Wanaosubiria kitakachomkuta mke wa boss wa zamani na dereva wake gonga like
@lizzybeth6344
3 жыл бұрын
Mimi ndo nasubili kwa hamu
@khadijaomari9344
3 жыл бұрын
watapata muhaho😀😀😀
@lucythomas1143
3 жыл бұрын
Davista story ya huyu jamaa ni nzuri sana, naomba kama unaweza kuunda pia group la whatsup kwa member fee ili kwa wale wanaotaka kupata story nzima kwa muda mfupi uwarushie huko ni wazo tu na ombi
@gmdecoration6044
3 жыл бұрын
Point 👏👏👏
@Jaysantans
3 жыл бұрын
😂😂😂😂 umetisha mwana tupo pamoja
@mikarubisha3331
3 жыл бұрын
Umetishaa sana Lwanda magere....umekula boga na ua lakeee!!!...waarabu hawatokusahau umewafanyia kitu mbayaa!!!😂😂
@suzansimon5296
3 жыл бұрын
Nandomaana waarab wengi wanawakataaga watu weusi coz ya tabia zao za ajab
@aishaally8811
3 жыл бұрын
@@suzansimon5296 yabia gani my
@aishasaid6749
3 жыл бұрын
Aisee wew umlilie Mungu kila cku
@gosbertmuta5421
3 жыл бұрын
Uktubu na kuziacha dhambi zako unasamehewa papohapo ,1mamboyanyakati
@mosesjohnswilla9926
3 жыл бұрын
Ni kweli maana si Kwa kuua huko
@fasanitztiri5371
3 жыл бұрын
Daaaaaaaaaaaaaaaah uyu jamaa nimemuachia mungu😀
@allyseba172
2 жыл бұрын
Kwa nn
@mikarubisha3331
3 жыл бұрын
Nakubali sana Lwanda magere coz story nzima we ndo Giant kwelii kweli ...yan wew bonge la sterling kama yule mwamba wa kwenye kitabu..saluti sana umeuvaa uhusika.😃🙌
@athumanmakale8221
3 жыл бұрын
Story ya Musa chesa itasubiria. Hii bonge ya story hutamani imalizike.
@pilimusa7770
3 жыл бұрын
@@athumanmakale8221 kabisaa
@badymsuya6093
3 жыл бұрын
@@athumanmakale8221 hata Mzee wa gamboshi Zabron me naona hapa anasubir
@mikarubisha3331
3 жыл бұрын
@@athumanmakale8221 livee yan..natamanii davistar aweke viapande vyote kama season tuwe tunaangalia episode zote mwanzo mwishoo😂😂😂
@berthamghanga1093
3 жыл бұрын
@Athumani Makale,kweli ya Musa Cheza itasubiri hii balaa
@jessybaraka5636
3 жыл бұрын
jessy Kenya..kweli mungu anasababu na huyo kijana amefanya hayo na amemtoa kwakifungo chasetani haleluya yesu asifiwe..na davista zengine hazina sauti..
@philipoluzege3200
3 жыл бұрын
Mama kaliwa binti kaliwa mmoja kauliwa
@stanleygeorge264
3 жыл бұрын
Hizo ni bakora za mkakati
@ayshamahariq6665
Жыл бұрын
@@stanleygeorge264 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
@pili3750
3 жыл бұрын
Ukistaajabu ya mussa chesa utayaona ya malwa magere 😂😂😂😂😂ila watu muko fasta kwa kweli khaaa
@kisurangusa554
3 жыл бұрын
Kabisaaa
@nsiaelieza9568
3 жыл бұрын
Davista hata wewe ni mwanga, huo ujasiri wa kuhoji hao watu unapata wapi!
@victoriadaizy5277
3 жыл бұрын
😂😂
@malaikawisdom2828
2 жыл бұрын
😂😂😂hat mim nimeshangaa
@highzacknnko9685
Жыл бұрын
Mwanga wa giza au mwanga ya kilimanjaro au mwanga ukoo wa kimachame!!!!
@saidkale6465
3 жыл бұрын
Bonge moja la series
@athumanmakale8221
3 жыл бұрын
Wonderful story Nimewahi Leo wa 6 .Kama kawa Kama dawa.
@samngirwa9046
2 жыл бұрын
Daaaaah pole Sana lkn omba sana kwamungu
@tracyirene8917
3 жыл бұрын
👍👍 Vizuri Sana Davistar story iko👌🔥🔥 Muendelezo wa Good Friday Basi rusha hivyo Vipandee Vingine Fasta Usichukue Muda Aisee🤣🤣
@shenjamamzingi7950
3 жыл бұрын
Aisee...
@robertndebate5462
3 жыл бұрын
Mzee wa bakora unastory kali sanaaa
@aishasaid6749
3 жыл бұрын
Nilichokigundua huyu bwana sio kwamba ushetani ndio ulikuwa unamuendesha ila pia alipata kiburi cha kutumia huo uchawi kufanya huo ushenzi kwa wanawake maana kam mtu unatembea nae vip unatembea na mama zao pia yaani ni ushenzi wa hali ya juu kiburi kilizidi daaah hataree
@pilimusa7770
3 жыл бұрын
Sanaaa.
@kelvinluoga5140
3 жыл бұрын
Hahaaa
@idanysedrc1200
3 жыл бұрын
Hhuo uliosema ndio ushaten sasa
@mosesjohnswilla9926
3 жыл бұрын
Siku zote wachawi huwa wanakiburi sana
@highzacknnko9685
Жыл бұрын
Uchawi unaleta kiburi aisha. Hata kama angekuwa mwanamke unakuta unataka kutembea na kila mwanaume unayempenda
@Chrishenryson-beats
3 жыл бұрын
Tunaowekaga quality ya 144p ili mb zisiishe mapema. 🙌🏾
@ibrahimaziz7158
3 жыл бұрын
Hhhhhh
@aminsalimali793
3 жыл бұрын
UBARIKIWE DAVISTAR MATA MTU MAKINI KABISA 👍👍👍👍
@stidejustin1156
3 жыл бұрын
Narudia tena huku story inavoenda jamaa atampiga bakora Dada wa kazi 😂😂😂
@mwajumachao9151
3 жыл бұрын
Tena bakora zakutosha zamkakati🤣
@stidejustin1156
3 жыл бұрын
@@mwajumachao9151 hahahah Kama naona 🙌😜
@gosbertmuta5421
3 жыл бұрын
🤾
@lomayenigoodluck6023
3 жыл бұрын
Kuwa unaeka basi ata episode 4 kwa siku unatuacha na muhaho mr everything 😂😂😂
@gosbertmuta5421
3 жыл бұрын
Muhaho
@cyantess8423
3 жыл бұрын
haki
@aiyamhassan1321
3 жыл бұрын
Muhaho wa bundle unatumaliza nguvu jamani hatuna amani
@shizaarfred4059
3 жыл бұрын
Sikuzote tunapataga story za mwalabu wanatufanyia Fujo ila lwanda magele kapepelusha bendela ya tz waalabu sikwakufaid bakora za kimkakati kwanza mnoko akakatiswa moto halafu mama na mtt wakashea bakora 😸😸
@zulfajohnkilongozi4943
3 жыл бұрын
Dah jeuri zangu na ngebe zimeisha,Halotel mmeniweza
@abbyadams8691
3 жыл бұрын
Safiiiii sana Dav hakuna kungoja
@lindazawadi732
3 жыл бұрын
Story tamu jamanii nipe like basi
@mosesjohnswilla9926
3 жыл бұрын
Hivi like huwa zinafaida eeeh?
@sherbanlucky9825
3 жыл бұрын
Davistar unapenda Sana mambo ya bakora za kimkakati sinakupa Sana muhoho
neno ITAENDELEA mwisho wa story hunichokesha yani sitaki iishe🤣🤣
@mariamnuru9939
3 жыл бұрын
heehhe
@shizaarfred4059
3 жыл бұрын
Hii ni sison ya kikorea yenye ep 80 kwahivyo bado labda upambane tu na hizo bando za tg la sivyo utakosa uhondo
@gosbertmuta5421
3 жыл бұрын
Wanaotaka kuunda udugu na Mimi waje hapa
@r14kgroup68
3 жыл бұрын
Nitamshughulikia kisawa sawa
@saidkale6465
3 жыл бұрын
Lazima apigike BAKORA ZA MKAKATI 🤣🤣🤣
@tatuhongeranurushaus485
3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@hamidibrahim5369
3 жыл бұрын
Ni bakora ya kishetani
@beautyshine935
3 жыл бұрын
Sijachelewa🇰🇪
@ibrahimaziz7158
3 жыл бұрын
Huyu jamaaa nadhani atakua ndio mwenyekiti wa mawakala
@salma-fc4xc
3 жыл бұрын
😂😂eti kumbe ovyoo tuu
@g.d.d1481
3 жыл бұрын
Mimi ningemuona uyo kaka mumaco ningafurahi
@ramadhangona9085
3 жыл бұрын
Huku kwetu Kenya tunaita kuweka kisambusa
@aiyamhassan1321
3 жыл бұрын
Jamani mchango wa davista halafu nyie mnaoleta mambo ya ubaguzi na udini humu sio mahala pake tupo kwenye kujifunza na sio malumbano ya dini kila mtu abaki na imani na kile anachoamini yeye usitake kila mtu awe kama wee ukiamin wewe inatosha.
@iadeclementine5604
3 жыл бұрын
Kula kishoka hilo nalijua leo 👌🇬🇦 tupo
@margaretwangoi6814
3 жыл бұрын
No 15 🇰🇪
@somoeawadh7774
3 жыл бұрын
Weweee!!!💃💃💃
@carolinetalam5832
3 жыл бұрын
Tuned 🇰🇪 🇰🇪
@idanysedrc1200
3 жыл бұрын
Kitabu chake tunakipataje?
@marychacha7084
3 жыл бұрын
Inawezekana huyo malkia ndie aliekua anasababisha watu kuingia mtu au kuchungulia ndani ya chumba Cha Siri..ili apate damu ya jamaa na ndugu zako
@khadijaomari9344
3 жыл бұрын
kweli maana yeye ndio mwenye limonti ya maisha yake 😀😀😀
@glorialaizer9450
3 жыл бұрын
Kabisa
@dorrinahlutaa7458
3 жыл бұрын
Nangoja part 29 kwa hamu na glue 🇰🇪
@r.kassimtoutautre3432
3 жыл бұрын
Nice 🇧🇮Who lives 🇹🇷
@abbyadams8691
3 жыл бұрын
Mama mdogo bakora za kimkakati zinamhusu.😆😅😆😅
@davidochieng7055
3 жыл бұрын
Mb imekua issue sana siku hizi jamani
@macamezunguzungu5697
3 жыл бұрын
Picha linaendelea pamoja 🙏🇹🇿 na nea nti
@isayamichael4085
8 ай бұрын
Lazima apigike bakora za kimkakatii 😂😂😂😂😂
@catherinewanjiru7136
3 жыл бұрын
🏃♀️🏃♀️🏃♀️
@happyfihavango4151
3 жыл бұрын
Ulipandikizwa roho mbaya sana wewe mmm
@shenjamamzingi7950
3 жыл бұрын
Ndio "Kishoka" hicho...
@fatmaalrshdii7615
3 жыл бұрын
Mtu makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli endelea kutufundisha wanafunzi wako tunaelewa bila ya kutuchapa viboko
@lenniefei6710
3 жыл бұрын
Duuuh ulimwengu una miamba kweli !!! Lwanda magere mwisho wa mawazo bro 🙏🙏🙏
@collinsndenga6843
3 жыл бұрын
Hhhha,huyu ni chuma nzito
@r14kgroup68
3 жыл бұрын
Bakora za kimkakati
@geoffreygichanga8586
3 жыл бұрын
Bakora za mkakati 😄 umewakunuta sana
@honestema
3 жыл бұрын
Bundle zimepanda bei fanya kutupia part 29
@007-h9m
3 жыл бұрын
🤣🤣🤣Mzee wa bakora za KIMKAKATI🤣🤣🤣
@kahindiwanje90
3 жыл бұрын
Safi Sana broo.
@charlesmapunda5905
3 жыл бұрын
Namba ,6 leo hii itakua upako wa Ijumaa kuu ndio umenipa nguvu ya kuwahi
@macamezunguzungu5697
3 жыл бұрын
Dav nakushauli baada ya story mtafute dreva wake akupe story
@philipoluzege3200
3 жыл бұрын
Hiii ni story hatari
@josephmungai544
3 жыл бұрын
Mtu Makini hii ni holiday wachilia kuwachilia
@marthamaligo458
3 жыл бұрын
🚶♀️🚶♀️🚶♀️
@maureenmwende3515
3 жыл бұрын
Nawai kuchelewa
@DennisManumba
3 жыл бұрын
Tunaomba mwendelezo jaman Episode ya 29 nakuendelea
@chazgunda5823
3 жыл бұрын
Uzur wa steeringi wetu aaachi kitu kene mambo yetu yaleeeee ....😂
@njinjitv9350
2 жыл бұрын
Kabisaaa
@nurafedrick378
3 жыл бұрын
Yani unalala na mamamkwe jamani huyu mtu alikuwa mchafu kweli
@Laila-lz4ij
3 жыл бұрын
Yale mapepo alio pandikizwa Baharini ndio yaliokuwa yanamundesha. Sijui zinat na mama yake mdogo walikuwa kama walikorogwa pamoja
@nurafedrick378
3 жыл бұрын
@@Laila-lz4ij dawa zababu zafanyakazi
@user-in2gi6ho3t
3 жыл бұрын
Darvista punguza kuuliza uliza kila nukta, unapoteza muda, pia unapunguza uhondo!
@sofianikita1567
3 жыл бұрын
Story nzuli ila ina chelewa sana tulushie 29na 30 tumechoka kusubiri
@hamadikassim3091
3 жыл бұрын
#Bakora za kimkakati.
@aishaally8811
3 жыл бұрын
Nimewahe
@credo7837
3 жыл бұрын
Bakora za mkakati zitakuhusu
@pilimusa7770
3 жыл бұрын
Hongera
@aishaally8811
3 жыл бұрын
@@credo7837 🙆♂️🙆♂️🙆♂️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
@aishaally8811
3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 asante kipenzi
@aishaally8811
3 жыл бұрын
@@credo7837 siku hizi hana million 2 za kuchenzea etty
@karrolleschon3986
3 жыл бұрын
🙄🙄🙄🇰🇪
@ivaniavianarodrigo7201
3 жыл бұрын
kula kishoka ni kuvunja kisambusa.
@Jaysantans
3 жыл бұрын
Unatuacha na muhahoo 😂😂😂 ebwana
@cleofasladislaus2177
3 жыл бұрын
Shetani hanaga huruma kwa wanadamu
@credo7837
3 жыл бұрын
Duuh leo story zote umezitupia asubh sijui usiku tutaangalia nin kaka 🤔🤔
@sast8409
3 жыл бұрын
Hahaha 😂😂
@pilimusa7770
3 жыл бұрын
Hapo sasa
@credo7837
3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 yaan katuweza ukitaka sikiliza moja moja uiache ya usiku😂😂
@pilimusa7770
3 жыл бұрын
@@credo7837 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@credo7837
3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 hivi yule jamaa anajiita Credo yukowapi nimeona jana umemuulizia🙄🙄
@vicentsandess1115
3 жыл бұрын
Izo nyege izo hata mm ninazo😂😂😂😂😂😂😂
@somoeawadh7774
3 жыл бұрын
😂🤦
@vicentsandess1115
3 жыл бұрын
@@somoeawadh7774 🤷♂️🤷♂️
@somoeawadh7774
3 жыл бұрын
@@vicentsandess1115 🤦
@jamesadrian4557
3 жыл бұрын
Toka wewe😜😜😜
@vicentsandess1115
3 жыл бұрын
@@somoeawadh7774 🙌🙌
@stephenkariuki8974
3 жыл бұрын
Watanzania kuna tofauti kati ya Igoma na Kigoma ?
@wallacedaud8096
3 жыл бұрын
Ndio kunatofauti.
@stephenkariuki8974
3 жыл бұрын
@@wallacedaud8096 wapi mbali kutoka jijini mwanza
@wallacedaud8096
3 жыл бұрын
@@stephenkariuki8974 Igoma ni jina la kata ya manispaa ya Nyamagana katika mkoa wa Mwanza na Kigoma ni mkoa unapatikana north western mwa Tz.Kigoma ipo mbali kutoka Mwanza.
@stephenkariuki8974
3 жыл бұрын
@@wallacedaud8096 haya kaka nashukuru , , , sikujua kwa maana mimi Mkenya
@wallacedaud8096
3 жыл бұрын
@@stephenkariuki8974 Pamoja kaka karibu sana Tz
@macamezunguzungu5697
3 жыл бұрын
Bakora za kimkakati bot🙏🏃
@mwitawakimara3649
3 жыл бұрын
Daaa leo 8
@nasbuathuman5543
3 жыл бұрын
mzee wa bakola za kimkakati
@hamadikassim3091
3 жыл бұрын
Bakora za kimkakati za kisawasawa.... 🤣🤣🤣🤣
@somoeawadh7774
3 жыл бұрын
Mambo yako hayo 🙄
@timthywilly1148
3 жыл бұрын
Wachelewaji tujuane
@kenyanniggar357
2 жыл бұрын
Unachapa Mama mkwe Bakora bana ee
@vivicagreco7767
28 күн бұрын
Huyu MTU. Hii ni stori ameiandika anasoma au matukio ya kweli?
@uwimanadady6563
7 ай бұрын
Inabidi uganye toba ya kiakika yani shetani Ana vyabure
@shamilakalinga437
3 жыл бұрын
Misisau kumtumia davister kale ka hela kake😋😋😒😋😋😋😋
@rosekingalu4403
3 жыл бұрын
😒 Huyu ni kiboko
@ochuboysosman8376
3 жыл бұрын
Hapana hakuna kitu km hicho ktk uislam
@uwimanadady6563
7 ай бұрын
Yani tuna juwa jina na sauti na kichwa sura atujuwi
@florencerose859
3 жыл бұрын
Nimefika atakama nimechelewa
@gosbertmuta5421
3 жыл бұрын
Yani pamoja na kufurahia utajili wako ila segiment ya bakora za kimkakati ulifaidi🤣🤣🤣🤣
@lazarojohn8080
3 жыл бұрын
Davistar umefidishia hii? Kwakuwa jana usiku haukutupia?
@hajiabdalla5772
3 жыл бұрын
Wenye asili ya uswahili na uwarabu hupenda pesa et hata kama mweusi ila kama huna kitu au sio maarufu hawakukubali. Tamaa yao pesa to na ndio mana wengi wao washirikina wanafuga majini na huwatowa watoto wao kafara huwafanya mando ndocha . Umebahatika to kuwa na uhusiano na hao waarabu njaa umalaya mwingi na tamaa
Пікірлер: 269