Akhiy.umeharibu ddawa yako kwakujiingiza kwenye ddawa za mipashoo una felii
@MikidadiShaban
24 күн бұрын
Yaan ww bachu allah akuongongoze
@abdurkarimujuma6433
2 жыл бұрын
Kutukana masheikh wa suna kama kasimu mafuta birashaka Allah atakuona
@mohamedsheikh6618
2 жыл бұрын
Aibuu mawaidha ya dini kueleza mipasho na kuombeana dua mbaya, huko ndo kutangaza uislam, tuna tofauti gani baina yetu na mashia wanaotetea madhihebu yao kuwa ndo uislam, binafsi sisi tusiokua na elimu hatuoni fakhri kwa malumbano yenu mme poteza dira mnaacha kufata misingi ya dini mnakimbilia kujinasibu kwa ubora nani zaidi aibu gani hii
@kassimabdallah7297
2 жыл бұрын
Wewe ungekuwa na kheri nyingi Ungekaa darasani ukasoma na kusomesha huku ulikoingia sikoo.hiyo sio ddawa ya mbora wa viumbe
@mohamedsheikh6618
2 жыл бұрын
@@kassimabdallah7297 sikuelewi ndugu yangu mbona mchango wako wa mawazo hauko fasaha wewe unayaonaje hayo nisawa wanavyo fanya?
@kassimabdallah7297
2 жыл бұрын
Unajua Allah amekupe elimu maashallah na nimesikiliza baadhi ya darsa zako nikazielewa sana jinsi unavyo kataza maaswi lakini nikazisikiliza nyingine nikakuta na wewe unaingia mule mule nikichukia sana japo sijakudharau.nikakupa udhuru labda ujana huoo huenda ukikua utaacha
@kassimabdallah7297
2 жыл бұрын
Yana kuna mambo unayakataza yakuwasema watu kabla ya kuwafuata.alafu na wewe unayafanya tena ukawaita wanafiqi.mimi nasaha zangu kwako badilika waachie wenyewe walumbane wanao lumbana wee bainisha haqii kataza maasi achana na kuwataja watu majina.mana ibilisi ni mshenzi sanaa
@mohamedsheikh6618
2 жыл бұрын
@@kassimabdallah7297 ahh endelea kufahamu unavyofahamu mimi simo humo, sikuwezi, sina la kukuelekeza ni juu yako kuamini unaloona ni sawa kwako, hakuna atakaebeba dhambi za mwenzake kila mmoja atakua na lwake,
@ahmedjuma2674
2 жыл бұрын
Hivi unaakili au matamanio ndio yamekutawala
@zaharahassan7873
2 жыл бұрын
We tubia we. Kwakuwafurahidha kina barahiyani ndio uite MSIKIT kijisikiti.. سبحانالله!
@mohdabdallah2629
2 жыл бұрын
Anakataa dua ya pamoja halafu anawambia waumini waitikie dua
@hamzakimaro3764
2 жыл бұрын
HUYU MISIKINI MUHAMMAD NASSOR BACHU HAJIELEWI!!
@shkjumaa8339
2 жыл бұрын
kosa lipi sheikh..
@user-yj5on8cz3e
4 ай бұрын
Shekhe,upo sahihi ni kweli hawa majadida kina mafuta na genge lake wamemdhulumu xana shekhe barahyani allah amuhifadhi,shekhe kapambania sunna sana tz wakati huo wanaompiga vita kina mafuta na wenzie walikuwa wapiga madufu na wengine wamezaliwa juzi tuu,maskini hawajui mchango wa sunna hapa tz ni barahyani amesaidia sana kupambana na watu wa bidaa amepigwa xana mawe yule shekhe Allah, atamlipa siku ya kiama kwawale walomdhulumu hakika allah awapendi madhalimu, wengi hawajui katika hii comment zao humu ni majadida na watu wa bidaa ndo wanaotukana.
@swaffaa12020
Жыл бұрын
Ametoka Kwa Salafi ameingia Kwa masufi kibaya Zaidi Ni Shekh mzima anatoa laana Na Dua Kwa pamoja ndani ya msikiti Na kulazimisha kuitika Ameen si Dhani kama mtume s.a.w aliwahi fanya hili kumuombea maovu muislamu mwenzako.
@abdulahmahamed3790
2 жыл бұрын
Makosa ni ya hao watu waliyokaa hapo kumsikiliza huyu ambae anatafuta balaa hapa duniani
@yusuphsammysammy7424
2 ай бұрын
Huyu jamaa Allah amuongoze
@hassanmussa4734
2 жыл бұрын
Kijana mche Allaah kiukwel hata wew ni miongoni mwa wanaomsema vbaya shekhe rabii kwaiy unataka Allaah aondoshe nguvu zako wew za kiume au vp? اتق الله
@mussaissa6796
2 жыл бұрын
Masufi ndio Waliokukosoa kuwa kiarabu hujui Na wakaweka maneno ambayo umeyatamka vibaya sana kiswarfa Na wakaonyesha kuwa elimu ya lugha katika milango ya sarufi uko mtupu kabisaa Kama masufi wamekosea mbona huwakanushi na kutuonyesha kuwa umepatia na hukukosea Kisha upnyeshe huko kupatia kwao Ewe ghabiyyun
@mohammedlakhan5258
2 жыл бұрын
Allah akuongozee ndo dua gan hyo na umesoma dini ww Mtumee kafanyiwa mangap hajawah hata cku moja kukubal adhabu iwashukiee makafir sembusee ww unaombea dua waislam wenzako !!!!! Jitafakari akhy
@jabalutv3359
2 жыл бұрын
Jazzakallahu khayran sheikh wangu
@suleimanissa5301
2 жыл бұрын
uislam unaenda pabaya sijui tunaacha kizaz cha aina gani kiyama hicho
@swalehjamal4867
Жыл бұрын
Uko vzuri bachu lkn achana na kujibizana na watu wa bid3ah.. sio kua hawajui…wanajua haki ila wanaangalia matumbo yao…fabya daawa yako kwajili ya Mungu na sio vzuri kumuombea mwenzio dua mbaya …Allah atuongoze sote
@user-uf6qf9lx4y
Жыл бұрын
Unaposema watu wa bidaa unakusudia nini?
@swalehjamal4867
Жыл бұрын
@@user-uf6qf9lx4y nakusudia binadamu yeyote anaezusha mambo katika dini ima kumsingizia Allah au kumsingizia mtume? Umeelewa au bachu atoe vdeo ndio muelewe?
Shekh mm nakubaliana nawewe kuwa sio sahihi kuwasema vibaya bila heshima wale wote wasiofanya yasawa katika Sunnah ya Mtume SAW. Allah akulipe heri inshallah
@anyeresa928
11 ай бұрын
Ustadh wangu wenyewe hao ndo pia wamwita majina mabaya... kwani huwaoni au huwasikii... sema wote waache kudharauliana.
@abdallasaid9348
2 жыл бұрын
Wewe Muhammad Bachu ni Mwanafunzi wa MSABAHA Unapita mule mule...
@abuahmad1206
2 жыл бұрын
Wew jahil mwengne
@abdulkareemseif1892
2 жыл бұрын
Hawana tofauti
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar
14 күн бұрын
Wewe kijana nikikuzingatia nakuzingatia Kama vile uliwahi kuumwa uchizi maqnq unaropoka tu hujielewi Sasa Nini unacho kiongea eti kwasababu sheikh rabii Allah amrehemu alikuchapeni mahizibi mnamchukia kwanini nyinyi mahizibi barahiyani mpo kwaajili ya kufurahishana fuateni mahaji sahihi na unatakiwa ukitaka kufata manhaji sahihi ya salafy lazima usaidiane na masalafy Kama masalafy wanao tambulika kuwa Ni masalafy Sio mahizibi wakianswari
@nasirdinmohammed8741
2 жыл бұрын
@Muhammad bachu unajuwa manhaj lakini wew kweli vp utamrad mubtadiii afy utaje kazur yake kwel hjsoma manen ya wana vyuon afu shekh rabiii kwel umfananishe na mdai riba et na yeye atajiwe mazur yake Wallah huko ni kuwafanyia hiyana waislam
@abdulkareemseif1892
2 жыл бұрын
Huyu Ni mpuuzi wa kiwango Cha lami
@mwinyimohamed9746
2 жыл бұрын
Sasa na wewe pia ni shekhe duuh hii elimu haina wenyewe
@farhathassan7178
2 жыл бұрын
mbona mipasho mingi kama mwanamke
@mpondamedia2416
2 жыл бұрын
ShoGa huyu
@mohamedhaji2200
2 жыл бұрын
@@mpondamedia2416 Shoga babaako
@kassimabdallah7297
2 жыл бұрын
Mana unayokataza ndio unayo yafanyaa sasa nashindwa kukuelewa
@daudymussa4620
Жыл бұрын
Anayo yakataza ndio anayo yyafanya
@osmaniidrisa6290
Жыл бұрын
Hapa umeteleza Allah akusameheme
@abuuutheymiintv7875
2 жыл бұрын
Maa shaa Allah. Allah akulipe kila la kheri .
@user-yt5ws7fv8v
Жыл бұрын
Wewe Muhammad Bachu una akili lakini barahiyan ni salafi
@user-jd3ey7fv6h
11 ай бұрын
Wapambane kwanza na mwanafunzi wako albani Kisha ndio waje kwako aalim ambae hakuna kama ww porojo jingi
@seifshamuun1542
2 жыл бұрын
We kibabu huna hekma, mbn mchechezi badala ya kuwaelekeza watu unawaombea maangamizi
@rahmaabdillahi2795
2 жыл бұрын
Subhaanallah
@khalfanshahabakar7439
2 жыл бұрын
Kijana una jazba kasome tena
@OmarAli-lm9sf
2 жыл бұрын
أطال الله بقائك على منهج أهل السنة وحسن الخاتمة عند الموت
@nadrahassan5241
2 жыл бұрын
Masha Allah
@dihemwamwenemilao2055
Жыл бұрын
Ufahamu mdogo tu huyu shekhe...
@OmarOmar-wx9zg
2 жыл бұрын
Bayana chungu kwelikweli duh! Hahahahahahaha.
@mpondamedia2416
2 жыл бұрын
Hana cha bayana huyu mtafuta sifa
@AbuFawzaanAlly
2 жыл бұрын
Barahiyani huyu dhwaalimu arudishe milioni 200 za watu
@abdulkareemseif1892
2 жыл бұрын
Kaiba wapi
@AbuFawzaanAlly
2 жыл бұрын
Kapewa kwaajili ya ujezi wa msikiti hajazifikisha
@nasriramadhani3980
2 жыл бұрын
Ww mvuta bangetuu
@fadhilimussa5067
2 жыл бұрын
Kweli Muhammad. Nacho leo umejikanyaga .Kuna siku niliikuskiaa unamsema vibyaa shekh rabiii..kwamba ana kisuu cha kukata watu .akijiskiaa kumtoaa mtu kweny sunnah anakata .na kumtoa .tena leo unasema hivo mbona unajikanyaga shekh ???
@halidijuma1884
2 жыл бұрын
Kila mtu mwenye akili timam,, hawezi kuwa wahabi,,kwa staili hiii,, ya Vijembe
@medimisi6930
2 жыл бұрын
Wahabi ni mtu wa SUNNA Kama hutaki SUNNA tutaonana kaburi MUNGU akuongoze ww na mm
@captainmajid6049
2 жыл бұрын
سبحان الله تضع صورة الشيخ عبدالله لأ جل الطعن
@amisiiddy6959
2 жыл бұрын
Hii ndio maneno ya wahenga kumba ukijichamba saaana mwisho utatoka na kinyesi ndio nyingi kujifanya mwajua saana mwisho mwajikama wenyewe kwa wenyewe sisi masudi tumetuliiiia na mimaulidi yetu na ndio kwaaanza yanazidi kushamiri
@abrahamansaidi8631
2 жыл бұрын
Na maulidi yenu kweli sio ktk dini
@aminaali9715
2 жыл бұрын
ww ni mjinga nenda ukasome kweli nakunasihi
@abuahmad1206
2 жыл бұрын
Asome choni ww unsoma wapi jahil
@abdulkareemseif1892
2 жыл бұрын
Akasome kweli
@banihashim5347
2 жыл бұрын
Tatizo lako upo Tofauti Sana na Almarhum baba yako Allah Amraham, Baba yako Alipata umaarufu kwasababu ya Dawah, ila wewe Unataka umaarufu kupitia kusema watu tuuuu na kiki
@medimisi6930
2 жыл бұрын
Ametoa ushahid kwaiyo ww uko tayar wanachuoni wasemwe vbaya au na ww ni ktk wanaowasema wanachuoni vibaya mm binafsi kwa hili naunga mkono mfa Muhammad bin Abdulwahab anasemwa vinaya sana na watu wa bidaa Hadi wanaofuata SUNNA wanaitwa mawahabi au ww hujui
@banihashim5347
2 жыл бұрын
@@medimisi6930 laa abdan sipo tayari wana wachuoni wasemwe, ila mgogoro upo hapa, nani mwana wachuoni sasa hapo?
Tanga watu wake.tunapenda sn dini kuliko. Mikoa.yote Tanzania Alhamdulillaah watu watanga allha atujalie ikhilaswii. Ila shkheee Mohammad nacho. Hizo Radi zakisalaf Ziacheni shikamaneni kutetea Sunna nasiyo kutetea Taasisi zenu
@afrahamohamedi6301
Жыл бұрын
Jamani mpokeeni Hazrat Mirza Ghulam Ahmad (a.s),Mwanzilishi mtukufu wa Jumuiya ya waislamu wa Ahmadiyya.huyu ndiye Imamu Mahdi na Hakimu Kwa zama hizi ,mtu anayekufa bila kujiunga na Imamu huyu amekufa kifo Cha kijinga .
@farajirashid8859
2 жыл бұрын
Hapo ndipo ulipo fikia uislam wetu
@Heiswatching.
2 жыл бұрын
We babu, kisa umepata nafasi ya kupewa meza na spika.. unafanya vurugu kweli kweli.. babu..
@mansurabubakar3906
Жыл бұрын
Mhjamani diniyetu uhuu
@abdallasaid9348
2 жыл бұрын
Heee!! Muandamane..
@matanohassan9667
2 жыл бұрын
Masufi ni waovu kwa imani yako na wanachuoni wengi wanawakubali wacha mdomo mchafu mdomo wako hauna twahara katika kulinganisha waislamu wahabi
@medimisi6930
2 жыл бұрын
Wahabi ni mwanachuoni si unaona unavumsema vibaya halafu msiambiwe iv kweli
@sadikkibiki6227
2 жыл бұрын
Mpuuz ww kwa dua yk
@abdulkareemseif1892
2 жыл бұрын
Sasa unaiba pesa za waislam Kisha tukusifie kwa sunna
@jumahashim8109
2 жыл бұрын
Jamani haya malumbano yetu sisi waislamu kwa waislamu mpaka lini?
@sirqiutaislaammahambe8784
2 жыл бұрын
Mpaka sisi tuijue vizur kalima tawheed
@abrahamansaidi8631
2 жыл бұрын
Nnashida na no zako
@nasriramadhani3980
2 жыл бұрын
Unaakili ww ujielewi
@hashimshariff8903
2 жыл бұрын
Na wewe unayewakosoa wakina barzanji na mashekhe wengine uombewe dua gani
@jumamahmoud9271
2 жыл бұрын
Hiki kipande kifupi,ipo ndefu yake itafute kwasababu amelizungumzia jambo ili ulilosema
@deathrow8004
2 жыл бұрын
Maulid ni bid'aa & barzanji inamakosa mengi
@suleymansalim5732
2 жыл бұрын
@@jumamahmoud9271 tuma link basi tuone
@jumamahmoud9271
2 жыл бұрын
@@suleymansalim5732 nitazituma mbili musikie kwa sauti zenu kua sheikh muhamed yupo sahihi kabisa tena maneno yake yanaendana na maulamaa.
@abdulkareemseif1892
2 жыл бұрын
Mm huyu sheikh simuelewi mn si salafi ila barzanji Hana faida kwa wanaotafuta elmu
@nabillkhamis8188
2 жыл бұрын
Ss si munasema duwa haram nyinyi ss amin ya nn
@nasriramadhani3980
2 жыл бұрын
Untabia zakishoga
@abuibra
2 жыл бұрын
Kwanini umichagua ALLAH awavunjie nguvu za kiume ?!!!
@bahashachembea6922
2 жыл бұрын
Swali zuri sana?
@hassanmussa7433
2 жыл бұрын
Na ataanzwa yeye kwsababu yeye ndio aliemtwaani
@ABC-ls7jg
2 жыл бұрын
Kama ni uongo hajachukua hizo pesa na hajadai riba alkuwa aseme mwenyewe, maana kaambiwa aseme kama uongo utatolewa ushahidi. Lakini mbona kanyamaza kimya?? Kwanini hajatoka kujitakasa na yaliyosemwa???
@aminaali9715
2 жыл бұрын
ww ni mubtadic na pia ni boyi wa barahiani
@pavillioncry5241
2 жыл бұрын
Kasima mafuta na genge lako Mbona kinyaaa
@abrahamansaidi8631
2 жыл бұрын
Mada imekushinda wewe mpuuzi wewe
@user-gg1zh6oe2w
Жыл бұрын
Wewe kwisha wewe
@Heiswatching.
2 жыл бұрын
MPOTOFU.. TU WEW..
@swalehjamal4867
Жыл бұрын
Tuelimishe ww basi mjuaji
@suleimanmussa3212
2 жыл бұрын
Hahahaha huyu
@jumanneissa7118
2 жыл бұрын
Hili zombi la kihizb ukiwa umesoma huhangaiki
@ekishaschool163
2 жыл бұрын
Samahani al -akhiy tumia lugha nzuri utaeleweka ..
@abdulkareemseif1892
2 жыл бұрын
Ushawataja wangapi wewe mpuuzi
@hashimshariff8903
2 жыл бұрын
Kuwakufurisha watu ambao walikuwa ni maulamaa
@hutiswalehe2444
Жыл бұрын
😄😄😄eti ndio dini hii😄😄😄hakuna dini hapa ni upuuz mtupu huu
Пікірлер: 126