Nampe nda Makonda Eewe mwenyezi Mungu mpe wazfa mkubwa serikalin
@pauloipanga7881
22 күн бұрын
Huyu ni aina ya viongozi kama sokoine na nyerere mungu ampe maisha marefu huyu mwamba
@user-bq9me7st6z
5 ай бұрын
Nakupenda bure makonda
@richardburengengwa6998
9 ай бұрын
Siku moja uyu mzee mweshimiwa atakuwa RAIS wainchi ya Tanzania mimi siyo Tanzania alakini nakuaga namfatilia sana, MUNGU akuwezeshe mzee
@Santzmedia
9 ай бұрын
👊👊👊
@richardzakaria8669
4 ай бұрын
Siku moja atakuja kuwa rais makonda Mungu atupe uhai
@janechengula1733
Ай бұрын
Makonda mungu akuvushe hata mimi unaniuma sanaa mungu akumbuke kazi yako akuponyee
@JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye
29 күн бұрын
mie siyo nabii inshaallah Paul makonda atakuwa Rais siku zijazo
@safiaothman5175
6 ай бұрын
MWENYEZI MUNGU SUBHAANAHU WATA'ALA AMWONGOZE KATIKA MAJUKUMU YAKE ,AAMIIN YAA RABBAL 'ALAAMIIN.
@asanthlewanga3941
Ай бұрын
Kwanini mnasoma historia yake au amefariki mnatuficha jamani mimi naumia sana
@sarahkingunza1516
10 ай бұрын
Hongera makonda Mungu akutunze akupe uhodari zaid
@Santzmedia
10 ай бұрын
Usiache kutufuatilia SAN TZ MEDIA
@marcokaroje8980
6 ай бұрын
Historian hii ya Makonda sijui kama iko sawa 1998 alitakiwa awe kidato cha pili lakini yeye alikuwa tayari amemali shahada ya awali na ameanza kufanya vibarua?Nina mdogo wangu wa umri kama wake 1998 alikuwa kidato cha pili umri wake ulikuwa miaka 16 yeye makonda alikuwa anasoma sekondari na wakati huo anachimba shahada ya kwanza chuo kikuu basis ndiyo maana anamwakilisha Rais wetu kama mnavyomwona ni MTU pekee katika nchi hii na Africa kwa ujumla
@aminaomary5567
5 ай бұрын
Mtani wangu ongera sana.Kumbe ni mwanangu wa kwanza ndio maana nakupenda sana.❤❤❤👍👍By Mngoni .
@Santzmedia
5 ай бұрын
🤝👍
@AlliyHamisi-z4k
Ай бұрын
Jamani makonda mungu akuvushe kwenye atali
@ekkymumba8566
Жыл бұрын
Awe kasoma hajasoma mie nampenda hivyo hivyo💯💯✅️
@Santzmedia
Жыл бұрын
😂😂 umetisha sana,ila usiache kutazama SAN TZ MEDIA
@neemanziku5403
10 ай бұрын
Nampenda makonda na ukoo wake wote mwaaa😍
@Santzmedia
10 ай бұрын
Usiache kutufuatilia Neema mengi mazuli yanakuja
@user-mg6gt9hk9o
Ай бұрын
Jaman jamn mtuweke wazi yuko wapi Rc makonda? Nanikwanini mnatusomea historia fupi ya mkuu wetu wa mkoa?????
@benjaminbill6727
Жыл бұрын
Huyu Jamaa nampenda buree 💯💯
@Santzmedia
Жыл бұрын
Vzr Endelea kuufuatilia SAN TZ MEDIA
@LaurenceSanga-ft7ou
Ай бұрын
Hata mm nataka sana awe lais wa tz ila asiwanyanyase wapinzan
@Paulo-j1v
Ай бұрын
Yani daaa mungu yu nawe
@user-yt5ue4vj5b
3 ай бұрын
Nahis kuwa rahisi uyu jamaa😊
@user-dt7ec3tr2v
Ай бұрын
Mmmh! Hii historia inamaana gani? au inamaanisha nini?! mbona inanichanganya😅😅😅😅
@AnnalukasMartine
Ай бұрын
Yu wapi kamanda wetu imn
@zainabubalama8869
Жыл бұрын
Tumekumiss ukuu wa mkoa Dar 💯
@Santzmedia
Жыл бұрын
👊👊👊💌
@PeterJackson-kk3by
Ай бұрын
Twambiani yuko wapi?
@ShilaEliasi
Ай бұрын
Yup wapi
@ShilaEliasi
Ай бұрын
❤
@aminaomary5567
10 ай бұрын
Asante mtangazaji kwa kutuhabarisha,tupe na viongozi wengine.Makonda hoyoooo
@Santzmedia
10 ай бұрын
Endelea kutufuatilia Amina ahsante kwakuwa nasi karibu sana
@AshuraMsangi-dl7ry
10 ай бұрын
Hongera kaka yetu makonda mungu akutunze na kukulinda katika uongezi wako. Malaika wa mungu wakutunze
@Santzmedia
10 ай бұрын
Endelea kufuatilia SAN TZ MEDIA pia usiache kubonyeza batani nyekundu iliyoandikwa subscribe
@user-zd3ds6vt7u
9 ай бұрын
Wasukuma hawanaga mbamba sababu niwasemakweli hawanatamaa hawatakidhuluma maana wahurumasana
@songeza
Ай бұрын
Kwan kusoma nn kasoma kweli sawa yuki wapi???? Elezeni mmechukua moyo jama wanavyochukuliwa watoto kutolewa vungo nae katolewa viungo achilieni mabaki azikwe kwa heshima zake. Daaaah inauma jamani inauma mtoto wa mwenzenu mmmmh hatari
@user-dt7ec3tr2v
Ай бұрын
Kweli kizuli hakidumu😂😂😂😂😂😂
@costantineelisante8587
Ай бұрын
Muguampe Maishamarefu bab yet po kristian makonda
@mwanyongamama4407
Жыл бұрын
Naomba no.ya Poul Makonda tafadhari
@chescomolla5557
10 ай бұрын
Bashite
@user-qu1mq2ik2e
2 ай бұрын
Watu hutoka mbali but God's time is the best
@Santzmedia
2 ай бұрын
Hakika!!!?
@KidawaRashid26
25 күн бұрын
Tutaandamana
@mungholomakalanga8958
2 ай бұрын
MUNGU mwema akutunze mwanangu
@epimackjohn461
2 ай бұрын
Inasaidia nini Historia hii kama binadamu wote wana historia za aina zao na ni zao ?
@jonsondsflosa5619
10 ай бұрын
Kuna baadhi ya vijiji wanajua bado raixi nyerere.
@user-gv8yn9lg1i
Ай бұрын
😂😂😂
@jonsondsflosa5619
10 ай бұрын
Jaman tuache mahixtoria hixtoria haya tufunduxhane jinxigani ya utaftaji wa pexa nyingi mahixtoria haya wara hayatujengi cho,chote
@Santzmedia
10 ай бұрын
Swala lako zuri tunakuahidi kulifanyia kazi Johnson
@JamesJuma-zy8cn
10 ай бұрын
Wasukuma inaonyesha ndo nguzo ya nchi hii
@user-gv8yn9lg1i
Ай бұрын
Si utani ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@hashimchaoga9566
4 ай бұрын
Kachoma mkaa Mbezi Luis??!!! Mtu ana digrii halafu achimbe mchanga miaka ile ya zamani?
@Santzmedia
4 ай бұрын
Kwani kuchimba mkaa ni nini??
@hashimchaoga9566
4 ай бұрын
@@SantzmediaMkaa huchomwa misituni na Mbezi Luis ni jijini Dar hakuna misitu ya kuchoma mkaa. Mchanga wala hakuchimba kwani miaka ile ukimaliza digrii kazi nje nje. Fake news
@CostaAntino
Ай бұрын
Tupeukweli isiwe ya magufuli
@hashimchaoga9566
4 ай бұрын
Mtu amalize chuo kikuu halafu achome mkaa na kazi za ajabu miaka ile???!!! Hizi habari zina mashaka .Ina maana Mhe Gwajima alimzingizia mengineyo?
@ashaali7154
Жыл бұрын
Vyeti feki hivyo acha kutudanganya.
@Santzmedia
Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@FarajaelibarikiLaunoni
Ай бұрын
Iyo storia yako no ya uwongo kabisa
@hashimchaoga9566
4 ай бұрын
Habari zingine ni feki
@prospergirimwa7120
Ай бұрын
Achauongo mjinga wewe,makonda hakuwahi soma chuo kikuu mwanza . Makonda amesoma chuo cha uvuvi nyegezi na dipoloma yake alichukua mbegani bagamoyo kozi ya taaluma ya samki baadae ndo akaenda arusha kutafuta digrii .
@JamesJuma-zy8cn
10 ай бұрын
Hata mm nataman kuwa mwanasiasa kama ww
@mutalemwamarcelventure.mae2058
10 ай бұрын
Kwani wanachuo na Wana siasa Wanapatahaje hizo pesa ijapokua hawajawai Fanya kazi siku nyingi jamanii twambiheni na çc
Пікірлер: 72