Nandy is glowing and growing. Kelele za chura hazizuii chochote
@aminaomary5567
2 жыл бұрын
Karibu sana nyumbani kwetu songea,ila mwanangu nandi uwe unavaa nguo pana usivae viguo vya kubana tumbo hilo linaenda uķingoni au sio.
@lovenessaron2669
2 жыл бұрын
Tulia Nandy 😍 wetu,Nandy Achana na huyo kichaa mwijaku hajitambui wala asikusumbue kichwa kipenz,Furahia Ndoa yk na Muziki wako 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@sadanassor6158
2 жыл бұрын
MashaAllah mr and mrs William
@sharifanyumayo6314
2 жыл бұрын
Hongera mno na karibu sana nyumbani kwetu twawapenda mno. Ila nandi mdogo wangu ungepumzika kwani jmn naumia cz najuaga inavyochosha hyo hali.
@kitomarijames3507
2 жыл бұрын
Watu wanatofautiana
@Ann-Strong
2 жыл бұрын
Hayo ni mazoezi yatampa uharaka wa kupata mtoto kwa njia rahisi bila shida,. SS wanawake tupo happy hajajilekeza
@kitomarijames3507
2 жыл бұрын
@@Ann-Strong 🔥🔥🔥
@adilaibrahim2069
2 жыл бұрын
@@Ann-Strong pole
@allyabdallahally9637
2 жыл бұрын
Ndio ya kwanza bado ana nguvu
@Userog254
2 жыл бұрын
Kiki hizo hamna ugomvi mwijaku na Nandy
@mwanaidsalehe1109
2 жыл бұрын
Achananao nandy wangu wachawaseme piga kazi.
@malina9320
2 жыл бұрын
Beyoncé and Jay-Z mungu awasimamie maana hakuna anaependa maisha yenu
@nadanasser1020
2 жыл бұрын
Wooow karibu songea kwetuuuuuuuuuuu
@mdta8161
2 жыл бұрын
Mashallah mumependeza sana
@jan6703
2 жыл бұрын
Yeah hasa hizo sun glasses 😠😠
@SophieSpira
2 жыл бұрын
Billnass mchunge mkeo apumzike maana ni mja mzito, asipate nuksi akizaa. Nandi ni mwanamke mwerevu sana na taajiri, kwa hivyo lazma awe na maadui wengi wa karibu. Mlinde na umuombee sana....
@nahanakadiri3969
2 жыл бұрын
Sophia ckia Nandy wala billnas awawezi pata nukc,balaa Wala mkoc ivi unajua nguvu za MUNGU walizokua nazo?!unamjua MUNGU wanaemtumikia awezi ruhusu mazingaumbwe yyte yawasogelee maana Ayo sisi tunaitaga mazingaumbwe fake power,Apo hao wako na nguvu origional hakuna anaewasogelea weee
@adamfundikira4556
2 жыл бұрын
@@nahanakadiri3969 yaani katika wapumbavu inawezekana ukawa namba 1 wanamtumikia Mungu shetani
@mmasymerry1233
2 жыл бұрын
@@adamfundikira4556 tulia ww
@LUCY-hb9vq
2 жыл бұрын
Hongera Mandy mungu akutie nguvu zaidi katika Yale unayoyafanya
@teychriss3248
2 жыл бұрын
Karibuni kwetu
@barakaotto7899
2 жыл бұрын
Safi sana momyy Nandy! Majibu nimeyapenda
@mariamkitwana6148
2 жыл бұрын
mungu ailinde ndoa yenu
@angesignolinx5829
2 жыл бұрын
Kabisa ❤❤❤❤❤🙏
@lizahadongo1801
2 жыл бұрын
Nandy bado naangalianga harusi yenu KZitem ilikuwa noma sana 🇰🇪🇰🇪
@sophiaabdallah7821
2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@cipladapretty8617
2 жыл бұрын
@@sophiaabdallah7821 hahahaha
@johnkamau4115
2 жыл бұрын
Jibuu lakoo nimelipendaaaa ....
@martharugwana2130
2 жыл бұрын
Big up African Princess ❤️❤️❤️💚💃💃💃💃. . .piga kazi 🙏🙏
@laurenciamanyanda9479
2 жыл бұрын
Big up kipenz Keep it I love you Nandy🥰😍
@paulinacherement2534
2 жыл бұрын
Mashallah ALLAH barik
@misojibahati6110
2 жыл бұрын
Hongera nandy
@magreciousthomas3527
2 жыл бұрын
Kibongee
@leiratykisura6718
2 жыл бұрын
Allah azid kuwarinda na madui na wanajionesha bayana kbsaaa km uyo mwijaku sio mtu mzr kwenu kueni makin nae km iyo m moja mpeni akafie mbere na njaa zake
@walidsultan7486
2 жыл бұрын
Sauti niyake lakini 😂😂😂😂😂
@sizadarati1064
2 жыл бұрын
Karibun kwetu bombi nyumbi
@roqayaro9439
2 жыл бұрын
Mependeza mungu awabaliki mkae ssalama nimewapemda
@islammjema6211
2 жыл бұрын
Ao wa chaga na wapare ela wanaitafuta hakikaa soon from wedding
@elizabethfokoro4049
2 жыл бұрын
Yan mmpendza Canada u know I like it
@halmaguyogaya942
2 жыл бұрын
ok karibuni kwamapenzi ndukuu ilaa bado
@rehemamgongwe300
2 жыл бұрын
Umependeza nand
@c75923
2 жыл бұрын
Yaani ningefurahi siku moja tajiri ampe hela mwijaku alafu ajirekodi anamfira kumamake amekaa kishoga shoga sana
@maryammarjan4015
2 жыл бұрын
ok
@silverboy3065
2 жыл бұрын
Sema saiv nandy ananenepa
@dabrathludovick1477
2 жыл бұрын
😘😘😘😘😘😘
@winnersstore9161
2 жыл бұрын
Hilo li-Billnass lina akili sana
@mkasiali6956
2 жыл бұрын
Nikwelidada..megine...niyakupita
@Donrugi
2 жыл бұрын
Kweli pesa issue ingine 😁 sisi masikini baada ya ndoa mke anatakiwa kukaa ndani kwanza siku kadhaa, hawa wenyewe wamechukulia kawaida tu
@aishajuma7402
2 жыл бұрын
Mm nimpenda sana siyo tunamaliza shughuli na kukaa ndani .
@tusajigwemathias9185
2 жыл бұрын
Ndio vizuri hawajaridhika na walichonacho bado wanatafuta
@nunuodo3401
2 жыл бұрын
Ata akikaa ndani hakuna jipya kati yao hahahha watu wanakaa ndan watafute mtoto sasa teyar washampata kuna kipya kip
@swaumdodoma7591
2 жыл бұрын
@@nunuodo3401 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Weee usinambie kumbe lengo la kukaa saba ni kwaajili ya kutafuta mtoto? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
@Donrugi
2 жыл бұрын
@@swaumdodoma7591 😂😂😂
@nancyanthony8739
2 жыл бұрын
Karibu songea ndio kwetu
@nicemushi524
2 жыл бұрын
duuu nandy ananguvu mm nikifika hivyo sijiwezi jmn
@dilipdab3714
2 жыл бұрын
Nandy.umekosea.sana.tu
@theresiamagnius1503
2 жыл бұрын
Kila laher uko mliko,mlilokusudia mwenyezi mungu awafanikishie kwa ukubwa ili mtimize malengo yenu nawapenda bureeeeee
@scholarmawala1403
2 жыл бұрын
Mwijaku ni mdhalilishaji sana anazidi kutukumbusha ya Menina. Mtu mbadi sana huyo jamaa
@OmanOman-bx5du
2 жыл бұрын
Atazaria njiani uyu Nandi kunaulazima gani utulie nyumbani sasa
Kweli Mungu analipga hapa hapa sema mwijku limekaa ki Uongo uongo sana cjui msimbe fulani hivi....
@dilipdab3714
2 жыл бұрын
Zuchu.nandy.umekosea.sana.tu
@judyngowi391
2 жыл бұрын
Mtoto atazaliwa amechokaa
@agnellapius8142
2 жыл бұрын
Nandy ungetulia tu jamani
@hellenmassawe7284
2 жыл бұрын
Kumbe ndiyo maanaa mwijaku Alianguka siku ile
@ibrahimshabani8168
2 жыл бұрын
Mapenz ya kijionyesha haya yana mhmh wasanii sijui hua hamji funzi kupitia kwa 🤴 KIBA
@zawaditamari9752
2 жыл бұрын
Na wapenda bure
@mariambosiro4508
2 жыл бұрын
Mh! Zuchu asisemwe kawa nani?
@fridakimwanya1158
2 жыл бұрын
Umeona ee una vitu vingi vya kufanya bhn achana nae piga kazi
@ramadhankakai7303
2 жыл бұрын
Na kama ni ukweli ulikuwa na huo mpango wa kumharibia kiboko yako Zuchu umesema mwenyewe malipo ni hapa hapa duniani...
@aishalaizer8132
2 жыл бұрын
Jamaniii,uvae nguo Pana bwana usim bane mtt,hizo nguo utavaa baada ya kujifungua lkn kwasasa mjali mwañao
@vickylupemba6055
2 жыл бұрын
Ni maendeleo tu huoni teddy bear linatembea
@savioursimon458
2 жыл бұрын
Zingebana asingevaa huwezi kubana ujauzito, ukiona kaivaa inamtosha kwa hali aliyonayo.
@liamlifa2787
2 жыл бұрын
Wakazi wa Shongea😂😂.. . ... Tumeisikia io Nenga
@mackdonardnyondo9201
2 жыл бұрын
😂😂😂🤭🤭🤭
@jeniferemmanuel4251
2 жыл бұрын
Jinga sana ww 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 😂 😆 😄
@henrymsomi8669
2 жыл бұрын
Shongea🤣
@siliviasimon7970
2 жыл бұрын
🙏❣️🤣
@tiffahkidoti8954
2 жыл бұрын
Mimi sijui kwanini English na kiswahili vinachanganyika.
@asyakareem2416
2 жыл бұрын
Mwijaku mnafiki
@ummycheedy2809
2 жыл бұрын
Kaone kalivyonenepa mashavu yake😂
@fatumajeremiha6349
2 жыл бұрын
Mimba haijawahi acha pua salama
@jovinathaphilipo6385
2 жыл бұрын
Mi nilijua nimeona peke yangu kumbe nawew umeona
@savioursimon458
2 жыл бұрын
Ndo kitambulisho Cha mimba
@allyabdallahally9637
2 жыл бұрын
Isha komaa
@abidandastan2331
2 жыл бұрын
Ulichonifurahisha Pete ya ndoa hujavua
@johnnytravo
2 жыл бұрын
Wanawake wote wanastahili pongezi na shukrani za dhati 🙏 kzitem.info/news/bejne/yo-gz56cj1-Khaw
@mussamun6546
2 жыл бұрын
Milard kuwa makini na lugha yako ya kiswahili, umeelewa hyo caption ulioiandika hapo?
@reganshao
2 жыл бұрын
Waandishi wa habari wa siku hizi hovyo sana .. huyo ni mfanyakaz wa millard ,sio millard mwenyew
@majomamajoma8776
2 жыл бұрын
Kama mnjua siku zimeisha kwann mrande simkae ajifunge Kisha kazi zitaendelea ATI ana doctor wake, nazii imepata wakunaji
@ummycheedy2809
2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@abuuramadhan8093
2 жыл бұрын
Wasanii wengi wakifunga ndoa nyota ya mziki kwisha
@tatotato506
2 жыл бұрын
Unataka wazini
@joelikilinga1269
2 жыл бұрын
Nilifikiri baada ya doa takatifu watakuwa wahubiri wa injiri
@consolatatemu8613
2 жыл бұрын
Utazalia jiani
@bjzee1981
2 жыл бұрын
Ndoa juzi Leo mimba mtoto karibu kuzaliwa. Jamaa mwendo kasi kweli
@salmaabdulabdul777
2 жыл бұрын
😂😂😂
@seifmassoud3269
2 жыл бұрын
🏃🏃🏃🤣😂😅
@winfridagama5832
2 жыл бұрын
Wabariki walishaowana siku nyingi hao
@selemankishema5780
2 жыл бұрын
Weee na tumbo lako kama mwehu hizo hela sasa zinaenda kukutoa roho sasa na wewe mwanaume kama huyo mwanamke ndio anakuongoza kwa hela zake atakunyanyasa saana
@verenabusanda4044
2 жыл бұрын
Acha makasiriko tafuta pesa..
@dintazdintaz7311
2 жыл бұрын
Vido honey moon ni kwa watu ambao hawajajuana uchi aisee dont be like uneducated plz
@tonymaster3619
2 жыл бұрын
Nice one brother angu billy vs nandy ote gonga like hapa 👇👇👇kzitem.info/news/bejne/saKXnJdrkHmgp3Y
@imanibakili8028
2 жыл бұрын
Yaan mara nyingi hawa wasanii hawana chuki za kijingajinga shida machawa wanapenda wagombane ili wapate mahali pakulia ugali na familia zao, hata Mond na Kiba kama si uhasama unaochochewa na wanafiki machawa wala wasingekuwa hasama mpaka leo
@timelessdaddy.2542
2 жыл бұрын
Lipa deni mashavu ya paka wa wodi
@rehemamkalawa3801
2 жыл бұрын
Nina wasiwasi na uanaume wako! Nilifikiri ni binti 🙄
@timelessdaddy.2542
2 жыл бұрын
@@rehemamkalawa3801 kua na wasiwasi na unaempa kuma yako chafu iyo wala sio mm kunguru ww
@savioursimon458
2 жыл бұрын
@@rehemamkalawa3801 Thought the same
@shabiruponera4323
2 жыл бұрын
Una true love kwa wasanii wote wakati unamlipa mtu amchafue mwezio pumbavu🤯😂😂
@faithmeyakeah8498
2 жыл бұрын
Unauhakika Gani adi umtusi mtu
@miriamalute1540
2 жыл бұрын
Hahaha binadam hatuja kamilika mwachen atafute pesa
@tusajigwemathias9185
2 жыл бұрын
Wivu tu na mara zote mti wenye matunda ndio hupigwa mawee
Пікірлер: 128