Hatarii Sana MUNGU saidia watu wako mwenye kuokoa ni yesu pekee.. Na Hakuna mwengine.
@margaretachieng9887
3 жыл бұрын
Ukweli jina la yesu hina weza mambo yote
@kisurangusa554
3 жыл бұрын
In the name of Jesus ulitaja hiyo jina ukapata kuokolewa amen,
@ramlabaruani4202
2 жыл бұрын
Mnyeshani mzinguaji analeta story za move za kikorea za porini ukifanya jaribio la kutoroka unachinjwaaa👐👐
@monicasimpilu6257
3 жыл бұрын
Mwanangu Dav unatucheleweshea sana hii story ni nzuri sana. Juu ya taifa letu barikiwa sana mwanangu.
@credo7837
3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@agnesmwaizinga5401
3 жыл бұрын
In the name of Jesus, ulikumbuka yule mjama kwenye boat😂😂😂😂
@jessekenzo8700
3 жыл бұрын
a tip : you can watch series at Flixzone. I've been using it for watching lots of of movies these days.
@michaelbengesi9838
3 жыл бұрын
Sheikh Asante kwa elimu unayotoa, Jina la Yesu ndilo jina kuu lipitalo majina Yote. 🙏
@shalamwanayusuph8008
3 жыл бұрын
Amen
@marrypius576
Жыл бұрын
Amen
@winmassawe4966
3 жыл бұрын
Jina YESU c la mchezo
@paulndoya5805
3 жыл бұрын
@Davistar naomba usisahau kumuuliza kuhusu mtoto wa dawa anapatikanaje na hiyo kesi kwa mwanamke aliekua na uwezo wa kuzaa baadae akapata shida ya uzazi ikatatuliwa kiganga huyo mtoto atakaezaliwa atakua wa dawa vile vile au wa kawaida tu??? Hii ni mhimu mno itafungua macho watu wengi sana,,,,
@nsengakabulo4076
3 жыл бұрын
Mulize kwanza utafauti ustazi na shehe
@fatmamucha4419
3 жыл бұрын
Mko wapi mambo Tyr huku
@faifidelis3041
3 жыл бұрын
yesu jina kubwa sana alilinganishwi na chochote
@saidjames4524
3 жыл бұрын
Mambo
@Teacher_01
3 жыл бұрын
*STORY TAMU SANA ILAA* *JAMAN NINA HAMU NA TENDEE MABESTIE ME NATAKA TENDEE JAMAN😋😋😋*
@erickmasumbuko3841
3 жыл бұрын
Uk wp nikuletee
@ayshamahariq6665
3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@fahadjinni5845
3 жыл бұрын
Zipo kibao hap ...uko eneo gn ..0657192690
@athumanmakale8221
3 жыл бұрын
Top 10 kwa mara nyingine.
@FFL-X1D
3 жыл бұрын
Alhamdulillah w kwanzaaa 😂😂💃💃🇪🇭🇪🇭
@moreenmbatha1147
3 жыл бұрын
shikiria hii number hadi siku nitakuambia toka
@moreenmbatha1147
3 жыл бұрын
ukiona comment ya #pill musa niite nimwabie number moja sio yake tena
@FFL-X1D
3 жыл бұрын
@@moreenmbatha1147Nakwambi🤣🤣💃💃💃
@FFL-X1D
3 жыл бұрын
@@moreenmbatha1147 vp hali yko ❤❤❤❤
@moreenmbatha1147
3 жыл бұрын
@@FFL-X1D shikiria kabisa
@macamezunguzungu5697
3 жыл бұрын
Ok tupo pamoja dav ulipo nami nipo 🙏🇹🇿💪
@Priska247
Жыл бұрын
Jina la Yesu ni nguvu kubwa
@hamadwaziri121
3 жыл бұрын
Mpike daku jaman mtaachika oooooooh 😃😃
@sapnaabdallah1084
3 жыл бұрын
Naww kaswali tarawehe uko 😁😁
@hamadwaziri121
3 жыл бұрын
@@sapnaabdallah1084 ndio nataka nianze mama 😂😂😂 davi atawaaribia ndoaa oooh shaur zenu
@@hamadwaziri121 m siitaki kwa ss sitaki kuolewa nipo nyumbani nadeka 😊😊
@edinambaga776
3 жыл бұрын
Sasa Mimi sijaelewa nimefatilia lkn sijasikia aliokokaje kuweleza Sana Mambo ya uchaewi yanaendelea kuwalibu na wengine wakite Sana juu yaukuu wamungu ktk jina la yesu
@kinogekimbeho3781
3 жыл бұрын
Mie nimepoteza mvuto na story zake za uongo yaan et alikuwa na bilion 1.5 kaenda kula bata.Nimuongo kabisa apate bilion kwa uganga gani labda alikuwa muuza Unga
@rosecruiz4348
3 жыл бұрын
Wee ndio ulikua mubebaji
@florencerose859
3 жыл бұрын
Kamani uwongo basi tupe ukwueli yako juu ya hili story, huna hata ya kwuako na unaongelea za watu
@khadijamisayo7476
3 жыл бұрын
mimi huwa siaminigi sana , nasikilizaga tu kama hadithi hadithi za sungura na paka, ukweli anao mwenyewe
@khadijaomari9344
3 жыл бұрын
😀😀😀😀
@khadijaomari9344
3 жыл бұрын
Mr everything alisema ukisikia story angeza na akili zako
@mshangaf1726
3 жыл бұрын
Oyoooooooo!
@florencerose859
3 жыл бұрын
Dawa ya binadamu haina gani?hapo mimi sielewi
@credo7837
3 жыл бұрын
Wakwanza kama kawaida pamoja Mr everything
@FFL-X1D
3 жыл бұрын
Wa kwanzaaa😂😂💃💃🇪🇭🇪🇭 sapna akutafuta hakuon🤔
@credo7837
3 жыл бұрын
@@FFL-X1D mmmh😂😂
@credo7837
3 жыл бұрын
@@FFL-X1D 😂🤣🤣🤣
@ayshamahariq6665
3 жыл бұрын
@@credo7837 kwel🤔
@ayshamahariq6665
3 жыл бұрын
@@credo7837 😂😂😂😂😂mtafute
@margaretachieng9887
3 жыл бұрын
Story nzuri sana
@margaretachieng9887
3 жыл бұрын
Asante sana ✨
@heritier5119
3 жыл бұрын
Kama mchawi na mganga nae analogwa anakufa nini faida yake sasa
@kenyanniggar357
2 жыл бұрын
STORY YA ULE MALKIA ILIENDAJE?
@mamafaiza2651
3 жыл бұрын
Waoooo Wa 11 leo
@upendoluv7197
3 жыл бұрын
Mnyeshaniiiiiiiiiii
@denizamahongo8557
3 жыл бұрын
Nipo ndani bado
@barnabasmajige8473
3 жыл бұрын
Davi usisahua kabisa kumuuliza ni kitu gani kilichomfanya akabadilisha dini asema kweli yote ili kuokoa kizazi kinachopotea.
@macamezunguzungu5697
3 жыл бұрын
Moma mkoa wa nampula mozambique
@ibrahimaziz7158
3 жыл бұрын
Huyu jamaaa ni muongo tu mshenz
@ramlabaruani4202
2 жыл бұрын
Mshenzi mnoo
@jayamluoga8389
3 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mkweli Sana Nimemsikiliza akiwa anahubiri kwenye kanisa la Gwajima kitambo saana
@makame3524
3 жыл бұрын
Kwa ngwajina sio
@marthamaligo458
3 жыл бұрын
👂👂👂🔥
@michaelbengesi9838
3 жыл бұрын
👏👏
@sapnaabdallah1084
3 жыл бұрын
Credo kachinga sioni comment yake siku hizi 😑😑Ayshaaaaaa Mahariq kujaaaaa uje ujibu suali 😠😠
@FFL-X1D
3 жыл бұрын
Alhamdulillah wngu 🤣🤣❤❤🇪🇭🇪🇭🇪🇭
@FFL-X1D
3 жыл бұрын
Za kwako❤❤❤❤🤣🤣 Acha nkuitie 🇪🇭🇪🇭
@fatmaalrshdii7615
3 жыл бұрын
MTU makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli ulipo ulipo nipo
@ayshamahariq6665
3 жыл бұрын
❤❤❤
@bensonryoba5968
3 жыл бұрын
Mr. Dm ulipo nipo
@winmassawe4966
3 жыл бұрын
Hi
@tututz100
3 жыл бұрын
TENA
@dallasabinchar5128
3 жыл бұрын
Uchawi awukukusaidiya una kamatwa kirahisi
@rosecruiz4348
3 жыл бұрын
Ni bunduki hizo zina pitishwa hapo ndio kukawa na huo ulinxi pia mm nilikuwepo
@kisurangusa554
3 жыл бұрын
Unauakika,
@alexjos7625
3 жыл бұрын
White balance iko off
@shantellemwanakombo3703
3 жыл бұрын
Imefika patamu
@bariuezekiel5841
3 жыл бұрын
11
@anthonkephasglobalmedia7406
3 жыл бұрын
Wakat mwingine tena
@violinenyakara5028
3 жыл бұрын
Hakuna jina kuu zaidi ya Yesu, ilibidi uite Yesu hata kama ulikuwa bado hujaokoka, maana ndio mwokozi pekee
Пікірлер: 96