Padre Kamugisha Hongera Sana mafundisho yako na mahubiri yako ni mbegu yenye rutuba ya kiroho kwa watu, Hakuna padre WA kikatoliki Tanzania na Africa yote kama wewe. Nakuombea kwa Mungu akupandishe uwe Askofu/ Kardinal hadi Pope. Be blessed Liborius Kamugisha Andreas Matunu
@boniphacemabele4502
Жыл бұрын
Ona mazuri ya wengine
@rehemajuma5682
3 жыл бұрын
Father kamugisha.. Mungu akubariki na akutunze.. Umuntu ntafaona.... Ahsante father..
@HAYABOYTV1
3 жыл бұрын
Kweli
@jenylozapius7918
3 жыл бұрын
Padri kamugisha nakupenda mno pia naomba mungu anikutanishe na wewe nais ntabalikiwa zaid
@davidshokha3215
3 жыл бұрын
Wanamseng'enya kila mtu ispokuwa Yesu Kristo
@marymary8313
2 жыл бұрын
Amen 🙏
@gracejonh4022
3 жыл бұрын
Amina 🙏
@HAYABOYTV1
3 жыл бұрын
Kristo Father asante kwa maubili yako wakola munoooo
Пікірлер: 18