Musiba pole sana walikuonea. Munyonge hana haki wakakupoteza. January Makamba baada ya haya yote, akapewa uwaziri. Hii ni kuwatapikia watanzania
@DandasiKundi
6 күн бұрын
Asante sana musiba unatuonyesha viongozi wenye sifa mbaya sana ninachoomba raisi wetu usituletee viongozi wasio waaminifu watatumaliza .
@aliceannasepan9644
Жыл бұрын
Brother musiba mungu akulinde we ni shoka big up huna unafik Kama walio nao wapuuz wengne hawana msimamo mwanaume yakupasa kuwa na msimamo c kunyekea wenye au kuogopa mtu musiba aisee hongera saaaana
@KafumuBoniphace
8 күн бұрын
Hongera musiba kwa hizo nondo.Tunaomba umsaidie Samia wanamsumbua sana watu hawa.
@BernadethaSimba-qi4dw
10 ай бұрын
Hongera unasaidiaje swala la bandari inatuuma sana watanganyika
@MustafaOmach
5 күн бұрын
Mda mwingi SANA sijakuona kwenye midia
@duniamapitosotewamungu3467
5 жыл бұрын
Kwa hili nakupongeza sana bro mungu akubarik
@leonardmfikwa78
Күн бұрын
Mr msiba this country msiba mungu akakulinde
@saidmalata5154
2 жыл бұрын
Pole sana musiba kwakukosa check and balance Hujafa hujaumbika Sasa ujifunze kwa kiherehere chako Siku zote anaemtegemea mtu badala ya mungu amefeli sana
@masoudalriyamy6298
2 күн бұрын
Dunia lazima ukiishi uweke mipaka ya maneno na uweke akiba ya maneno dunia lazma mtu auchunge ulimi ulimi ni hatary katika maisha ya binaadamu
@AdamuChayupa
2 күн бұрын
Mungu akulinde na maadui kwakupigania haki ya taifa
@margarethpolepole7438
3 жыл бұрын
Sana ililiwa sana sasa hivi wananchi wameamka kila alae hii nchi afe
@georgeerick3140
5 жыл бұрын
ndugu watanzania wazalendo tuseme ukwel wa mungu ktk watanzania wazalendo na waliojitoa kutetea nchi huyu musiba yumo ebu tunamuunge mkono kwa kugonga like hapa kum-suport yan tumtie moyo.
@titorazalo2546
2 жыл бұрын
Brother upo?? Kama upo fanya basi kwenda kumchangia izo bilion 6 mzalendo.
@czmediaconsultant5640
Жыл бұрын
@@titorazalo2546 Musiba yupo na yuko salama 100% mnaomuombea mabaya kamwe hamtafanikiwa.anakula maisha
@DEBORAHMASANJA-yz3go
5 күн бұрын
Hongera bro Musiba
@DEBORAHMASANJA-yz3go
5 күн бұрын
Mwana wasu simama na Yesu kristo atakuonekea tu kwani msema kweli hupigwa mawe
@user-do5mp8zl1v
2 күн бұрын
Aliyataka Mama yoote haya matapishi urudie kuyala nikichefuchefu ayaone hayo atahiyo kikwete naye ndio kigogo mkuu
@user-fw3jq3ff5s
3 күн бұрын
Wakichunguzana humo ndani hakuna atakae Baki salama
@luttumohamedfafara9630
5 жыл бұрын
Kama namuelewa huyu bwana!! Mmmh,hatari sana.
@user-xh8kd9ze7o
6 күн бұрын
Ooooi nchi yangu Tanzania kuishaaaaa! Tuende wap cc mungu wangu.
@robinchristian3125
5 жыл бұрын
Hongera Musiba na poleni sana wazee. Mwanafalsafa aliwahi kusema historia huandikwa na mshindi.Wazee na vijana wao wameandaliwa mtego wakaujaa kirahisi. Ilikuwa ni kiasi cha kuwasubiri wawasiliane kwa simu tu. Sasa tushajua matatizo yetu yote tangu tupate uhuru kasababisha nani! Hizi zote ni harakati. Sio za 2020 bali za 2025. Kuna kambi imeingia kambini mapeeema.
@rashidmchopa6164
2 жыл бұрын
hihuqq
@jumamavind7713
3 жыл бұрын
Asante kaka kwakutufahamisha , sasa watu hao hawana nafasi tena katika nchi hii
@athumanimpenza5657
Күн бұрын
Huyu jamaa naye mzushi yeye naye ni mtanzania si angeenda mahakani akawashtaki, anaongea amekosa mgao tu huyo wote ni walewale tu
@chrisantgeorge3677
5 жыл бұрын
Jamaa anajiamin sana, huu ndio UANAUME KAMILIO SIO KULIALIA
@abubakarihamissi4178
Жыл бұрын
😂😂😂😂 leo kiko wapi sasa fala tu huyo
@princepiusmutaihwa9606
5 жыл бұрын
Kwa kweli nashauri mmojawapo kiongozi mkuu mwandamizi wa CCM ajitokeze hadharani aombe radhi watanzania kwa kulea wezi, mafisadi na walanguzi. Hongera JPM
@mo-linehabari9569
5 жыл бұрын
Kina Zitto wanasema hao wanaosenwa ndio WEMA sio hawa wasasa
@latlailat274
5 жыл бұрын
yap
@davidraulence305
5 жыл бұрын
Mmh haya bhana
@mosaymophosa9567
5 жыл бұрын
my friend siasa ni mbaya sana pengine hata huyo anaeongea ni FSD
@teddykanondo5753
4 жыл бұрын
Katika mtu ataingiza nchi kwenye vita ni huyu Musiba. Bada ya Lusifa/Shetani kuona Tanzania haijawahi kumwaga damu ameamua kumtumia Musiba kutimiza lengo lake. Kwa kuwa akili za Watanzania ni finyu sana wanashangilia maneno ya Musiba wasijue huyu katumwa na Shetani kuwaingiza Watanzania vitani. Musiba amekuwa akiwasema watu hadharani asijue kuwa watu kama akina Slaa walikuwa katika vyama vya upinzani. Atuambie yeye yuko chama gani cha upinzani mpaka awataje watu hadharani wakati anajua kabisa hao anaowataja wana familia na wana ndugu. Hivi mtu anapotaka kugombea uongozi nchi hii kitu gani kinamzuia wakati katiba inakubali. Kila Mtanzania anaruhusiwa kukopa Bank hata kama ni kiongozi. Kinachotutesa Watanzania ni kuogopa kukopa. Wenzetu wa kanda ya Kaskazini wameendelea sana kibiashara mpaka kuitwa Mafisadi na Magufuli. Huyu Rais amerudisha wafanya biashara nyuma sana kwa kuwafilisi na kuwasingizia ufisadi. Tanzania haya yakiendelea lazima zipigwe tu. Muulizeni Magufuli moshi uliojitokeza akiwa kusini ulitoka wapi. Huyu amuongezee tu Magufuli maadui akijidai anamfanyia kampeni kumbe anamuongezea maadui. Waache wakuhurumie maana wana Dini.
@sadickmkanda4531
5 жыл бұрын
Sema tu baba kuna mijitu mijinga bado tu haikuelewi achana Nayo.
@georgefaustini8890
5 жыл бұрын
Yaan kuna majitu mengi hayaelew
@anuaryally7149
5 жыл бұрын
Mimi mmoja wapo ambae simuelewi huyu jamaa
@nassorsharifu9837
6 күн бұрын
wajinga tu ndio wanaojifanya kumuelewa
@FabianJustine-bq6qv
6 күн бұрын
weweugana namakonda muikoboe hii nchi
@MwanahawaMusa
22 сағат бұрын
Asante sana baba
@DrSuleman-r1d
6 күн бұрын
Uko vizur
@getrudangoto6742
2 жыл бұрын
Amina nimekupata Mr msiba hakika na kweli
@FabianJustine-bq6qv
6 күн бұрын
bgap sana wambie
@tembeletadei7136
5 жыл бұрын
uko vizuri,tupe ukwel
@margarethpolepole7438
6 күн бұрын
Mama Samia mpe zawadi Musiba na mpende kwa taarifa zake tale yaliyomkuta Msgufuli na wewe yamekukuta Mama umewarudisha lakini wamekusaliti wanataks Urais
@elibarikimollel7149
4 күн бұрын
Margarethpolepole una maana wasingekua wanazengea kiti chake angewaacha tu eti ee! Wananchi tumeshajua ccm hakuna yeyote mwenye kumuogopa Mungu atakayethubutu kuuachia utajiri abaki amepauka!!?
@GraceGaudent
4 күн бұрын
Ao ndo wanao sababisha tanzania tunaishi maskin
@augustinonestorysasi3683
10 ай бұрын
Amepandishwa Leo hii Waziri mambo ya Nchi za nje CCM mtaleta vita nchini mwetu!!
@kuryangamakesenimakeseni2611
5 жыл бұрын
Huyu jamaa Musiba naanza kumeelewa, yuko right kabisa!
@mkushioriginalsillo5074
4 күн бұрын
Tanzania kumezuka Joka moja la kufugwa litasumbua sana.Joka hili linafugwa kwenye shamba linaloitwa ccm
@Mima-cl2im
6 күн бұрын
Huyu Mzee makamba ndiye aliyesema wenye dhambi wanakufa mapema.
@lucylyuki4852
3 күн бұрын
Hivi hii nchi ni ya watu wa aina Gani? Jifunzrni Kenya jamani ...Ukweli na uwazi ,hao ndio nani .asantee msiba kwa kuwaheshimu nguli wakuu wanchi hii
@bahatadof5543
4 күн бұрын
Jamani mpaka Leo naanza kuona wasukuma ni kabila ambalo wananiamini,wanapenda haki,waungwana,wakiomba uingozi tuwape na huyu baba apewe nafasu serikalini,mtajua wenyewe ni nafasu gan me nasema
@WilliamSamwel-vh5op
3 күн бұрын
Safi sana mwana harakati
@user-jl5un4wf3u
4 күн бұрын
Hatahivyo huyokinana simtanzania nawala hanauzalendo .sisi tunaponzwa na upolewetu nandiyo utamaduni wetu. tofauti namajilani zetu.
@sanyengekiyumbageita9107
5 жыл бұрын
Upo sawa bro
@kenanmakere5325
2 жыл бұрын
Wajumbe mlivyowanafiki bado mnamulewa musiba 2021😀
@user-do5mp8zl1v
2 күн бұрын
Huyo Zito nimsenge na mwizi mkuubwa
@nestor384
5 жыл бұрын
Musiba hawakuzoea waambie.. Na sali nikiombea hawa wote kina January, Kinana nk mkono mkali wa sheria na ukawe juu yao.. shame on them!!!! Magufuli for life, long live JPM
"Ninyi ni nuru ya ulimwengu,mji(nchi)haiwezi kusitirika ikiwa KIZANI..." Ramadhan aldawiyya from ZANZIBAR
@edithazmwasanga7091
5 жыл бұрын
Nestroy Buyungu Ndugu tureze
@papafikiri
5 жыл бұрын
Lushoto imelambwa Bumbuli imetikiswa ...wapi watu wa Mayo na Funta.????
@jacksonedward201
5 жыл бұрын
Duuu!maneno haya ni mazuri na mazito.mbona haukumsuauri Rais asimteu Mwizi huyu.msaidie Rais mzee
@kitosio
6 күн бұрын
Duuh Siku Nyingi Kijana hatujakuona. Ulikuwa wapi tokea afariki Mzee wetu ulipotea.
@othmanhaji1832
5 жыл бұрын
Hatukani mtu. Anatuelimisha, hasa sisi wanyonge. Tunamshukuru sana , Endelea Musibaaaaaaa
@kisangageorgethomasi2830
2 жыл бұрын
Yuko wapi sasa
@stellakaluwa3647
Жыл бұрын
Mungu akurinde jamani mtoto wa mwanamke mwezaku jasili
@salmawage7259
2 жыл бұрын
Mmmmmh mungu akulinde wewe baba watakuzuru watu wengi binadam wachache ukweli siku zote unauma
@listerelieza56
3 жыл бұрын
Supiriani majula msiba,nakupa hongela sana kwa yote ulie kuwa unae yasema KILA mala mimi niko tayali nikutafte kulingana na wewe kwa ajiri ya kutetea Taifa letu,naomba niruhusu nikutafte
@mbarakafitina8255
5 жыл бұрын
No comment for me today... We Musiba tukuache2 sababu kama ulivosema haya tunaugeni nayo kuyasikia... Lakini Mungu akutangulie Inshallah.
@user-jl5un4wf3u
4 күн бұрын
Siku yao ipo wehave nolonger babawataifa orwazee wataifa baali tunambwamwitu wenye njaa kali nawarafi. wanaotesa jamii nzima yanchi hii.
@kadilamore802
5 жыл бұрын
😂😂😂lakini cheo kikija ntashukuru mungu...
@inocentlukumay767
3 күн бұрын
Hii nchi inakimbia sana.
@FabianJustine-bq6qv
6 күн бұрын
ukweli utaonekanatu mkuu tuko Yuma yako mikataba ya kuagamiza nchi
@massawejose3594
5 жыл бұрын
Sema kak
@laurentmichael8124
Күн бұрын
Tukitaka hera zetu wanatuwekea vikokotoo
@yasinshaban4933
5 жыл бұрын
Leta vifaa ijengwe reli ziwa victoria 😂😂😂 Hapo veeepeee
@simbamkali1928
Күн бұрын
Huyo Musiba Mshenzi tu Hana jipya-Hawa kizungu wanaitwa-Ass kissers -Yeye Nani Anazungumza ushenzi kutafuta umaaafu Lakini Leo yuko wapi Hana chochote Kajificha Kijijini shenzi type
@anethlukuna1474
3 жыл бұрын
Asante Sana nimekukubali wewe ni mwanaume uogopi kabisa
@kidodosimichael349
5 жыл бұрын
Microphone 1 mpaka 20😄😄😄😄😄😄😄 Kazi kweli kweli!!!
@martinyakobo7355
2 жыл бұрын
Ukweri ubaki ukweri
@jamalkishangu
3 күн бұрын
Magufuri oyeeee
@chidybwax8080
5 жыл бұрын
mimi sielew kabs sasa kama huku kwetu kondoa hatuelew hata nch inaendaje celew kabsa
@JosephatBahakaso-yn9hg
3 күн бұрын
Unatakiwa uungane na makonda ivi samia hakuoni
@kallahassan4896
5 жыл бұрын
Sema musiba usiogope wanaichi tunakuelewa
@ndagiletv521
5 жыл бұрын
bola aludi kwenye kazi yake ya zamani ya kutangaza taharifa ya habari
@mpefu_4936
3 күн бұрын
Sisi tukikopa milon tatu nyumba zinauzwa tumechoka
@peninamafuru9638
2 жыл бұрын
Mungu akutetee naona magu amesimaa umenikumbusha magu baba sema
@lucylyuki4852
3 күн бұрын
Tuamke Watz tuache wogaaaw
@albertnshunju4172
5 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka.
@laurentmichael8124
Күн бұрын
Watupe hera zetu kwa wakati ao nssf
@zabronmwaipungu2212
4 күн бұрын
Huyu jamaa uwana harakati wake umefikia wapi jamani
@user-dy5fn6qj1q
4 күн бұрын
Dahaaàe hatariiiii kasemae lakini mwiba ukikuchoma mguuni kutoka ulipoingilia acheni kujadili mtuu mmoja mmoja tunachahitaji ni siaasaa safiii isyo kwa ya matusii unafiki tuelezeni mtakachofanyia watanzania wekeni mpira uwanjani mupimwe CCM Chadema''' wazalendo CAF fainali tuta amua seye wapiga kuraaaaa Apo vipi
@ObedJamel
3 күн бұрын
Ulikuwa wapi sku zote pumbavuuu
@mo-linehabari9569
5 жыл бұрын
Ukweli hujitenga na uongo daima. Hongera Musiba kutoka kwenye microphone moja mpaka 20.
@ipyanamwakabana858
5 жыл бұрын
Ulikwa wapi mpaka tunaibiwa ndoo unasema sass?
@stuartrwebangira2061
5 жыл бұрын
Keep it up Musiba
@husseinthabit5416
5 жыл бұрын
@@ipyanamwakabana858 pp
@selegioelias9076
2 жыл бұрын
Mi nashauri tujitenge tuu mara inne hii inch nikubwa sana imekosa wazaleondo kuiongoza wamebaki loyal familia kufaidika na haki za wengine
@salmawage7259
2 жыл бұрын
Kweli kweli kabisa mungu anawaona mungu atalipa hapa hapa duniani
@sasha-ri7tf
3 күн бұрын
Mbona watu walitowa mahari na kupokelewa na huyo mungu mtu wako ikulu magogoni Dar ? (Eti kipokea uchumba). Peas za msaada wa corona Euro milion 2,7 zikaenda kujengewa ujanja wa ndege kwao Chatoo, hivisasa wanalala punda. Watu tumeshindia mchele wa plastiki vitenes, Acha wewe kufukuwa kaburi.
@upgo6112
5 жыл бұрын
Hahaha fumua bro..Tunakuombea kwa Mungu
@emilianimalala9306
5 жыл бұрын
Unajua watu was ccm siwaerewi na raising wao wajipime
@mashakaemmanuel7147
3 жыл бұрын
Kuna kenge anasema msiba ni mchonganishi au wewe nae nifisadi Nini au makamba no mme wake?
@sambiaj
5 жыл бұрын
Jamaa ana hoja nzuri sana
@S.SWarfa
2 күн бұрын
Wacha uongo lini tulikula makapi.
@florameza9529
5 жыл бұрын
Mmmhhh nchi ililiwa kweli Rais amefanyakazi hebu jibuni hoja hizi so painful
@rukizaseba5741
5 жыл бұрын
Ahsante mama
@tafaqurtvtz7669
3 жыл бұрын
Kaka hongera unauzalendo mkubwa hongera
@bahatadof5543
4 күн бұрын
Muha kigeugeu Hana msimamo na yeye ni mchumia tumbo tu
@khalefkhamis9735
5 жыл бұрын
Vip Uamsho mbona hawajapata zamana mpaka leo ?
@selemanimkonga8150
5 жыл бұрын
Hatimae mic zimeongezeka tulizoea mic 1 Mungu ni mwema
@upendorobert7298
5 жыл бұрын
Selemani Mkonga haaaaaaaaaa, umeniacha hoi, kwa kweli, ila umaarufu ni shughuli, jamaa katoili haswaaa
@azizawadh5973
2 жыл бұрын
Kama mobutu
@lemonadesoldier1377
5 жыл бұрын
Mm nakuelewa sana kaka musiba ......timua vumbi timuaa
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
4 күн бұрын
HATA WEWE NI MNAFIKI USITUONGOPEE
@jumamayonga8914
9 сағат бұрын
Siku nikipata URAI hao jamaa watashughulikiwa na kurudisha mali ya umma yote iliyokwapuliwa
Wee Jamaa Nakukubali Sana Yaan , Yaan wewe pure Ni Mtanzania Mzalendo Timu JPM , Nakupenda Sana Mimi mwenyewe Timu JPM 4life
@AKWILINEKAWISHE
4 күн бұрын
dah!!
@konyakirs5289
5 жыл бұрын
TANZANIA TUNA WANAHARAKATI WAWIRI MUSIBA NA MANGE KIMAMBI KWAHIYO TUCHAGUE SISI WENYEWE T UNAMSAPOTI MWANAHARAKATI YUPI
@keiledstephen9710
4 жыл бұрын
msiba
@philemonjonikenyato2919
5 жыл бұрын
Sometimes jamaa anaongea facts sana! Nape Nnauye alikuwa jeuri sana mwaka 2015, acha anyooshwe
@yahayaolomi1057
2 жыл бұрын
Sasa kanyooshwa yeye badala ya kuwanyoosha yeye hatmae Yuko kijijini analima na uvuvi
@barakanestory3521
2 жыл бұрын
Shida viongozi wa ki Africa ni wanafiki sana,wakishiba ugali wanajisahau,halafu wanapeana ugali waokwao,mungu atusaidie,mama anawaapaje uongozi watu kama hao,au hajui
@johnphatmgaza3816
3 жыл бұрын
Tulikuwa tunakuona mjinga lakini mmm.pacha magufuri
Пікірлер: 703