Umejisahau mara hii nakilio mlcho lia na watt duuh binadam hachelew kusahau
@Thuhaila-n1g
8 күн бұрын
Jamani ukitaka kumsaidia mtu haitakiwi kutoa maneno mabovu kama kapoteza kama kala anaejua nimungu ukimsaidia mtu ukisha ukatoa maneno kunya basi faida yako nizambi tu kwaio wekama huwezi kuchangia tena nivyema ukae kimya muache tabia mbovuuuu
@AminaAminjay-dv8tr
8 күн бұрын
Jmn kupoteza ni bahati mbaya, pole mwanya allah atafungua milango
@حميده-ر4ظ
7 күн бұрын
Tuletee Munira tumwone
@chikujuma18
8 күн бұрын
❤❤❤ mashallah kanenepa na pole na majanga
@SibomanaSaida
8 күн бұрын
Tuleteye Bibi muuza mkaa nae tuone kama yuaendeleya aje na uyu mama haiko seriously kabisa fabi ndio yuamteteya
@ashazuber6548
8 күн бұрын
Kanenepa kwa sasa masha Allah
@HadiaAme-x5f
8 күн бұрын
Aweke na akiba watu wakigoma kuwasaidia kila mnapofilisika mtaanza upya
@asiasalim9323
8 күн бұрын
Pole sana
@JokhaJoko
8 күн бұрын
We wemuongo sana pesaumekula
@Suburo767
8 күн бұрын
Anashindwa ata na yule bibi ana kiwanja
@salamalsawaqi1206
8 күн бұрын
Eti kanga ilipotea😂
@MwanaHamis-y4e
8 күн бұрын
Pole ndg
@fatmahaji7639
8 күн бұрын
Pole sn Mama 🙄🙄
@firdaus7428
8 күн бұрын
Huyu dada anajielewa sana
@janemusumba820
8 күн бұрын
Huyu mwongo tu
@AlHamra-k4u
8 күн бұрын
Hani mimi kupotea pesa Ndiyo zangu Kuna siku nilidondosha kanga doti moja mpya. Siku nyingine nikatundika kanga ya mtelezo kwenye kamba nikajisahau nikakuta kamba tupu. Siku nyingine ni kasahau pesa kibarazani wallah ile naingia ndani Kurudi nje nilikuta peupee. Yani ninaile kusahau. Hata km nipo barabarani nikixhika pesa lazma nidondoshe.
@zainabumartin9520
8 күн бұрын
Hafu alikua kanenepa
@ايتيتووينويو
7 күн бұрын
Janja janja hii na Munira ilikuwa hivi hivii wa2 pesa hawaokoti wanazitafuta kwa jasho sio mshaona utam wakupata pesa za kupewa2 kila siku mnatangazwa nyie nyie2
@omanoman2044
9 күн бұрын
Vinaanza kutia hurum ten ndo vichangiw polen san w
Пікірлер: 23