Tunaomba picha ya Hayati Makufuri iwekwe Njia panda Ubungo na Picha ya Samia Arusha au Dar.Maoni yangu lakini.
@edwinalexander1170
7 ай бұрын
Hii sanamu ya Nyerere bhana dah, acha tu nisiendelee kucoment😂😂😂😂😂😂😂
@Shalom803
7 ай бұрын
Waache kumdhihaki babu. Hakuwa hivyo. Hiyo sanamu wameangalia picha gani wakati wanaitengeneza?😢
@NOORMOHAMED-sg9lo
7 ай бұрын
Kipofu na Kiziwi wamechukuana na sanamu Ethiopia . Picha ni ya Tinubu jina ni la Nyerere.
@lusekelonelson7256
7 ай бұрын
Hii mbona picha haifanani na mwalimu jaman au macho Yangu hayaoni vizuri
@aminaomary5567
7 ай бұрын
Mzee Nyerere hayuko ivyo sijui lakini labda macho yangu.
@jofreysaimoni4964
6 ай бұрын
Huyo sio nyerere wetu angalieni vizuri nanyie
@AllyMkola-u7e
7 ай бұрын
Mtengenezaji akamatwe
@jacsonbayyo3482
7 ай бұрын
Huyo sio Nyerere
@dinakipingo1905
7 ай бұрын
Hawafanani hata😢
@mwanyongamama4407
7 ай бұрын
Hafanani
@Sharefa-v6n
7 ай бұрын
Yaan kwakwel ajuae yote ni Muumba na ameweka siri kubwa sana ambayo hata muhangaike vp hamuez kuifaham, mtaweza kuunda masanam na vingnevyo ila kitu kimoja tu hamtokiweza,"hyo pumz ya uhai"
@natafutamatatizo4382
7 ай бұрын
SASA MASANAMU YATAWASAIDIA NINI ? ETI NDIO VIONGOZI HAO NA AKILI ZAO MGANDO ZA MASANAMU👀👀😂😂
@zulachama1067
7 ай бұрын
Pongezi kwa juhudi nyingi mama kuiitangaza África na juhudi zake na waliotuanzilisha mataifa hakiwemo mwalimu juliasi kambarage nyerere,je hilo sanamu lipo mkoa gani uko Ethiopia.
@edvesmshayo509
7 ай бұрын
Imezinduliwa wapi
@rasnchimbi
7 ай бұрын
Kaa! Ndiye nyerere huyo?😂😂
@AffectionateCap-fk8tx
7 ай бұрын
Kwa nini Ethiopia?
@KiongoziMwandamizi
7 ай бұрын
AU pale makao makuu
@suntzu8959
7 ай бұрын
Wewe unaakili kweli?
@edvesmshayo509
7 ай бұрын
Mkoa gani imewekwa
@ImanMwakyeja-cw3ty
7 ай бұрын
Unaulizia mkoa wa Ethipia ?
@Shalom803
7 ай бұрын
Iko Ethiopia😊
@ngwandukadama4229
7 ай бұрын
Hongera sana kwa umoja wa Africa kutambua juhudi za mwalimu nyerere
Пікірлер: 25