Raisi ana akili za darasani hana maarfa ndiyo maana wana mugeuza wanavyo taka
@juliuszakayo6771
3 сағат бұрын
Tuaitaji chaadema kuutanga maandamano ya nchi nzima zianzie kila kitongoji TUONE haw polisi
@RamadhaniKitala-gx6wc
3 сағат бұрын
Siku zote ya kuambiwa na changanya na nako ila rais inatakiwa achukue maoni ya wananchi ili tujenge taifa kuliko kuangali ya upande moja
@MsNajma-j7e
3 сағат бұрын
Hi bado tutandamana tu ata kmya kmya police hawajui sheria wananchi wap wakaseme..uko bungeni wabunge wakitoa hoja turia anapnga sasa wananchi wap wakaseme
@juliuszakayo6771
3 сағат бұрын
Kidoogo naendelea kukiamini chombo chenu maana waandishi wengi sasahiv wa nchi yetu wanatia kinyaa ukisikia wakizisifia serikali na na maovu take utachoka, katiba imeeeka wazi kua Rai anakua na washauri wanaolipwa na Ila Sheria Ina sema pamomoja na ushauri wao pia Sheria hiohio Nina sema halamiki kuutumia huo ushauri anaweza shauriwa vizuri Ila anaweza kuuacha huo ushauri nakutumia akili yake huo ndio ubovu wa katiba na Sheria zetu,
@EllenWaigama
Сағат бұрын
Na yeye ni mtazamo yake kama nyie mnavyotoa mitazamo yenu inayoegemea upande wa serikali pasipo kuchambua kwa hali halisia
@PROSPERMAZIGO
Сағат бұрын
Wasafi mnaanza kupoteza ethics ya chombo cha habari.
@KassimAlly-xp4dz
Сағат бұрын
Kwann
@emmanuelmwakyoma5746
Сағат бұрын
Raisi kasema serikali yake Ina interegensia kubwa, na interegensia kubwa Ni bwana msiba bwana Yona wachalinze makonda na shehe mwaipopo, watu waio faa boblia inasema watu wazushi waongo wahaini wachochezi watu walio na moto wa kichawi kwenye nchi ili iungue, raisi akiwaamini hao nchi itateketea. Mie najifika kwenye handaki la Yesu
@philemonsnyanda9450
Сағат бұрын
Wangekua na intalejensia wangejua mbowe kalala wapi😂
@ZaidAKissinza
2 сағат бұрын
Hii ni redio ya comedy? Maana siielewi ndugu zangu
@philemonsnyanda9450
Сағат бұрын
Saiv imeanza anza kujirekebisha kidogo zamani huwezi kutamani kusikiliza
@RamadhanAthuman-d4c
4 сағат бұрын
Washauri hewa hao ipo day kitanuka tu
@RamadhaniKitala-gx6wc
3 сағат бұрын
Wajina Bora angesikiliza ushauri wa wananchi kuliko hawa washauli wake
@wanainchitvrdc6705
Сағат бұрын
Kumbe kakitenge haka jui hata kusoma kiingereza
@VIPSwahili
Сағат бұрын
Psychology imemsumbua😂😂
@Queen-be1uf
23 минут бұрын
Tanzania kila mmoja anajua, hakuna anaejua sheria wala haki. Ni sheria ya Baharini samaki mkubwa anamla mdogo. Wajinga ni wengi sana. Polisi hawajui kazi zao, wanajiona magwanda yao njaa ndo sheria. Nchi yenye dhulma. Kwani Raisi bwege? Hapimi anachoambiwa? Au ndo ktk hao wajinga wenyewe. Anaendeshwa ovyo na anakubali. Rais si muadilifu. Uongozi unatakiwa uwe muadilifu
@EllenWaigama
Сағат бұрын
Na yeye ni mtazamo yake kama nyie mnavyotoa mitazamo yenu inayoegemea upande wa serikali pasipo kuchambua kwa hali halisia
Пікірлер: 18