Mmeamza kugombania vyeo!!! Mmekwisha yani nyinyi ni waroho wamadaraka hatuwezi kuwapa nchi pumbavu sana nyinyi
@frankhoffa8356
4 ай бұрын
Sasa tutampa nani yaani chamagani?
@mpjozzegalvanize4926
4 ай бұрын
@@frankhoffa8356 Hashim Rungwe (Chauma)
@godlistengodlisten7552
3 ай бұрын
Wewe Msigwa Unazingua Sana.
@kassidpandu866
4 ай бұрын
Aaaa Mzee wamekuchoks Haooo Achana nao bwanaa maisha sio kwenye siasa Tuu
@TUMSIFU-em5te
4 ай бұрын
Kweli kamjamaa hakataki kwenda kulima
@frankngoloka5416
4 ай бұрын
Rudhuku hiyo inaasali ndani yake
@denismtoma1827
4 ай бұрын
Hapa hatuna kiongozi hapa bora tutafute chama kingine
@YasiniRashidi-vq6ny
4 ай бұрын
C ulikubali na ukatoa pongenz au umelamba asar
@ElvisTabula
4 ай бұрын
Ukiona mtu anakuja kwenye siasa kwa jina la Mchungaji ogopa sanaaaa
@ivanymtaki3585
4 ай бұрын
Juu ni wapi sasa chama nacho kina mamlaka ya juu hahhah
@MiriamAbdallah
4 ай бұрын
Msigwa kichwa kubwa akili sero au umeshalambishwa asali unatafuta kiki ya ukutoka🤔🤔🤔
@chemstry409
4 ай бұрын
Nyie si ndio kila siku mnasema mnataka Democrats sasa kikwapi??
@mtimti3912
4 ай бұрын
Neno la Mungu halipiti kamawe: Ufunuo 16:10 Kisha, malaika wa tano akamwaga bakuli lake juu ya makao makuu ya yule mnyama. Giza likauvamia utawala wake, watu wakauma ndimi zao kwa sababu ya maumivu
@lucaschisamalo2852
4 ай бұрын
Msigwa mbona wewe na sugu marafiki mbona mnaanza kukiuwa Chama jamani au tayali mmeshahogwa tayali naumia Sana mmepitia magumu mangapi mmevuka shetani gani anataka kuwavuluga
@Kachuba-w9p
3 ай бұрын
Dah chadema bdo sanaa kukamata dola
@musso238
3 ай бұрын
Kama mmeanza kukataana mapema hivi Mkishika nchi mtatukataa kinyama sana😂
@pendaelmollel1847
4 ай бұрын
Kuna kila dalili ya mtu kulamba asali hapa ili akichafue chama
@frankngoloka5416
4 ай бұрын
Asali ni noma sana
@fahadfaraj6474
4 ай бұрын
Wanasiasa wote iwe ccm au chadema ni watu wakuogopa sana shida iliopo wananchi wengi Hua hatuoni hawa siasa kwao ni ajira ivyo kuuza wewe mpiga kelele kwa maslahi yake ni sekunde tu
@bucardjovinary7577
4 ай бұрын
Msigwa hapo unatuxhafulia chama kwann.hutaki mengne waaminiwe uaminiwee ww tuuu syo poaa
@marymichael9964
4 ай бұрын
Sasa Kama ndo ivi tukiwapa urais itakuaje
@maulidjuma5814
4 ай бұрын
We toka unataka ufie kwenye uongozi ? Tatizo mnang'ang'ana mpaka basi
@saidabdillahi8107
4 ай бұрын
Karibuni ACT wazalenfo chama cha weledi wa siasa, ukitaka kuishi kwa raha usimseme Mama kwa Ubaya, ukimsema kwa ubaya Muungwana Samia tegemea kugongwa na kitu kizito, tuyategemee kwa Lisu hata udiwani akigombea hawezi kupata wacha ubunge au Uraisi (keep my word)yajayo yanafurahisha hasa kwa wana siasa wenye midomo michafu
@ce-08
4 ай бұрын
Mtu yoyote akikosea lazma asemwe tu
@SaidiMkome-qq7hy
4 ай бұрын
Kwaiyo 7 midogo iyo Saba umekifanyia nn chama kweli ccm baba lao
@konshazikonsha6180
4 ай бұрын
Binadamu bwana, yani mtu akidai haki yake ndio amerambishwa asali?🤔🤔😇😇😇😇
Chadema Kuna akina nkurunzinza wengi, acheni umimi waachieni wengine watawale
@evalutanjuka7290
4 ай бұрын
Ni haki yake jamani hata kama alipongeza hajamnyima haki ya kukata rufaa.ila akubali kuna shinda na kushindwa.
@DavidMutiba-hr3vo
4 ай бұрын
Kulalamikia uchaguzi na kukata rufaa ni sahihi pia.na ndiyo demokrasia.Nisichojua no kwamba hiyo rufaa ikishindwa Msigwa atakubali matokeo? Mbona wanaolalamikiwa ndiyo haohao ambao rufaa inaelekezwa kwao? : Mbowe,katibu mkuu,mrema,ns Sugu?
@TUMSIFU-em5te
4 ай бұрын
Kamjamaa kamesota sana so kanatafuta kiki ya kuingia ccm. Na huku hatukutaki kaeni uko mama anaendeleza kazi
@PhilipoMwita-wc1ku
4 ай бұрын
Huyu msigwa kunakitu anakitafuta Yeye alikiri ameshindwa Sasa anataka Nini
@ce-08
4 ай бұрын
Rudia kusikilza
@Kachuba-w9p
3 ай бұрын
Ha chadema pia mna watu kutoka juu😂😂😂😂
@ramadhanishabani807
4 ай бұрын
Mmb ya demokrasia mzee kumbe hujaiva, ukishindwa lazma ukubal kwn mmb ya kura niyakimkakati kila mtu anahonga kama umehonga kidogo lazima upigwe
@FadhilyOthman
4 ай бұрын
Msigwa ccm 2 huyo
@husseinkonz5192
4 ай бұрын
Siasa tam ukishinda ukishindwa chungu balaa
@florianhenry7198
4 ай бұрын
Sasa s ustaafu
@OmarSeafood
4 ай бұрын
Msigwa amekosa sifa ya kuwa kiongozi kumtuhumi kiongozi mkuu hadharani ni ukosefu wa maadili ya kiongozi , kwa sasa tunakuomba Kaa pembeni tupishe
@patricknyiti5303
4 ай бұрын
Mpuuzi huyu unakata rufaa barabarani??
@rashidally7621
4 ай бұрын
Hiking co chama cha maendeleo umeona hata serekali hawajaipata wanaaza kuhujumiana wao kwa wao
@magnusnkomola5950
4 ай бұрын
Matunda ya mheshimiwa Lissu. Alidai kuwa kuna rushwaaaa ,mbona chama kilijua mapema tuuuuu kuwa msigwaaaaa umehongwaaaaa,huaminikiiiii tenaaaa,. Naomba CDM mlipueniiiiii huyuuuu chawaaaaa msimwacheeeeee aendeleeee kuvurugu mipangooo yenuuuu .
@neemanziku5403
2 ай бұрын
Hivi nani alimpa uchungaji? Huyu msigwa
@audaxbizimana8084
4 ай бұрын
Chama kina dalili za dictatorship mwenyekiti miaka 5000 😅😅😅😅😅😅
@Georgemselyamwaluko
4 ай бұрын
Au huyu ndoo kapewa hela na mama abduli
@kibonajuhudi4214
4 ай бұрын
Hakuna Demokrasia ndani ya Chama cha Demokrasia😅😅😅
@meshackmwalongo9798
4 ай бұрын
Hicho unachoonge ukiwa kama kiongozi mwandamizi wamuda mrefu hakina afya nahukupaswa kuongea mbele ya midia niwazi unaonyesha hujakomaa kisiasa
@chemstry409
4 ай бұрын
Umekaa kwa muda mrefu mbona DJ yupo muda mrefu hawamtoi???😂😂😂
@thadeipeter2592
4 ай бұрын
Correct
@juliuslengai5089
4 ай бұрын
Pameanza kuchangamka.. siku zote chadema ni wehu
@alextarimo4972
4 ай бұрын
Kwan mshahara sh ngapi kuwa kiongozi wa nyasa..
@AngerusLijuja-bg6sb
4 ай бұрын
NAWEWE YAMEKUKUTA
@onesmomashembo8495
4 ай бұрын
Ccm sio watu wema wameiba kura tena
@muzneali4747
4 ай бұрын
Miaka 7 na BADO hutaki kuachia ngazi ukiona HIVYO NDIO HAWAKUTAKI tena
@nasibugunda7927
4 ай бұрын
Chadema inaeza kushinda uchaguzi mkuu ujao amini nawaambia niamini mimi
@MalkGunewe-x5d
4 ай бұрын
Mpuuz wewe nani alilia sikuheshimu Tena mtu gani ukubali? Wewe mjumbe wakamati kuu namlikaa kwann ujamalizana huko? Iringa mmebumba Nako au nao tukuletee ushahidi?
@muzneali4747
4 ай бұрын
Kwahiyo KILA mkishindwa hamkubali
@jamesukombozi5216
4 ай бұрын
Sema madaraka ni matamu 😂😂
@MohdSuleiman-fw2un
4 ай бұрын
Tamaa ya madaraka ndo tataz kubwa Tanzania siukubali kushindwa tuuuuuuuu mapambano yaendeleeeee
Njaa mbaya sana … stop embarrassing yourself … chama la ovyo sana then you want these people to lead the country … upuuzi mtupu
@charlesmazigo8106
4 ай бұрын
Watu wanafeint kwa sababu wewe umeshindwa uchaguzi
@jamesmethusela1148
4 ай бұрын
Bora tu CCM iendelee kushika Dola, hawa bado Sio chama ambacho kinastaili kupewa dola bado bado yani bado mnoo wao tu wenyewe bado hawajui hata wanakoelekea ni wapi, hawa ni wachumia tumbo tu wasituaminishe Ujinga hamna kitu hapo.
@GeophreyMsomba
4 ай бұрын
😂😂😂😂
@deniccgabriel6153
4 ай бұрын
Millard Ayo na nyie ni wanafiki sana katika nchi hiii mbona hotuba anazozitoa Mweshimiwa Tundu lisu hazitolewi ktk Page yako unapost tu mafalakano nyie waseng hamfai ktk jamii yetu😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@Mumewangu
4 ай бұрын
Mabaya ndio yatolewe njee
@JoseWilson-vb2di
4 ай бұрын
Naanza kuwa na mashaka na ww
@laninjeje8290
4 ай бұрын
Tundu lisu hajawahi kutoa hotuba zaidi ya kutukana watu kwenye majukwaa, tangu amepigwa risasi akili imeyumba hana jipya
Пікірлер: 73