Namuomba Allah akupeni kila la kheri wahadhiri wetu kwa kazi nzito mnayoifanya kuwatoa watu katika kiza na kuwaingiza katika Nuru. Hiyo ndio kazi ya Mitume. Nashauri tu kisha muwaeleza zile aya zilizoko kwenye surat zumar kwa wale waliofikishiwa ujumbe wakakataa kufata.
@koechabubakardaawahkenya454
2 ай бұрын
amin
@koechabubakardaawahkenya454
2 ай бұрын
Amin
@Noorein-ws8wk
2 ай бұрын
Asitete pastor ila aingie kwenye dini ya haki tu.
@MohamedMeja
2 ай бұрын
Masha allah mungu awalipea heri hapa Duniani na keshoo aheraa
@josemu870
2 ай бұрын
Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya dawa iendelee Allahamdhullah barikiweni sana sana mafundisho yenye utaratibu yani mawaidha ya Koran mwenyezi
@hassanboru
2 ай бұрын
Masha Allah ❤️ mungu awape umri refu ndugu zangu
@globaldreamagency4935
2 ай бұрын
Masha ALLAH
@SAIDI-DAA-WAH
2 ай бұрын
Amin sote IN SHAA ALLAH
@AliHassanAli-jd9ru
2 ай бұрын
MASHALLAH ALLAH AWALIPE APA NA KESHO KIAMA
@koechabubakardaawahkenya454
2 ай бұрын
amin
@mwangimuhammad-sx9hb
2 ай бұрын
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu..Maa Shaa Allah,,,Allah awahifadhi na awalipe
Пікірлер: 20