👏👏 Nakupongeza Mh. DC What a Leader is, Encourager, relationship builder, problem solver and leadership involves loving and listening , attendance and accountability. Jamani Mh Muro amekuwa akitatua migogoro katika ofisi yake Arumeru , sijawahi kuona umati usiopungua toka amekuwa DC -Arumeru mpaka sasa, anatatua migogoro ya kutosha kila siku..kweli ni kiongozi wa kuigwa kwa uwajibikaji wa hali ya juu. Hiyo ya family ya Msuya cha mtoto, ila hajawahi kuchoka, anafanya kwa upendo wakati wote. Mungu akubariki sana Mh, una moyo wa pekee sana.
@mamani6411
4 жыл бұрын
Mama Ni Mama Hongera Mtoto wa Erasto👏Wewe Ni Shujaa
@rmags8654
4 жыл бұрын
Huyo mtoto anavyomtetea mama yake it’s so touching!!
@faidhamyovela179
7 ай бұрын
Mashangaz tunashid upande wa kaka akiwa na hel
@protasshaban3714
5 жыл бұрын
Sijawahi kuona mama kama huyu. Mkuu wawilaya plz tetea hawa watoto na mungu akubariki
@biggiebonge4231
5 жыл бұрын
Barikiwa sana umenena kweli!!
@azizarashid3413
5 жыл бұрын
Wez hawa ,nimewachukia
@klaragreen7999
5 жыл бұрын
BIBI ANAONGEA KAMA CHIRIKU..NA M.400 WALISHA KULA.
@jumakapilima5674
5 жыл бұрын
Kaka wake wengine siyo, wanakumaliza ili wachukue Mali,,,,,sasa mzazi anakuwa na uchungu anabaini hilo
@veronicamartine6813
5 жыл бұрын
Protas shaban
@elizabeth3d565
4 жыл бұрын
Mtoto yuko sahihi uwezi nipenda mimi ukamchukia mamayangu we mama muogope mungu una upoteza mji wakona kizazi chako kwatamaa zako
@Do-it-yourself_at_home
5 ай бұрын
Sasa kama mama kaua kwahyo na mtoto hajaua kwahyo tumpende tuu mama kwasababu tunampenda mwanae?
@paschalm9849
5 жыл бұрын
Kama unaipenda awamu ya Magufuli gonga like👇🏾❤️
@bebibeshikanyemka9842
5 жыл бұрын
Ww ndio tunaekutaka
@issakwisamwakisambwe4080
5 жыл бұрын
Safi sio kila kitu Mahakamani mengine kijamii yanaisha
@ashazaharan1750
5 жыл бұрын
Nilikuwa natimaza tuu leo. Nimeumia saanaa. Kijana kuongea hivo. Yaani nae walimuweka ndani. Ili wachukue vizuri mali.subuhanallah.
@elizabethlukoo4662
5 жыл бұрын
Asha Zaharan Hawa ndugu ni shida Yani km waliombea ndugu yao afe 🙌
@ashazaharan1750
5 жыл бұрын
Elizabeth Lukoo. kweli kabisa mungu awape subira hawa watoto
@casttraining1575
5 жыл бұрын
Asha dunia ni pana mno na hisia hudanganya kifo cha billionear kilikuwa cha utata mno wamachame wanajulikana kwa tabia za kuungana na watoto kuuwa waume zao kwa ajili ya Mali. Na hata merciana Mengi aliwahi kufanya jaribio la kumuua marehem regnald mengi kwa sumu mdada wa kazi ndio alimuokoa. .wenye uchungu na damu yao ndio huumia. ..lakini sheria haiwatambui. ..
@nuurinkluge7584
5 жыл бұрын
😥😥 so sad. Hizi zataka nini?? Mali wapatiwe watoto..hizo ndugu wakishapata jama
@ashazaharan1750
5 жыл бұрын
Nuurin Kluge .mwenyezi mungu ndie hakim kati yao na hawa watoto
@devotajafary6025
4 жыл бұрын
Mama yke huyo billionea anataka Mali za mwanae nahis hana uchungu na kifo cha mwanae bali ana uchungu na mali za mwanae😢😢😢😢😢😢😢
@agnesskiaka950
5 жыл бұрын
Asante sana kaka yangu Jerry muro Mungu akubariki sana
@mteulenyotamchana2623
5 жыл бұрын
I love you man of wisdom may God our Father bless you your family and your friends. And that family be touched by the holy spirit to know how to forgive each other. That son I pray God to get space in his heart hes blessed of the Lord and he need God intervention.
@lucygodlove8838
5 жыл бұрын
Safiii Murro.. família nyingi sana huwadhurumu wajane na watoto.
@barakaakyoo1905
4 жыл бұрын
Safi muhishiwa wetu umezungumza maneno yenye busara sana
@liyanakarzan182
4 жыл бұрын
😘😘😘😘nimeipenda sana serikali yangu kutenda haki ya kuonewa kwa wajane kisa mali
@evamlay8997
5 жыл бұрын
Mungu atawachoma nyiee mnaotesa watoto wa marehem ila mtambue malipo nihapa duniani
@maryumamapunda1989
5 жыл бұрын
Kabisa watafute zao dunia hii
@ismailyazidi2141
5 жыл бұрын
Eva Mlay nakwambia haya mazazi mengine hapana aisee
@husnauthman7609
5 жыл бұрын
Aliezitafute kaziacha loooh
@klaragreen7999
5 жыл бұрын
NGOJA JPM AINGILIE KATI. WAONE KM WATAAMBULIA..FAMILIA ACHENI NJAA
@lindatogether
5 жыл бұрын
Mambo ya ajabu sana
@noonelike6382
5 жыл бұрын
Dah!. Hao watoto wana tia sana huruma. Mheshimiwa muro pambania haki ya hao watoto.
@nsiamassawe3075
5 жыл бұрын
Mungu baba tunaomba uwape watoto wako Wa pande zote amani na utulivu. Tunafaham hii ni hila ya shetani ameamua kuitesa familia hii. Tunaoshuhudia hali hii tunatubu Kwa ajili yao Bwana. Ninawaweka wote mikononi mwako Yehova. Ukiwashika wewe Yesu uchungu na mauaji kwao yatakoma. Babu, bibi, wajukuu, mashangazi, wajomba na mama yao. Bwana Yesu gusa na kuwaumbia kitu kipya miyoyoni mwao. Asante Yesu Kwa kumpa Mkuu Wa Wilaya kibali cha kuzungumza nao. Tumeona ulivyojifunua na hekima ikatawala. Mungu wetu tunakushukuru Kwa sababu ya huruma na rehema zako. Amen.
@NeemaGauso
6 ай бұрын
Ameen
@scarionrevelian
5 жыл бұрын
Jerry Mungu akubariki mama mzazi was Elasto jitagakari
@aishamawalla1839
5 жыл бұрын
Asanteee Mkuu wetu hata kwa maombi hayo mungu uyapokee
@magejuliani5293
5 жыл бұрын
Nyie ndugu acheni hizo wapewe Mali zao hata wakitapanya zao, kwani baba yao alipokuwepo mlikuwa mnampangia? Acheni Mali ni za watoto haziwahusu
@brendakimaro3747
5 жыл бұрын
Mkuu wa wilaya...Murro Mungu azidi kukulinda...nakukubaligi sana ktk kusimamia haki.
@azizahmkindi393
5 жыл бұрын
Watoto wamerehem wanadhalilika kwel mungu anawaona wanao fanya dhulam mali za marehem haki itendek watoto wapewe haki yao
@mako331
5 жыл бұрын
Mimi namuonea huyu mtoto huruma ila kuna hawa watoto kuwa brain washed hapa na wajomba zao hapa kuchukia upande wa Baba, kumbuka hawa wazazi wamepoteza watoto wawili kwa vifo vya uchungu sana, Kijana kauwawa tena msichana kauwawa kinyama tusiparamie tu kuwalaumu hawa wazazi tena huyo Mama huyu kijana anayemsema ndio mshukiwa mkuu wa mauaji ya msichana, umakini unahitajika hapa, safi DC kwa kumaliza na maombi
@hussainomar1849
5 жыл бұрын
Laiti ingekuwa Ni sheria ya kiislamu Hilo nadhani lingekuwa limekwisha yaani Mana kitabu Cha mola kimeshagawa mirathi kikamilifu anajulikaana kila mmoja apate ngapi
@bjzee1981
5 жыл бұрын
Ingekua taifa la Ki islam
@aboudmsonde886
5 жыл бұрын
@@bjzee1981 Mali c ya taifa
@eugenyurassa2183
5 жыл бұрын
Dini haiwezi kuiondo haki ya wazazi na familia yangu kwa ujumla,siku zote Amani yakweli ipo kwa Mungu wetu.
@nuranzubail8134
5 жыл бұрын
@@eugenyurassa2183 hata dini haikuwaacha wazazi wana fungu lao
@bjzee1981
5 жыл бұрын
@@aboudmsonde886 . Ndiyo lakini ikishafika mahaamani itafuatwa sheria ya serikali tu labda famila wenyewe wawe wa elewa wamalizie mambo yao nyumbani
@leahmedard1849
7 ай бұрын
Jerry uko vizuri kwakweli❤
@samwelkobe6455
5 жыл бұрын
Luv u my mom!! Mtoto wa erasto anauchungu sana na mamake...hao wengine tumieni busara hao watoto wamepoteza baba yao na pia mama yao you magereza na bado mnawapa changamoto kama hizo badala ya kuwaonea huruma jaman....
@SHEIKHMWAIPOPOTV
2 жыл бұрын
Watoto wanahaki kumtetea mama yao rakini mama yao ameuwa wifi yake huyo kijana muongo huyo ndio fitna Sana
@mwanyongamama4407
7 ай бұрын
Mungu Awatangulie Awalinde ktk Jina la Yesu Kristo Aliyehai awape utulivu
@johnkyara2016
5 жыл бұрын
Pesa hizi mungu alisema ni vigumu Tajiri kuona ufalume wa mbingu
@nuruemma7258
4 жыл бұрын
Mali ni haki ya mke na watoto tu. Babu na bibi waache tamaa.
@nazirnoor4160
5 жыл бұрын
Hongereni. Mali si mali. Mali ni........ Tajirika kwa wastani tu, sio ndugu, wazazi, watoto wala mke, wote wanaweza kua wabaya juu ya mali zako.
@thobiaskayange9302
5 жыл бұрын
Jerry moro kwa mala ya Kwanzaa kutokana na uzito wa jambo nmeona hekima zako za viwango namwaomba Mwenyezi Mungu akusimamiee napiaa ni fundisho kwetu turio baki duniani mali sio chochote tuombe mwisho mwemaaa
@vince_vinson.2083
5 жыл бұрын
Kweli hii ya kwa ya kwanza Jerry Muro ameonesha busara.
@marthamollelloth7673
5 жыл бұрын
Kila penye gumu Mungu hukumbukwa. Asante Mungu kwa huruma zako
@erickkimario6180
5 жыл бұрын
Hyu mtto mpaka amenitoa machozi anavyomtetea mamake
@janethmadulu2746
5 жыл бұрын
Mama ni mama..na mtoto hawezi kukuelewa kama humpendi mama yake
@nuurinkluge7584
5 жыл бұрын
Ohoo i feel pain..hawa watoto wanaonewa ,,but wako wakubwa wawapatie mali zao , ndugu haziwahusi jamani niwatoto tu..namama yao sijui hata huyo Mama yao atatoka lini jela?? Pia watoto niwakubwa wanauwezo wakuzimili mali wenyewe sababu washakuwa naumli mkubwa wao sio watoto tena.hata wakizitumia mali vibaya nizao.
@superwomanmwenyeheri.1367
5 жыл бұрын
Lakini kwanini mama take alihusika ktk mauaji? Hats wazaz was Erasto wana uchungu sana na watoto wao 2 waliouwawa!.....khaaa!
@minjashose2159
5 жыл бұрын
Erick Kimario hakuna kama mama jaman
@agreykayombo2782
5 жыл бұрын
KWA wazazi WAKAE kimya WAKATI wamepoteza watoto wawili??? Na huyo mama amekiri kuhusika kwenye muuaji ya wifi yake HALAFU mpumbavu mmoja anasema ujinga KUWA sipendwi eti mama YUKO mahakamani waondoe kesi.Jaribu kuchukua NAFASI ya hao wazazi uone kipindi wanachopitia.SHERIA IFUATE MKONDO WAKE .NA WEWE KELVIN JIONDOE HAPO KUEPUSHA MANENO.UNAPONG'ANG'ANIA INAONYESHA UNA MASLAHI BINAFSI HAPO.
@amaninaupendo.3539
5 жыл бұрын
Amen Amen. Mwenye Mali ayupo sasa. Ninyi tumieni hekima tu mana akuna ajuae kesho yake. Na akuna alie jiweza chini ya jua. Asante. Mungu awasaidie. Amen.
@streetboy6987
5 жыл бұрын
Naikumbuka ile nyimbo ya TUTATOANA ROHO YALABI
@stevelayda8555
5 жыл бұрын
Heri wapatanishi maana ufalme wa mbinguni ni wao. Ubarikiwe sana mhe DC Jerry Murro.
@magrethsanga942
5 жыл бұрын
We mama soma kutoka 22 Mungu atawaua wote wanao watesa yatima
@janembangile5196
5 жыл бұрын
Wezi wakubwa hawa
@janembangile5196
5 жыл бұрын
Kuibia yatima na wajane ni dhambi jamani awa vipi?
@brunonsungwe8389
5 жыл бұрын
Mweshimiwa Muro uko vizuri sikutegemea kama ungeyatendo yote hayo. Mungu akufikishe mbali kwa kujali wajane
@Grandpamotivator
5 жыл бұрын
Na zile hela za marehemu walizojigaia million 200 kila mtu wazirudishe. wanga kabisa
@evaomarymasinde262
5 жыл бұрын
Wamechukuwa million 400.
@klaragreen7999
5 жыл бұрын
Yaan waombe tu JPM asitamke kitu watazitapika bila kupenda
@thomasraiton7760
5 жыл бұрын
Hahaha wameonja utamu halafu warudishe? Hapo walitaka waendeleze kumega
@aminamasawe3221
5 жыл бұрын
Asante Muro kwa point yako muhimu sana ndugu tamaa zimewajaa hao
@khalekichambo2143
5 жыл бұрын
200 ni haki yao wameachiwa kimaandishi 40% ya pesa benki wapewe wazazi. Wazazi ndio wakawagawia wadogo wa marehemu 20%, 73 million kila mdogo wa kike
@hopennko5242
5 жыл бұрын
Acheni kabisa mnatafuta laana kwa Mungu.Ni wazi kabisa kwamba tunaishi katika ulimwengu usio na upendo.
@emmanuelmwananzila776
5 жыл бұрын
Siku zote mtoto amwachi mama
@gloryguren6887
5 жыл бұрын
Kabisaa
@gloryguren6887
5 жыл бұрын
Daima mtoto huwa kwa mama ake, hakuna kama mama
@Bintimrembo-y1v
3 жыл бұрын
Ila hilo limama limekiri kumuua wifi yake na pia mume wake
@stelladomani4429
5 жыл бұрын
Hadi nimesisimka hawa ndugu jamani muogopeni Mungu,,,waacheni watoto Mungu anawaona.puu
@ramadhanihassani256
5 жыл бұрын
Haya maisha bhanaa ukiwa tajirii shidaa ukiwa masikini utadharaulika mpaka nandugu sasa daaa weachaa mambo ya ndugu
@eriqemarson2362
5 жыл бұрын
Noma sana
@georgeakasha764
5 жыл бұрын
Ramadhani Hassani Pamoja na yote kila mtu anapenda utajiri.
@upendomndeme9478
5 жыл бұрын
Dah mali hizi, Mungu awatetee hao watoto. Hongera Dc kwa kulisimamia hilo
@willylazarusmwaigwisya4306
5 жыл бұрын
Hao wazazi wa erasto msiwalaumu tuu waoneeni huruma wameumizwa kupoteza watoto wawili kwa style moja alafu mtuhumiwa ni mtu wa karibu Ni watu wa kuwasamehe
@jameslaiser6276
5 жыл бұрын
Watu wanachukulia kiurahisi sana tu mambo haya hawajui kuwa Wazazi wana uchungu na Watoto wao 2 waliouawa…!!
@mariamkikula1614
5 жыл бұрын
Brother Willy kweli kabisa
@janethmadulu2746
5 жыл бұрын
Wanachokifanya wasipoangalia kitawafananisha na hao wauaji
@paschaziantiru1658
5 жыл бұрын
Eventhough kwamba ameuliwa watoto still watoto ndio wanatakiwa warithi kila kitu cha baba yao yn kwenye sheria haisemi ivyo kwamba familia ya mume ndio iamue nan arithi wakati mke halali yupo na watoto pia wapo wao wapambane na maisha yao cha msingi hizo mil 400 watafte Nini cha kufanya kiwaingizie kipato
@consesamallya9763
5 жыл бұрын
Sasa kama mke na watoto wapo wanagawa nini.Mtoeni kwanza huyu mama gerezani jamani Mungu awaone
@frankmapesa4386
5 жыл бұрын
Mh. Na serikali kwa ujumla kazi nzuri mmefanya pongezi.. Lakini hakikisheni ulizi wa hawa watt masaa 24 . Kwa maana muharibifu lazima awe tu humo humo kwenye familia.. Na yupo kazini masaa 24
@furahakonde6259
5 жыл бұрын
Magufuli nakupenda Sana unakarimu wako mungu akunguliye akupe uzee uzuri akulinde magonjwa na maadui wako washindwe kwa jina la yesu
@hatibuathuman1178
5 жыл бұрын
Mkeee yupo wototo wapo Leo eti ndugu acheni tamaaa wenyewe si wapo jaman
@elizabethlukoo4662
5 жыл бұрын
Apo sasa Yani ndugu ni shida
@fatmaabdallah8743
5 жыл бұрын
Huyo mama mtu mzima hana hata haya anataka kuwadhulumu wajukuu zake. Wana tamaa ya mali inawezekana walihusika kumuua mtoto wao Erasto kusudi wapate kurithi mali. Hawana haya! Hovyoooo
@husnauthman7609
5 жыл бұрын
Wanaume kuwen makn has hao ndugu zako ndio wataitesa familia yako
@hamisimterela45
5 жыл бұрын
@@husnauthman7609 wazazi pia wanahaki naujue pia mke anatakiwa apewe thumni yake aondoke maana mali niya watoto
@husnauthman7609
5 жыл бұрын
@@hamisimterela45 yap cjakataa mzaz pia ana haki ila co ukoo mzma
@nachatvonline2996
5 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA MH. JERRY MURO, WEWE NI KIONGOZI MWONGOZA NJIA ARUMERU NA TANZANIA IMEKUONA
@evamlay8997
5 жыл бұрын
Muro nakuaminia tete haki yahao watoto
@emanuelmoshama3899
5 жыл бұрын
Hahahaha jerry muro mbona kama una leta malavi davi, hahhahha
@johnkyara2016
5 жыл бұрын
Wachagga na wapare huko sio sehemu ya kuoa
@chileshebwilya8967
5 жыл бұрын
Hongera sana Mheshimiwa Muro.. Wewe ni kiongozi mwenye busara..
@bernardmcabbeys9627
5 жыл бұрын
Bibi anaumia huyu mama yao alimuua mtto wk jamani mtto anauma sna mtu asikwambia tuacheni ushabiki
@agnestemba8079
5 жыл бұрын
Kweli kabisa watu hawajui hata stori imeanzia wapi wanashabikia tu, mi wasingepata hata mia wangepambana na mama yao jela
@reinaldagerodi1525
5 жыл бұрын
Usiyoyajua ni bora kunyamaza ,mtoto anauma ,mm anaumizwa na wanae aliowapoteza
@paschaziantiru1658
5 жыл бұрын
@@agnestemba8079 kumbeee eeh omba yasikutokee yakikutokea utaona uyo mama na mwanae hawana kosa hatukatai inauma lkn kumbuka siku zote tajiri anamaadui ila watanzania tushazoea mwanaume akifa ameuliwa na mwanamke so muacheni mtoto arithi Vitu vyake
@savinosalamba9174
7 ай бұрын
Mungu ingilia kati amen
@WivianRich
5 жыл бұрын
Zile asilimia 40 si wameshapewa tayari mama million 200, baba million 200, na wadogo wa marehehemu million 75 kila mmoja kasaini na mgodi wanao. Sasa wanataka nn tena.?? Jamanii
@fatmaabdallah8743
5 жыл бұрын
Milioni 200 hazimtoshi huyo mama anaonekana ana tamaa sana ndio hawa kina mama wanaotembea na watoto wadogo kwa tamaa zao
@fatmaabdallah8743
5 жыл бұрын
Kama ni binadamu mwenye imani na kumjua mungu kwa misiba aliyopata ya watoto wake asingekuwa hata na hamu ya kutaka mali
@klaragreen7999
5 жыл бұрын
Wanavuta bangi hao
@victorjames3730
5 жыл бұрын
Sisi binadamu hatuna jema 200milioni na mgodi wamepewa bado nyie ndugi mnataka nini??
@nuurinkluge7584
5 жыл бұрын
That is true..sijui warataka nini..from germany hier twaona twashangaa🤔😥
@الوردالورد-ز4غ
5 жыл бұрын
Mungu mbariki Magufuli kama sio yeye watoto wangedhulumiwa
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
5 жыл бұрын
MWISHO KABISA UMEGONGA NDIPO JERU MUHURO 🙏🙏🙏🇰🇪🇨🇿
@rabimunisi2861
5 жыл бұрын
Jéri wewe ni mwamba
@mullerrbn4852
5 жыл бұрын
Duuu Mungu aingilie kati kwa kweli inaumiza sana nikiwa kama baba. Roho inaniuma sana kwa ajili ya watoto hawa
@alphaleahibrahim8904
5 жыл бұрын
familia ya mwanaume ni wanafiki sana
@jenifamuia2286
5 жыл бұрын
Jerry wewe ulichanguliwa mungu kwa hio kiti.tunakuitaji kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@benbenedict2720
5 жыл бұрын
Funzo kubwa kwa wazazi, mnapopambana kupata mali mna tabia za kuwapa kipaumbele watoto wa kiume. Watoto wa kike mnawaweka daraja la chini. Wainueni watoto wenu wote kwa usawa kwani hamjui nani atakuja kusimama nanyi wakati wa uzee. Kweli ni mali za watoto wa bilionea lakini inaonekana wazi baba wa bilionea ndio alimfungulia mwanae pekee wa kiume milango ya utajiri huku watoto wa kike waki sacrifice kaka apande juu. Pia inauma sana pale mtu unapoteseka na mwanao kuchuma mali from scratch, ukamkabidhi ukiamini nguvu zake kama kijana, halafu unaona mwanao anauawa kwa risasi baada ya kujiongeza, halafu binti yako anachinjwa, na wanaoshutumiwa kumuua binti yako ndio wanasimamia mali. nadhani mambo yalikwenda sawa hadi pale mke wa bilionea aliposhukiwa kumuua wifi yake.
@chulelubella2819
8 ай бұрын
Kumbuka ni tuhuma sio ukweli
@jeniphermassawe3037
5 жыл бұрын
Hawa watoto wanahitaji ulizi wa m/mungu hao ndugu cyo
@klaragreen7999
5 жыл бұрын
Kabisa hasa huyo rich aliye kuwa analia..halooo rich also cry
@tukuswigaikasu5227
5 жыл бұрын
Mungu akubariki Jerry Muro umelimaliza jambo hili kwa haki
@top20africamusics31
5 жыл бұрын
kutoka kuwa msemaji wa Yanga, hadi mkuu wa Wilaya maisha yanaenda race sana 🙌
@jacquelinechalamila2256
5 жыл бұрын
TOP20 AFRICA MUSICS 😂😂😂😂😂😂
@thobiasmushangaki4735
5 жыл бұрын
Asante kwa mh mkuu Wa wilaya kuumaliza mgogoro huu
@saidasimba9979
5 жыл бұрын
Wazee hawa warafi mali haziwahusu pambaneni na hali zenu
@janethpallangyo2633
5 жыл бұрын
Muro Mungu akubariki sana endelea kutetea haki za wanyonge
@sadickrajabu1191
5 жыл бұрын
Sasa si muwaachie watoto Mali zao
@klaragreen7999
5 жыл бұрын
Aibu sn. Dada alia alianza kupat mali kabla ya kaka. Ss why unalilia hizi..
@yohanastephen
5 жыл бұрын
sadick rajabu mali ni za watoto na mama kwani bado wapo
@yohanastephen
5 жыл бұрын
mali ni za watoto na mama yao sio ndugu
@jicholafursa7058
5 жыл бұрын
.
@mkobainnocent2368
5 жыл бұрын
Yaaaani wabongo kupenda mteremkoo, watoto wapo mke wa marehemu yupo,sasa nyinyi ndugu wa pembeni vip si watafute vya kwao? Na kwahali hiyo usikute hata huyo mama kachomekewaa kuuwaaa
@magrethkimaro5140
5 жыл бұрын
Ubarikiwe mkuu wa wilaya.
@christinasolomon8156
5 жыл бұрын
Nyinyi MATAJIRI hilo ni funzo kwenu andikeni WOSIA mapema msisubri mpaka mfe.
@rahabumwakajoka6721
5 жыл бұрын
Hiyo familia ilipewa chao mama wa msuya milioni 200 na baba wa msuya milioni 250na wadogo zake msuwa wote walipa eti kila mmoja milioni 70 na zilizobaki akapewa mke na watoto zake Lakini bado wanafamilia ya msuya wanataka na zile pia, inasemekana visa haviishi kwa mke na watoto wa marwehemu ni shda tupu.
@damianmakala2913
5 жыл бұрын
Hilo nalo neno
@MrTmanU
5 жыл бұрын
Mke ni halali wasimuelewe alileta maafa kwenye familia ya msuya so nae kisheria anastahili kunyongwa
@raphaelungani9024
5 жыл бұрын
Sio kwa matajiri tu
@kazkaz1943
5 жыл бұрын
Hata maskin tuandike pia vikombe arithi nan na makochi nan huku usweken watu wanauana kisa magodoro
@ellysilwani9287
5 жыл бұрын
Pole mdogo wangu,tunajifunza kupitia kwako,tupo yaliyotukuta...Mungu ni mwema utapita tu..
@kellyfrank5448
5 жыл бұрын
Elly Silwani Kaka Jerry Mungu akuinue sana watete hao watoto wamenyanyasika sana
@johnsamweli6180
5 жыл бұрын
Hamakweli dunia mapito wote dungu mnatolea mach vitu dha mtu katafuta na mke wake leo mnatowa macho yaone nacho 😲😲😲 kama mnapenda ctafute vya kwenu
@jacklineerasto6920
5 жыл бұрын
John laiti ungejua historia vizuri ya hii huu okoo wala usingecomment kitu usichokijua ungenyamaza kimya...
@johnsonayo
5 жыл бұрын
sijui sana hili swala,ila nafurahia sana kauli ya Mh wa wilaya yangu
@esabelfadhili8432
5 жыл бұрын
Yani mali za watoto mnataka ma-m-bwaaa nyieeeee!Shame on you....Acheni uroho
" Rich also crying in front of poor" THE STORY BOOK
@dottoanipher8488
4 жыл бұрын
Nimekuchkia wew.mamAaaa
@husseinshabani9522
5 жыл бұрын
Dunia tunapita Atuishi milele.na Tutaacha kila kitu kilichopa Duniani.Tumtangulize Mungu mbele kwa kila Jambo.Tufanye Ibada na tutowe Sadaka kujenga kesho yetu Mbele za Mungu.Allah Atufanyie wepesi sote na tuwe na Mwisho mwema InshaAllah.
@hopennko5242
5 жыл бұрын
Inakuwaje mtu unagombania mali ambazo hujazichokea, Mtu aliangaika akiwa hai ili watoto wake waishi kwa amani alafu leo wazazi, ndugu mnawanyanyasa watoto walio tafutiwa na baba yao, kwanini baba zenu na nyie wasingekuwa matajiri.Hakika inauma yaani laiti kama marehemu angeweza kufanya kitu asinge wasamehe kabisa Mnang'ang'ania kupewa mali isiyo yako igawanywe,mtu akitaka kukupa kitu si anakupa tu kwani lazima
@adammj6258
5 жыл бұрын
Watu wana roho mbaya!!! Mama yupo watoto wapo lakini Mirath inagombewa, Alhamdulillah kawa kukosa. Mali
@Mamatonny2065
5 жыл бұрын
Mheshimiwa Jerry Muro ngoma nzito hiyo huiwezi. Usipoangalia na wewe watakumaliza! kwani Sheria ya mirathi inasemaje kuhusu hiyo kesi yao?. Jambo hilo msilichukulie kienyeji .
@ommietrendz7175
5 жыл бұрын
Catherine Mogensen pande zote mbili zimekubari kufuta kesi ili wamalize kwa Muro Shughuli kwisha ila tu ajiangalie kweli
@mixxxhio9234
5 жыл бұрын
Nduguuu niwanafki sana haiwezekannn sasa hiviii mtyu kafaa wanajifanya wanapenda watoto neverr
@christophermsekena616
5 жыл бұрын
Watoto wameshakua wapewe mali zao, wazee wazima mnakuwa wezi hiyo laana itawatafuna
@dicksonmoshi7480
5 жыл бұрын
Katika hili Mheshimiwa jerry Muro umetenda mema sana hakika Mungu akawe baraka kwako
@소송소송
5 жыл бұрын
Greedy grand parents.
@casttraining1575
5 жыл бұрын
No am on contrary what if by any chance had involved in killing bilionaire erasto for the fotune..hope the parents have something bitter which cannot be understood by law and emotional feeling..there is something hidden there. . .
@estermahenge-ks3dr
7 ай бұрын
wa mama wote tuwaombee watoto wetu hao ndio wana weza kusimama na sisi kwa hali zote🙏
@evamlay8997
5 жыл бұрын
Bibi waachie wajukuu zako plz bibi
@juliethmwombeki6156
5 жыл бұрын
Mali za watoto Bibi,babu mfie mbaliiii. kwendraaaaaa
@edmundnkarangu134
5 жыл бұрын
hongera xana Jerry Muro na mungu akubariki
@bensonhamis3303
5 жыл бұрын
Haya Ni Mambo ya ndani ya familia ya watu si sawa kuyasuisha kwenye media sio sawa kabisa kuaddress haya Mambo na camera. It's unfair and illogical
@marcobulili4341
5 жыл бұрын
Ila siyo vzur
@tinyaanosiatha1118
5 жыл бұрын
Wewe mama unachowafanyia hao wajukuu zako mungu yupo.
@najmarajabu4127
5 жыл бұрын
Hata mama yang mkubwa alifiwa na mumewe wakataka kuleta upuuz sema upande wa mwanamke walikuwa wakali
@lainocentre7426
5 жыл бұрын
Mimi ninachomwomba dc afuatilie kesi ya huyo mama kuna tatizo hapo!
@najmarajabu4127
5 жыл бұрын
@@lainocentre7426 kweli kabisa nawanaweza kusema yameisha kumbe wanavinyongo vyao moyon
@Baba-JJ
5 жыл бұрын
Naona siku hizi kuna staili mpya, ya wateuliwa kuwa waongoza maombi which is good anyway! Ila kitabu cha NENO la MUNGU kinasema, "KILA ALITAJAE JINA LA BWANA NA AUACHE UOVU". Amina
@angelntandu661
5 жыл бұрын
Huenda hata huyo mama hahusiki mungu awasaidie bila hivyo kisasi kitamaliza watu kisa hela
@madinakheri487
5 жыл бұрын
Kumbe hata mama yao alisingiziwa kisa Mali jaman huyu mama ana roho ngumu sana, mheshiwa angalien upya kesi ya huyo mke wa marehem jamna nimeumia sana Mali na watoto ni mitihan ndugu zangu tumuogope mungu
@agnestemba8079
5 жыл бұрын
Umuue mtoto wangu niache kukufuta kwenye ukoo ha ha nawafuta vizuri.
@charlesgwambegu9188
5 жыл бұрын
Una uhakika au ndo kilopolopo
@agnestemba8079
5 жыл бұрын
Jela anafanya nn kama hajaua ha ha ha wamemuweka kuangalia mazingira
@biggiebonge4231
5 жыл бұрын
Unaporopoka kua muangalifu sana. Una uhakika? Unaweza semea hili/tolea ushahidi hili? Chunga kinywa kwenye mitandao!!
@agnestemba8079
5 жыл бұрын
Sichungi kwa7bu yuko jela anafanya nn anapunga upepo ha ha mtu akiri mwenyewe wewe uje umtetee ha ha ha
@janeyphersuma112
5 жыл бұрын
Agnes Temba wewe mpuzi sana unazan kila anae kwenda jela kweli kakosa ivi ujui kuna vya kusingiziwa mpumbavu wewe mshenz kabisa
@julianajoseph2213
5 жыл бұрын
Du hongera saana Mkuu Wa wilaya
@khalifanassor5349
5 жыл бұрын
Huwezi kuondoa kesi mahakamani kwasababu wewe sio mwanasheria. Mahakama ndo chombo cha mwisho, hao wazee ma mafia
@radhiyaoman2543
5 жыл бұрын
Yaan mpk nahisi wamemuua ndugu yao,,maana ckwakutaka mali huko,,,na wanataka wagaiwe mpk vikombe,,bibi ,babu shangazi, muogopeni mungu,mlishagaiwa million 200 inatosha na watoto wasome duuh mnatakaje tena
@klaragreen7999
5 жыл бұрын
THE RICH ALSO CRY..SHEM ON YOU NONSENSE
@aisatahaisatah2612
5 жыл бұрын
Mungu akubariki muheshimiwa kwakutetea hao watoto
@klkkklkk1369
5 жыл бұрын
hawa wazazi wana uchungu familia ya mke wa marehemu wameua watoto wAo wawili hilo shida
Пікірлер: 924