Msimulizi mzuri kweli; sauti poa, lugha poa. Very good storyteller.
@kimsamir965
Жыл бұрын
Life is dangerous and is to short no body know tomorrow. Wacha niseme mungu atunusuru sana na mitihani.
@damarisnjeri7820
Жыл бұрын
Shetani ana kazi nyingi chafu....afadhali kwa Yesu
@timothykaiza327
Жыл бұрын
Jamaa kafika hadi kuzimu mamae 😄😄😄
@mosesjohnswilla9926
11 ай бұрын
Maji yalikuwa yanapogoma 😂😂😂😂 Kisukuma hicho
@LavazasBroadcast
Жыл бұрын
Davistar hauna morale na interview au vipi. Hauulizi maswali kuvuta taswira. Kama hapo kwa mapipa, inakuwaje inamfikisha sehemu nyingine
@KendrickMakaveli-bu3rs
Жыл бұрын
Duh sauty zinafanan na mzeee wa bakora za kimkakati
@mildredakinyi9855
Жыл бұрын
Hongera kwa moyo wa kuendelea kusimlia
@Deedee88110
Жыл бұрын
Usichelewe sana Davista bac kua unaendelea
@susannyamwitha1354
Жыл бұрын
Congratulations Mr Davister
@linvi_chemutai
6 ай бұрын
Find Jesus find peace ❤
@mildredakinyi9855
Жыл бұрын
Yaeleweka jamaa anasimlia vizuri
@twaibumikidadi7377
Жыл бұрын
stor kubwa sana lkn unachelewa Divsta
@pettiecranwel7588
Жыл бұрын
Wa kwanza leo✌️✌️✌️
@womanofsteel1402
Жыл бұрын
Tamaa mbaya jamani
@kalssambaboo9932
Жыл бұрын
Sana
@Johansenbwakya-uq5zu
Жыл бұрын
Nimewahimo na wamayo
@mundhirsaid2045
Жыл бұрын
Achia ata part tatu kwa siku davista story tamu kinoma izi moja moja zinakata kabisa
@ochidovictor9531
Жыл бұрын
Jambo brother davister
@kitutujuma9602
Жыл бұрын
Mimi #1
@mwami_the_don_
Жыл бұрын
Oyooo
@shepherd1x84
Жыл бұрын
Hao watu unaofahamu sio kweli ni njia tu ya kukupoteza wewe uone kuwa mko wengi..ni kweli watu huenda but the devil exaggeration is real!
@Irenes_Kitchen
Жыл бұрын
Wa kwanza leo namsibishe😅
@Johansenbwakya-uq5zu
Жыл бұрын
Uoni nimewahi
@Teacher_01
Жыл бұрын
Mmmh me ndo wa kwanza sema nilikuwa atizama story kwanza
@bryanlimbi326
Жыл бұрын
Kwani ukiwa wa kwanza unalipwa!?
@bryanlimbi326
Жыл бұрын
Kwani ukiwa wa kwanza unalipwa!?
@ashuragmail8912
Жыл бұрын
Na leo nmechelewamo😊😊😊 Usione mtu ana mali hujui kazipata vp😂😂😂😂😂😂ngoja mie npambane na waraabu
@tahirnephessalum3678
Жыл бұрын
labda waarabu wa qatar na dubai... ila waarabu wa oman nao pesa yao kama ina chuma ulete tu hufanyi jambo likakamilika
@ashuragmail8912
Жыл бұрын
@@tahirnephessalum3678 Daaaah ila kweli Oman shd sana
@gilbertmabula8105
Жыл бұрын
Oya nigee namba yako
@mwajumasaidi2041
Жыл бұрын
@@tahirnephessalum3678 ww ni kote tu nchi za Kiarabu 😂😂😂
@aymanzeable3196
Жыл бұрын
Watakufira
@kalssambaboo9932
Жыл бұрын
Kumbe wehu wakike unamkuta mjamzito masikin hata alomgea mimba hajulikani.kumbe ndio inakua hivo jamani
@MartinyMaryogo-nt6xg
Жыл бұрын
jamaa huyu yan ni km mzee wa bakola za kimkakati anavoongea
@wahidasalum780
Жыл бұрын
Ndio kweliii kabisaa 😂
@rayahamisi118
Жыл бұрын
Wamefanana tu saut lkn sio
@kiehbhzh7044
Жыл бұрын
Tupomo kwa mwamba😊onelove
@francekomba1166
Жыл бұрын
Aaa AA
@IddMrope
4 ай бұрын
Duuuh
@bakari-si1pw
Жыл бұрын
Uchawi upo Dah jamaa bado anaangaika tu
@TheSalma1999
Жыл бұрын
Story tamuuuu
@ismailmasoud6001
Жыл бұрын
Davista huulizi maswali... kipindi cha nyuma ulikua unauliza hata taswira ya huyo malkia ambae jamaa kakutana nae huko kuzimu, kiasi hata waskilizaji tunapata PICHA kwa maneno....!
@bryanlimbi326
Жыл бұрын
Alivyokua anaongea mlilalamika pia
@maryamomar1216
Жыл бұрын
Jamn storii tamu
@Teacher_01
Жыл бұрын
🔋🔋🔋🔋❤️
@tututz100
Жыл бұрын
J.boys 1999
@Irenes_Kitchen
Жыл бұрын
Mganga ndo huyu 😂😅 hanaga kitu cha kuandika😅
@Teacher_01
Жыл бұрын
Leo umeimooo
@fearlessdinah6611
Жыл бұрын
@@Irenes_Kitchen kila siku anaandika ivo ivo😅😅
@Irenes_Kitchen
Жыл бұрын
@@fearlessdinah6611 eeeh tumeisha mchoka bwana😏
@bryanlimbi326
Жыл бұрын
@@Irenes_Kitchen ana uchizi huyu , sio Bure
@godfreypeter1174
Жыл бұрын
uyo mzee wasengelema anaitwa nani
@hildpaul7823
Жыл бұрын
wewe😂
@Deedee88110
Жыл бұрын
🎉
@samjosh12
Жыл бұрын
Wamayo alikuwa na Bata
@JaneDoe-hf3zy
Жыл бұрын
Nime wahimo jamoni
@FreeGod368
Жыл бұрын
Davistar ndo ameharib hi stor almuambia jamaa jamaa aselezee kila kitu leo hi tunapata vipande kwa matukio tu, haelezei deep.
@kalssambaboo9932
Жыл бұрын
Anachoka kukaa
@FreeGod368
Жыл бұрын
@@kalssambaboo9932 ni kweli kaka..
@kalssambaboo9932
Жыл бұрын
Hasa wee mkaka ikatokea yule mzee akafa wee upo hai hato weza kutoka yule jini akaja kukufuata akakudhulu
Пікірлер: 66