Watching from saudia aribia.niko.saudia.miaka.10.but.God.is.good
@eunicemwangi6259
19 күн бұрын
Mercy,is,my work mate,in Qatar
@rebeccawangui8808
21 күн бұрын
Kupeana simu ni redflag kwa mwarabu
@eunicemwangi6259
19 күн бұрын
Mercy,is,my,Walkmans,inqater
@JaneWanjiku-wi5ho
21 күн бұрын
Woiyee madam nimesikia story Yako , pole mm nko Abha nko poa sana
@user-jb6ej1hj4p
2 күн бұрын
Abha wapi mm niko Abha
@JaneWanjiku-wi5ho
2 күн бұрын
@@user-jb6ej1hj4p Sasa sijui visuli sijakaa sana nko n 4 bt sio town n kijijin
@user-lo1vo1or5c
18 күн бұрын
Hio ni uongo ,acha kuchoma tuko huku miaka 6 saaii akuna kitu kama hio uku
@michaelmwangi3221
14 күн бұрын
Wengine tuko hapa zaidi ya miaka kumi
@rebeccawangui8808
21 күн бұрын
Na vile ukilala na kijana ya mwarabu unauwawo
@user-fu1ui1sn9o
17 күн бұрын
Hio niuogo mtupu mm nimekaa huko miaka tano
@lucylight9341
14 күн бұрын
Kwani uko kwa nyumba yenye anaongelelea ....I believe anything said Abt Saudi coz its possible.... Saudi stories make me think it's the hell itself🏃🏻♀️
@shelmithwilliams8747
11 күн бұрын
Kwani umezunguka nyumba zote za waarabu Wacha muchene
@rebeccawangui8808
21 күн бұрын
Hapo kwa umaraya umendanganya mwarabu haezi fanya iyo kazi juu anajua shaghala akimreport atapigwa fine😂😂😂 clout chase
@davidweyime748
19 күн бұрын
Not unless unajua hao waarabu wote kwa hio nchi..
@kenmn7982
19 күн бұрын
Haja clout chase is true labda wewe sio kemboi ndio useme hivo. Mimi Niko na namba za waarabu wawili mmoja black ako huku Riyadh mwingine ni white ako majma. They do that work huwa wanauza mashagala. Kwa waarabu and ilihappen kwangu personally huko majma desert but Mimi nilitoroka ma dog ndio ziliniokoa I will never forget
@kenmn7982
19 күн бұрын
Na juu ni mapolisi. Huwa wanatumia hiyo opportunity juu wanajua huna igama wee ni kemboi I have even audios for evidence juu after nilifaulu kutoroka walinitafuta wakiniambia watanilipa. Niwapee wasichana watanilipa Kwa kila msichana 1000riyals
@kenmn7982
19 күн бұрын
Na pia. Nimewahi pata msichana ameuwawa huku Tu Riyadh place inaitwa nathim Niko na mpaka location na namba ya msichana WA huyo mama juu nilitoroka usiku juu niliambia dalala akaniambia hawezi nisaidia juu anajua hiyo familia ni mbaya huyo dalala nasemanga siku nitaenda Kenya lazima nitamtafuta juu alikuwa anajua na akanipea hio kazi na saa hio anajua hayuko Saudi Kenya
@AliceWangui-jo5vm
19 күн бұрын
Acha kiherehere Hawa wanatufungia macho na kutuomba ni ww😢
@doreenshii563
19 күн бұрын
Itanda 50 ciumite kū na andū aya mendete gükoma thì takì😮😮😮#my opinion
@Shirushiks-qc1kd
18 күн бұрын
😂😂😂
@doreenshii563
18 күн бұрын
@@Shirushiks-qc1kd imgn ni ukweli makomaga thì ta thuya 🤣🤣🤣🤣kama uko gulf najua unaelewa
@Shirushiks-qc1kd
18 күн бұрын
Kabisa nakuelewa mama awa watu awapedi bed
@lucylight9341
14 күн бұрын
Mimi niko kwa king na vitanda naona huku ni smart ata sijai ona kama hizi ....but this lady is telling of vitanda ambazo zilikuwa za biashara furani . anything in Saudi ni possible 😂
@michaelmwangi3221
14 күн бұрын
Ladies should be banned completely from entering Saudi... cjawai ona mwanaume narrating anything negative about Saudi kwani ni nyinyi tu huteswa
@lucylight9341
14 күн бұрын
Maiko wazee huingishwa nyumba ya wazee tupu huko na yenye hufanywa kwa mwanaume akitoka hapo hakuna kuongea coz haezi ongea haezi tembea haezi sikia na haezi pumua .Soo girls are ble to run away but a man woiiii ....Siri ni nzito .
Пікірлер: 31