izi alizofanya magu na CCM yake hadi leo. Ndiyo kipimo tosha cha kuchuja wanasiasa uchwaa na wachumia tumbo. Yani sura lako tu linaonyesha uongo mkubwa na uso wa haya!
@deniccgabriel6153
3 ай бұрын
😂😂kwenda CCM bola ungeamua kua raia mwema hasiye na Chama au kuachana na siasa😢 hicho Chama Cha CCM kumejaa uchafu naona jina la uchungaji uliondoe kwenye Moyo wako...
@PhilipoMwita-wc1ku
3 ай бұрын
Lissu alisema kunapesa zimemwaga kwenye uchaguzi wa chadema
@UfahamuwaKristo
3 ай бұрын
Msigwa bora ungesema unaacha siasa ila sio kwenda kwa watu uliowaponda kwa miaka yote yani hauwezi kueleweka
@gadielkahemba6514
3 ай бұрын
Unamshuru mungu labda kea unafiki.kila siku mama angalia kua wanaiba na acha waibe kwani watazikwa na vyo!!?amakweli tumbo likiuma akili Ina pumbaa.
@HulumaKisakali
2 ай бұрын
Weka maneno ya Amina chadema imekuheshimisha ipo siku utaikumbuka
@LazaroELucas
3 ай бұрын
Actually kama kweli wewe ni mchungaji jihudhuru dhambi haitakuacha salmaa na hata huko ulikoenda sio salama kwako hautakuwa na Uhuru
@BahatiLogondisha-vq7gg
3 ай бұрын
Mkapige madili mtatoa hesabu siku yamwisho
@wadeelegbogun3015
3 ай бұрын
YAANI MSIGWA NI JIZI,YAANI TUNA WASHUNGAJI FEKI, JMN MUOGOPENI MUNGU ALIE HAI.
@ulomirabiel6980
3 ай бұрын
Sasa kweli kama atakaa kwenye chama kwa maana ys kuwa kiongozi tuu basi wanachama watakuwa wachache sana. Huko ulikoenda ndiko kwenye haki kweli. Kuondoka kwa namna hiyo kumeonyesha immaturity.
@ambakisyemwanjemba5787
3 ай бұрын
hivi uenyekiti kanda ya nyasa una maslahi gani mpaka msigwa uliposhindwa uchaguzi huo uchanganyikiwe kiasi hiki
@isacklaizer6776
3 ай бұрын
Ogopa mtu mwenye ndimi mbili, Nyoka.
@georgempogomi7329
3 ай бұрын
Mashetani yote uchungaji wa kichawi na kiganga kuanzia leo natoka kanisani kwako mnafiki mkubwa
@aloycesingano1352
3 ай бұрын
Kumbe yani huyu afai kuitwa mchungaji msaliti na mwenye tamaa ya fedha umehongwa sana
@bonifacemwanga3115
2 ай бұрын
KWELI SASA NAKUBALI MPIGA ZUMARII ANAIMBA ULE WIMBO MLIPAJI ANATAKA
@FrancisRogears-w7i
23 күн бұрын
DA! Hata wew msigwa paka Ccm wana Ccm wana kushangaa
@petershokolo9894
3 ай бұрын
Huna akili nimegundua hebu kaangalie marehe lowasa alipohamie chadema kama.uliwahi kusikia popote anakosoa ccm alikokuwa amehama na aligombea urais chadema sasa wewe kuhama chadema unataka kutuamilisha ulikuwa mtumwa wa mtu akili zako mbovu sana hufai kutumia jina la mchungaji wewe
@leodgardotmar7198
3 ай бұрын
History is very harsh remember that Msigwa
@januarysungura8119
3 ай бұрын
Umeshakuwa kiongozi kwa miaka kadhaa kwanini ukishindwa usikubali? Wewe unataka madaraka kwa nguvu nenda kafanane nao wanaopora madaraka huku kwetu ni haki tu.
@NixonJohnson-zn8nk
3 ай бұрын
Haya bhana kapige makofi moto ukieasubiri
@Meshack-r9t
3 ай бұрын
Wewe ni kama mwana wavmilia ukiona baba anakosea je ni kuiyama family au n kuishauli iwe ilipo kulose ww s mchungaj mlakondooooo
@EdsonDaud-rg5jk
2 ай бұрын
We ni kenge umefata ela
@RBMBAKARI-bv6wn
3 ай бұрын
Hiyo ndio siasa ilivyo msimlaumu msigwa huo ni uamuzi tuheshimu na ndio demokrasia .pia nawashangaa wanaomlaumu mkuu wa mkoa chalamila kugeuka kimtazamo Kwa uongozi uliopita na kwenda na siasa za usasa na kwenda sambamba na mama samia
@henryndosi2002
3 ай бұрын
Msigwa akili zako zipo kisogoni huaminiki ni muongo kupitiliza
@mohamedkashindi7689
3 ай бұрын
Alaaniwe huyo njaa ndo himempeleka huko
@daudibukuku6490
3 ай бұрын
Uongozi wa kanda kukosa tu!! Mtu huyo!!! Ccm !!! Mimi siku ya kuja kutoka CHADEMA mbiooooo!!!! Kwenda kwenye maombi!!! Lkn sio huko!!!! Ama kweli umeniacha hoi!!!!!!
@AsifiweMwakabwenda
3 ай бұрын
Hatukwelewi msigwa unauchu wa madaraka
@MnyamaTolu-kd5ct
2 ай бұрын
Hakika misgwa umejdhalilisha sana sana sana
@isacktesha6659
3 ай бұрын
Umekula matapishi Yako mwenyewe broo
@Teddy-z4i
3 ай бұрын
Taperi uyuuu umeyakanyaga
@Zanzibar-e4h
3 ай бұрын
Chama cha 3 hicho ktk kuhamia ccm wakiwa hawajampa uongozi anahama kwa akili za kawaida ccm huwachukuwa viongozi wa upinzan sikama wanamapenzi nao na huwa ccm hawawamin mwisho wanapotea.
@TibaisaTalla
3 ай бұрын
Huyo ni njaa tu ila chadema na wao ni taabu tu Bora arudi chama Dume ccm
@lothanathanael2286
3 ай бұрын
TUTAAMINUJE KUWA UNAIKOSOA CHADEMA NA YA KUWA CCM INATEKELEZA YALE UNAYOKOAOA ? YAANI WANA SIASA MIMI WANANICHOSHA HASWA WA TANZANIA NI WAONGO WANAFIKI WAZANSIKI NA NJAAA KALIIIIIII.
@BahatiLogondisha-vq7gg
3 ай бұрын
Mch ngani wasio nakweli tunaka sukari mwafaka wake
@shabanimbega40
2 ай бұрын
Msigwa tafuta kazi ujue umekwisha
@angelvictor718
3 ай бұрын
Uyu mtu nashindwa hata awe kundi gan la kiumbe dunian
@mohamedkashindi7689
3 ай бұрын
Hana lolote kafeli kisiasa muumba wa haki amlaani kwa tamaa zake
@MwitaChacha-l9t
2 ай бұрын
Shida ya chadema hawataki kuwambiwa ukweli
@nihifadhimpalala639
3 ай бұрын
Mchungaji huyu n mnafiki njaa na uroho wa madaeaka
@aloycesingano1352
3 ай бұрын
Hhahahahah siasa ni laana pesa ni kubwa kweli 😂😂
@wadeelegbogun3015
3 ай бұрын
MUOGOPENI MUNGU ALIE HAI, MSIGWA SHETANI WEWE
@mtewelemtewele0260
3 ай бұрын
Mavi yako were mnafk huon Ata aibu na kisura chako kama msukule
@husseinmkanga7794
3 ай бұрын
Huyu jamaa wiki iliyopita alitukana chama na serikari yake akiwa na kwenye mikutano singida Leo anakaribishwa na Rais. Hapa sio msigwa tu hata CCM inajivunia heshima.
@AmiriKilibwa
3 ай бұрын
Kumbe Huwa ni kabaya hiv
@ZachariaBenedicto-u9x
3 ай бұрын
Amekosa kura chadema uyo mwehu tu
@jifunzekuhusuwewe7475
3 ай бұрын
kimekulamba but Usaliti ni mbaya sanaaa - Ni heri ungekaa kimya .
@isacktesha6659
3 ай бұрын
Usimtaje hata Mungu hapo kaka ,umetukosea sana wanachi
@BahatiLogondisha-vq7gg
3 ай бұрын
Urafi huo mkapige madili
@DicksonLyimo-ie7md
3 ай бұрын
Msigwa Hana tofauti na malaya
@ChristianMkumbo-ix2ke
3 ай бұрын
Hawezi kuvumiliya njaa
@JanuaryBacabura-em3sg
3 ай бұрын
Siasa ya maslahi tumbo ni hatari sana,
@kassimjumanne5399
3 ай бұрын
Umenikwaza bhn msingwa
@gabrielzakaria2810
3 ай бұрын
Kwel siasa ni upumbavu
@jeanmusamba8448
3 ай бұрын
hahahahhaha Mama Samia kiboko hahahahha she is so genius,
Пікірлер: 162