Mtanga wewe mtu na nusu yaaan upo na busara sana unazeeka na busara zako baba yangu inshallah Allah azid kukupa afya njema
@hamadiayossy
2 ай бұрын
Mtanga akili nyingi,sio bambino mpumbavu, Mungu akupe umri mtanga,
@robisonikadogo7371
2 ай бұрын
Mtanga nimekukubari ,izo jinzi za mwaka 86 bado unaro
@user-ig8wc8ye3k
2 ай бұрын
Mtanga wew nihome boe wangu ila katika wachekeshaj au wanasanaa wanajitambua unaongoza...
@Kuminamoja1995
2 ай бұрын
Mzee anaekima
@SelinaMdoe-jv1pu
2 ай бұрын
Mtanga unaongea vi zuri sana sana
@jephrayner2136
2 ай бұрын
Nakubali sn mtanga ww unabusala sn achana huyo bambo anazeeka vibaya na watu hawaishi hivyo kuna kesho.
@madidolla
2 ай бұрын
Kuna watangazaj wanatusingizia mashabik "unakuta mtangazaj maswal mengine ni ya wazo lake anasema watu wanasema😢
@mashramadhani1989
2 ай бұрын
UNSMUHOJI KWA MAFUMBOMAFUMBO WEWE MUANDISHI NENDA STRAIGHT BADO HUJAJUA KUHOJI VZR
@user-ni6qv2zn2q
2 ай бұрын
Jiulizeni kwann kabla Bambo hajaenda kwa harmonie stori za kutapeliwa hazikuepo???? Tumieni akili hizo nikiku tu!!!
@frankmwinuka6298
2 ай бұрын
Mtanga anakaa wap jamani
@shukranikayange2275
2 ай бұрын
Kaofisi
@mtazycomedy
2 ай бұрын
Bora amkupata msinge hojiwa shukurun kwa kila jambo kama mpangaji ni mungu akuna wakimlaumu
@AhmadiNajidar
2 ай бұрын
Mtaanga sema amepoa
@betrackjasson6698
2 ай бұрын
Mungu akutunze kaka
@danrappergangamaa1190
2 ай бұрын
Mtangazaji hajatupa Exclusively kbsa hajauliza maswali straight Kiufupi ni muoga.....
@jcrackcrack1669
2 ай бұрын
Aliona mwataka leta show ya comedy sio uimbaji
@Wamoyothenumberone
2 ай бұрын
Mwandishi uliza maswali baas yalionyooka
@mtazycomedy
2 ай бұрын
Comasava na disconnect yaan zombie anashindana na zombie
@PeterBaton
2 ай бұрын
Hila Jmn Nilimuona Mtanga live dah Mbona kachoka Sana 🤣🤣
@Hassan-ot1mc
2 ай бұрын
Umri
@michaelmpangala636
2 ай бұрын
Hakuna mtangazajii hapa, bwege kabisa hata me ningeenda kumuhoji mtanga nisinge muhoji ujingaa kama huoo sijui ni muogaa duuh!! Bwege tyuuu
@mtazycomedy
2 ай бұрын
Kweli harmonies kama nyumba ambayo mondi kaama yeye ndo kahamia bambo mbaka hili lipite ndo kamuita alikua amuonag
@user-fq6xx4ww4c
2 ай бұрын
Mondo atapata lana kuvishusha jukwaan vikongwe
@BilaliBilaliamri
2 ай бұрын
Mtangazaji vp mbona unakua mtu wa mjungu ndomana mtanga amekutukana kwamba unakua tahira kwasababu unazunguka zunguka uliza kilichokupeleka chapu
@awadhrajabu1403
2 ай бұрын
Mwana Habari Ayupo Apa Sasa Unaacha Kuuliza Maswali Ya Msingi Umebaki Kuuliza Mchicha Na Tembele Akuna Mwana Habari Apa Ulitakiwa Uhulize Maswali Kuhusu Yeye Na Bambo Iyo Safari Yao Ilikua Vipi Mpaka Bambo Analalamika Umebaki Kwa Ali Kiba Jux Nandi Wewe Mwana Habari Gani Unauliza Maswali Mpaka Mtanga Anasema Mtihani Yani Unauliza Kitu Ambacho Hata Yeye Ajui Akujibu Kipi
@danrappergangamaa1190
2 ай бұрын
Mtangazaji bado anajifunza inaonekana
@Hassan-ot1mc
2 ай бұрын
Shida unataka aulize unavyotaka wew
@channyanjen9047
2 ай бұрын
Mbona halikua ajamwita kwa sababu alimtukana diamond njoakamwita
@user-kb8ee9py8n
2 ай бұрын
Mbona unauliza vitu Kama hujiamini mzee fanya uwiano wa storr
Пікірлер: 33