Nyoko nyie mlio tukana kijana wawatu kwakuonesha kipaji chaki nawasani wakimwimbiaaga magufuli au mama Samia yeye ni mungu hongera broo🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@EmmaNdoipo
3 ай бұрын
We kijana umetisha Sana utapewa sifa kwenye hamna Ila sawa maono yako Sii mbaya endelea make naye Paulo anasifiaga watu
@bayarotikullaa2044
3 ай бұрын
Mimi namuunga mkono dogo
@abdallahkijonjo8696
3 ай бұрын
Yona sekondari
@abdallahkijonjo8696
3 ай бұрын
Yona
@PartimayoNyoroi-om9hq
3 ай бұрын
Hongera sana kaka kwa wimbo mzuri umetisha bro lai ❤❤❤❤❤❤
@markboy-z2p
3 ай бұрын
Ubarkiwe na wewe pia
@success-only
3 ай бұрын
Chawa sana Paulo umekuwa unamsifia mduhulamat samia wakati jamii inaangamizwa
@MalikiaRecho
2 ай бұрын
Sikiliza mpaka mwisho ndo uhukum jamen
@daudilaizer4799
3 ай бұрын
Hongera sana kwa hilo❤❤❤❤
@PauloMathayo-ql8cl
2 ай бұрын
fafi san unakipaji ya VIP👑
@EmmanuelNgaaka
2 ай бұрын
❤❤❤ nice song
@LemburisLengteng
3 ай бұрын
Paulo anakidanya jaman juu yeye anaabudu mungu wewe unaabud yeye
@JoymasNzilu
3 ай бұрын
Dah sw ila cjui 😂Ila nikama mnarudisha CFA kwake bdala ya kumsifu mungu Aliempa kipaji hicho
@JoymasNzilu
3 ай бұрын
Dah sw bna ila 😂Cjui sasa mnamsifu mungu au binadamu
@rumariletimba7585
3 ай бұрын
Sasa mnasifu binadamu badala ya Mungu,kuimba kwake utukufu na sifa imrudie Mungu sii yeye
@EzekielLaangariakJamesmolell
3 ай бұрын
Aky mungu atusamehe uyo ata ajui maana ya wimbaji anaimba tu
@bayarotikullaa2044
3 ай бұрын
Hapana hajakosea ni uelewa wenu ndio mdogo sana maana mtu anaefanya mazuri husifiwa Kwa namna nyingi, ata wewe unabarikiwa kupitia nyimbo za Paulo siria 😂
@EzekielLaangariakJamesmolell
3 ай бұрын
Aky uyu amepotea kabisa sifa anasipea Paulo nikama ni mungu wake aky uwu imezidi sana😅😅
@bayarotikullaa2044
3 ай бұрын
Hapana hajakosea ni uelewa wenu ndio mdogo sana maana mtu anaefanya mazuri husifiwa Kwa namna nyingi, ata wewe unabarikiwa kupitia nyimbo za Paulo siria 😂
@EzekielLaangariakJamesmolell
3 ай бұрын
@@bayarotikullaa2044 ndiyo nimebarikiwa kupitia nyimbo sa Paul lakini kumuimbia kama mungu iyo ni makosa sana ata uyo kijana ajielewi kabisa chenye anafanya
@Shadrackxhaddz
3 ай бұрын
Kwani nowadays mambo imebadilika badala Mungu aimbiwe ....mwanadamu ndo anaimbiwa Mungu urumiya watu wko
@EzekielLaangariakJamesmolell
3 ай бұрын
Aky uyu amezidi sana ata ana haya
@bayarotikullaa2044
3 ай бұрын
Hapana hajakosea ni uelewa wenu ndio mdogo sana maana mtu anaefanya mazuri husifiwa Kwa namna nyingi, ata wewe unabarikiwa kupitia nyimbo za Paulo siria 😂
@bensenlukumai4691
2 ай бұрын
Mkumbavu sana uyu
@MtazameKristoTv
3 ай бұрын
💯🙏🙏🙏
@markboy-z2p
3 ай бұрын
❤
@MtazameKristoTv
3 ай бұрын
@@markboy-z2p be blessed
@SakayoDaudi
3 ай бұрын
❤❤❤😂😂😂😂
@Fredmmole
3 ай бұрын
Ww jamaa angu jirekebishi badala umsifu mngu wako aliye kuumba na kukupa pumzi ya Bure unamsifia bidamu
@tingishaJackson
2 ай бұрын
Hahaha hahaha 😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
@MathayoMelubo-i9m
3 ай бұрын
Sasa anayeabudiwa hapa ni Mungu au Paulo siria mmh Aya bwan
@JacksonLukumayi
3 ай бұрын
Hata na Mimi sielewi hawa jamaaa
@bayarotikullaa2044
3 ай бұрын
Hapana hajakosea ni uelewa wenu ndio mdogo sana maana mtu anaefanya mazuri husifiwa Kwa namna nyingi, ata wewe unabarikiwa kupitia nyimbo za Paulo siria 😂
Пікірлер: 36