Team kicheche gonga like twende pamoja kwenye kigongo Cha pilipil😅😅😅😅like zenu❤
@MaryElizaElizabeth
2 ай бұрын
😂😂😂😂❤❤❤
@Mohamedmudy852
2 ай бұрын
Unyama xana
@kichecheBurund
2 ай бұрын
Yani Léo tumeona pilipili chungu sana ❤❤ naomba wanao nitaka ndani ya iyi Season gongeni liké naitwa kicheche BURUNDI 🇧🇮❤
@rajwarajj9598
2 ай бұрын
😂mambo yenye mi upenda ndio haya sasa😂😂
@IratubabayeJeovanis-jr3ll
2 ай бұрын
Hy😊
@MozaFoum-yg9he
Ай бұрын
🎉🎉
@VeroJohn-mz7hu
Ай бұрын
❤❤😂😂😂😂
@ericndayishimiye574
2 ай бұрын
kicheche weye unataka wuwa watu Kwa vicekesho iyi moja itavunja watu mbavu kabsa iyi kali sana Ndung'u yangu
@alphanlukombe3774
2 ай бұрын
Nilikuwa nakusubiri kwa hamu kicheche wewe ni zaidi ya clam movies zako zina uhalisia sio za kufikirika ni mm shabiki yako namba 1
@user-nk3gj3sj2t
2 ай бұрын
Clam VEVO ni level zingine usimfananishe na huyu dogo
@Mounadefinitely
2 ай бұрын
Usipende kufananisha watu Kama unaangalia kote means unawaelewa wote kwahiyo wape maua Yao kila mmoja kwa kazi yake 😏
@chugaboytz7763
2 ай бұрын
📌📌Vevo ni level nyingine mkuu vevo ni SIRIUS movie Sio comedian
@mohammedkidody5618
2 ай бұрын
Wewee kicheche anajw vevo level nyengn❤🎉
@kiprotichpeter1386
2 ай бұрын
Wa kwanza kutoka Kenya 🇰🇪,wapi likes za kenya jameni
@PhilemonBwalala
2 ай бұрын
Wakwanza Léo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 lake zangu
@AdorateurspeterAmosngossatv
2 ай бұрын
Kiekiekie qui a regarder comme moi je regarde la vidéo 30fois je mérite quoi kicheche de puits la République démocratique du Congo Kinshasa 🇨🇩🇨🇩
@elinapetro7136
2 ай бұрын
Kicheche na mkewe wanaushauri mzuri lakini wao sasa😂😂😂😂😂😂
@janethmdachi5334
2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣yaan nimecheka wakt wanapigan na vibakuli na sahani
@ahmedmuradamusa578
2 ай бұрын
Hi comments nilikua naitafta😂😂😂
@Marim-sj7oi
2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@nyamiziramadhani4232
2 ай бұрын
😂😂😂nimecheka
@coastermahenge8910
2 ай бұрын
😂😂😂😂
@husseinabdallah2049
2 ай бұрын
Tunao elewa uzur wa latifa tupige like apa
@LathifaMohammed
2 ай бұрын
Ndio tupo kina lathifa ❤😂😂🎉
@QUEEN_VERO30
2 ай бұрын
Mimi apa
@sfixed6984
2 ай бұрын
Duh mtot mkali kisenge
@sfixed6984
2 ай бұрын
Niunganishieni basi
@herimornchriston6083
2 ай бұрын
aisee tuambie wewe umejuaje radha yake ratifa😀😀
@cretrinomz
2 ай бұрын
noma sana kicheche, Mocambique
@user-qt3uy2ci5h
2 ай бұрын
Kwaio Kaká Léo umekubali
@Mrblack0808
2 ай бұрын
Nategemea hii itakuwa Kali kuliko watoto wa Mzee kicheche
@user-ub3xy9qu5q
2 ай бұрын
Aise huyu mama kiboko eti ukipigwa unachutama mbona yeye alikua anapigana na makopo😂😂😂😂😂😂
@ashasalimin1033
2 ай бұрын
😂😂😂
@user-qq6mv6vh3e
Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@user-nz3du9mh3j
2 ай бұрын
Nimekuwa Wa kwanza from Dr congo ❤ one love nipe like zangu acheni roho mbaya
@nickdemitychanell
2 ай бұрын
Wakwanza mm apaa naomba like zangu wadau jamn😢😢😢😅
@mangindule
2 ай бұрын
Inalipa
@rizikisam6481
2 ай бұрын
Kuna muda nimeona hiyo gari inacheza cheza 😂😂😂 ila nna furaha kicheche kumchukua huyu mzee anaigizaga vizuri sana
@DaCaty
2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@rizikisam6481
2 ай бұрын
@@DaCaty 😂😂😂
@mohammedkidody5618
2 ай бұрын
😂😂😂
@zainaabdallah809
2 ай бұрын
Sana😂😂
@castomike6037
2 ай бұрын
Kicheche in the house
@AminaRajabu-rv8ef
2 ай бұрын
Napendaga movie zako kicheche kazi nzuri 😊😊
@user-zg7gm3cy1j
2 ай бұрын
Naomba like kwa ajili ya msomi aka mwenyekiti mnafiki😂😂😂
@user-de8qk5ij6m
2 ай бұрын
Aka ntengeneza bomu
@zainaabdallah809
2 ай бұрын
😂😂😂
@rehemakatundu7027
2 ай бұрын
Ila kicheche na mkewe wameupiga mwingi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Sharifa_Fashion_21
2 ай бұрын
😂😂😂nilichojifunza matatizo ya ndoa nikubaki nayo matatizo Si kusema Kwa wengine hata wao wanayao ndani😂😂
@sergesntunzwenimana
2 ай бұрын
Nimechelewa naomb ata like 5❤❤❤
@user-dd3ge6pl3b
2 ай бұрын
Bonge la movie upo vizur big 🎉🎉🎉
@stanohtv
2 ай бұрын
Kazi Safi👍
@dicksonbenard1741
2 ай бұрын
Goma lingine hili baada ya familia ya mzee kicheche tunawapenda sana gonga like❤❤❤❤
@SwahiliAmbasador954
2 ай бұрын
Huwa nataman hivi siku moja kicheche aigize siliasi frani hivi ❤🎉🎉🎉
@Mlangalidiamiry1
2 ай бұрын
Mm nakuzidi kicheche
@georgemwangi8921
2 ай бұрын
Wakenyaaa tunakubali kicheche hatari hacheleweshi mzeee hatari
@JohnShirima-re4hw
2 ай бұрын
Huyu mbwa lambalamba kicheche sikuhizi ni hatar sana anajua mbwaaaa simpingi kaka❤❤❤❤❤❤❤❤
@saidigongolo4532
2 ай бұрын
Kazi nzuri sana Ila muda mdogo sana
@FlesbIgiraneza
2 ай бұрын
Wakwanza kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 naomba like zangu please
@bernardsinzobatohana1671
2 ай бұрын
Murundi mwenzangu kicheche unamuonaje
@Abykhassim
2 ай бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮abo Tuvalu hamwe
@user-xu5rh6ub5j
2 ай бұрын
❤❤❤❤love from kenya
@KAZOZA10
2 ай бұрын
Kama sijaona Vailet sihatulia🇧🇮🇧🇮
@NdikumanaInnocent
Ай бұрын
Nakup kwasababu unajina la mwanangu
@kipzik8029
2 ай бұрын
Tes blagues, Kicheche, un jour feront mourir quelques-uns de rire avec tes éclats de rire kkkk.😅😅😅 Depuis la République démocratique du Congo 🇨🇩
@MoTalentTz
2 ай бұрын
Kazi kazi mjomba ndo tumeanza hivyo kicheche🙏🙏🙏🙏💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻👏👏👏👏
@itangakubuntuErick-ps6jz
2 ай бұрын
🙅🙅🙅🙅🙅💪💪💪nipee like zanguu ndo mim nawatangulia. Kuitazamaaa Hui movie
@naymgavino1157
2 ай бұрын
Wakwanza Léo Congo Goma 🇨🇩🇨🇩🇨🇩✌️😊
@Kib-jsanley
2 ай бұрын
Du kitandani Uwe vizuri na inje Uwe rada du🇰🇪🇰🇪kitalamu like
@shaiburajabumrope8113
2 ай бұрын
Waooh pili pili by kicheche
@AnestoChaz-cj4cr
2 ай бұрын
Wa kwanza kenya
@nathaniajohn
2 ай бұрын
Namim nimewahi leo ata like 5 zinatosha 🙏🙏
@bujumburatv2925
2 ай бұрын
hahaha nimependa ulivyo koswa na hilo jagi halaf eti mna myaka 20 hamjawah kugombana
@lumistarboy8499
2 ай бұрын
Duh huyu mke wa kicheche ni balaa kweli 😅😅😅😅 hata hawajafika mbali du kimewaka❤❤❤
@user-qq4zr3sk2g
Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@MayengDulu
2 ай бұрын
Kazi poa sana kicheche
@user-sx9wd3rh9q
2 ай бұрын
Uyu jamaa mbona amefuga nywele za kwapa kama rasta fale 😂😂 nani kaona kama mimi
@angeharushimana7431
2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂yani kunawatu wana macho makumbwa
@cristaezekiel1036
2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂@@angeharushimana7431
@BernadetteKatutu-jd1zg
2 ай бұрын
Nimchafu uyo
@beautyibrahim8428
2 ай бұрын
Huko chin atakuwa ana msitu wa amazoni😂😂
@RechoMasele
2 ай бұрын
😂😂😂😂😮😅😅
@Memphispaltrow
2 ай бұрын
😂😂😂😂ila kicheche
@ELLAIRAKOZE-cj9pf
2 ай бұрын
Kicheche nakupenda saana 😘😘❤️
@PatrickMatofali
2 ай бұрын
🤣🤣🤣ila kicheche🤣🤣
@LathifaMohammed
2 ай бұрын
Kina lathifa atuna baya siku zote❤😂Alafu team kicheche mko wapi😂kusuluisha kesi ya mkaza mwana kumbe mfumo ulianza kwa wazazi kupigana😂 Kma wamkubali kicheche tujuane😂😂❤❤🎉🎉
@BarakaSenior
2 ай бұрын
This is amazing,, bonge la video
@YassinYasso-gc1rg
2 ай бұрын
Kicheche unazingua kazi zako sio mzuri tofauti na kitambo
@KellyMwami243
2 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 wakwanza kutokeya Congo.
@AllyBabu-kr6lg
2 ай бұрын
Wamakonde wezangu kama mpo laiki apa. We mbwa kicheche
@johnsilima1629
2 ай бұрын
Acha ubwege Tanzania hatuna Ukabila msenge wew kwaiyo wengine tusio na kabila tufanyaje hata huoni aibu kuandika huo uchafu wako na kutuma hadharani mbuzi wew usituchafue bwana
@judithpendo9985
2 ай бұрын
😂😂😂😂hii family ya mzee umbwa kicheche utaniua walai😂love from 🇰🇪🇸🇦 team strong hoyeeeeeeeeee 😂
@OscarBlaise-wo5vt
2 ай бұрын
Kicheche en forme 💪💪💪
@erastomakali
2 ай бұрын
Wa kwanza
@khalfannasornassor7396
2 ай бұрын
Nywele za kwapa punguzeni
@Mambwendekhan
2 ай бұрын
Hahah😂😂😂😂
@mohammedkidody5618
2 ай бұрын
😂😂😂
@henryhabadju-xr6qk
2 ай бұрын
Kicheche iyi ngoma kali sana shusha vitu baba bila shida ita tran🎉
@jmklwango
21 күн бұрын
ningitaka ku cheka nafata kicheche depuis 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@MaryamSafi-vm6or
2 ай бұрын
Kicheche namkewe 😂😂😂😂😂
@KhalidiMtili
2 ай бұрын
🤣🤣🤣 rojo mtoto pumbavu zenu
@user-se2mt2hd7q
2 ай бұрын
😀😀😀😀😀apo kicheche alivyokwepa ichp kifaa nimecheka sana
@RodriguezKambale
2 ай бұрын
Dah iyi ni filamu yenye shauri nzuri zaïdi
@ellys_star
2 ай бұрын
Wa Tisa Apa nipeni like zangu🎉
@KurubonePascal-pe3pg
2 ай бұрын
Kicheche urarenze yaniwewe ni kiboko! Huku burundi tunakubari
@diva_20162
2 ай бұрын
Hahahahaha maisha haya wanao shauri ndo wanapigana kila ck uwiiii
@MrChiffres
2 ай бұрын
Courage vraiment 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@user-zadig
2 ай бұрын
Wapili kutokea kwetu lubumbashi DRC 🇨🇩 likes zangu kwaannjili ya warioba ,ne soyez pas égoïste
@Allystars690
2 ай бұрын
Kam wew nishabiki wakicheche like Ii comment nipeni like zangu🎉🎉🎉
@Bibi-he6vt
2 ай бұрын
😂😂😂😂nimecheka vita vya kicheche na mkewe😂😂😂
@AbuubakarySalumu
2 ай бұрын
Nakubal kaka tunasubili episode ya 2 na kuendelea❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MaryZawadi-yg4cu
2 ай бұрын
😅😅😅😅mmmmm makwapa mmmmm nyoa mathematics
@MaryZawadi-yg4cu
2 ай бұрын
Umeona
@mohammedkidody5618
2 ай бұрын
😂😂😂
@abubakarishazili8529
2 ай бұрын
Wakwanza like zangu jamani
@user-du1vv9si8w
2 ай бұрын
Kichecheee kumbe wajua kuhepa Ivo, ungegongwa
@JackyTarimo
2 ай бұрын
Kazi nzuri sana bro kicheche
@Reymaa811
2 ай бұрын
ongezeni muda kidogo, haya like 10 tu kwa hil
@user-ty4jy3hv4o
2 ай бұрын
Duh nimewah hatima 😂 nipen like bc achen siphaaa ovyo
@BensonMpomo
2 ай бұрын
kicheche kweli ni hamnazo muvi zako tamu kweli
@user-bz6bl1xo2k
2 ай бұрын
M namuerewa sana latifa dah
@Efootball2028
2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@Monystar01
2 ай бұрын
Leo mm
@StopperPlatnumz
2 ай бұрын
❤ More❤ love from USA
@Marwadismas
Ай бұрын
Sema huyo mjuaji sana ajuh
@glorymanga3650
2 ай бұрын
Sikuuu ya pili ukivuaa nguo Manyanya hakikishaa kwapaa linaruhusu maana mmmmh ikichanganya na hvyo vipilipili kifuani mmmmmmh unakuwa uchafu zaidi..... Hayaaa tuendeleee na movie yetu....
@Nashoni1996
2 ай бұрын
Amezidisha au hakujua kuwa angevua
@ngulathfundikira4205
2 ай бұрын
Sijafuatilia😂😂
@SakinaHassani-xm7ti
2 ай бұрын
Umenifanya nirudie kuwangalia😂😂😂
@beautyibrahim8428
2 ай бұрын
@@Nashoni1996😂😂😂😂
@Sharifa_Fashion_21
2 ай бұрын
😂😂😂Yan balaaa@@SakinaHassani-xm7ti
@user-fg8it7nz5c
2 ай бұрын
kubababake mndo wakwanza kuicheki
@JordanAndrew-rr8fq
2 ай бұрын
Duh nimechelewa lakini Kwa niaba ya wanangu timu kicheche tupeane like 👍👍👊💪👍
@StanleyEmmajose-fs8th
2 ай бұрын
Haha latifa baada ya kumpa vidoge vyake masomi kamsifia tena eti jambazi kuu la mahaba hahaha like zangu jamani
@mangindule
2 ай бұрын
Like zinalipa Au Tuambieni Nasisi 😢
@vitukuumsafi1648
2 ай бұрын
Kali sana nlikuwa nangoja sana
@user-hj4vf6xn2g
2 ай бұрын
I like it so much kicheche 🇧🇮🇧🇮
@BeltesaMuhasa-mo8ti
2 ай бұрын
Tifa maman nakukubali sana , inaendeleya je maman tifa
@SharanSaid
2 ай бұрын
Nomaaaàaaaaaaaaaaaaa ssana kicheche one
@moureenwalekhwa4320
2 ай бұрын
Hii nayo ni kali kuliko zote,kazi nzuri kicheche Mungu akusitishie
@Marcus92378
2 ай бұрын
Nîme tchelewa from RDC 🇨🇩 liké yenu jamani ❤
@ChausikuJoseph-bd9fx
2 ай бұрын
Oya team kichecheeee good job bro kichecheeee
@DanielChaula
2 ай бұрын
Here we go again with air force king 👑👑👑👑 of new generation
@m.csundayvin3584
2 ай бұрын
Kicheche you are on top bro kip it up, from kenya your no' 1 fun
@MusaSitta-wv9dk
2 ай бұрын
Waoo miaka 20 bila kugombana nabakuli kicheche
@sporamashanga4019
2 ай бұрын
Timu kichechee mpo vizuri mambo fire,picha imeanza tu lakin inahamasisha kuangalia ,leta vitu baba
@leahwanjiku5466
2 ай бұрын
Much love from Kenya 🥰 Kenyan people let's show love here🎉
@ELJAHABDULL
2 ай бұрын
Wanawake si bazuri 😮🎉
@Boy_MusTaik_Official09_TVM
2 ай бұрын
Wooooow like Apa kutoka Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@Ekerengatv-045
2 ай бұрын
Manyanya nyoa nywereeeeeeee
@manekodrizzy6792
2 ай бұрын
Daah. Team kicheche nawapenda sana. Ila manager vichwa, Ongeza quality na proffessional color ya Image 🙏🙏. Asante.
Пікірлер: 1,1 М.