Kama yanga wakikurupuka ndo hivi wanabeba ubingwa waendelee tu kukurupuka zaidi ya hapo sis tuna enjoy💛💚
@hassanmwallimu5767
26 күн бұрын
Your very intelligent Mwinyi Zahera because you can’t register somebody which you got already someone more than like him
@amaniomar1755
26 күн бұрын
It's not that easy to understand what's happening at Yanga SC right now. Be patient and wait for the results on AUG 8 in the community shield match.
@jumamustapha8254
10 күн бұрын
Zahera umepata timu, kwa heshima tunayo kuheshimu kwa yale uliyotufanyia, acha kuzungumzia usajili wa yanga, fanya kazi ya timu yako ya Sasa.
@JumaMigezo
26 күн бұрын
Alie amini kuwa mwinyi zahera anatafuta kazi agonge like
@issaselemani491
25 күн бұрын
Tunahitaji kikosi kipana na timu haizuiwi kuchukua mchezaji kutoka kwa mpinzani wako.Hao unaowataja ni wachezaji wazuri pia wala siyo wabaya.
@athmanimkangara9290
25 күн бұрын
Mkude & Chama political signing
@hajimnubi4581
25 күн бұрын
First eleven ni wachezaji 11 kocha hawawezi kuwa timu nzima isipokua ili kazi ya kushiriki mashindano yote bila shida unahitaji kuwa na kikosi kipana,faida ya kuwa na kikosi kipana ilionekans kwenye mechi ya mamelodi baada ya kukosekana kwa kina Aucho na zuzua
@makabemwita4843
26 күн бұрын
Fuatilieni namna Bayern Munich ilivyokuwa unafanya ilo ku dominate soka la ndani, lazima uhakikishe timu zingine hazikai na wachezaji wao wazr, wakati Bayern Munich inawachukua akina Mat humes, kwani haikuwa na mabeki.
@abdallahidrisa710
26 күн бұрын
Huyu hana lolote aliuza timu. Hivi shishimbi na chama yupi bora.
@thomasdimme7899
25 күн бұрын
Coach ur wrong au unawaonea wivu yanga
@BennBenn-es5fi
26 күн бұрын
Huyu kocha anajua mpira. Na ukwelii anaipenda sana Yanga.
@vertasmtenga2982
26 күн бұрын
Huyu jamaa akiwa kocha team inacheza Kama inasinzia flan hivi
@user-eu6gl4vs1o
25 күн бұрын
Haikuhusu tulia Namungo
@boscomalangalila
25 күн бұрын
Zahera huna lolote Rudi kwenu Moira was Tz umekushinda
@makabemwita4843
26 күн бұрын
Nani atampa kazi huyo ni dalali tu timu zimeishamjua, labda achukuliwe na Pamba, alichemka Yanga, Polis Tz, Coastal na hata Namungo kachemka anabaki anazurula tu kusema Mpiyaaa, sijui ndo lugha gani hiyo.
@djnyosoofficial305
26 күн бұрын
Zahera juuu
@joshuamwambene2874
26 күн бұрын
Mbona timu ilimshinda atuache na timu yetu
@amosicommedy6917
26 күн бұрын
Ameshindwa kusajili timu yake ibaki ligi kuuu kaacja ishuke kashusha na Ingine
@ErnestJosephat
26 күн бұрын
😂daaah
@Kabeya410
26 күн бұрын
Zahera mwehu tu roho mbaya chuki na husda yeye zahera katuletea kindoki pumbavu zake mshenzi tu huyo shishimbi duka amchukue yeye mbwa yeye na shishimbi
@marcobulili4341
26 күн бұрын
Kweli kocha!
@mussandikumana3561
26 күн бұрын
Ni team inaelekeya kuanguka unajaza wachezaji wenye wameisha kiwango chama ata Simba alikuwa anatoka bench siku moja moja yani awajui ata atacheza fasi gani
@jamesbernad1645
26 күн бұрын
Kolo bhana😂😂
@husseinshabani9522
26 күн бұрын
Ni kweli kabisa Uyasemayo
@speciallvoice8091
26 күн бұрын
Uyu jamaa Yuko vzr sana Zahera nakukubali
@amaniomar1755
26 күн бұрын
Safi sana kiongozi 🎉🎉🎉
@user-iz3hs8jl5p
26 күн бұрын
safi kwenye hamna kwahiyo akina debora na akina vale ndo wana uwezo kuliko chama na dube? acheni kupotosha watu huo ni upuuzi usio na maana o
@muhamedjaffar5653
26 күн бұрын
Kweli zahera umeongea facts sikuona umuhim wa kusajili sajili izi.tumesajili kwa mihemko
Пікірлер: 31