Hongera snaRc ninauhakika jembe letu Rais hakukosea nakuombea kwa miaka ya baadaye Rais akuachie ikulu ninauhakika utaienfesha nchi yetu vizur wallah nakuombea dua
@manasemwakilasa5931
4 жыл бұрын
Huyu mzee sijawah kusikia kakosolew na rais
@nemecymsanya3191
4 жыл бұрын
No comment aisee njoo Kilimanjaro aisee na kuelewa sana mzee wa hapa tutafika tuu
@numbeshabani9981
4 жыл бұрын
Mzee wa Toronto full respect
@robertsangawe4607
4 жыл бұрын
Sukuma ndanii ..... Mzee nakukubali snaa
@shabanmohamed1545
4 жыл бұрын
Huyu jamaa ,ni mchapa kazi sana ,mungu ampe maisha marefu .
@user-ze6lx9ng6s
6 ай бұрын
Hawa ndiyo viongozi walikuwa wanatakiwa awamu ya sita, mama wanatuiibia sana hawa ulio wachagua
@zakayokambainei5963
4 жыл бұрын
Nakupenda sana RC MWENRI WE NI JEMBE HAKIKA MH RAIS HAJAKOSOSEA KUTEUWA ROLE MODE YA UONGOZI UNAOTAKIWA KWA HUDUMA YA WANANCHI
@wazirially8473
4 жыл бұрын
Safi sana
@user-uw4pu9nm1u
2 ай бұрын
Kuna huyu na makonda na ally happi haaa jamaa ni kiboko 👍👍
@fnnyanda5993
4 жыл бұрын
Yes. Uongozi ndo huu. Sauti ya zege, hukomesha wezi. Rais hakukosea hapa, namba ya kazi. Mzee wa Toronto, "keep it up".Unanikoshaga saaana. Hadi rahaaa.
Huu ndio uongozi wa magufuli ni mzuri,Sana tunatakiwa kuongozwa hivii
@dastansimpanzye5558
4 жыл бұрын
Agrey Mwanri Hapendi mizaha kwenye mambo ya kijamii
@athanacnicholauc7613
4 жыл бұрын
Hehehe!!.. nikikuta mlango haupo na wew haupo!!..
@hemedimahenya693
4 жыл бұрын
Mama mwenyewe mawani uko vizur
@peteradeteacher1380
4 жыл бұрын
Kabisaa. Anaweza uyo
@felicianamutakyahwa1549
4 жыл бұрын
JPM effect, Mungu ibariki Tanzania
@michaelndahani1218
4 жыл бұрын
We need leaders like this mzee baba chapa kazii
@bugybuster5788
2 жыл бұрын
Daaah viongoz km hawa Adim sanaa
@missmoona4497
4 жыл бұрын
Shikamoo muheshimiwa hahahahaha et weeeeeee....! Nisubirin mm niondoke ndio mkajifungie humo ndan umande kurumbana nas mbele yangu 😂😂😂😂😂wallah inauzi hatar pesa iko kaz haiend yote hiyo wanataka kujibabaisha waibe ama wagawane gawane mambo yaishe zamu hii mtachemka aisee
@hamisilitatilohunamaajabu7366
4 жыл бұрын
Njoo Moro kunavlaza wengi
@msirikalecharles8103
4 жыл бұрын
Hahahahahahah. ....hayo yote ni ili maendeleo yapatikane
@salimmohamed694
4 жыл бұрын
Uyu mama wa miwani ana mume kweli? Anaongea sana sijui kama anamsikiza mumewe
@ambwenemwakaleli5980
4 жыл бұрын
Nakukubali sana mwanli
@Splkevin8026
4 жыл бұрын
Mzee wa sukuma ndani fanya kazi
@zaitunimikidadi5328
2 жыл бұрын
Nimekukubali mkuu
@michaelnzunda7347
4 жыл бұрын
ivi uyu mzee anakula kadansee?? Lkn ii gvt inatak watu ka hawa
@kijangapeter5135
4 жыл бұрын
Anakula ulaka huyu mzee mwenzangu
@yonakisarangata7700
4 жыл бұрын
Mambo ni 🔥 🔥
@tundalusamla
Жыл бұрын
Kuna mtu ana sema no
@leymanleyman7426
4 жыл бұрын
Hahahahahaha miye hoooooiii
@gabriel87567
4 жыл бұрын
Njoo dar tukupokee kwa mikono miwiliiiii!!;;
@EmmanuelTemba-c7q
28 күн бұрын
Kaka gombea ata uraisi
@harunilibangite7205
4 жыл бұрын
Heeee... against what AM say. .full stop. Nitakugongaa 😂😂😂😂
@bugybuster5788
2 жыл бұрын
Hawa ndy akina ally hapi wazalendo
@praisesamson8298
4 жыл бұрын
Kama naicheki muvi ya idiamini vile ivi mzee ambaye anaambiwa aache ngonjela na kufokewa kwenye camera anaitwa umri gani vile?
@wistonmlomo631
4 жыл бұрын
Nakukubali weee wacha iyo
@dianaamon9844
4 жыл бұрын
Nikija nikikuta mlango haupo na we haupo..😂😂😂😂
@patricksebastian3593
3 жыл бұрын
Watanzania ili waende ndio wanahitaji mwendo Kama huu🤣🤣🤣
@HappynessJapheth
2 ай бұрын
Kabisa
@jamesluciano5199
3 жыл бұрын
Noma sanaaaaaaa💪💪💪
@masoudmullah1329
4 жыл бұрын
Huyu afaa aje kua mkuu wa mkoa hapa dar
@jamessilwamba2862
3 жыл бұрын
Katoa majibu mazuri huyu mzee kuhusu vifaa vilivyobaki peleka kwenye miradi mingine si almashauri hiyo hiyo nataka kazi iishe hapa angekuwa mwingine angehamisha mjadala kwenda kwenye kwanini vilibaki na hapo mnunuzi hawezi kuitwa mzembe sio sahihi, yeye ananunua kufuatana na mahitaji ya mtumiaji mwenyewe hatakiwi kuongeza wala hapunguzi ni jukumu la mtumiaji kuagiza kufuatana na mahitaji yake
@Nyanda506
3 жыл бұрын
😀😀😀😀
@radhiasalum7156
4 жыл бұрын
Asee we baba mapeleke Hao wajue kazi zao
@elisantemolly9365
4 жыл бұрын
Nzuri
@tuntulusekelo4191
4 жыл бұрын
Tuletee Dar
@KamsiniAizack
Ай бұрын
4:52 😮😮😮
@ismailyusuph740
4 жыл бұрын
...LEO MMEIKANYAGA....KAZI MNAYO....!
@babukongwee7186
3 жыл бұрын
Toronto...
@rajmkonje7149
4 жыл бұрын
Huyu mzee namuona 2025 mwezi wa 12 IKULU akilihutubia Bunge la tanzania 🇹🇿
@seifali4783
4 жыл бұрын
😁😁😁😁 unachekesha wewee
@rjkadelo6315
4 жыл бұрын
Kamata sukuma ndani
@alqaasim_a_tz2412
4 жыл бұрын
Nani Amemuona Mpiga picha Anaogopa halafu Anajikakmua Kuendelea kupiga Picha😂😂
@isayakalafya5865
3 жыл бұрын
Mzee wa kuwasukuma ndani
@israelmhada923
3 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa huyu kiboko yako well come to njombe
@rayjay7017
4 жыл бұрын
Daaah huyu mwamba hajawai kosea
@rjkadelo6315
4 жыл бұрын
Unampa urahisi Rais ubalikiwe Sana kamata sukuma ndani
Пікірлер: 85