Kama unampenda YESU KRISTO na kuamini kuwa ni BWANA na mwokozi na hakuna Mungu mwingine zaidi ya yeye,gonga like
@oprahsalum8185
Жыл бұрын
Yesu juu!! juu!! juu zaidi yaani kwa jinsi watu tulivyo na shingo ngumu ukweli unauma sana ukiambiwa
@emilynyaga5947
Жыл бұрын
This is a true eye opener for the islams and for chriatuans this should strengthen our faith in JESUS
@hellendiana625
Жыл бұрын
Halleluya! ni nyakati za mwisho, ukweli unadhihirika waziwazi, Bwana wetu Yesu Christo yu karibu kuja.
@matthieulugerero9355
Жыл бұрын
Sifa zimurudi Yesu Kristo!!! Yesu ni Mungu daima na milele
@charlesmbena9121
Жыл бұрын
Jesus thank you for this opportunity to listen this testimony
@saidabdalla8996
Жыл бұрын
Hii dunia acha iitwa dunia lakini twendeni kwa Yesu
@sarahkeivaly3351
Жыл бұрын
Waislamu wote pamoja na Mohammed siku ya mwisho watakuwa kwenye foleni moja wakisubiri hukumu ya Bwana Yesu!!
@thechurchoftheedgeministry4325
Wonderful teacher may the Lord bless you
@bernardmuli4495
Жыл бұрын
Safi Sana mchungaji, mathew
@cyantess8423
Жыл бұрын
john 8:32 & the truth will set you free those that have ears listen 🙏
@shepherd1x84
Жыл бұрын
Ukiona dini inayolasimisha watu kuabudu ujue kuna kasoro..maana kila mtu ana haki ya kuchagua atakavyo..Asante kwa Yesu na huyu mwalim wa Neno tunakufuata sana boss..na kupima pia kwa neno.
@jeanmjimmy
Жыл бұрын
Mch, piga fimbo mpaka wavimbwe. Watoto wa Shetani lazima watakukasirikia na kukushambilia. Hata na mimi wanaweza kunishambulia kwa sababu kinaumana.
@geitandelwa299
Жыл бұрын
Ameni HAKUNA KAMA YESU NIMEMWONA NIMEMUSIKIA NIMEMUELEWA NA NI MLINZI WANGU NA UZIMA WANGU
@jonathanndururutse286
Жыл бұрын
Yesu ni Bwana na mwokozi wetu
@happykajeli5453
Жыл бұрын
Yesu Yesu Yesu bwana wangu kaanami siku zote
@geitandelwa299
Жыл бұрын
Hakuna Cha Papa Wala Malia tumuombe YESU YY NDO KILA KITU NA MUNGU HATAKI DHAMBI. YESU YUKO JUU YA YOTE
@josephmutemi7494
Жыл бұрын
Ameeeeen YESU ni BWANA
@farusaimon3490
Жыл бұрын
Bro Dav, this time umejikaza kwelikweli, umepunguza woga, siyo kama ulichotufanyia kwa Mchawi HASSAN cha kutoalizia story kwa kuogopa vitisho.
Пікірлер: 185