Kuitaja Madrid si kwamba ndio Yanga Ni mfano mbona hata Mtt WA chekechea angeelewa Tu,ni shida kweli😂😂
@KhamisKinobad
3 ай бұрын
Jamaa namuelewaga sana
@cynthiapwani1383
2 ай бұрын
Tch noma sana nakukubali sanaaaaaa yni bora ww kuliko Gb 64 bom ndo mana magu alimtumbua😂 tch wetu kichwani kumejaa madini tu safiiiiiiii
@nurdiniabdillahi3558
3 ай бұрын
Kweli huyu choko kila siku alikuwa anamponda Chama leo anamsifia kweli uchoko ni maradhi
@nurdiniabdillahi3558
3 ай бұрын
Kweli huyu choko kila siku alikuwa anamponda Chama leo anamsifia kweli uchoko ni maradhi
@lukasjelamisanana6770
2 ай бұрын
Nawew umesahau niyonzima na morison mbona ulipokonywa
@bonifacelugo2941
3 ай бұрын
Mchezaji mzuri anasaini mkataba mwaka mmoja
@NasibuAlban
2 ай бұрын
Kwa hiyo unatakaje wivu tu
@NasamMzee
3 ай бұрын
Hana ishu yanga tu naoooo
@peterpain5594
3 ай бұрын
Yani mashabiki wengine hawanaga kumbukumbu kabisa uyu jamaa amesahau juzi katoka kumkosoa chama kisa pacome leo anamsifia duuuuh!!! Ndio maana mm sitakagi kulopokalopoka
Jaman msifananishe Madrid na uchafu chura wanajifananisha na madridi
@HashimuMussa-t9k
3 ай бұрын
Sana mwarimu yanga
@JoshuaJackisoni
3 ай бұрын
Sasa mbona zamani ulikuwa usemi
@Emanueli-vz6fd
3 ай бұрын
Ukitaka kuuwa mbwa wako mpe jina baya haujui😅😅😅
@GamaRacing123
3 ай бұрын
alikuwa hatuhusuuuu😂😂😂😂😂😂
@komboarts7110
3 ай бұрын
Mbona hukua unamsifia Leo akiwa kwako siku zote hukuwahi kusema mnafiki wewe kajamaa
@MsafiliNhabe-ll2vx
3 ай бұрын
Iv mandunduka mbona hawajiamin
@YohanaaroniYohana
3 ай бұрын
😂😂😂
@sebastiansalamba313
3 ай бұрын
Chama kasain yanga !!!!!!!! Ama anabaki Simba?????? Mo anakanusha jamani
@abufirdaus4254
3 ай бұрын
Hapana kaka ..anaenda azam....
@saidilindukwa
2 ай бұрын
Ukimtukana mwalimu Yanga unajitekenya mwenyew,Sasa mlitaka amsifie Chama akiwa Kwa makolo? Impossible,Mpira si matusi wewe TOA, views zako, Advice yako na comments zako,stop matusi Hakuna cha uchoko hapo Wacha amsifie Chama wake😂😂msumari umekuingia wee kolo😂😂dadadek
Пікірлер: 31