Dahhh!!!!!Jamaniiii eti nilikuona na gari ya ng'ombe Kiswabi kumbe ana mbio kweli dahhh nimecheka kweli Big up sana Pemba home sweet home one day nitakapokuja Pemba lazma nimuone Kiswabi dahhh hatar 🤣🤣😂😂🤣🤣😊😂🤣🤣🤣🤣
@shanimpenike7568
4 жыл бұрын
Kiswabi stile yako naipendaga kweli yakuvaa na kuongea kwako.dongo mwinyi mko vizur pia
@sharifmuhidin1605
4 жыл бұрын
Assalaam alykum
@kiri5807
3 жыл бұрын
@@sharifmuhidin1605 Waalaikum salam
@omarsheha2840
4 жыл бұрын
Wako vizuri sana zidisheni Allah awajaalie mzidi kupendana
Hahaha kiswaswabi yani apo kwenye Vespa umeuwa kabisa yani Nimecheka mpaka naliya kwa furaha Kazi nzuri
@halimanasihu1200
4 жыл бұрын
Hahaha utaniuwa mzee mwiyi
@user-lr4jj9pn1g
5 ай бұрын
Nawakubali kwa asilimia 💯
@fatmasaid5864
4 жыл бұрын
Eti simueki hapa michepu hahahaha nimecheka mpaka basi
@shamimkingazi8925
4 жыл бұрын
Sijangalia bado ila natumai mfanifanya nicheke Inshaallah
@ibrahimmassare175
4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Yani nyinyi balaaa asanten
@ummunaaleicester4337
4 жыл бұрын
Asanteni sanaaa mambo mazur mko vizuri
@saidshariff7875
4 жыл бұрын
Mashaallah hongeren mja asili haachi asili akiacha asili ujue hana akili
@salumseif1005
4 жыл бұрын
Dongo ,kiswabi nawakubali sana
@bakarihamisi5638
4 жыл бұрын
Ya Pemba rahatuuu karibuni.Pemba wadau
@uweismohammed6959
4 жыл бұрын
Tutakuja in shaa Allah
@amourmohd3032
4 жыл бұрын
mh hadinimekukumbuka kwetu love you Pemba😗
@allykhamis6132
4 жыл бұрын
Aisées munatufurahisha kweli ahsanteni
@user-eg1dr6so4c
4 жыл бұрын
Aaaaa mbavu zangu mie
@khadijahkhdoo6387
4 жыл бұрын
Nawapenda sana sanaaaa😘😘😘🥰
@vuaisulei2803
4 жыл бұрын
Hahaah guu bovu kichinjirii
@salmasalim6055
4 жыл бұрын
🤣🤣 kiswabi waniumiza mbavu
@faizasaid8262
4 жыл бұрын
😁😁😁😁kiswabi kushaumia
@wildofworld100
4 жыл бұрын
Nimecheka mpaka nimepata na kifua 😂😂😂
@mohdally2233
4 жыл бұрын
Duuh
@zubeidamohd9432
4 жыл бұрын
Hhhha mbavu zangu mm 😀😀😀😀😀
@yussufnassor1652
4 жыл бұрын
Hahahahahahah mbavu Zangu jamn *yuwapi yule*
@mamaamina8707
3 жыл бұрын
50th in a.. 🔝👟🏠👞🐩🏢🏢🏢
@johnmbafu2882
4 жыл бұрын
Kiswabi,mwinyi dongo big up sana 😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-el8bw2qe7h
Жыл бұрын
Kiswabi ni fundi kwa kweli😅😅😅
@mpunahamisi8510
4 жыл бұрын
Napenda lafudhi
@sidratybinkhamis2837
3 жыл бұрын
Hunishindi mie
@sidratybinkhamis2837
3 жыл бұрын
Hunishindi mie
@brunokk4554
8 ай бұрын
Natokea Kenya na naipenda lahaja ya pemba
@jamilasalim1872
2 жыл бұрын
Ninavompenda ktk kichochoro changu cha moyo hhhhh
@najmasalimsalim2741
4 жыл бұрын
Hahahahaha hawa watu jamani nishida
@salimkhamis3638
4 жыл бұрын
Nakwambia wana balaa voo😂😂
@naifatsleman5033
4 жыл бұрын
Zanzibar ni moto haaaaaaaah
@mtizman_salimridhwan187
4 жыл бұрын
Duh kila siku zikienda mbele mnakuwa na kazi nzur 🔥🔥🔥🔥🔥 much respect jufe 100%hatutaki mkae sana kiivyo
@eddybest5216
4 жыл бұрын
Nimekusoma Mtiz 🙏
@nelsonrafaelmandumbwemandu1721
4 жыл бұрын
Mtiz 187
@lyympemba
4 жыл бұрын
Mtiz 187 mtizi holla beibe 😀😀 catch ya asshole 🥂
@MohdKhamis-iq4um
7 ай бұрын
Kaz mzur
@siriyangu4724
4 жыл бұрын
😁hadi raha
@bittybitty2712
4 жыл бұрын
Mtatuumiza mbavu😂😂😂😂😂😂😂
@hemed4064
4 жыл бұрын
hongeren mpo vizuri sana jaman
@azizakombo376
2 жыл бұрын
Mko vizur Mashaallah 🤣🤣
@hamzaomar9731
4 жыл бұрын
Kiswabiiii 🤣🤣
@mohamedothman248
4 жыл бұрын
from zenj👏👏👏
@issafatjoe2300
4 жыл бұрын
hahaha.kiswab uko saw kutuburudisha
@khamisfaki2902
4 жыл бұрын
😀😀 kiswabi anaburudisha sana hongera
@fatmajumaa1069
4 жыл бұрын
Jamani nimekosa la kukoment leo nacheka tu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣kiswabi upo juu 👊🤛
@rahmasuleiman9334
11 ай бұрын
Nimecheka km mwehu haichoshi kurudia kuangalia inafurahisha sana hongereni sana 😂😂😂😂😂😂
@feisalmohamed3198
4 жыл бұрын
Jufe film kazi zenu zimekua ni nzuri na zenye kufurahisha zaidi sasa ni fursa yenu kutuandikia namba ya simu kwa ajili ya kuwachangia mtu alicho nacho kuanzia tsh 500, tunajua ugumu wa maisha ya pemba.
@alirashid8514
4 жыл бұрын
Hongereni sana.. Kazi nzuri
@subiraabudal9972
4 жыл бұрын
Vpi
@alirashid8514
4 жыл бұрын
Poa@@subiraabudal9972
@mohammadabeid3733
4 жыл бұрын
Ala nkate wagole hhhhh😆😆
@asahdkhaled5041
4 жыл бұрын
Najaribu jaribu lakn cmwanga
@OmarMuhammed-wt5di
Ай бұрын
Salu m bumbu na mudi hamisi mwanangwa wa kifagio hahaha umetisha ndugu
@bibasule7266
4 жыл бұрын
mashaallah nimecheka sana
@atfatnassor4393
4 жыл бұрын
Mbavu zangu Mir😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆
@yussufsuleiman5843
4 жыл бұрын
Kiswabi :Ndani ya kichochoro cha moyo wangu nnavompenda naomba kichinchiri Wapemba tuonane na tujuane
@salehhamadi6070
4 жыл бұрын
Tupo
@hamzaomar9731
4 жыл бұрын
Tupo
@yussufsuleiman5843
4 жыл бұрын
Yakhe uwawapi nawe
@ummunaaleicester4337
4 жыл бұрын
@@yussufsuleiman5843 tupooo
@zuleikhakhamis3303
4 жыл бұрын
hamvipiii mwabesa
@matolahtellah6997
4 жыл бұрын
Nzur sana
@leylaaliy9852
4 жыл бұрын
Hhhhhhhhh....wallah stress zimeondoka hhh
@tonysolomon2841
4 жыл бұрын
Mwanamke anakuwaje na stresses hata umenishangaza
@hajjism
4 жыл бұрын
Hongereni Jufe kwa kazi nzuri, waigizaji wanastahiki sifa nao. Inachekesha sana.
@omaralihamad3785
4 жыл бұрын
Hahahahahahaha ety yuwap yule!!😁😁😁😁
@hhuzuni2265
4 жыл бұрын
Hahahahaa jamaniii
@suleimanirashid8184
3 жыл бұрын
Uyu kiswabiii hahah powa t
@user-eg1dr6so4c
4 жыл бұрын
Anaye mkubali kiswab ngonga like hapa tujuwane
@jumaabdalla9676
4 жыл бұрын
Poa mkuu
@tunichtusha2953
4 жыл бұрын
hahahaha
@swalehothman8251
4 жыл бұрын
Mm kwetu unguja lakin namkubali sana
@nachumhajji7057
4 жыл бұрын
hongera
@swalehothman8251
4 жыл бұрын
Nachum Hajji kwann
@axa29
4 жыл бұрын
Heeee mtatuumiza mbavu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@salimkhamis3638
4 жыл бұрын
Nakwambia hatari vooo😂😂😂
@tonysolomon2841
4 жыл бұрын
Nakusalimia kama una nafasi
@axa29
4 жыл бұрын
Salim Khamis 🤣
@abuumo9637
4 жыл бұрын
Uko ndio nyumbani
@faizasaid8262
4 жыл бұрын
Jamnani uwiii
@sureboy141
4 жыл бұрын
Kiswabi wee nowma
@mtizman_salimridhwan187
4 жыл бұрын
Eti kweleza eeeee
@sylviaquentin9724
3 жыл бұрын
Hahahahaaaaaa aiseeee dereva anafungua mlango wa nyuma
@ayoubkhamis5154
4 жыл бұрын
Kiswabi asema kama wapiga jino moja , yeye apiga 30😀🏃♂️
@fauzia6072
4 жыл бұрын
Wanawapenda sana Hawa jamaa hata nikinuna nikiangali picha zao huwa bafurahi sana sana sana
@ayoubkhamis5154
4 жыл бұрын
@@fauzia6072 safi🍌
@mohamedel-mindhir7990
4 жыл бұрын
Wallah kuwaangalia awa waja kama unamawazo finyu yanakutoka😂😂😂😂😂😂 Hongeren san wapemba wenzetu kwan hatuwa muloifika inapaswa kupew tunzo 🇴🇲🙏🇴🇲
@asiaseif7229
4 жыл бұрын
Yaani hawa wafurahisha sana😀😀
@mohammadabeid3733
4 жыл бұрын
daah unajua nn aloharib dili ni yule alokuja na gar hhhhh ila kiswab alikua anafuzu tuu ila man of the match n dongo
@asiaseif7229
4 жыл бұрын
@@mohammadabeid3733 kweli😀😀😀
@hafidhabeid7952
4 жыл бұрын
Hujambo
@mohammadabeid3733
4 жыл бұрын
@@hafidhabeid7952 Alhamdulillah sjui t ww naww bro
@robertlewandowski8610
3 жыл бұрын
Dah!!Staili za kiswabi noma sana!!! Fans wa kiswabi tujuane hapa!!!! Funguo ya nyumba ataka fungulia gari adiraivu😂😂😁😀😂😁
@hajiyahya8380
4 жыл бұрын
Habari za uwawako!! Hahahaha mwinyi bhana..
@danadana6450
4 жыл бұрын
Kwaapo wabongo hawaoni ndani
@swalehsepti6140
4 жыл бұрын
Nakubal kaz kitatnge
@adillhabib2006
4 жыл бұрын
Kama umemuona pacha wangu akitoa misimbaz gonga
@hidayayussufu8683
4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂dhaaah nimecheka Sana asanteni
@nasratyaqram4799
4 жыл бұрын
Mbavu zangu uwiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@macheteboy9024
4 жыл бұрын
Kazi mzur ,big up Dinho pmja na member wote wa jufe.viva Wete Viva
@saidizungu2115
4 жыл бұрын
Jmni ata comment
@shafiikhamis2336
4 жыл бұрын
kiswabi hata ufanye nin Mwinyi mpeku hakupi mwanawee....unakumbuka siku alokuj kumchukuw mwanawe katika filam ya 'MUME WA MWANANGU' ingali bdo n mke wako.....tafuta pengn kakaaaa......hhhhhhhhhhhhhh
@qurankareem582
4 жыл бұрын
hahahhaaa #ok mpo vizuri sana
@shebygoa2076
2 жыл бұрын
Duuuh sio poa
@salmabintuthman3243
4 жыл бұрын
Mbona wazunguka kama pepo wa kidadaa 🤣🤣🤣🤣
@harithzaidu9671
4 жыл бұрын
Salma Bint Uthman mambo
@faahusali4689
4 жыл бұрын
Mungu wangu miye mbavu zangu
@Ngoniboy0623
4 жыл бұрын
Sorry naomba nickek kupitia namb ang 0627714797 nnashida naww
Пікірлер: 401