Kweli madawa noma sana kaka Mungu akusaidie sana kakaangu ila unahekima na busara sanaa
@user-wu8qe4fv4j
11 күн бұрын
Mhhh TZ inchi moja ya urofa
@mtaakwamtaa4425
Жыл бұрын
Dada yetu pili unafanya kazi nzuri sana kwa kweli nakupongeza
@florencemeza6540
Жыл бұрын
Wanaouza unga Mungu AWALAANI KABISA na sasa hivi vijana wetu ndo wanabembea saaana
@zaidiissa3714
Жыл бұрын
Dada pili ubarikiwe sana yaani naingiwa nasimanzi nikisikilza hawatu maana sasa pia mimi nimzazi kwakweli hawanaouza adhabubyao haipatikani hapa duniani maana nizaidi ya makatili hebujiulize mtuhashiwi bunduki walakisu lakini anajipa azabu kama vile watumwna mungu tunusuru sisi na vizazi vyetu
@mtabeagusti4553
Жыл бұрын
Cster mungu akuzidishie tu
@roselambert6700
Жыл бұрын
Dada hongera sana kwa kazi kubwa
@fatmaally7252
Жыл бұрын
Aseee pole sana nafasi bado ipo muombe mungu atakusaidia inshallah
@ladooladoo1285
Жыл бұрын
Daa huyu kijana anajielewa Japokuwa ni mraibu atafika mbali Mungu akimvua hapa, tumuombee
@francisaban3873
Жыл бұрын
Mshikaji wangu namjua sana, nilimpeleka kwa Ricardo long time..nitamtembelea aisee
@sharifahabsi5004
Жыл бұрын
Subhanallah
@poulmbogo1770
6 ай бұрын
Dawa za kulevya ni hatari sana vijan omba usiingie hutatoka salama aisee pole ticha mungu akusaidie
@sakinamsafiri8660
Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki dada Pilli,unachokifanya ni kazi ya Mungu na kwa hilo atakulipa inshaAllah 🙏,yaani natamani nipate uwezo na mimi kusaidia hawa wenzetu walioteleza maana nami Nina mtoto anapitia changamoto hiyo.
@user-ow7pl6tz2c
5 ай бұрын
Yani inauza sana
@cecyngitu4752
Жыл бұрын
Aisee historia yake ngumu mnooooo Mungu amsaidie huyu kaka
Пікірлер: 15