Utumbo wako haupitishi mihogo kama umesikia hii like yako hapa plz
@henrymabula2537
5 жыл бұрын
hizo ndo dhahabu za kale na uzito wake na msikia ngwair Rest in peace Pamoja sana aseee gonga like twende Sawa kwanza maana huyu jamaaa -----------🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@zlfamz3540
2 жыл бұрын
Ngwir R I P tutakukumbuka milele daima
@gambinonyalys3357
5 жыл бұрын
Professor hii ngoma niliitafuta kinoma,ktk ngoma zako hii umejua kumsifia mtoto mzuri
@godwinbernard8792
5 жыл бұрын
Una akili zaidi ya Lincoln na unapenda kusoma...........hutazami tu ya Leo na unafikiri pia ya kesho... #madini hatarii.....
@youngyayoo2805
4 жыл бұрын
😂😂😂
@vincentkiprotich7959
3 жыл бұрын
Hakuna anayemshinda the Heavyweight MC Prof J
@mrplantv212
5 жыл бұрын
big up professor hujawahi kuniangusha hata siku moja
@michaellimu2332
5 жыл бұрын
Utumbo haupitishi mihogo dah.😂😂😂😂
@Joramkatana
5 жыл бұрын
Midomo yako na ulimi huo ni uchawi toshaaa...haha hahaaaaaaa Nooooomareeeeee
@bilaljuma385
5 жыл бұрын
Nakubali kaka haujawai kutuangusha mashabiki zako
@mkijomutv9633
5 жыл бұрын
una, albart kamaliza kwny kibwagizo ataree3ee.
@hhurbert
4 жыл бұрын
Nk disko Dodoma kwenye uzinduzi wa hii album ilikuwa noma sana
@rahimrajabu5142
5 жыл бұрын
ebwana binge La ngoma rip mangwea
@shaphyvuai6805
4 жыл бұрын
Ngoma Kali sana 2020 RIP Ngwea
@allybwango784
5 жыл бұрын
Dah broo nakumbka mbl sana izi ngoma yani nimezipitia zote mzk zamani ulikw zahabu sana ila wanunuz walikuwa amna
@mbishitrump5621
5 жыл бұрын
Rest in peace cowbama...
@andrewmtalemwa6970
5 жыл бұрын
Albert mangwair atabaki Kua juu sana
@salehali9203
4 жыл бұрын
Bonge la collabo,ngwair na mbunge wa wanyama na binaadamu(Pr.jay)
@isackjuma1959
Жыл бұрын
Hizo ndo ngoma za watu wenye timam zao... Mistali dah,,, nakubali.
@munyarubugaismailally111
2 жыл бұрын
Professor kama professor na the best there was of all time
@erickchalse6429
2 жыл бұрын
Nakukubar sana mzehe naitatwa erick Niko mwamz
@nelsonmwaipaja3727
Жыл бұрын
Legends wa mikumi mlitisha xana humu r.i.p Albert mangwair 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@kambiguy8317
3 жыл бұрын
Hakika nyie legend
@audiphaceedward1028
Ай бұрын
June.2024❤
@gracejohn6694
2 жыл бұрын
nilikuwa napewa sana dedicaion
@vikimu2543
5 жыл бұрын
Big up man wa nguvu kama simba cement....
@priscusemanuel7226
5 жыл бұрын
Nakukubali kwa asilimia zote Professa J
@priscusemanuel7226
5 жыл бұрын
Profesa J makukubali kwa asimia zote
@erickendrick3330
4 жыл бұрын
Hii ngoma inaendelea kuishi
@richardngendakumana2871
5 жыл бұрын
Kariri burini prof
@rahmurajabu6450
5 жыл бұрын
P. Funk mkali beat kali
@patrickakitanda7709
4 жыл бұрын
Ngoma ina ishi hii Professor
@youngyayoo2805
4 жыл бұрын
😂😂😂😂🔥🔥 mistari Kali sana jay
@fredyagrei8551
Жыл бұрын
Mungu akujalie kaka urudi vizur
@derickmbughuni9095
5 жыл бұрын
Huwa nacheka sana hii mbona nowmah !
@aminminiofficial2381
5 жыл бұрын
Fun from France big up #legend
@zlfamz3540
2 жыл бұрын
Jay uk poa san hii ngoma haishi utamu
@ubogalugalu5831
5 ай бұрын
Balaa
@lorezemi4613
Жыл бұрын
The video content is so excellent, congratulations
@dubaialga6920
5 жыл бұрын
Unaa daah kweli
@double8tz
4 жыл бұрын
hii beat nasikia kick za she got gwan ya ngwair pale kati P Funk majani tz Scott Storch
@mathiaslaurent756
4 жыл бұрын
Nahangaika ku i download Lakin nakutana na Ma virus tu tabu tupu
@ilumbukibi4169
5 жыл бұрын
Dah!
@kuligigambo897
5 жыл бұрын
great hit
@dr.eliasm.chrisant4110
2 жыл бұрын
Hips kama umeficha panya
@datikazumari515
3 жыл бұрын
2005. UNA prof j ft black ryno, ngwear. P FUNK.
@baleledaud422
4 жыл бұрын
Iko poa sana
@edmundmuhumba9585
5 жыл бұрын
My fav
@mzadomwongozo3671
5 жыл бұрын
Classic in deed
@robertmgulunde5069
Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@mchinjanyau9055
Жыл бұрын
KAMA UNA KUMBUKA KITU UNAPOSKIA NGOMA MIAKA KADHAA ILIYOPITA NAOMBA LIKE YAKO TUJUANE
Пікірлер: 60