Kweli Hawa niwatani wa jadi ambae haamini atashangaaaa2🎉🎉❤❤
@lazaroaloyce6649
Ай бұрын
Uzuri wa tunda ni Simba damu so wa kuhama hama Big up kwake ❤ Simba nguvu moja
@ashurahatibu5069
Ай бұрын
akiwekewa mkataba wa kikazi na mipesa yuleee anaenda
@lazaroaloyce6649
Ай бұрын
@@ashurahatibu5069 sidhani kwa tunda hata wanaompa kibunda hawatamuamini,yule mnyama kweli..
@jumaMohammedi-rt2ys
Ай бұрын
2ndaman katish🤗
@paulwalker4383
Ай бұрын
Nimependa vagi la tunda man
@PillyKassembo
Ай бұрын
🔥🔥Tunda Man🔥🔥❤❤❤❤❤simba 💪💪1😘
@shangwefisima3993
Ай бұрын
Bibi harusi ni simba huyo 😂😂😂😂
@malietamalieta9658
Ай бұрын
Sio utani wa kutupigia shetani wetu makolo mkue mnajua nn maana ya utani wa jadi ndo uo asante vanillah na tundaman
@shangwefisima3993
Ай бұрын
Yule alizidi...alikuwa anaapa mno 😂😂😂😂
@mamboshepea8888
Ай бұрын
@@shangwefisima3993 Yanga hatunaga ushabiki wa kishamba kuongea mipasho na chuki za kichawi tumewaachia makolo kitambo😃😃😃😃😃
@shangwefisima3993
Ай бұрын
@@mamboshepea8888 basi huyo shetani wenu ndo mshamba! Ndo maana kikamramba kitu.... alipata kinachomfaa!!! Wenzake huwa hawajimalizi vile na kuapa vile! Nahisi ni utopolo chipukizi yule
@user-gx4pk2zg1g
Ай бұрын
Eee hata nyieee hamjui utani toka
@scollamwanisisi2739
Ай бұрын
Dah bibi harusi Simba dam sio wa kuunga kabsaaa Simba watu wa vibe hatar utazan sherehe Yao Simba
@user-ew7zb3jx7t
Ай бұрын
Simba ooooyooo Toka Oman
@errydeo8865
Ай бұрын
we fala nini🤣🤣🤣kwani hiyo rugha gani?
@salamasaidi6620
Ай бұрын
@@errydeo8865tofautisha l na r acha kujifanya mjuaji😂😂😂😂
@maikomatayo2794
Ай бұрын
nimeipenda vibe la tunda mpira siyo uwadui bhna 🎉🎉❤❤❤
@user-ng8tb1gn4h
Ай бұрын
Mnyama tunda Nouma ❤
@ArafatyShabani
Ай бұрын
Kaka nimekubali simba tubaki pamoja ❤❤❤❤❤ simba nguvu moja
@errydeo8865
Ай бұрын
THIS IS SOOOOOO SWEET; NJE YA UWANJA NI NGUGU
@rodgersmwagu239
Ай бұрын
😊ND inavotakiwa safi sana
@ceankiiza9945
Ай бұрын
Mm kama mwanachama na mshabikiki wa YANGA .HII nimeipendahaswa inaonesha kua mpila sio uadui sisi ni Familia ❤
@mohamedbabu533
Ай бұрын
Bibi harusi saluteeeee
@user-tn3qw9nt4y
Ай бұрын
Kaka tunda nakupenda miaka yoteeeee❤❤❤❤❤❤ simba oyeeeeeee
@getrudaleonard8323
Ай бұрын
Huu ndio utani mzr ss🥳🥳
@hawamhanga2951
Ай бұрын
😂😂😂😂woooyooo simba nguvu kweli🎉🎉🎉🎉🎉 bi harusi kapagawa
@errydeo8865
Ай бұрын
this was sooo beautifull; kolo hawakuli yanga wanye this
@user-wh5zz5dk2g
Ай бұрын
Aliyeona bi harus kachangamka😂😂😂
@omaryonga-hv3lk
Ай бұрын
Weeeee Tundamani weeeeee hatari sana kiukweli wanasimba tumefarijika...
@ramadhanidhahabu9509
Ай бұрын
Na tunda ndio kaondoka na kijiji sasaaa
@user-tq5op2rp1e
Ай бұрын
Aisee hingera sana
@user-yz2uw1vr4j
Ай бұрын
umetisha tundra hao makolo2
@OddoShawa
Ай бұрын
Simbaaaaaa weeeeee❤❤❤❤❤
@mamboshepea8888
Ай бұрын
Keshahamia yanga kamfuata honey wake upo😂😂😂😂karibu home💚💛
@OmanOman-dn6dj
Ай бұрын
❤❤❤simba❤❤
@AfsaAbdul
Ай бұрын
😂😂bi harusi the way alivyo changamka kisa simba 😂😂😂😂
@allymtunge5530
Ай бұрын
Sherehe yao tunatamba sis
@Namtumbo
Ай бұрын
Simbaaaaaa❤❤❤❤❤
@honesthenry901
Ай бұрын
Nakubali
@abouamazing3406
Ай бұрын
🔥🔥🔥unyama mwing tunda
@user-tr8kz6wc1j
Ай бұрын
Simba ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@stevemayala2739
Ай бұрын
Hii imependeza sana
@fifo262
Ай бұрын
Mpira si uadui nmependa nyimbo ya simba kuimbwa ndani ya yanga hadi biarusi kacheza da
@OmaryFadhir-ie9ub
Ай бұрын
Simba na yanga ndo darb iz zngine ni mtanange
@aminasoud7797
Ай бұрын
Aaah wapi mmechelewa
@user-zp8si1xm8g
Ай бұрын
Tunda baba huna bay❤
@MizzoDizzo-hy3xf
10 күн бұрын
Mambo moto
@YoungBrazu-xl2uz
Ай бұрын
Simba damuuuuuuu
@PaulKilongozi-qk2eg
Ай бұрын
Kwani sindio raha Ali kamwe anaitaka my wetu sindio huyo
@user-yz2uw1vr4j
Ай бұрын
Simba kwanza❤❤❤❤
@karimumohamedi5421
Ай бұрын
Simba ngumu moja
@emanuelmlenge5044
Ай бұрын
Tundaman Katiadoa 😅😂
@user-lf5mo3tp9k
Ай бұрын
Me yanga ila nimependa tu wanavotaniana
@user-qd8bk1pq7d
Ай бұрын
Wew dogo mgeni kwenye utani
@josephlawrence1145
Ай бұрын
Tunda hajawaita watu waje mbele, walikuja wenyewe kwa vibe 😂. Naona dogo Kamwe anahangaika kuwaita watu wasogee mbele
@ThomasfrancisMvella
Ай бұрын
Ila cmba mmetisha....ingawa uwanjani Anna maajabu kwa sass
@Amirimwashembe
Ай бұрын
Oya hii co pw hdi harus kachangamka aisee hadi raha😂
@ThomasfrancisMvella
Ай бұрын
Am yanga fun,,,ila simba mmetisha....
@emanhokilinda326
Ай бұрын
Utani c uhasama kama alikua anaufanya manara👊👊👊
@swaumuiddi
Ай бұрын
Nimependa😂😂😂😂
@karimumohamedi5421
Ай бұрын
Hatar sana
@AshaShegao
Ай бұрын
hawez kuhama simba jaman
@habibuhabibu9728
Ай бұрын
Simba nguvu mojaa😂😂
@trice_yanga
Ай бұрын
bi harusi kachangamka kwenye simba hapo😂😂😂
@MacrinaLameck-yv2mu
Ай бұрын
Kumbe na wewe umeona eee maana alikua amepoa tunda kamchangamsha na vibe la simba
@user-qd8bk1pq7d
Ай бұрын
Ally wew kila wakt upo kwenye ujinga tu , hizi timu sio maadui hizi timu ni watani wa jadi , ulizia Kwa baba ako
@EzekielMhapa-nf5sl
Ай бұрын
Sasa Ally kafanyaje hapo😂😂😂
@abdulhamis9825
Ай бұрын
Hongera Sana Kwa Tunda Man Kumpa Bi.Harus Furaha
@CatherineAmos-zw8dx
Ай бұрын
Simba na Bubi harusi Oyeeeeeeeeeeeee
@mwanatumukombo4497
Ай бұрын
Bi harusi kanuna au ndio sura yk
@naimamagwala1368
Ай бұрын
Tumewaoa hata kwenye maisha halisi 😀😀😀 wanashukuru wamepata ndoa
@Bmsecret
Ай бұрын
HAMNA NDOA HAPO
@Amirimwashembe
Ай бұрын
Bi harus alikua kapoa mpka kachangamka kwa viba la mwamba
Пікірлер: 134