Leo umenigusa mimi Baba😭😭😭 Binadamu weng wanatufanyia ubaya sana baada ya sisi kuwaonesha wema kwao
@lynnelee7286
Жыл бұрын
Hii nayo ilishanikutaa... tunaishi Nchi za nje Ili kuinuka ila watu walio nyuma yetu hutuponza aiseee😌😌🇰🇪🙌
@aminakasim1198
Жыл бұрын
Eeeeeh mungu yamenikutaa hayaa mimi tenaa familia haswaa namshukuru mungu sijapataa kichaa
@happylynguya3464
Жыл бұрын
Masikini , pole Amina wangu tupo wengi.
@aminakasim1198
Жыл бұрын
@@happylynguya3464 it's painful my lovely sister for really
@gracesilayo7670
Жыл бұрын
Polen jaman
@consolatamedard6593
Жыл бұрын
Katika viumbe nawaogopa apa Duniani ni wanaume woiii 🙌
@monicamwandemele2648
Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe baba angu kimaro tuchape baba hadi tuelewe Mungu wa Kwanza siku zote
@doreenkahunde3186
Жыл бұрын
I blame the family members they would have told her the truth ,why did they wait until she comes back
@paskaziasholla7471
Жыл бұрын
😭😭😭😭😭nimeumia sana jamani binadamu sisi
@edgerkessydeogratius5167
Жыл бұрын
Mungu atuongoze sisi maan dunian hap bila Kristo ni kz bure
@neemawillison891
Жыл бұрын
Nakuelewa Sana mchungaji mungu akubaliki
@priscaangwenyi2206
Жыл бұрын
I also took medication for 3.5 years. Mental illness is not a joke
@habibahabiba7128
Жыл бұрын
Very sorry dear
@surkozytm3331
5 ай бұрын
well said kuna kitu kikubwa sn cha kujifunza hp
@gililwise
Жыл бұрын
Mungu atusaidie jamani maisha ya ndoa yanahitaji uvumilivu.
@dainessnungwe2621
Жыл бұрын
Jamani jamani!; Nimeumia sana na hii story
@hosianaisrael8939
Жыл бұрын
Duhh imenigusaa baba barikiwa mnoo babab
@glorynassary8799
Жыл бұрын
Mungu akubariki baba, Mungu atutie nguvu jamani.
@veronicapaul9067
Жыл бұрын
Yalishawagawah kunikuta haya japo story ipo tofaut kidogo nlmtendea wema mzaz mwenzang matokeo yake ctakuja kusahau hii😭😭
@gracesilayo7670
Жыл бұрын
Pole my
@demicratia4071
Жыл бұрын
Hii ni ukweliiiii kuna dada mmoja hivyo hivyo uingereza alifanyiwa hivyo hivyoooo kumbe hewaaaa
@veronicamokiwa4315
Жыл бұрын
Ndugu yangu kafanyiwa hivyo nae alikuwa UK aliacha mume wake huku
@anandegodfrey9025
Жыл бұрын
Mungu atupe macho y rohoni
@laurencemassawe9100
Жыл бұрын
Wanaume ukiaminiwa aminika kuna dhambi zinaumiza sana watoto ndoo hazina yetu ya badae jamani tuwapende
@juliethkimati4647
Жыл бұрын
Mungu tusaidiane Bila wewe hatuwezi
@kenonpeter3692
Жыл бұрын
Nimeona mambo ya nmnahi ktk familia bazi kila aliefanya uchafu wanamna hii kwa mume wake ahu mke kumfanyia mumehivi tubu naugaragaze magoti mbele za Mungu hachakiburi garika hinakuja sharilako Amen Dr Eliona
@agnessima5032
10 ай бұрын
Hicho kiswahili hakieleweki.
@marryngaa3195
Жыл бұрын
Mie alinifanyia dada yangu watumbo moja alikula17 milioni ya kwangu
@vailetmapolu6363
Жыл бұрын
Napenda sana mahubili yako
@jacquelinemushi2014
Жыл бұрын
😭😭😭😭
@rosetemu2194
Жыл бұрын
😭😭
@mussajumannendanzi9451
Жыл бұрын
Mwisho wa huyo dada ilikuwaje kumalizua stori inapendeza mtumishi
@jenifamoshi1219
Жыл бұрын
Maubiri yako yanatusaidia sana baba
@priscajoseph261
Жыл бұрын
Duh
@biamungunestory1935
Жыл бұрын
This was so unfortunate for her and her children
@macklinakabyazi3036
Жыл бұрын
Huyu mchungaji nampenda vile anatoa mifano ya mafundisho
@RandB_Channel
Жыл бұрын
Njo hivo mchungaji. Wandugu tena hawaeleweki wamesha tuumiza sana tuna tafuta kwa jasho lakini wawo hawa oni mwishowe .unakuwa nima umivu tu
@endtimes9850
Жыл бұрын
WAAMBIE HAO WANAWAKE WANAONIABUDU NA KUNIFUATA MIMI YESU, WAACHE KUVAA NYELE BANDIA,KUCHA BANDIA, KOPE BANDIA NA VITU VYOTE AMBAVYO VINAPINGANA NA ASILI YA KUUMBWA KWAO, NA WANAPOKUA KANISANI KATIKA IBADA WAFUNIKE VICHWA VYAO. 1 Wakorintho 11:13
@mussajumannendanzi9451
Жыл бұрын
😭
@queenyakinangop4096
Жыл бұрын
😭😭😭🙆
@joycekalago532
Жыл бұрын
Hawajawah kusoma wala hawajui kusoma na pesa nimetuma wala siangaik kujichanganya nipate kichaa namtupia Mungu na majibu atayapata tu, ndioo
@faustinahugo9621
Жыл бұрын
Nimesikia kulia😭😭😭😭
@emanuelgodlisten9477
Жыл бұрын
Nakupenda sana
@doreenkahunde3186
Жыл бұрын
Oh dear may God punish this man,
@princeshafeen-official
Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭
@olivajoseph1697
Жыл бұрын
Mm kunamtu kala milioni moja yangu siwezi msamehe. Na Bado naendelea kupambana hajanikata mikono naamini ipo siku Mungu atamuonyesha hapahapa Duniani
@rezegerezege691
Жыл бұрын
Samehe Dada yangu wapo watu wameliwa million 10 nakusihi samehe maana unajizulu ww wenyewe.
@olivajoseph1697
Жыл бұрын
@@rezegerezege691 siwezi Kila siku ntamsomea mabaya tu
@rezegerezege691
Жыл бұрын
Dada msamehe nakuomba acha Mungu Akulipie kiasi usiseme mabaya Juu yake Bali mtakie Mema. Maana mabaya unayotamka sasa yatarudi kwako. Mpe Mungu nafasi kwenye Moyo wako Dada yangu kipenz Mungu Akulinde. Namaanisha kusema hivyo mm mwenyewe nimepoteza pesa nyingi sana million 7 na Familia yangu inanitegemea mimi na Mwanangu ni mgonjwa na Mama yangu ananitegemea mimi na ndugu zangu hawana Ajira Bali ni kazi tu za mtaani lkn nimemwaachia Mungu kila kitu yeye anitetee kwa upambavu nilioufanya wa kumuamini tu ambayo haniamini ila nashukuru Mungu yeye Atatulinda mimi na Ndugu zangu na Mama yangu pia ni mzee sana na Mtt wangu. Namwaamini Mungu atanirudishia vyote nilivyopoteza.
@rezegerezege691
Жыл бұрын
Da oliva samehe kila kitu Riziki itakuijia japo itachelewa.
@happylynguya3464
Жыл бұрын
Hawa ndio binadamu😭😭😭😭, mwaminifu ni Mungu peke yake..
@willykikwete8626
Жыл бұрын
Mafundisho yako yamejaa funzo kuu, ubarikiwe mtumishi. Hiyo stori imeniumiza sana lakini BINADAMU ndivyo tulivyo upo wakati tunastahili msamaha. Lakini licha ya stori yako yenye kuumiza still nimeona kuna jamaa anasinzia sidhani kama amesikia chochote huyo bwana.
@johnmapunda3474
Жыл бұрын
😂😂😂😂😂watu wanastress za maisha hawajalala home
@millieholmst6628
Жыл бұрын
Amelaaniwa anayemtegemea mwanadamu
@verdianabanabi2205
Жыл бұрын
story
@yunislemnge5558
Жыл бұрын
😂😂😂😂 watu hatuonani barabarani
@aaaaaah290
Жыл бұрын
DUUUUUUH
@godfreymagoso5334
Жыл бұрын
Mafundisho mazuri na yamenijenga sana,,,,,, japo ulisema hutoitaja nchi ............😂
@liliantirimo7993
Жыл бұрын
Na hicho kibanda hasara kitakuja kuwehuka ogopa machozi ya wale watoto
@florencebudoya3814
Жыл бұрын
Too sad. Ila binafsi nitaumia ila kamwe siwezi kuwa kichaa. Mungu wangu yu hai. Yaani watoto wangu ndo watakuwa point of motivation. Dada angeumia angelia na angechukua wanae wakarudi zao USA.
@anandegodfrey9025
Жыл бұрын
Roho ya uvumilivu wengi hawawezi.piaa inategemea labda Ni pressure imepelekea haya yt😭
@johnmapunda3474
Жыл бұрын
Mtu kufikia hatua ya kuwa kichaa sio hiari yake ni inatokea automatic( involuntary) hata wewe inaweza kukuta hiyo hali sio kitu unaamua kikubwa nikumuomba Mungu akuepushie na kukusaidia unapoingia kwenye majaribu magumu kama haya 😢
@florencebudoya3814
Жыл бұрын
@@johnmapunda3474 Hapana kamwe haiwezi tokea. Ninajijua na nimepitia mazito ila nilivuka na sijawa kichaa. Unakuwa kichaa kwa sababu ya maumivu unayaruhusu yakae muda mrefu. You have to fight hasa ukiweka watoto wako mbele kuwa wanakuhitaji kuliko kitu chochote kile.
@kenonpeter3692
Жыл бұрын
Hafahi huyo mwanaume
@anitasamson7850
Жыл бұрын
Jasho la mtu haliliwi mwenye kiburi hafikagi mbali.
@liliantirimo7993
Жыл бұрын
Na yeye awe kichaa.
@joynessmhalila811
Жыл бұрын
Mungu ni mwema isingeekuwa neema ya Mungu nahis na mm ningekuwa kama huyo dada, maana historia yake haipishani sana na mm, Mungu aendelee kukupa neema yake , Baba Mchungaji Mungu aendelee kukupa maisha marefu kwa kuwa unatusaidiamno na shuhuda zinatujenga mno, barikiwa sana.
@neemaloy889
Жыл бұрын
Poole dear
@jennykeya3756
Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu kwa mahubiri mema wanaume mungu hawaone
@allenmhando8443
Жыл бұрын
Hizi story zingine, ni mifano, ukiangalia si kweli, si alipata Green visa kwanini ahangaike hivyo. Mzee wa mastori.
@brysonkaale3003
Жыл бұрын
Green card siyo tiba ya kichaa!
@nsiandekweka8373
Жыл бұрын
Pole sana kwa akili zako finyu unadhani ukija nchi za watu unaanzia on top?! Kama una akili lazima ufanye side hustle. Unadhani ni lele mama? Green visa doesn’t guarantee you perfect life abroad.
@dorothyjoseph28
Жыл бұрын
Kwani angeenda aje akiwa mwenda wazimu? Yes,ni mzee wa story lakini elewa anacho kisema kwanza kabla ujamuhukumu.
@amyesanga2004
Жыл бұрын
Kuna siku yatakukuta ndo utaelewa Nini amefundisha
@allenmhando8443
Жыл бұрын
@@amyesanga2004 nachosema hujaelewa, nipo na mungu na sina mambo ya udanganyifu na sifanyi kitu bila kumshirikisha mungu. Siwezi kukutwa na jambo lolote baya. Acha kumtegemea mwanadamu. Ushindwe kwa jana mungu.
Пікірлер: 78