MASHA, ALLAH SAYYID JAAFARI ALLAH AKULIPE KHERI DUNIA NA AKHERA
@ramadhanabdallah9476
10 ай бұрын
Uko vizur mzee ALLAH AKUHIFADHI
@ramadhanabdallah9476
10 ай бұрын
Nimekuelewa ❤ allaah akupe umru mrefu wenye kheri na barka
@AbduNgarubulwa
10 ай бұрын
Mashaalah!!!
@YousofShaamal-bt3br
Жыл бұрын
mashaalaa baraka alaahaa na wapndasana mashehe kwajili ya allah k7unazungumza hakii
@husseinvarvani9823
Жыл бұрын
This innovaters need to be educated
@sultansaidsalehe3805
Жыл бұрын
Mashaallah Allah ukuhifadh Abul khatwab
@Abdulrahman.84
Жыл бұрын
Aslm alykm Sheikh Abdalla Humeid... Naomba kuuliza baadhi ya masaala ili nipate jawabu kwa Inswaf..Hii Hadith ya Ukba Bin Ameer ndio iliokuja mwanzo ama hili tukio la Sayyid na Bilal Bin Rabbah?ndio Mtume S.A.W.ndio Mtume S.A.W.akatoa bishara kuwa hili jambo ni zuri na watu wali fanye... Mtume S.A.W.aliwahi kuswali Raq'aa mbili za Sunmak wudhu? Hawa ASWHABIL QAAFI walitawasal kwa Amal zao na wakakidhiwa haha zao sasa hiyo ilikuwa ni Shirk? Jee walitegemea AYA ama Hadith gani hapı? Mtume S.A.W. alipendekaza kuwa Maiti ni Bora kustiriwa kwa haraka... Mbona Maswahaba wakubwa walimueka Mtume S.A.W.kwa muda wa siku tatu (3) hiyo haikuwa Bida'a kweli? Mbona Maswahaba wakubwa walimswalia Mtume S.A.W. kwa mapote mapote hivyo ndivyo Mtume S.A.W. alivokuwa akifanya?ama wewe waweza kumfanyia mtu wako hivyo kweli?Jee hiyo si Bida'a ? Mbona wala yamini kuwa Maswahaba hawakufanya Bida'a. Tafadhali naomba jawabu kwa ikhlas /inswaf... Shukran wajazaka allahu kheir...
@muhammadhussein5741
Жыл бұрын
Nakuomba kwa ikhlas kasome sana habib
@hilalkhalfan1452
Жыл бұрын
@@muhammadhussein5741 JIBU HAYO ULIOULIZWA ITAKUWA SOMO TOSHA MAISHANI MWAKO UKIPATA MAJIBU YA HAYO MASUALI
@swalehmohamed4849
Жыл бұрын
Je hii Aswalatu khairun mina Naum iko hadith Kabla yake? Nani alimpa ruhsa Aongeze kabla ya kumuuliza Rasuul? Na jee Jibreel alipofundisha Adhan kwa nini asiifundishe kabla
@Saaid-yv6bg
Жыл бұрын
Wallahi billahib thallawahi sheikh Abdallah humeid ukija south africa cape town ukiyaona yale mazingira watu wanavyo ishi huwezi tena kuongelea kuhusu maulid tatizo lako husafiri..
@SugowFarah-up3db
9 ай бұрын
Kwani south Africa ndio kuna nini hadi tuinyamazie ❓❓❓❓ Hakuna siku Ahlu sunnah waljama'ah kuinyamazia bid'ah yoyote ile hata kama itafanyika nchi tukufu ya saudia lazima TUTALIKEMEA
@abuumuhammad8714
4 ай бұрын
Unataka kusema nini labda
@badmanno.1650
5 ай бұрын
Mtu anachukua dhima kabisa ya kuingiza watu peponi kwa bid3a ... Hii ni hatari .. . Na si kwa ubaya watu wa lamu mbona ni wazushi mno??? 😢😢
@abuumuhammad8714
4 ай бұрын
Kwa iyo ndio na wewe hutaacha uzushi kwa sababu hiyo
@abdulkhalfan8586
Жыл бұрын
Sheikh Jafar Saggaf siyo mzee ni kijana bado
@jumanneissa7118
Жыл бұрын
Bc abdallah humeid anamiaka takriban 31 saagaf zaid ya 45 Nani aitwe mzee bc achana na umli chukua maneno ya raad
@ndongeyejackobo4059
10 ай бұрын
Salaaaaaaala ,hahahahaha, in short i love you sheikhe for the sake of Allaah
@BakariBinuri
4 ай бұрын
Masuf wanatumia akil zao sio dalili
@khamisiiddi2470
9 ай бұрын
Wallaahi nilikua nikisikia eti uliensa kusoma miez sita naomba unijibu kwa inswafu na kwa ikh,laaswi je nikweli ulikwenda kusoma nje ya tanzania miez 6?
@IssaKabelwa-zs2ct
8 күн бұрын
Jambo lafanyika na mtume yuko hai na hiyo pia ni bida, a sallaaala ufahamu m bovu ulioje huo yaa jamaa!!
@omarally6819
Жыл бұрын
Vichwa vibovu kwelikweli
@mafiatv5479
11 ай бұрын
hangaika tu, sheikh jafar humpati humpati hata theluthi ya ilimu yake
@sumeyaahmed4187
10 ай бұрын
Aaaah kabisssa kaka shekh jaafar ni mzittto sana
@SugowFarah-up3db
9 ай бұрын
Mzito kwa kuwasingizia maswahaba kuwa walizua
@mafiatv5479
9 ай бұрын
@@SugowFarah-up3db hilo lako
@SugowFarah-up3db
9 ай бұрын
@@mafiatv5479 hamuoni aibu kuwasingizia maswahaba kuwa walifanya bid'ah
@husseinvarvani9823
11 ай бұрын
Sagaf ni mpotevu mkubwa na hoja zao hazina ukweli
@AbuuMaahirAsalafy
Жыл бұрын
Masufi tatizo uelewa wao kwenye dini hutumia akili zao hapo ndo wanapopinda.
@hilalkhalfan1452
Жыл бұрын
MAWAHABI MMEKURUPUKA
@mafiatv5479
11 ай бұрын
wewe fanya ujuacho wape wenzako nafasi wafanye yao, mbn mnakua mashoga na maneno ya kebehi
@hilalkhalfan1452
11 ай бұрын
@@mafiatv5479 MAWAHABI HAWARIDHIKI MPAKA TUPIGANE VITA WAISLAMU KWA WAISLAMU TUUWANE, BILA HIVYO DUNIA HAIKALIKI. WAO HAWANA UGOMVI KABISAAAA NA MAKAFIRI.
Пікірлер: 39