Dada Pam apate msaada kweli kwa sababu ana elimu nzuri nina imani atakuwa mtu wa muhimu sana kwa jami INSHAALLAH 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@julianajacksoni4275
3 жыл бұрын
Huyu mama nimempenda bure... Ana akili mno.. Tunamuombea heri awe Sawa.. Maisha ni changamoto.. Tunapitia vitu vingi Sana. Ila pia nimejifunza kitu kikubwa Sana kutoka kwake.. Dada pili tunakupenda Sana Sana.. Natamani kufanya kazi nawe.. Be blessed
@geraldmakalala6091
2 жыл бұрын
Kwanza ni msomi
@hailinhelen4675
3 жыл бұрын
Huyu mama she is so strong and clever she need help to get out from her situation she is good enough so caind and so sweet tel use prayer 4 her
@geraldmakalala6091
2 жыл бұрын
She is educated
@awatifalghanim1106
2 жыл бұрын
Mungu akusaidiye Sister...yuko very educated. Huyo Mume alikuwa hasidi sana kwako...Daa kweli WaTanzania wamelala sana....kila kitu mnacho lakini mpaka sasa hivi Wananchi wanaishi maisha ya TABU....SISTER nimekipenda sana..
@geraldmakalala6091
2 жыл бұрын
Yuko vizuri Sana
@uwimanauwimana7692
3 жыл бұрын
Ndio mana tumeambiwa ukiwa na strees tukimbilie kwenye swala na msikitini 😭😔
@davidcurtis8556
2 жыл бұрын
Ukiwa huna stress ukimbilie bar au starehe au usahau kama Mungu yupo, ushauri wako ni sifuri kabisa, na wengi hupotoshwa na hata so called manabii fulani wenye makanisa yao hapa duniani na maaskofu na wachungaji ndio wanawaambia waumini wao maneno hayo ukiwa na stress basi kimbilio ni ibada je ukiwa huna na wengine husema kabisa usisubie mpaka mambo yakawa mabaya sana, Maneno ya Mungu 👉🏽Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Kwa ufupi ili kuepuka tabia zote chafu zisizompendeza Mungu na hata katika jamii sio nzur na tabia nyengine za sirini, Tunapaswa kujiuliza swali hili 👉🏽Kwanini tupo duniani? Lengo kubwa hasa la Mungu kutuumba ni nini? kwanini Ametuumba na kutuwekea pepo na moto? MAJIBU: Tupo duniani kwasababu ya Mungu na sio mali au watoto au wazazi wetu. Lengo kubwa la Mungu kutuumba: ni kwasababu anataka Tumuabudu yeye tu. Sio mti sanamu jua wala mizimu. Ametuwekea pepo na moto kwasababu ametupa makatazo kupitia kwenye Amri zake kuu yapi tunatakiwa kufanya na yapi hatupaswi kufanya chaguo ni letu, kwahiyo kila tunachofanya hapa duniani ni sisi ndio tunachagua. Tuwe na hofu ya Mungu kwa vitendo ndio njia pekee ya kuepuka kila lililo ovu.
@darajalakidatukilomgi2362
3 жыл бұрын
Pam anza na kukubali ukweli, ukielekeza lawama kwa mtu, kwamba amekuingiza kwenye dawa utakua bado unaukimbia ukweli, Hatua ya kwanza ya kupona addiction ni kukubali uliingia mwenyewe kwenye madawa
@mwanaishazain7985
3 жыл бұрын
Hakika huyu alitaka mwenyewe. Asilaumu mtu yeye hakubali alikosea narudi nyuma ajisafishe
@khadijamasoud3936
3 жыл бұрын
Nakweli kabsa
@leokamil6284
2 жыл бұрын
@@mwanaishazain7985 Nani mbaya sana mtu kukataa ukweli mtu akitaka kupona ni lazima ajikubali na kukubali ukweli. Shida ya huyu Dada anajua sana si rahisi kubadilika kwa kuwa anajiona anajua sana fikiria mda wote yeye anaongea tu kujisifu haoni anashida. Mungu amsaidie
@happynelson1136
3 жыл бұрын
Watu wa madawa wanaongea sana mpaka mb zinakwisha
@sabihahamadi2287
3 жыл бұрын
Subuhanallaha yarabi tunusuru sisi na wazazi wetu piya wanusuru watoto wetu kwani huuuu ni msiba mzito inasikitisha sana hongera dapili mungu akuhifadhi na mitihani yote yaduniya. Unapo vaaaa hivo dada unazidi kupendeza mashallah
@mariamhannif313
3 жыл бұрын
Inshallah m mungu atakufanyiaa wepesi dada pam nimzuri. Na yupo vizuriii kichwani
@evahcharles4032
2 жыл бұрын
Duuuh. She is very strong kwakweli mungu amsimamie Zaid
@saadysaidzahaze5980
2 жыл бұрын
Sister pam your the great woman change and teach us life
@clotildamassawe106
2 жыл бұрын
Nimekupenda sana, unaona mbalii Mungu akufanyie wepesi
@treasurerussel3422
Ай бұрын
Whitney alikua role model wako nae alikua anavuta madawa ya kulevya
@msowamhokole7714
3 жыл бұрын
Napata shida Naona Kama Mama alijua anavuta Ila alikuwa anajaribu na gari likawaka mazima
@leokamil6284
2 жыл бұрын
Too much know hufanya watu kujaribu vitu Mungu tusaidie sana afadhali kuwa mshamba kuliko kujifanya mjuaji
@khadijasalum2302
3 жыл бұрын
She is clever huyu mama mola amfanyie wepesi awache hii drugs
@Mku-wa-waku1
3 жыл бұрын
Mama mungu azidi kuku simamia, azidi kukupa nguvu mama. Amen Amen
@shaphiasabani5760
2 жыл бұрын
Mama samia anatoa nguvu au?
@awatifalghanim1106
2 жыл бұрын
Amin
@khadijakheir9323
2 жыл бұрын
Walai mitihani mola atamfanyia wepesi
@sekilonge
2 жыл бұрын
I miss her,am so happy kumskia..mekumbuka mbali nkiwa nae alikua ananifundisha mengi Sana mtaani..kuna siku nlikua na changamoto kubwa Sana Dada alinipa courage Sana..May God grant her serenity to accept things she can change and courage to change things she can and wisdom to know the difference..stay clean and keep coming back Dada..we do recover🤗❤️
@saidhassan6547
2 жыл бұрын
Mungu atakupitisha my smart aunt pam
@lucyheigre1974
3 жыл бұрын
Kipindi kizuri saaana,lakini punguzeni background music is soo loud
@khdigahk4246
3 жыл бұрын
Daah maskini
@nicolenabintu2509
3 жыл бұрын
Ana sauti nzuri, very sexy 😍
@mariamhannif313
3 жыл бұрын
Unajuwaaa kuhielezaaa mashallah unakipaji dada
@frankmsaki62
3 жыл бұрын
Lnamkumbuka huyy dada alitamba sana ITV kipind kile nimesahau nyimbo zake mungu amjalie
@nadiaally9022
3 жыл бұрын
Nadhani atakuwa Pamela aliyekuwa anaimbia band ya Mawingu na Othman Njaidi.
@aishaomary7984
3 жыл бұрын
Mungu mlinde huyu dada
@kiehbhzh7044
3 жыл бұрын
mtangazaji mashallah umevaa vizuri sn Allah azidi.kukuhifadhi na vazi lako hilo na pia watumiaji wa dawa za kulevya Allah azidi kuwaongoza na kuwatoa ktk hilo janga la dunia
@kadijahajali3918
3 жыл бұрын
Hao wanaotumia dawa za kulevya wanapoteza mawazo tatizo ndiyo hivyo mm sihitaji mashaka hayo hata mtu anavyuta singara hatueliwani
@rahimumlulu9023
2 жыл бұрын
Tafiti zinatuonyesha kuwa watu walio kulia mazingira yenye stress utotoni ni sababu kubwa ya wao kujiingiza katika madawa ya kulevya. na hata wanapopata stress ukubwani hujiingiza katika vilevi na uvutaji. Muyu mama anatumia sigara kama tranquilizer na kitu cha kujifariji. Wengi wa waathirika wa madawa ni wahanga wa malezi ya utotoni. na stress za ukubwani.
@leokamil6284
2 жыл бұрын
Sio kweli kwani ingekuwa watu wanaopitia shida utotoni ndio uharibikiwa ingekuwa wengi kweli .Mimi nadhani kuiga ndio moja wapo na kushindwa kujizuia endapo marafiki watamuofa mtu kitu ambacho hakijui madhara yake.Kuna kitu kile cha kutaka kuonekana mjuaji mbele za marafiki hiyo hugharamia watu big time .
@sharifajuma596
3 жыл бұрын
Jmn hii hali nisikie tu dawa za kulevya ni hatar mimi niliolewa na mtu mweny matumizi ila nilikuw very strong sikujaribu hata kunusa
@noreenrowland6063
Жыл бұрын
Wewe jaman ukawezaje ?!
@fetychina3273
2 жыл бұрын
Hii kitu ni mbaya yani ukitumia lazima ubadirike hauwezi kuonekana sawa sauti afya japo mama ananijelewa lkn inakubadirisha tu tumuombe Mungu atuepushe na aepushe vizazi vyetu🙏🙏
@fetychina3273
2 жыл бұрын
Mungu atakutoa kwenye huu mtihani mama yangu🙏🙏🙏
@omanigaming6430
2 жыл бұрын
Mungu atustiri na vizazi vyetu
@rayahamisi118
6 ай бұрын
Sio makosa yako😊
@georgenyoni9879
Жыл бұрын
Daa pam ,oyaa msela oya yule dada pekee maiaka ya 90 kwenye Ile video
@ernestoemiliotomas8830
2 жыл бұрын
Uyu mama Pam namonea uluma sana
@aminakawawa5800
2 жыл бұрын
Ww dada yetu pili ni mdogo sana mwili tu jamani 🤲🤲
@pamymasha8171
3 жыл бұрын
Daaa so sad aisee😔😰
@saudambinga3832
3 жыл бұрын
Asaidiediwe uyo mama jamani
@happynelson1136
3 жыл бұрын
Huyo mama siyo faiza
@lucypeter6477
3 жыл бұрын
Daaah Huyu mama So Sad😭😭😭😭 Huyu dada Kaniuma jamaniii nina Ndugu zangu wengi walienda Nje Mwisho wa Siku wemeishia Kula Unga Tu na Kufariki na wizi juu london imewaharibu kabisa🥺🥺🥺🙌🏾
@arafakiloli749
3 жыл бұрын
Pole sana jamani
@ukhtyrayyan7884
3 жыл бұрын
Huko walipojiweka ndo yakayakimbuka. Mie nipo mwaka wa 20 natupo nawatu namihadhara mashaAllah naharakati zadini yetu sijavutapo hata sigara
@lucypeter6477
3 жыл бұрын
@@arafakiloli749 Yaani Acha Tu maisha Haya Unga Sio kabisa Nilikua Baba Angu mdogo Akiacha Anakua Very smart, akianza Tu kula Unga Anakua Kama mwehu mara Aibe mara Auze nguo zake Alishafariki hana Mtoto wala Familia😭😭 Kujukuna Sasa Miguu Sijui ndii Alosto🥺🥺🙌🏾🙌🏾
@lucypeter6477
3 жыл бұрын
@@ukhtyrayyan7884 Kherii yenu Labda Na Cilcle ya Watu ulionao tu wengine Ndio maisha Huwa Yana haribikia Humo humo🤦🏽♀️
@khadijauvuruge9700
3 жыл бұрын
Uyu mama pia katangaza tangazo la sabuni za kodray tangazo la zamani sabuni kodrai sabuni kodrai
@rahimumlulu9023
2 жыл бұрын
marafiki na hata watu wanaotuzunguka wanaamsha tu mzimu ulio lala ila tayari wana sababu za kutumia madawa ama vilevi.
@queenandchill91
2 жыл бұрын
Nilitaka kushangaa Pam Daffa ...Pam D ndo kawa hivi?????? Duh ningezimia kabisa leo😳
@kadaawizaa5588
2 жыл бұрын
Only God knows.. Maa. Kupotea jia dio chazo Chakufahamu unako kweda ..
@nadiaally9022
3 жыл бұрын
Masikini Pamela alikuwa muimbaji wa mawingu.band, wimbo MSELA aliimba chorus. Akiwa na Othman Njaidi. Mungu.mpe uponyaji.
@mbuyancholla2852
3 жыл бұрын
Jamani huyumama bàdo yupo mungu mkubwa
@kadijahajali3918
3 жыл бұрын
Heee mtihani huo vuta tena vizur sana unapunguza mawazo bass
@engzuberir.akilenza1764
2 жыл бұрын
Huyu mama ni muongo na watoto wake wasipotumia akili zao wakafuata porojo za huyu mama watamchukia bila sababu baba yao. Hilo tumbo tayari ishakuwa tatizo na haya mambo ndiyo yanatuharibia Dunia mambo ya single mother, madawa ya kulevya. Hovyo Sana.
@theluckfamily4711
2 жыл бұрын
Wew ulikuepo unayajua maisha ya usanii mbona una hukumu bila kujua Muombee na uombee familia ako Kama hayajakukuta utaropoka Ila usiombe
@theluckfamily4711
2 жыл бұрын
Unaleta u engineer kwenye maisha mshukuru MUNGU ajakupitisha kwa ilo
@janelucas9616
3 жыл бұрын
Kimombo kimo
@abasiviguro3567
2 жыл бұрын
Jamani Pam d au huyu ni mwingine
@laylatabdallah2796
2 жыл бұрын
Mbn hamtuoneshi sura
@zainabmbarak1043
3 жыл бұрын
Alikuwa anauza aidia ila rz hata mtu ukimpa aidia hajali anaona kawaida tu
@khadijakheir9323
2 жыл бұрын
Nani huyu
@happynelson1136
3 жыл бұрын
Faiza huyo
@halimajaphet8926
3 жыл бұрын
Da pili nina ndugu zangu wameadhirika na pombe mpaka wanalala nje wako ubungo msewe unanisaidiaje dada yangu
@soberhousetv2245
3 жыл бұрын
0715744464
@saeaaa8571
3 жыл бұрын
@@soberhousetv2245 hiv kam mtu anakunywa tu pbe kupitiliza ila havuti madawa naye mnaweza msaidia akaacha jaman.. Nina kaka yang jmn ana akil San n ni mwandishi w habar mzur sana lkn pombe jmn imefukuzisha kazi naumia mm n hasa nikiwaz a wale watt alionao achen tu
@soberhousetv2245
3 жыл бұрын
Ndio wa pombe anasaidiwa pia
@saeaaa8571
3 жыл бұрын
@@soberhousetv2245 aisee ngoja tufany mpango aje maan jmn kachakaa sbb y pombe... Hamuheshim mama ake hat kidog yan akilew anamaneno machafu mno.. Ana wtt wana akil San n yey ndiy tegemeo lao lkn pombe zimemharib vibaya mno
@tranchescoanthony2509
2 жыл бұрын
Kwakweli addiction ya pombe ni janga kubwa sana,,,,mpaka mm nimeamua nihamie nchi za kimsimamo wa kiislam ambako pombo huwezi kupata,,,pole sana ila ndugu zako wataokolewa kwa neema,,,,watu wanasema shetani anaishi kuzimu lakini ukweli ni kwamba shetani anamaisha imara kwenye kwenye pombe,,sigara na dawa za kulevya,,aminini hivo ndugu zangu
Пікірлер: 87