Wallahi mie nikimskiliza shekh othman wallahi natamani asimalize natamani ningekuwa mwanamme nikiskia yupo wapi tu namfata kila pahala tunampenda kwa ajili ya Allah shekh othman kwangu nimeeka kama kipindi changu nikiona kaweka tu youtube naacha kila kitu kumskiliza unajiskia raha unatamani asimalize plz ijumaa ijayo tuendelezee tumefika kwenye kibanda in shaa allah nawapenda kwa ajili ya Allah niombee duwa shekh from uk 🇬🇧🇬🇧tunakupenda sana zaid ya sana
Пікірлер: 6