Kaka makonda Fanya kazi kwamisimamo ya kimungu pia Mungu akulinde kikamilifu akupe afya isiyokua na kikomo ili naviongozi wegine waendele kujifunza kwako amina
@shanimbaruku2071
16 күн бұрын
Aamin
@asilahassan9965
Күн бұрын
Ammina ya rabbill allamin
@YubaBoyTz
10 сағат бұрын
Yuba boytz
@StelaJohn-nj5yf
19 күн бұрын
Mungu yu upande wako Mh. Makonda.. Asante kwa kumpenda Mungu na ndipo Mungu akakupenda sana wewe. Be blessed hon.
@YubaBoyTz
10 сағат бұрын
Yuba boytz
@mohamedelmi7435
20 күн бұрын
I'm not tanzania but please naombeni number ya huyu mtoto nitamu hudumiya mbaka amalize university I'm in Dar es Salaam. Kama mtu yote anamjuwa huyo bibi pls. Thank you.
@mejamiela7436
20 күн бұрын
Alhamdullah
@rukiangilla3113
20 күн бұрын
Allah akufanyie wepesi naakujalie....Hata me roho imeniuma Sana😢
@wisemaliva5376
20 күн бұрын
Ngugu ukifika kwa makonda utampata mungu akujalie
@jacksonjamesndyabawe471
20 күн бұрын
Mungu Akupe maisha marefu kwa rosho nzuri
@vickhongole6611
19 күн бұрын
Asante
@heriethsixbert475
18 күн бұрын
Nmelia😢 hasira ya Mungu ishuke kwa kila anayewatendea watoto mabaya AMEN
Tunasafir jahaz moja hata mm Nimelia sana ..na niliyapitia kwa bint yangu japo muhuska hakufanikiwa illa ishahid tuu amehukumiwa miaka 30 jail😢😢😢 nashukuru sikuzungushwa kwa chchte
@user-vg7gh6df9w
21 күн бұрын
Mungu akubariki mheshimiwa na akuongezee miaka mingi uzidi kuifanya kazi ya bwana. Tunahitaji sana mtu wa caliba yako
@atuswegemposi1668
17 күн бұрын
Mungu akubariki Neeema ya Mungu iwe juu Yako
@tresorkinyeshe6965
17 күн бұрын
Muheshimiwa MAKONDA kweli mimi ni mkongomani DRC ila nakukubali sana na zidi kukuombeya duwa kwamungu azidi kukuzidishiya myaka nakupenda na nakukubali sana muheshimiwa
@frankokenyamtumewaneema9179
12 күн бұрын
Makonda anatosha,anafuata nyayo za aliye kua kipenzi cha Tanzania magufuli🤗
@jacksonjamesndyabawe471
20 күн бұрын
Huyo ndio kiongozi sasa.. Sio lele mama.. Keep it up brother
@esterjoseph6075
10 күн бұрын
Umeoneeehh makonda oyeeeeee
@TwahaMaziku
20 күн бұрын
Hii nchi kama hauna pesa hakunaga haki na watu kama makonda hua hawatakiwi maana anapingana na wengi mungu amputee ulinzi utokao kwake naming huyu atuletee viongoz kama makonda
@DavalsonMarlony
16 күн бұрын
uwo ndyo ukwel mapai wanapenda rushwa Sana haki ni kwa mwenyenz mungu tuu
@user-xt7ue1jo9x
20 күн бұрын
Nadhani ingekua vyema kuuficha uso wa mtoto Kwa kumfocus Kwa sababu yupo chini ya umri wa 18 tulinde haki za watoto
@mwasoprince3459
16 күн бұрын
Ni sahihi huyu camera man hana ethics, lazima ufiche sura ya mhanga hasa mtoto,
@amanihenry7981
16 күн бұрын
Hawajafanya vizuri kuonyesha sura ya mtoto ndo kumuharibia maisha
@nancyg8664
16 күн бұрын
😢 ata mimi niliwaza hvohvo, mitandao inatunza hii itamla mtoto akikua mkubwa
@esterlucassolah8823
16 күн бұрын
Exactly
@user-ns4oj9cw1j
16 күн бұрын
Anyongwe akikamatwa
@Ramakhanmalone-lz3qw
14 күн бұрын
nakupenda sana makonda kwa kuwangalia matatizo ya wananchi,mungu akupe maisha marefu.
@habibuhabibu9728
20 күн бұрын
Makonda endelea kua namoyo huo mungu akujalie akukinge nakila baya 🙏🏿🙏🏿
@MannesamEmmah
16 күн бұрын
Daaah!!!! Mungu amsaidie mtoto huyu aweze kutimiza malengo yake
@annamtapila5761
19 күн бұрын
😢😢😢 Haki ya watu iko wapi. Eee mwenyezi Mungu saidia watu wako wanyonge. Ahsante kiongozi kwa kuweka maisha na haki za watu mbele. Enyi polisi saidieni watu kwa haki huko vituoni. Mahakimu nanyi tendeni haki.
@hassanalshaqsi6707
20 күн бұрын
Your the best example they should all follow your strategy to help the nation Allah will reward you Hon.Makonda
Wakipewa uraisi wanabadirikaga sana sannnnnnaaa utoamin nakuambia 😂😂😂😂 .....
@melinawilson1383
10 күн бұрын
Anaeweza kuja kuwa Rais mzuri siku za usoni huko mbeleni
@deodartngaiza6664
19 күн бұрын
Hongera na kazi Mkuu, nakupongeza sana kwa namna unavyohidumia wananchi wenzetu. Asante sana Mh Makonda.
@neymantz
15 күн бұрын
Nimeumia kiukwel mungu aendeleee kukuhifadh mtu wa watu makonda🎉🎉🎉🎉 neyman tz🎉🎉🎉🎉🎉
@mwajumasakina9599
19 күн бұрын
Yaani watanzania muna neema kubwa ya viongozi itunzebi tafadhali Congo tunalia hata hatuna mtu wakutusikiza jamani, Mwenyezi Mungu akutunze kiongozi makonda
@allykagawa
19 күн бұрын
Poleni sana ndugu zetu
@PrincessNechi
17 күн бұрын
Mungu atawapa kiongozi sahihi, machozi yenu sio bure Mungu anayaona.
@user-tt7cu2et1x
16 күн бұрын
Amen
@user-tt7cu2et1x
16 күн бұрын
Aiseee hi dunia yahn wanawake tuko wengi...😢😢single unaenda kubaka bint mdgo hivoo akiijj😢😢😢😢.aiseee nmeumiaa saana
@user-tt7cu2et1x
16 күн бұрын
Dah nmeumiaa saana 😢😢😢😢akii
@MariamJames-b5x
19 күн бұрын
Mungu akubariki sana Mheshimiwa Makonda namungu akutie nguvu zaidi naulinzi, wasio kuwa napesa wanaonewa sana
@reginamushi
11 күн бұрын
Asante Rais Samia Suluhu Hasan kwa kutuchagulia kiongozi makini na mchapa kazi hakika huyu kijana anakuwakilisha vizuri sana! Laiti kwenye safu yako ya viongozi unaowateua ungekuwa nao kama Paul Makonda angalau wa 5 tuu❤
@ramsojimmykelly3379
16 күн бұрын
mahakimu wote kukumamee zenuuu....
@lilyshayo761
18 күн бұрын
Jamani kuna maumivu nimelia Kama mzazi kuna maumivu jamani mungu mtunze MAKONDA na Kama
@ShamimHassan-qm1et
16 күн бұрын
Duh ila mttan kila mtu ana lake ni vile tu hawakupat wa kuwasikiliza mungu akubariki kiongoz kwa kuamua kuwasikiliza wananchi😢
@philipinamboya2204
18 күн бұрын
Mungu mlinde muheshimiwa makonda
@SixbertDamo
19 күн бұрын
Mh makoda mungu akubariki sana mimi nipo mkoa wa mara lkn unafanya kazi ngumu sana wasaidie wanaoteseka nakuombea siku zote kwenye maisha yako,
@EdithaNnko-fm6ph
14 күн бұрын
Wakati Paschal Cassian anaimba Makonda ni kijana Jasiri sikimuelewa ila Sasa hv ndo naelewa. Mungu azidi kukutunza mheshimiwa
@kyaro5945
20 күн бұрын
I lo❤ve you Makonda
@mpokimwakisimba692
13 күн бұрын
Nimeanza kumkubali sana Makonda. Mungu ampe ulinzi
@HelmanDaud
19 күн бұрын
Dah mweshimiwa mungu akulinde
@agnessangawe3844
19 күн бұрын
MH MAKONDA MUNGU AKUBARIKI. MASIKIO YAKO YAMESIKILIZA UCHUNGU MWINGI.
@Mwaguntobi-ip1yi
14 күн бұрын
Pesa adui wa haki, Mungu jibu maombi yangu siku moja makonda awe Rais wa Tanzania
@maniriyoali8675
20 күн бұрын
Mungu akubariki Kiongozi Mzuri kbs Mungu akuongoze kuenderea na kuwa Mu kweli Musema ukweli Mupenzi WA Mungu 😢
@henrymatebe
20 күн бұрын
Heee hivi unaelewa mada iliyopo hapo lakini?
@yasirfaisal9723
20 күн бұрын
Kiwongozi gani huyo asiyo yatafakari statements za huyo maama huyo maama anataka kusaidiwa kumuleleya watoto ove which siyovibaya lakina asitake usaidizi Kwa kuwumiza mwengine
@lucynkonya8709
15 күн бұрын
Kulaga uhangame Makonda kwa kazi nzuri na utume ulioitiwa na Mungu.
@MeshackBintu
2 сағат бұрын
Watanzania mumepewa waongozi wazuri sana lakini sisi apa Congo basi mwenyezi Mungu ndo anatulinda
@RuckieDady-gk3ph
17 күн бұрын
Muheshimiwa makonda ni mtu nanusu matunda ya baba ametuachia alama ❤
@MahdouMomba
15 күн бұрын
Magufuli ametuachia alama sahihi kwa watanzania wote
@judicalosika7642
12 күн бұрын
Uongozi ni mzigo
@judicalosika7642
12 күн бұрын
@@MahdouMombaprofile, profile, profile ✔️
@MerryUrio
18 күн бұрын
Mungu akulinde tuu maana wt awapend watu wenye msimamo ya kimungu mungu akulinde
@SamwellubigisaLubigisa
17 күн бұрын
Masikini! Mama anaeleza kwa masikitiko makubwa sana. MUNGU amsaidie sana
@RaulesiajosephJoseph
3 күн бұрын
Mweshimiwa makonda tunakupenda sana kwa mazur yako, lakin usisahau kama chema hakidum❤❤❤❤❤
@GetrudesharifuMsuya
14 күн бұрын
Dunia imeisha jaman tulinde watoto si wakike wala wakiume😢😢😢😢😢
@marryjames-wl7be
13 күн бұрын
Makonda yuko sahihi kwa nn mahakama haijafatilia ushahidi wa doctor alipima hadi kusema amebakwa mpaka akaandika dawa kwa nn mahakama imepuuza hivi vipimo na kusema huyu mama akawa anamtaka huyo mbakaji mweeee😢😢
@KatabaroCleophace
19 күн бұрын
Makonda uwe Rais Sijawah kuona kiongozi kama wewe Tofauti na magufuli
@KitalambaMwinyimvuwa
15 күн бұрын
yaan utadhan mh Makonda Yuko nchi nyengine, hivi viongozi wengine mbona hata hawashughuliki na matatizo ya wananchi yanayowavunja migongo Yao!
@TheSalma1999
14 күн бұрын
Umeona eh hata hawajali kabisa
@teresiatemu4459
13 күн бұрын
Mungu akubariki Sana Mheahimiwa Makonda, nakukubali Sana, Tena sana
@muhammadmpahi338
19 күн бұрын
Hawa mahakimu wa hovyo ndio wanaosababisha wananchi wanachukua sheria mkononi
Respect kwa Makonda na tu nakuamini kwa kazi nzuri pia tunakuomba kiongozi uzidi kuangalia kwa jicho la pili huu unyanyasaji wa kijinsia
@janekapinga5377
4 күн бұрын
M/Mungu akutunze baba ili uendelee kuwasaidia wanyonge.Viongozi wote wangekuwa km.wewe hakuna ambaye angeonewa.Shukrani ziende kwa mama Samia kwa kukurudisha madarakani.Amina
@user-yc1ef1mp3s
18 күн бұрын
Daah hatari Sana bila kujikaza yanatoka machoz ila yote MUNGU yupo na anayaona..
@valerianakwilin7546
3 сағат бұрын
Hongera kwa kusikiliza kero za wananchi
@rosemaryogallo4183
13 күн бұрын
Makonda l love you very much Mungu akubariki
@MalimaDaudMunguibarikiSi-tl3ww
15 күн бұрын
Mungu akutie nguvu mkuu chapa kazi saidia wanyonge
@EmmanuelMurula
16 күн бұрын
Mimi huwa naona ipo siku huyu makonda atakuja kuwa Rais wa Tanzania, hifazini hii comment mtaniambia hiyo siku ikifika
@anthonymgina3893
19 күн бұрын
Makonda ni kiongozi sana na huruma tele mimi ninamwomba Mungu akulinde sana na akuepushe na shari yoyote, na iwe hivyo. Amina
@goodluckjohnuiso-gt1fg
20 күн бұрын
Si vizuri kumuanika huyo mtoto hadharani hivyo ni kzidi kumdhalilisha yangetengezwa mazingira rafiki kushughulikia hilo tatizo
@dickymediapro4179
19 күн бұрын
Ni kweli ila watu wamechokaa mno mana haki hazitendeki,wanajiamulia angalau wapate haki zao kwa namna yoyote wawezavyo
@paulinahussen9129
15 күн бұрын
Mungu baba wa yatima, mume wa wajane simama na watu wako ee Bwana
@nurdinahmed9063
15 күн бұрын
Yani wallahi wabillahi Mungu akupe maisha marefu makonda maana una roho ya uncle magufuli hakika wewe ni kiongozi bora
@JacksonEstomi
15 күн бұрын
Makonda chukua nchii ww raisi wa hii nchii unamaamuzi ya kifalme mkuu kuraaa yangu bilaa mjadala
@zulfajuma6894
16 күн бұрын
Mungu ampe maisha marefu
@GreciousMolleli
14 күн бұрын
Hili jambo limeniumaaa sanaaah JAMANI mtoto Mdogo JAMANI Kwanini jamaniii😭😭😭😭😭
@roseriwa6951
16 күн бұрын
Inauma sana , pole sana mtoto wetu..Pls muwe mnaficha uso wa mtoto ili kulinda utu wake..naweka kivuli kwa sura yake pls...najua tunadhamira ya kusaidia ila tusaidie katika njia inayolinda utu wake.
@user-pe9cl1bc7h
15 күн бұрын
Watu kama hao ni wanyama inafaa wauliwe....msenge kweli unabaka watoto wadogo
@magrethelias8734
15 күн бұрын
Daaaaaah huyu mama kaniliza it so Painfully, Mungu saidia haki itendeke
@TynerGodfrey
17 күн бұрын
Mungu akulinde makonda
@SarahK-l5k
6 сағат бұрын
Mungu ndo mtetez wanyonge, awe ufunguo wa njia ya haki
@user-sj1rf8ij7f
15 күн бұрын
Hii dunia tunapita mliopewa dhamana, Muwe na huruma hata kidogo wa Tanzania wa hari ya chini wanayeseka sana
@edinakyaruzi9226
15 күн бұрын
Kweli kubaka unakula pesa kubaka kweli tena katoto vipi maumivu ya mtoto uyo jamani haki ni muhimu
@husseinbachwa8372
21 күн бұрын
Mungu mwenyezi akubariki mh Makonda hakika Kazi hii unayofanya inataka moyo saana....
@user-nf1tg3kt3y
20 күн бұрын
Mkuu wa kituo Cha polisi Tengeru ndio tatizo kwa sababu hata RB amesema alipewa feki baadae kaenda kapewa original na mahakama pia imemnyima haki huyo mtoto
@FrankPhilimon-e3n
11 күн бұрын
Mwenyezi Mungu akutie nguvu mh. Makonda
@Yusuf-fo3gl
14 күн бұрын
That guy kwisha
@TheSalma1999
14 күн бұрын
Jamani natamani kumuadapt jamani kama hajasaidiwa namuomba
@elizabethmsaho7191
14 күн бұрын
machozi ya jasiri ni matumaini kwa wanyonge na wasio kuwa na uwezo wewe nijemedali imala
@mohammedmakarani2802
10 күн бұрын
Nice one R c makonda mungu atakuongoza
@danieljosephodada3195
8 күн бұрын
Mh Makonda Mungu akupe nafasi ya juu katika nchi hii
@samsonsanga4368
18 күн бұрын
Mkuu, Mungu akubariki San,,, ndo maana hata mm hutumia hyo lugha kwamba km kweli Mungu yupo. Umekuwa ukitatua matatizo ya wengi. Ninachoweza kusema nardia Imani yangu nikm yko,,, Yan km kweli Mungu yupo basi akupe maisha marefu San, ten San, maana huishi maisha ya kinafki unauishi ukweli mtupu, hakika una kitu ndani yko.
@elizabethmunishi4928
6 күн бұрын
Kesi zinapindishwa mwishoni sio sahihi jamani . Mungu akumbukwe kuna moto..
@YefthaKornelio
19 күн бұрын
Hadi nimejikuta nalia mimi mwenyewe kwauchungu
@user-on5zr6vq3i
Күн бұрын
Daaaah pesa mwanaharamu kwkwel😢😢haki za wanyonge na maskini zinadhulumiwa na wenye navyo hii n mbaya sana
@chifuwasalimatz2971
7 күн бұрын
Dah😢 inauma mno Ukichanga na maumivu walioipata Simba siku hiyo ya 5/11😢😢😢
@KefaHamisi-k7x
9 күн бұрын
😢😢 ila jamani kwa watoto mnatafuta nini
@anointedhandmaiden5261
18 күн бұрын
I hurt deeply for the little one. May justice prevail in Jesus Name
@ellah-t9z
5 күн бұрын
pole saluma mungu yupo pamoja nawe
@RachelKinasha
6 күн бұрын
Mungu akutie nguvu kak yangu makond
@eddytheophil7626
5 күн бұрын
Pole sana mtoto.. Huyo mshenzi akamatwe upesi..
@mwajabually6738
5 күн бұрын
Mungu akulinde ww na kizazi chako mzee wetu maana Tanzania yetu ni nchi ngumu mno😢😢😢😢
@paulinekamau9633
14 күн бұрын
Wa Tanzania make kama wakenya‼️ chomeni huyo mbakaji ‼️
@jasirimjasirimedia7940
18 күн бұрын
My leader makonda Mungu akusimamie
@philomenastephen3364
19 күн бұрын
MHESHIMIWA MAKONDA UNABII ULIOPEWA ZAMANI UTARIMIA. MAANA NAONA UTAKUWA KIONGOZI MKUBWA WA TAIFA KAMA ALIVYONENA MTUMISHI. SIJUI KAMA UNAKUMBUKA UNABII HUO. MUNGU AKUTUNZE KWA KUTETEA WANYONGE.
@mohdpogba842
14 күн бұрын
Haya maisha sisi masikin tunapitia meng😢
@RehemaKassim-nm9zc
17 күн бұрын
Nakupenda Kwa uchapakaz mzuri kaka, Mungu akufanyie wepes na akuongoze ktk utendaji wa kaz yako
@SumasSam
5 күн бұрын
Mungu hebu tusaidie jamani hasa,sisi wanyonge napia mpiganie makonda maana,nchi yetu mtu kama makonda,huwa hahitajiwi kabisa uwiii😢
@ScolaMwansasu
16 күн бұрын
Mungu akulinde akutunze najua mama anakuuamini ndio maan uko hapo baba utunzwe nabMungu
@frankmaeda4284
10 күн бұрын
Makonda adhihirisha wazi demokrasia haitendeki ila domokrasia
@mohammedmussa7378
4 күн бұрын
Kulia sio suluhisho kama watoto wanaendelea kufanyiwa vitendo viovu kisha hao wanaowafanyia wako huru huu ni uovu mkubwa sana kuwacha hai watu kama hawa wanatakiwa wafe wabakaji walawiti wote wanyengwe ndio suluhisho , nyie viongozi mtamjibu nini mwenyezi mungu eti mlishindwa kuwalinda wanyonge na ilihali wanafanyiwa vitendo viovu 😢
@MiliyaMhehe
16 күн бұрын
Ubarikiwe sana
@SamweliBoma
12 күн бұрын
Mungu akubariki sana mueshimiwa maana unafanya kaz kubwa sana asee.....
@z-1il
9 күн бұрын
Ni kweli kabisa mungu yupo na atamsaidia
@elinemakundi5011
6 күн бұрын
Makonda hoyeeeee ❤
@VailethKivuyo
11 күн бұрын
Muheshimiwa Mungu azidi kukubariki 🙏🏻
@RooneyKonga-qd4oo
8 күн бұрын
Mheshimiwa makonda tunakushukuru sanasana watu wanateseka sana wanyonge hivi watu wanaofanya vitendo hivyo hawamwogopi Mungu kweli akatendewe watoto wake atafurahi kweli
Пікірлер: 604