Belle histoire!!! Much love from. Burundi❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@NdukuOkero
9 ай бұрын
Asante Sana Sanjdat Unaona Waswihili Walisema Mvumilivu Hula Bibi Docter Msimamo Wako Ulikiwa Mzuri Kabisa Uliamua Kama Mwanaume Ukafanya Wazazi Wake Bibi Yako Wafurahie Iko Na Mafunzo Mazuri Kabisa
@timesaleh6756
2 ай бұрын
Asante sana anko j wetu ni mara ya tatu naisikiliza hii simulizi tumejifunza mambo mengi kikubwa subra ❤
@catherinekazeze167
Жыл бұрын
wanaume kama doctor wamekufa vita ya kwanza ya dunia duuuuuuuu mwanaume na nusu daaa ase bravo tu you daaaaa
@elizabethmburu2210
Жыл бұрын
Hongera anko jay Kwa kazi nzuri mbarikiwe team simulizi mix
@elizabethmburu2210
Жыл бұрын
Napenda sana simulizi mix Kwa kua zinamafundisho tosha
@husnalalu008
Жыл бұрын
Mungu akubarik sana anko j usimuliz wako na hicho kipaji chako aallah akujalie kher ziada Hii simuliz ukiwa unaisikiliza adi mwil unasisimka yani daaaah...!!!
@neemanassoro3155
Жыл бұрын
Duuuuuh we j ww umeweka nn ww kwenye iz class special for real I like man of fair decision or man mweny vision nampenda Sana spend awe romantic ila awe vision km Abdul mungu akupe life ndefu broo ❤️💖💞
@neemanassoro3155
Жыл бұрын
Unakipaj congratulations 🧠
@doricaonyango566
Жыл бұрын
@@neemanassoro3155
@jeniphapetro2372
Жыл бұрын
dah simulizi zuri san jaman asante anko j uko vizuri san
@STARJAMAL-my4mq
6 ай бұрын
Anko Jay hongera listen from Uganda
@RahelIbrahim-id2li
5 ай бұрын
Karibu Tanzania
@saadamohammed7431
11 ай бұрын
I love ancojay very nice this story mashalla ❤❤❤
@sulehahassan
Жыл бұрын
Wanaume kama hawa wapo wachache mungu nijahaliye kama huyu amina
@AmaniDaudi-lo6gx
11 ай бұрын
Ankojey mungu akuweke uzidiekutuelimisha kwaehadth zako
Simulizi nzuri sana nairudia kila mara inanifaraji sana
@christianmoris7749
Жыл бұрын
Aiseee nimeipenda nimejifunza kitu daaah uvumilivu huu
@aminaomarimaidi
Жыл бұрын
Saidati pole yaani uepambana Mwanamke anatakiwa awe hivyo
@سيدا-ص1ز
Жыл бұрын
Kweli kabisa lazima uvumilivu uwepo hakuna ndoa usio na misukosko
@elizabethmukeba2528
Жыл бұрын
Simulizi nzuri kupendwa raha taratibu yavuta heri
@halimakhamis4191
Жыл бұрын
Yaani hii stori ni nzuri mm huwa napenda stori za mtunzi Sabrina na Brianna nawakubali Sana Hawa wadada wako vizuri
@elizabethmukeba2528
Жыл бұрын
Simulizi hi inapendeza sana I inanifunzamengi ni mapito
@RusyJackson
7 ай бұрын
Yani wewe ankoj kwa kujisifia hodali😂😂😂❤❤
@ramadhanomar5143
Жыл бұрын
story taamu Kisha Ina mafundisho Subra muhimu shida hazidumu milele sahali hupatikana mwishoe aso Wake ana Mola
@fatmahamadkhator4202
Жыл бұрын
Anko J simulizi hii nzuri sana na kama ipo kama hii tuwekeeee
@emmilianabetwely6870
Жыл бұрын
Anko jay weka picha Yako basi na si tukuone jmn plz anko❣️❣️❣️
@RahelIbrahim-id2li
5 ай бұрын
Ingia you tube andika anko j simuliz utaziona picha zake
@beatricewambui8448
Жыл бұрын
Wooow nice story 👌 I wish I could get the good love like that of doctors uuuuuwwwwiiii tamu tena sana
@elizabethmukeba2528
Жыл бұрын
Doctor unabusara kweli ni funny kubwa
@SheladSalum
8 ай бұрын
❤❤🎉🎉
@AdmiringGrazingCows-im1kh
8 ай бұрын
Doctor moto mzuri
@christinathomas1289
Жыл бұрын
Nimeipeda sana hii story jamn. Abdul kanifurahisha hakika n upendo wake. And uncle J upo vizur ktk kusimulia
@ziadamtebwa3712
Жыл бұрын
Wawooo hongera kwa kutoa balaa la Rehema ninzuri sanaaa
@bettywayera8501
Жыл бұрын
Ni nzuri sanaaaa,,,,,,
@JescaKawiche-gb5hf
Жыл бұрын
Safi sana bidada nimejifunza uvumilivu. Big up kwa mumeo. Bonge la mume safi sanaaaaaa
@elizabethmukeba2528
Жыл бұрын
Simulizi nzuri sana naipenda sana anyone j
@ayishaayi5205
Жыл бұрын
anko j mm nataka nikija Tanzania nikuone maana sio kwa kujisifu huko ila nakupenda maana unatuburudisha kaka yangu kipenzi mwenye
@joanesasalavaleriano9980
Жыл бұрын
Nimerudia mala 11 mpaka bando linaisha anko j mungu akupe nguvu utudondoshe moto🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇲🇿🇲🇿
@VeronicaAbu
Жыл бұрын
Asante ni simulizi ya mafunzo mzuri sana
@SuzanWilliam-h5f
Жыл бұрын
Wanaume kama abdul wajengewe sanamu
@RahelIbrahim-id2li
5 ай бұрын
Na hekalu
@hijamwinyi3233
Жыл бұрын
Mkali wa simulizi anko jay ❤️❤️❤️
@SheladSalum
8 ай бұрын
Hadithi ❤❤🎉🎉
@conslataadhiambo774
Жыл бұрын
Asante Anko hey kwa simulizi nzuri ya mafunzo nimejifunza kitu. naisikiliza nikiwa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@عائشةال-ل6ص
Жыл бұрын
Amiin mungu azidishie khr inshhllah
@RoseMbuya-cn5dg
8 ай бұрын
Jamani🎉🎉🎉
@ziadamtebwa3712
Жыл бұрын
Asante sana Anko J simulizi nzuri yenye mafundisho he Rehema unataka ndoa ya lazima
@Aminuhaminah
3 ай бұрын
Simulizi nzur sana ❤❤❤
@halimahaji3856
Жыл бұрын
hahahaa anko jay kwa kujifagilia😂😂😂
@SaadaNguo
3 ай бұрын
Mambo unanikosha Kwa kweli❤
@ibrahimugama9635
2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
@Grace-ev6kf
Жыл бұрын
Waaao simulizi nzuri sana,asanti kwa simulizi
@mwanaally4972
Жыл бұрын
Daaah hii story nzuri xna najikuta mpak nairudia rudia 🥰anko j ww ni 🔥🔥
@marysamuel2401
Жыл бұрын
Love Jamani hi story imegusa maisha yangu japo Mimi mwanaume akuwa na msimamo kama wa hamduli ❤️❤️❤️❤️ anko jay
@kezasabrina5519
Жыл бұрын
Daaah nilikuw wap mie muda wote huu😀nimeipend san😘😘
@evelynlyimo1557
Жыл бұрын
Swadakta hii story ni murwaaa, nimeipendaa..anko just vipi muendelezo wa tamthilia (huruma yangu imeniponza) part 2 please.. My all time favorite story is penzi la my boss,(Mr.c,e,o) na ile ya kijana Sebastián (seba)Samuel,,,halafu umetuahidi your own story anko j nail-biting.. be blessed
@saumunyadzua
Жыл бұрын
Pia mm naipenda sana Mr c.e.o
@MwajumaMbwesso
10 ай бұрын
@@saumunyadzuaile mr c.e.o ni moto sanaa yaan acha tu
@aminhakhamisi5320
Жыл бұрын
Waaoo this amazing story my brother 🌹🌹🌹
@masukazu7989
Жыл бұрын
Mungu hamfichi mnafiki aibu Rehema kaumbuka
@queenlee2701
Жыл бұрын
Jaman zimulizi tam sana nime ipenda 😘 na nime jifunza kitu pia asante kwa simulizi nzur✌
@MariamJonas-v8d
Жыл бұрын
Nimejifunza mambo mengi sana
@ziadamtebwa3712
Жыл бұрын
Mashallah sajidat
@khadija.kkhadija.k7885
Жыл бұрын
Asante anko j kwa simulizi tam nimejifunza
@aminah9557
Жыл бұрын
Rehema kaumbuka jamani 🤣🤣🤣🤣
@Princessrita1
Жыл бұрын
Sana 😂
@aishashomali2716
Жыл бұрын
Hujawai kosea ankoo j 🥰🥰🥰🥰
@everlinekenga437
Жыл бұрын
Nasikiza simulizi kutoka Dubai nakupenda sana ako Jay ❤️❤️❤️
@hassnakhamis3489
Жыл бұрын
Uko sehemu gani 😢dada
@hopestudiolabochezdestin5650
Жыл бұрын
Whaaoouh simulizi nzuuuuuri saaana
@emmanueltesha6737
Жыл бұрын
Moto juu ya moto ndani ya smixApp
@MariamJonas-v8d
Жыл бұрын
Nzuri sana hii simulizi
@groveyagroya1280
Жыл бұрын
Aunko j unavopenda kujisifia MI ndo napendaga tu
@RuwaydaIssah-hx5xr
Жыл бұрын
nakupenda San saut yako jomon
@ElizaSada
3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@zuwenazuwena1928
Жыл бұрын
Kuvaa kiatu chalehema kinaniumiza sana
@AgnessLorry
5 ай бұрын
Anko j nakupenda sana tena sana
@shadyasalum192
Жыл бұрын
Anko jay mwenyewe tunainjoi na simulizi tamuuuu my doctor tusikilize halafu tutakoment tena 🥰🥰🥰🥰
Пікірлер: 236