Big up My brother Hon. Patrick Advocate of the Champions
@MathewNathan-yb2bz
2 ай бұрын
Haki itendeke na yanga yetu iendelee kuwa salama.Mungu na azidi kuibariki yanga.
@RoseMalley-dt9ub
2 ай бұрын
Amina
@abedihussenikhalfan4007
2 ай бұрын
Huyuuu mzeeee ananjaaaa sanaaa fanya kazi mzeeee uza ata kahawaaa
@johnmmbwanga5251
2 ай бұрын
Huyoooo mzee mchawii
@amanimwalimu1293
2 ай бұрын
Wazee noma sana
@muunganopetermtemi1535
2 ай бұрын
Jamani yanga ilikuwa yabakili sasa imekuwa yanga imara watu wanaanza chocho chocho lengo kuturudisha nyuma,jamani tusikubari hali hiyo iendelee,
@mkudemkoba1489
2 ай бұрын
Wasizan kuongoza timu ni sawa na kuongoza familia. Safi mwanasheri kwa ufafanuz wako
@bethmahela2182
2 ай бұрын
Asante mwanasheria umefafanua vizuri
@martinlema4192
2 ай бұрын
Nimegundua hata mimi nawezakuwa hakiku jamani... mnikumbuke!
@dullywa9973
2 ай бұрын
😂😂
@salmamustapher5611
2 ай бұрын
hakiku ndo nini
@benedictodaniel1842
2 ай бұрын
Niwachawi hao mungu kuweka kifo alikuwa sawa,
@masoudmpenda9058
2 ай бұрын
Ss tunataka maendelee ya yanga hao wazeee njaaaa ila muwasameee yanga ilivyo moto hata kama waliingia kwa mtutu wa bunduki kwetu ........ ❤❤
@JescaMartha
2 ай бұрын
Mzeeeee fanya kazi bwana
@AbdallahMgaya
2 ай бұрын
Kila la kher Inshallah😢
@MussaMathias-d1w
2 ай бұрын
Hao wazee hawawezi kuiongoza yang ni njaa tu inawasumbuua
@HalimaMaulidi-sv7le
2 ай бұрын
Juz mlicheka ya mangungu leo kwenu ama kweli mwenzio akinyolewa zako tia maji leo kwenu chekeni xaxa
@josephlorri431
2 ай бұрын
Mashauri mawili tofauti..
@MwajumaNgaruma
2 ай бұрын
Mlungu chibiduuuuu 😂😂
@ANAFIMATUMLA
2 ай бұрын
Haujitambui wew sabab hazifanan
@AishaJuma-py7ve
2 ай бұрын
😂😂ubaya ubwela
@SwediramadhaniJuma
2 ай бұрын
Acha wajichanganye tu sisi kwetu furaha
@Maryc2G
2 ай бұрын
Hao wazee hatuwataki kuongiza timu. Tunaupenda uongozi wetu wa sasa wa ENG Herse Saidi
@Shafikimanga7
2 ай бұрын
Kitaalamu imekaaje hii. Kesi ilishaamriwa na mpaka imefika kukazia hukumu ndio muombe kuingezewa muda. Lakini pili what if mahakama ikatupilia mbali ombi lenu. Lakini swali la kiakili ni kweli watu wanawezaje kuendesha kesi mahaka kuu taarifa zisiwafikie kipindi chote mpaka kumalizika kwake hasa ukizingatia ukubwa wa timu na upana wa mashabiki waliokuwepo katika kila kada? Nina wasiwasi na hili.
@geofreymwinuka-zu3fw
2 ай бұрын
Mdaa wotee huu kesi inaendeleaa mlikuaa wapi kama wanasheriaa hadi hukumu inatokaa ya upandee 1
@barakamachard1944
2 ай бұрын
Walikua hawajui kitu
@iptisamismaill-f6h
2 ай бұрын
Eti sain zimegushiwa ina maana mnataka kuwafanya mahakama kuu ni wajinga sana 😂😂😂 au hawana ueled na kaz yao
@mamboleoomary2723
2 ай бұрын
Yanga bhana eti Kila kitu wanakanusha wanasheria gan wanasubiri hadi kesi itolewe uamuzi ndio wanaamka usingizin,wanasheria wa utopolo sijui kama wana vyeti halali
Why press, kapambaneni mahakamani kwa hoja na nyie mahakama itoe hukumu
@KitumbiAbraham
2 ай бұрын
Mbona unatumia nguvu nyingi kujieleza. Maneno yako yanaoneasha Kuna shida ndani ya Yanga.
@khalifasaidi7001
2 ай бұрын
Kiukweli hawa watu sio wa kuwaacha salama lakini swali langu kwa viongozi kwanini timuyetu inakumbwa na mambo ya kisheria ya mala kwamala? Mnge tafakari hili kama panapwaya tafuteni watu sahihi inatuumiza sisi wanayanga
Hao wazee walimletea noma Marehem Manji, na kuna tukio manji aliwafokea waka nyamaza. Mie nnafikiri wanahisi kuna watu wanafaidika sana na mafanikio team inapofika kwenye pick wanasahau kuendesha team ni mziki mnene.
@abdillahimohd8614
2 ай бұрын
Kweli kizuri hakidumu Kweli njaa mbaya
@ErickRichard-kh7tj
2 ай бұрын
Hakuna aliyebushi sahihi. Inavyoonesha walisaini kweli Lkn mmewatafuta mmewapa ela wakane sahihi zao Tena mnawakana wanayanga wenzenu Tena mnajificha kwenye kivuli cha kusema ety makombe na vyote ni batili Kiongozi kamili huwajibika ili kutoa funzo Mkiongea mbele za umma ni muhimu kuzingatia aina ya watu mnaowafikishia ujumbe sio wote ni akili kisoda
@dietrichoswald34
2 ай бұрын
Ukubwa wa taasisi ya yanga uendane na uwezo wa wanasheria wake kukabiliana na maswala ya kisheria, iwe kitaifa au kimataifa. Kujirudia rudia kwa matatizo yanayohusu mikataba na kesi za ndani na kimataifa ni kiashiria tosha kuwa tunahitaji kujiongeza capacity, exposure na experience ya ku handle legal matters za klabu kubwa tena kisasa. Kitengo kiongezewe nyenzo na competent supporting staff.
@benOfficial36
2 ай бұрын
Nyie siasa ni mbaya sana, Hawa wazee ukweli wametumwa na SIMBA na sio kitu cha ajabu 😂😂
@FloraMunis-nt7lf
2 ай бұрын
Jamani wafatilieni hao watu wanataka kututoa kwenye mudi yetu tena wnatakiwa watuache kbis
@allidehunter3223
2 ай бұрын
Team magoma - tukutane kwenye like apaaa. 👇
@batistamkwele2061
2 ай бұрын
Wanamchango gani katika yanga hao wazee wala mihogo
@ZainulKiondo
Ай бұрын
sio waliojiita wanachama wa Yanga hebu nyoosha kiswahili
@EzekiaMichael-jn5np
2 ай бұрын
Akakae ndani huyu Mzee mchawi huyo sio bure
@ibrahimkasim922
2 ай бұрын
Huyu mwanasheria anayeongea hapo ana njaa Kali anatetea kibarua chake wakat ameshindwa kutetea kisutu
@johnmwasilu7087
2 ай бұрын
Kweli kabisa na muongo mkubwa
@josephlorri431
2 ай бұрын
Kama yanga sporting club haikuwa na wito wala taarifa yoyote kuhusu kesi hadi ikatolewa hukumu labda kuna yanga nyingine ilopelekwa mahakamani..
@iptisamismaill-f6h
2 ай бұрын
Uyo mwanasheria muongo sana ... yaan kaongea utumbo mtupu nna wasiwasi na elimu yake
@josephlorri431
2 ай бұрын
@@iptisamismaill-f6h tatizo ni viongozi wa yanga kumdharau mzee magoma na team yake..mwanasheria anasubiri agizo la viongozi. Magoma alikaa na hukumu yake tangu mwaka jana akisubiri yanga wavurunde kwenye ligi,yeye achochee kuni..akaona kwa usajili huu, ni sawa na kusubiri meli Airport kwa yanga kupata matokeo mabaya.. akapata usaidizi wa simba ili kuitoa yanga kwenye mstari..ubaya ubwela. Mzee kayatimba
@josiacharles2778
2 ай бұрын
Yani izi timu zetu zinapenda kiki, jambo linatengenezwa tu ili kufuraisha watu
@hakimundabila7940
2 ай бұрын
Hayo unaonaje ukayapesleka mahakani badala ya kwenye vyombo vya habari
@adudeswalehe8724
2 ай бұрын
Unasema sio wanachama wa yanga halafu mnachunguza muwapeleke mkutano mkuu wa club ??? 😂😂😂 sema KIMEUMANA
@Machozihussen-er8cp
2 ай бұрын
Mpira wa Bongo ni siasa na upuuzi mtupu uchunguzi gani ufanyike kuhusu uanachama wao? Wakati ukiingiza jina tu kwenye system itaonyesha kwamba huyu si mwanachama au huyu ni mwanachama halali mwenye kadi ooxxy hivyo y mnawafanya wadau wa soka hawajitambui hata kidogo? Issue ya kughushi sahihi huenda nikakuelewa kidogo, baadhi ya viongozi wa soka Bongo janjajanja nyingi sana na hiyo AFCON ambayo tutakuwa wenyeji kama hatutobadilika tutatolewa mapema sana, klabu tunazotegemea sana kutoa wachezaji wenye uwezo wa kupambana kwenye international football ni simba, yanga na nyinginezo, mara Leo uwekazaji wa batili, mangungu na try again hawafai, kesho Hersi na jopo lake la uongozi wapo kibatili yaani! Stupid kabisa!!!
@SHIJADAVIS
2 ай бұрын
Hapa kuna walakini, hata kitengo cha sheria cha sheria kujitathimini maana Yanga sc kuna kesi nyingi klabu imeshndwa kwenye kesi za wachezaji. Hapo kuna kitu.
@EmmanuelChrispin-bo5xh
2 ай бұрын
Wapolowapolo wahuniii!
@RamadhanMohamed-g5r
2 ай бұрын
Njaa mbaya mzee
@BarbaraPatience-qt9cc
2 ай бұрын
Mimi ni mkenya lakini NI Yanga damu! Hao wazee wasiwatishe,mkitaka tuwaletee GenZ huko wa deal nao!!
@reveliusmuchruza7952
2 ай бұрын
Walete mkawachukue hawa mbwa takataka
@iptisamismaill-f6h
2 ай бұрын
Ili swala sio swala la propaganda ni swala la kisheria..... note this points wanayanga
@amiroamiroboa8724
2 ай бұрын
Wazembe sana Yanga yaani Kesi inafikia hatuwa hiyo nyiye Viongozi Hamuelewi nini kinaendelea 😦😦😦 Club itauzwa na Hamuna Habari 😀😀😀Hata mukishinda kesi hii lakini Munafaa Kujiuzulu na Kuwaomba Radhi Wanachama na Wapenzi wa Yanga..
@shaameshaame2837
2 ай бұрын
Wananchi tumfunge mtu tuweke mbali ubinadamu. Kufoji sahihi ya mtu tuikomalie maana wajinga wapo wengi ili tuwakomeshe
@abdallahmzee4335
2 ай бұрын
Unaushaidi na hilo ?
@shaameshaame2837
2 ай бұрын
@@abdallahmzee4335 ukweli ukidhihiri uongo utajitenga mama Fatma karume yupo hai kama wamemsingizia atakuja na sahihi yake
@adelnabukuku7144
2 ай бұрын
Wasione vyaelea vimeundwa jamani tamaaa itawauwa kiukweri yaani time imekaa vizuri wanaanza kuleta chokochoko
@IssaFilimbi
2 ай бұрын
Jopo hili ndiyo lilimshindwa Bm3 Wanasheria uchwara hawa
@YustardNkongoki
2 ай бұрын
Wafukuzwe na tena wachukuliwe hatua kali ya kisheria wanataka kuvurugia furaha zetu
@MkuuuJafari
2 ай бұрын
Anawatetea mabosi zake nawe ni batili😂wazee hawakujuwi😂 (Principle )
@chescomolla5557
2 ай бұрын
Uongozi wa yanga uko kiboya sana inakuaje jambo limeanza 2020 hadi leo hawalijui ngoja wangolewe na midude isiyojua hata kusoma na kuandika ndio itajua
@johnmwasilu7087
2 ай бұрын
Ujuaji mwingi
@DStarTz-if2ko
2 ай бұрын
Wanawadanganya mbuz wao si waishtak mahakama kama wanaonew
Hivi ile kesi ya mkuu wa wilaya na changudoa imeishaje jamani , kesi ya mwijaku na kipanya imeishaje jamani, kesi ya mkuu wa mkoa imeishaje jamani
@fazo-kl9fu
2 ай бұрын
Yaaan ata alivyo kaaa tu kama katuni
@VictorChangula
2 ай бұрын
Daa kidogo roh imetulia maana duu
@ManenoMwakyoma
2 ай бұрын
Watoke TU yanga ni yawatu wengi sio ya kikundi
@David-mq6cs
2 ай бұрын
Kama hawakuwa na nguvu ya kisheria, wameshindaje kesi? Mbona unatuchanganya?
@DaudiJulius
2 ай бұрын
Mijitu mingine kuma kweli sasa hawaoni injinia amefanya yanga leo hii timu tishia Africa
@fazo-kl9fu
2 ай бұрын
Jaman aje mikoan uyo ndo atajua Kaingia Cha jeshi
@vom84
2 ай бұрын
Mwanasheria anatishia watu,
@iptisamismaill-f6h
2 ай бұрын
Mwanasheria umepuyanga sana yan umejaribu kupindisha ukweli lakin hayo mambo ni ya kisheria sio ya kishabiki na mahakama kuu imeamua kisheria , maelezo yak hayaoani pili unaelezea uko unakwama kwama ni waz unajarib kuongea kuwalizisha wanayanga that is too bad lete hoja lete fact lete evidence
Mwanasheria anatapatapa ngoma nzito. Anaongea kuwapoza wananchi lakini ukweli usemwe viongozi ni batili
@salmyhussein6255
2 ай бұрын
Kama timu ni yao wapeni, mushakula pesa sana ni mda wao sasa
@bakarirajabu3783
2 ай бұрын
Yana kuhusu wewe
@Warboyib
2 ай бұрын
Tupeni location wanapoishi tuachieni sisi kazi
@mustaphajuma2051
2 ай бұрын
tukacheze nao
@vedastusmlavumba1158
2 ай бұрын
Nawachukiaje?
@MataulaMikusi
2 ай бұрын
Wataiweza Tim au wanatafuta migogolo,2
@HanifaBruno-lv1qf
2 ай бұрын
Hao wametumwa waharibu amani ya time yetu washenzi Wakulla mbona engenea yup oragt
@dullaswahiba843
2 ай бұрын
NYIE MAKO MNAPO MZUNGUMZIA RAIS WA YANGA MNAZUNGUMZIA DUDE KUBWA LINALOISHI ANGANI SIKU LIKISEMA LISHUKE LITAIFUNIKA DUNIA MZIMA 💪
@britishsaid1700
2 ай бұрын
Ali komwe kibarua kimeota nyasi
@MalakiaMwantage-y5c
2 ай бұрын
Mbona timu iliyumba hamkugombania hivo viti
@iptisamismaill-f6h
2 ай бұрын
Ww mwanasheria usifanye mahakama kuu yetu haina akili wala ueledi ina maana watu wagushi sain wagush uanachama alafu mahakama isijue 😂😂😂😂
@kazinaimwishehe-ec3xu
2 ай бұрын
Acha ujanjaujanja watu tunajua kinachojiri
@CopperBelt
2 ай бұрын
Matapeli walizani wataingusha Yanga hahahaha Yanga iko pale pale
@AmirAbdul-v5f
2 ай бұрын
Mhhhhhhhh mpaka nimeshanga Kwan kuna panapovuja wambie wazee hao hawatofika mbinguni make ni wa hovyooooooooooo injinia jipange kuiongoza yanga miaka 100
@isaiahtzee975
2 ай бұрын
Kama kesi imeendeshwa na watu feki, na kufoji sahihi za watu, mi nadhani kesi imeisha na hao jamaa wahukumiwe kwa mujibu wa sheria!
@bjayvocal1890
2 ай бұрын
Ndo ivo watu wanaunda mbinu ili wale vizuriii
@nathanmateow9455
2 ай бұрын
Mwanasheria gani anasema wamegushi kabla jeshi alijasema na anasema wamefanya kosa la jinai kabla vyombo husika havijasema,yeye ni polisi yeye mahakama.chuo gani Cha Sheria kasoma.
@MichaelChongolo
2 ай бұрын
Kessy haina mashiko hioo
@kabhikachambala3392
2 ай бұрын
Wazee wa hovyo hawafai
@MISHELIMSAFIRI
2 ай бұрын
Hao wazee niwauni sana ko wasituvuruge wasubilie uongozi umalize mdawao ko watuachie ujinga
@davidsimbeye1548
2 ай бұрын
Hàpo hamna wanasheria inawezekanaje club kila wakati timu inafanya vitu bila kuzingatia sheria? Angalia huku kwetu huwezi kusikia vitu kama hivyo
Пікірлер: 272