NAKUPENDA PASTOR ROSE. MUNGU AKUTUNZE KWAAJILI YANGU.
@BernadethaBuha-os7tt
Жыл бұрын
Mungu aendelee kukuweka duniani unaponya mionyo ya watu
@immaculatajacob3677
2 жыл бұрын
Nimeongezeka katika maarifa Asante kwa mafundisho ya pastor Rose, yamenipa hatua njema na kuniongezea kujitambua....Mungu azidi kumuongeza sana kwa ajili ya wengi
@gambonmgaya1286
2 жыл бұрын
Acheni kuchochea Zinaa, Wambieni watu waache zambi wampokee Yesu waende mbinguni sio vinginevyo.
@pendomangalili7501
3 жыл бұрын
Hallo 👋 Pastor Rose 🌹 Shaboka, naguswa sana na mafundisho yako hasa sisi walokole Mungu akubariki sana mafundisho yako Ni Master Key 🔑.
@marympemba6378
2 жыл бұрын
Mama umesema vizuri, mwanamke hata usipowezeshwa unaweza vizuri, ukiwezeshwa napo umshukuru mungu pia.
@charlesjoseph6847
3 жыл бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa big up mtumishi
@siporaleonard6532
3 жыл бұрын
Ahsante mtumishi Rose Mushi-Shaboka,nimefurahishwa na mahubiri yako,yanagusa sana.Una talent hii tangu ulipokuwa school mate wangu pale Moro sec,barikiwa sana
@shestiverwakatale7478
3 жыл бұрын
Ubarikiwe na YESU KWA ujumbe mzur sana pastor Rose
@celinekenedy870
3 жыл бұрын
A man will treat you according to the way you allow him to do🔥🔥🔥🔥. I like that. Ubarikiwe.
@salomemahenge1954
3 жыл бұрын
Salome
@trophywilson7211
3 жыл бұрын
Not true
@ummyghabbash2619
3 жыл бұрын
Nimempenda huyu Dada jamani anajua nampa max zote
@tabithajeremiah2657
3 жыл бұрын
Tusisahau kuwa baadhi ya mavazi hayampi Mungu utukufu mf bikini ni vazi lililo asisiwa kuzimu na linavaliwa sana na madada poa na kuna baadhi ya staili za mapenzi ni dhambi mbele za Munguanawake tusipokuwa na macho ya rohoni tutajikita kupendezesha waume zetu ili tusiachike badala ya kumpendeza Mungu.waume wataingia mbinguni na sisi tutaishia jehanamu.Mungu atusaidie sana
@emmanueljengo8103
3 жыл бұрын
Inategemea unalivalia wp na kwa nani kama mtumixh alivyocma
@makrinanyoni6859
3 жыл бұрын
Usijidharirishe kisa kuachika
@jeremiahmariki9340
2 жыл бұрын
Siyo kweli, mwanamke anatakiwa kumvutia mumewe, sasa wewe unasema bikini ni za kuzimu, ulishafika huko kuzimu ukaona mavazi yao??????
@dativajoachimwai1194
2 жыл бұрын
kama ulimpata mumewako kwa kumshawishi kwa vitu fulani itabidi undelete na vishawishi . ila kama mume alikupenda kweli,akakuchagua ulivyo,kinacho hitajika ni nidhamu ya kawaida nakujifunza kumheshimu mume wako siku zote bila kumzoea na kutenda mema na kumvumilia udhaifu wake pamoja na kuomba. nimeolewa miaka 12 sasa nina watoto 3. hiyo bikini siijui wala wala hizo style za kutisha. napendwa sana kila siku naona upendo unaongezeka kwangu na kwa watoto pia. sikuwahi kufundishwa mafundisho ya ndoa hata siku moja. niliingia kwenye ndoa nikiwa sijui chochote zaodi ya Maldini mema niliyolelewa na wazazi pamoja na neno la Mungu nililo jua kwa kiasi. napendwa sijawahi kukimbizana na mambo mengi. kwa mawazo yangu nivizuri kumjua mume wako ni mtu wa ainagani,anapenda nini then fanya yanayo stahili. kuna alie olewa akiwa amejichubua alivyo olewa akaacha.akawa mweusi mume akachepuka. alivyo rudia kujichubua mume akamrudia. Heshima unyenyekevu,,usafi, na kujituma muhimu. pamoja na kumcha Mungu ndo 1st Mungu atusaidie wanawake.
@ramak.9587
Жыл бұрын
@@jeremiahmariki9340 uyu ni mlokole kweli. Yaani mme wako wa halali kumpa style zote afrahie mapenzi ni dhambi kwa Mungu! Kweli kutosoma vitabu vya dini ni mbaya. Alafu bikini ni vazi la kuzimu🤣😆😂. Uliona nani wa kuzimu kavaa bikini?
@yasintakahamba1320
3 жыл бұрын
Ameni nime barikiwa Sana na nime jifunza kitu hapa
@jacklinesamatwa3146
3 жыл бұрын
Asant mtumishi wa mungu,ni ndoto yangu kufikia viwango vyako
@josephinemichael1514
3 жыл бұрын
Pastor Rose she's my role model😍😍
@gloryqueen6296
2 жыл бұрын
Amen kipenz changu pastor 🌹 nakupenda mno jamani
@mwanalyimo2432
2 жыл бұрын
Nimekupenda dada , duuu hii Kali, kweli hakuna uchungu unaozidi wa kuzaa, ikiwa Mungu mwenyewe alisema ni uchungu, kweli ni uchungu
@elizabethgati8549
6 ай бұрын
Napenda mafundisho yako pstr.Rose mungu azidi kumimina upako ndani yako
@jasperjackson8871
3 жыл бұрын
Mtumishi Rose Shaboka Mungu azidi kukutumia uwaponye wanawake hasa wanawake walokole bado wamelala usingizi mzito wakat sahivi mambo yamebadilika Sana sio kila kitu n kirohoooo!!!.
@jescamjarifu2381
4 ай бұрын
amina
@icecream2684
3 жыл бұрын
Rose mushi classmate morogoro secondary school Form 5 to six HGE She has this since then
@@florachrist9602 mh hapana advance tulikua nae necta yeye mbele mimi nyuma yake
@ikundamarealle9129
2 жыл бұрын
Acheni kuleta private information za mtu public sio ustaarabu acha ajiseme mwenyewe Hata kama unamjua.binafsi sipendi
@esaumahundi5647
2 жыл бұрын
Mafundishi manyonge yesu anaweza yote yesu in zaidi ya hospitali
@aaaaaah290
Жыл бұрын
😅 TUKUTANE MBINGUNI KAKA 😁
@basilisamsaka8469
Жыл бұрын
Usiandike jina la YESU Kwa herufi ndogo.
@user-wt3fv7wc5e
5 ай бұрын
@aaapaqaaaaah290
@abyssiniaseif1703
3 жыл бұрын
That’s how you know she was made for what she does👌🏽👏🏽❤️🔥
@rechomwaisaka5173
5 ай бұрын
Mungu akutuze. Postor Rose me nabarikiwa sana na mahubiri yako bwana yesu akutuze nakupenda sana dada angu mtumishi wa mungu
@tabithakitundu8736
3 ай бұрын
Ni ya siku nyingi lakini maneno yanaishi. Aliyemwelewa Rose say hallelujah 🎉
@siphanestarichad6275
3 жыл бұрын
Oh this message is so powerfully God bless you mama.
@dominicmwendwa6999
Жыл бұрын
Wow
@user-xl9vi5vq8d
6 ай бұрын
Nakupenda sana mtumishi ninapona.Mungu akubariki sana
@faiyamulishidi9224
3 жыл бұрын
Ubarikiwe mumy nimebarikiwa sanaaa naafundisho ni kweli watu wanajidharau. Hakika mmi cio binti wa kawaidaa
@motherteresa8469
3 жыл бұрын
Dear mchungaji ongera Kwa mawaidha mazuri Kwa wadada,God bless you.
@gloriamwanjali9371
3 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu akiwa ameenda shule anakuwa na weredi
@trophywilson7211
3 жыл бұрын
Lakin bado ndoa Tanzania shida saana
@williammasatu1488
3 жыл бұрын
Hao watu unaongea nao kweli wote wanajua Kiingereza kwanini usitumie kiswahiki tu
@trophywilson7211
3 жыл бұрын
@@williammasatu1488 tunakitaka sisi huku ambao tuko nje Marafiki zetu wapokee ujumbe pia,Usihofu ndugu yuko sahihi kabisa
@merryangle9842
3 жыл бұрын
Asant dada yangu mpendwa nimekupenda bure na nimekuelewa sana
@trophywilson7211
3 жыл бұрын
@@merryangle9842 nawe barikiwa Ujumbe ni kwa watu wote
@marympemba6378
2 жыл бұрын
Mungu hajari nini ulifanya, ukitubu na kufuata njia zake anakubariki sana
@josephanyaki8478
3 жыл бұрын
Pastor Rose unanibariki sana
@naahjay7900
3 жыл бұрын
Nimejifunza kitu jaman 'a man will treat you as you allow him to treat you' dah ni kweli
@siphanestarichad6275
3 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo nakufaje kizembe jamani wanawake tunaweza hakuna kufa mtu.
@Freench20204
5 ай бұрын
❤mimi ni 🇧🇮leo umenifunza prophète nakupenda sana ubalikiwe sana
@OnlyRuky
3 жыл бұрын
Wawoo I wish nimsikie huyu dada kila week she made my day Walahi🥺🥺
@irenengowo7800
3 жыл бұрын
Amen dada
@matildajackson1535
3 жыл бұрын
Mtumishi maneno yako ni mazuri, ubarikiwe.
@nelibaba
3 жыл бұрын
Mambo mazuri...ntakuletea zawadi
@salmahassan3521
2 жыл бұрын
Una huduma nzuri, hila unahitaji kusoma Biblia sanaaa
@Kidotii
3 жыл бұрын
Rose you are anointed woman of God!
@user-hv8to1wf4h
Жыл бұрын
Hiyo nikweli kabisa
@RichMotherr
3 жыл бұрын
I love pastor Rose 🌹 🍒🍒🍒🍒🍒
@NeemaMeshaki-qm4ew
Ай бұрын
Asante mama Mungu akubariki sana tena sana kunavitu vingi nimejifunza katika ndoa yangu
@gracekagoma3231
3 жыл бұрын
This lady is very wise
@Elizabethmbithe-br7yk
5 ай бұрын
congrats pastor rose
@georginajohn8456
3 жыл бұрын
Kweli Wanawake wengi wanajidhalilisha sana kinyume na maumbile Mungu aingilie kati tu asante somo zuri
@siahmunissi6333
3 жыл бұрын
Wao wafanye maamuzi ya kukataa na sio Mungu aingilie kati,iko wapi afya ya akili kama hawatajisimamia wenyewe.
@georginajohn8456
3 жыл бұрын
@@siahmunissi6333 Biblia inasema kipindi cha Sodoma na Gomola Mungu aliuteketeza ulimwengu kwa Moto so Mungu Mwenyewe atajua awahukumu kwa jinsi gani dear
@ellakaisi7488
3 жыл бұрын
Akili yangu silaha yangu 👌
@marympemba6378
2 жыл бұрын
There some people can not be in my life, because we don’t have things in common.umesema ukweli kuhusu limitations. Ni vizuri to set a boundaries
@ceciliakasula4367
2 жыл бұрын
God bless you Woman of God, so blessed
@furahasanga2534
3 жыл бұрын
Bibilia anasema Usiyachochee mapenzi Kuna wanawake wakitoka Hapo ndoa zinaenda kuvunjika Akili ya kuambiwa Changanya Na yako. Kila ndoa inategemea mumeo Yukoje kila mtu ana tabia Yake.
@regnethmtemanyongo2237
3 жыл бұрын
Asante ni kweli
@trixiecyja2513
3 жыл бұрын
Well said..
@bellatrixblack4491
3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@amanimanase1591
3 жыл бұрын
Hujakosea ndg kwann siku hizi dini zinachochoea mapenzi? Hizi ni laana tunatakiwa tuzikemee maana mapenzi hayana shule,shule ni ww na mumeo au ni ww na mkeo
@jumamohamedi5044
3 жыл бұрын
@@amanimanase1591 nikweli kwasababu huwezi kumuambia mwanume ni mende inamaana hata baba yake ni mende hiyo si akili ya mungu nishetani huyu anawapotosha wenzie ndio maana wamama wenye hekima wamejaa kimya
@julianambilinyi3341
2 жыл бұрын
Huyu dada anahubiri dunia na mambo yake hamhubili Kristo usidangaye watu madaktari sio watumishi wa Mungu Alie juu .Labda mungu wako huyo unaemsema wa kisasa .
@lindamollel5206
2 жыл бұрын
Kabisa na watu wanashangalia anatumia saikolojia ya uchungaji kuchota akili zao mabinti sababu hawajui neno la Kristo kwhy ukiwa vizuri kitandan ndo ndoa haivunjiki eti unapambania ndoa yko kitandan aangalie mke mwema wa mithali 31 kama ana hyo sifa.Mungu awafungue macho mabinti ni siku za mwisho hzi.
Nankumbuka ile kauli yake ya kutowa mzigo wa kutosha kitandani 💪💪💪
@user-hv8to1wf4h
Жыл бұрын
Amen past ❤
@hamisdefestor9964
2 жыл бұрын
Upo vizuri pastor.ila usihubiri sana magari Na biashara kubwa kubwa.usije ukaonekana na ww tapeli km hao matapeli Wengine.Fanya mahubiri ya kuponya roho Za waumini kwanza kabla ya kuwatamanisha Majumba na magari mazuri
@stellamsokwa6785
6 ай бұрын
According to ur thinking capacity🚶
@Divine_Associates
2 жыл бұрын
Amen.Powerful message for women to know where to stand and to move on on God promises.🙏
@saramtei4371
2 жыл бұрын
Kwakweli pastaaa🙏🙏🙏
@dullahally9008
Жыл бұрын
No matter who's going their that true
@AaaAaa-pc3uq
3 жыл бұрын
asant dada umenigusa ubarikiwe🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@deborahmbondo
5 ай бұрын
Be blessed my lovely mommy
@winifridakibona5936
3 жыл бұрын
Aisee this word is very powerful. 💃💃💃💃
@NestorMAKI
2 ай бұрын
Merci pour cet enseignement
@binthawa2973
3 жыл бұрын
pastor rose nimekupend na umenifunza kit
@MalakiShauri
Жыл бұрын
Ilove yu proster rose is good woman ilove
@jamilasaid1764
3 жыл бұрын
Thanks mom
@matildajackson1535
3 жыл бұрын
Kujitambua ni silaha kubwa Sana kwa mwanamke
@isackakyoo6446
2 жыл бұрын
Pat hongera VIWANGO NA UWIANO, kuna sehemu ya kuaply Elimu,Pesa na kuna sehemu ya kuaply Nguvu za Mungu, Pst Rose hongera
@priscajustine2183
3 жыл бұрын
Amen nimependa ilo somo
@mlagz8032
4 ай бұрын
I wish i met you earlier Asante mchungaji
@alexalexander3027
2 жыл бұрын
Wamama wabarikiwe na Mungu
@modestaulambale606
Жыл бұрын
Amen
@user-pz4np8vy3j
4 ай бұрын
Nakupata vizuri Pastor ubarikiwe
@estermjenga682
3 жыл бұрын
Mambo 🔥🔥🔥🔥🔥
@gladnessanoldhiindyotanzan7983
2 жыл бұрын
Umenibariki 🙏
@joyceabeli3787
Жыл бұрын
Nimekupenda bure mungu azidi kukulinda
@marthajoseph6902
3 жыл бұрын
Safi sana Da nimeipenda kweli m'barikiwe sana
@user-ty8nd6fl4d
4 ай бұрын
Umeongea mambo mazuri na ya manufaa kwetu wanawake mimi ni mtu mzima 60 something lakini nimekukubali sana waambie hao wadada wa sasa mwanaume asikuchezee kila sehemu anayotaka yeye lazima mwanamke uwe na mipaka yako, na kuteleza siyo kuanguka simama tubu mfuate Mungu wako na atakuinua kwa hekima zake za kimungu ❤
@bodymsomali3321
4 ай бұрын
Amen
@trophywilson7211
3 жыл бұрын
Mmm kusalitiwa inaumiza kuliko kuzaa dada weee acha tu
Mm nilisumbuliwa na mtu ambae hana hta ubalozi wa nyumba 10
@lovenessibrahimu6730
3 жыл бұрын
Umeona Eeeeh Nguchiro Hawa Hawatubsbaishi
@vickysimon5459
3 жыл бұрын
big up pastor umenikosha sana na msg yako ubarikiwe
@gamabadia7318
3 ай бұрын
Rose siyo mchungaji, ni mwanasarakasi. The Bible expressly forbids women from preaching to mixed congregation with men.
@user-xl9vi5vq8d
6 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@hesbonwataka2809
5 ай бұрын
Ujumbe mzuri kweli👍👏
@zuwena1zuwena114
3 жыл бұрын
Dah umeongea kweli mie nna miaka 33 siwezi kukaa na babaangu karibu atakumpigia simu namuogopa naishia mesej au namtuma mama anisemee kitu changu kwa babal
@asiamohd5516
2 жыл бұрын
Hhhhhh pole dae
@butogwamkama
3 жыл бұрын
"Not everything that glitters is Gold"
@gambonmgaya1286
2 жыл бұрын
Mwanadamu Yesu anarudi ,utaikwepa wapi ghadhabu ya Mungu wewe usiykitu mbele za Bwana unyekee utubu Kristo akuweke chapa ya uteule ili uende naye Mbinguni sehemu ya raha isiyonamajuto kamwe.
@ashuramustafa7459
3 жыл бұрын
💪🏿💪🏿💪🏿mwanamke wa shoka
@rithamathias2944
2 жыл бұрын
Lov u pastor Rose 😍
@hidayaswai3119
3 жыл бұрын
Shaboka i get it.
@martinajames4956
3 жыл бұрын
Saf Sana paster
@MunezeroDianne-zi7uj
4 ай бұрын
Wow
@francinkhasoha3969
2 ай бұрын
Nilikua nimepoteza intrest kwa mapenzi na ndoa,let me give it a short then again
@user-jj5ps4hy4l
5 ай бұрын
Safi sana Dada yangu
@annamrima5507
3 жыл бұрын
barikiwa sana mtumishi
@eliasthomas1547
7 ай бұрын
Ameeen.
@alliyoigaly3646
3 жыл бұрын
Mtumishi kwenye kifo unaongopea hao mwenye mamlka na kifo n mmoja tu mungu pkeeee bas
@nurukhalifa9413
3 жыл бұрын
Mi mwenyewe sijamuelewa hawa wachungaj wa insta kaz tunayo
@annamtweve3193
3 жыл бұрын
Nimeelewa
@adesankaandre9434
3 жыл бұрын
anawazungumzia wale wanaotaka kufa kwa ajili ya wanaume hahahahaa anaeleweka
@trumpetoflife7312
3 жыл бұрын
Mwanaume ni wa thamani sana kwa asiye nae...ni rahisi kumsema vibaya ukiwa nae
@janethkilonzi4260
3 жыл бұрын
Hei anawambia wanaokata tamaaa na kuamua kujidhuru kwaajil ya wanaume....
Пікірлер: 291