Eeh nimeshangaa sana kumbe ningekufa sahi ningeenda jehanamu huu ni ujumbe wangu .Naomba mungu anisaidie nitoke ndani ili nimpendeze mungu
@gracelauzi9746
2 жыл бұрын
MUNGU TUSAIDIE NEEMA YAKO IWE PAMOJA NASI SIKO ZOTE TUPE MWISHO MWEMA YESU AMEN
@noveshyera3771
2 жыл бұрын
YESU KRISTO nakupenda Leo na hata milele
@re.emmanuelmdoe3345
Жыл бұрын
Mungu unirehemu Mimi na Nyumba Yangu yote! Naa Kanisani lake YESU-KRISTO
@matthieulugerero9355
8 ай бұрын
Thank you the man of God❤❤❤
@ombenimaiko7882
Жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa kutufikishia ujumbe.
@rehemasuleiman7469
2 жыл бұрын
Uwiii! Yesu turehemu, kwakweli Yesu ni Bwana
@SafiAkinyi8361
Жыл бұрын
AMEN AMEN 🙏 🙌 MUNGU SAIDIA WATU WAKO WENYE TUMEPTEZWA NA HAWA WATUMISHI WA UONGO
@sophiamakani6133
2 жыл бұрын
Asante kwa huu ushuhuda huu barikiwa sana mutumishi wa mungu
@user-ol4zx7xd5q
5 ай бұрын
Amen
@pericykiko6198
2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Ma'am kwa ushuhuda
@trophywilson7211
11 ай бұрын
Ee Mungu unisamehe saana nilifunga Uzazi na niliwafundisha Wengine kufunga
@rosepeter8996
2 жыл бұрын
AMINA🙏.ama kweli tunajifunza mengi kupitia jumbe hizi ili tujirekebishe na mapema.
@lillianwakesho258
11 ай бұрын
Mungu turehemu.
@marymbodzembodze2707
2 жыл бұрын
Amen barikiwa sana watumishi wa BWANA
@IANA2030
2 жыл бұрын
Jesus please help me to stop living in a canal way😥
@tatumluv6054
2 жыл бұрын
Amen barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@queenesther2639
Жыл бұрын
Asante kwa shuhuda nzuri na sauti ya mvuto kuendelea kusikiza
@Nenolamaarifa
Жыл бұрын
Amen
@maryandason1815
2 жыл бұрын
Jamni haya mambo mm wakati mwingne naogopa Sana at kusikiliza ushuhuda naposikiliza asa kuzimu n jehanamu.YESU nisaidiee kwel
@joshuamakota6714
Жыл бұрын
Jikite kusoma biblia na kumjua Mungu zaidi kuliko kutishwa na kukatishwa tamaa na hizi shuhuda ndugu. Nyingi zina mambo ambayo hata hayapo kwenye biblia, tuzipime kwa bilblia kabla ya kuziamini.
@helenbahati8038
Жыл бұрын
Asante Yesu kwa upendo wako kwa mwanadamu, kutufunulia tusio yajua
@catherinemuoka1322
11 ай бұрын
Mungu hakurehemu mtumishi
@elizabethjonas5391
Жыл бұрын
Aminaaa
@trophywilson7211
11 ай бұрын
Joyce Meyer anavaa Surual jamani hata Mimi siwezi mhesabu kama Mtumishi wa Mungu aliye Hai labda atubu leo
@mukehamoise9953
2 жыл бұрын
Mungu atusaidie sana.
@emmanuelchaplingi9050
Жыл бұрын
Amina
@user-ne3sy8wq3c
8 ай бұрын
ubarikiwe
@fatumaminyeko1875
2 жыл бұрын
Mungu turehemu akika tunakukosea sana 🙏
@jolemerci2155
Жыл бұрын
Tutapona aje kwa hili ? Inamaana mtu yeyote aliye ngambo ya Mungu hanaga salama hapa duniani ? Mungu pigania watu wako mbona ni wewe ka waumba mungu ? Mtu atapiganaje n'a shwetwani ? Ili ashinde tuhurumie eeeeeee mungu n'a watu wengine wa nakosa dunia n'a hâta mbingu hawaingii😭😭😭😭
@re.emmanuelmdoe3345
Жыл бұрын
Mungu unitendeee mema mwisho, wangu, nimekukosea Sanaa Baba Yangu, unirehemu, unirehemu
@janeminoo1804
Жыл бұрын
Is it not wise to share as many times as possible to reach a huge number.? #.save lives now!
@mariamgaya4206
2 жыл бұрын
Jamani part 2 pz tumeisubiria mno
@raphaelkatanga5335
2 жыл бұрын
Ammen ammen yesu nibwana
@magdalenapeter6106
2 жыл бұрын
Mbona naitafuta part 1 (a) ya huu ushuhuda siioni mpendwa?
@Nenolamaarifa
2 жыл бұрын
Hii ndo part A story mwandishi naona alikosea
@magdalenapeter6106
2 жыл бұрын
Okay Asante 🙏
@veronicahkhaikwa4929
2 жыл бұрын
Mimi sijashangaa kwa kuwa ufalume wa mbinguni kuingia itakua ngumu Sana kwa mwanadamu yeyote haswaa kwa dunia ya sasa hata bibilia yasema.
@adriannebatakanwa6904
Жыл бұрын
Asante kwa jitihada ya kutafsiri. Nails ni kucha kwenye ushuhuda huu si misumari.
@adriannebatakanwa6904
Жыл бұрын
Mungu Aturehemu na Atupe ushindi. Utumishi halisi ni vita kali.
Пікірлер: 46