Pole sana kwa maumivu dada. Ukiona jambo unatumia sana nguvu na haliwi kama unavyotaka, basi ujue yamkini hayo ndo mapenzi ya Mungu kwako. Achilia mali na maisha ya nyuma. Anza upya kabsa. Siku za mbeleni utamtukuza Mungu. Utapata amani ya roho ambayo ni muhimu kuliko mali. Geuza kisogo chako uanze maisha mapya. Maisha yatakuwa magumu mwanzoni hasa ukikumbuka mali zako, ila achilia na ujipe moyo mkuu. Nimejaribu kutizama hili jambo kwa jicho la tatu.
@redemptervictor5006
29 күн бұрын
Aiseee
@eliachaula6542
24 күн бұрын
Hakika wewe nimuungwana🙌
@leokamil6284
29 күн бұрын
Mahakama ni mtihani tuu fedha inaongea,ndio maana nchi nzima kesi tupu watu wanalia haki hakuna
@KhadijakassimMwaipaya
29 күн бұрын
Pole.sana
@MiriamAbdallah
28 күн бұрын
Kwani makonda aloshindwa tena? Tunalishwa matango pori na wanasiasa? 🤔
@leokamil6284
28 күн бұрын
@@MiriamAbdallah Watu wa nchi hii hawana thinking capacity,yaani upeo wetu ni mdogo sana.Yule alitufunga akili za kujitambua kutambua haki zetu binafsi alituweza sana akatubrainwash kuwa kibatari ndio sign ya ati Revolution wakati tuliipata kwa Wakoloni bila kumwaga damu .Hiyo ni whichkraft cos hatuko sawa.Ati unapelekea shida yule ambae yupo miaka yote Madarakani huo ni ufala. Kuanzia Mwaziri watendaji ni hao hao hivi hao wote wanaoripotiwa kuanzia Polisi nani aliwajibishwa hii ni Taktik da ku fool watu ili waamini CCM wawape kura wakisahau hawa ni hawa hawa wanajua kucheza na mind za watu.Shida wamezifuga then wanapritend ati ni watatuzi .
@SophiaAthumani-ri4lu
29 күн бұрын
Pole Sabina nakujua sana wewe ni mpambanaji mungu akuongoze upate haki yako
@smartonlinetv5144
29 күн бұрын
Pole sana dada angu......hayo ni mapito tu, malipo ni hapa hapa duniani. Ni swala la Muda tuu.
@bakari-si1pw
27 күн бұрын
Yeah true👂
@NoelaKitali
18 күн бұрын
Mp O.ko@@bakari-si1pw
@ndeenengomselle1267
25 күн бұрын
Pole sana Sabina Mungu akutetee....nafahamu mlivyopendana mlipokuwa na maisha ya chini....acha Mungu atashughulika naye
@tnftz1461
29 күн бұрын
Dada anaonekana ana hofu ya Mungu mwanaume Hana hata chembe kakamatwa na malaya😭🙌 hiv mwanamke kama huyu namwachaje jaman anavoongea kwa huruma iv🤔🤷
@agnesmartin5716
29 күн бұрын
Daah jaman wanaume angalie sana
@bufurechristian5094
24 күн бұрын
Unawajua wanawake vizuri wewe
@ahz6907
17 күн бұрын
Jichanganye😂
@joelnjuguna7777
16 күн бұрын
Jambo usilolijua ni usiku wa giza
@molom5027
29 күн бұрын
Pole sana dadangu. Ngojea tu na angalia ukiomba. Mungu atakuonyesha kitakachotokea.
@abdulnaseermrisho4342
29 күн бұрын
Daaah kama anayosema huyu mama ni kweli,basi kuna viumbe ni mashetani
@AwardHakimu
27 күн бұрын
Siku zote watu wanavyosimulia Kuna mambo huwa wanaficha kwaiyo utakiwi kuamini Kila kitu
@bockerNyarusahi
27 күн бұрын
Umemsikiliza na mlalamikiwa?
@abdulnaseermrisho4342
27 күн бұрын
@@bockerNyarusahi kwenye kusoma kuna hivi vitu 1.Kusoma 2.kuelewa Ukisoma kitu unatakiwa na kuelewa,sio unasoma kama unasoma token za Luku
@annasolomon9855
27 күн бұрын
@@AwardHakimuKuna kitu kina itwa saikolojia😂 kwa hio tumia hio pia na kama hujui utabaki kusema utumbo
@AwardHakimu
27 күн бұрын
@@abdulnaseermrisho4342 kwaiyo wewe unaijua sana saikolojia mpaka unaweza kuelewa saikolojia ya mtu anae ongea kwenye tv aiseeh kwanza ondoa neno utumbo kwenye comment yako kutoheshimu maoni ya wengine ni upumbavu mkubwa sana
@RoanCorporation
29 күн бұрын
Anaonekana amepata maumivu kweli , pole Dada
@omarymbaraj8072
26 күн бұрын
Makubwa kweli
@user-gx4jx4gv9l
29 күн бұрын
Pole sana dada siku zote mungu husaidia mwenyehaki,mahakama za sasaiv ni uozo mtupu nakushauli endelea kumwamini mungu ulikuwa ufe wewe ni nema ya mungu tu .
@khamisally9559
29 күн бұрын
Huyo jamani bila kukamatwa na kuwekwa ndani huyo dada huwezi kupata haki zake. Wamkamate aekwe ndani kama wiki mbili hivi akili ndio zitakaa sawa. Huyu Julius ni mshenzi sana halafu anajifanya mtu wa Mungu. Ovyooo kabisa.
@scholarmassawe6380
28 күн бұрын
Huyu anatumia nguvu ya hela hawezi kukamatwa.
@marykennedymarwa1641
29 күн бұрын
Wanawake lazima tujikubali, na kujipenda . Kupewa talaka ndio mwanzo wa maisha mapya, simama na mungu atakupigania
@user-zx8fw3rx5l
10 күн бұрын
Dada weeee hujielewi wewe inaoneka una shida
@baddestgames2784
29 күн бұрын
Uyo mwanamke kamuloga mme wako dada angu adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie Mungu atakusimamia mamaa
@brysonjohnlukumay
29 күн бұрын
Daah huyu mwanamke ana hekima mno
@innocentpaulchillu1512
29 күн бұрын
Huwezi jua,anaweza akawa anaonekana anahekima kwa kumtazama lkn deep inside yuko tofauti kabisa
@mwanaidimrindoko4117
29 күн бұрын
Hapana mtu mwenye hekima anaonekana tu kwa mahojiano yote hayo changanya na maumivu Kuna ki jitabia angekionesha tu
@dismasdastan5493
29 күн бұрын
@@innocentpaulchillu1512uko sahihi wanao shabikia kwa kuangalia tu hawana familia na hawajawahi pitia haya matatizo....Ngoja wakue
@hemedmsella6496
29 күн бұрын
Wanawake ni waongo hakuna kitu kama hicho@@mwanaidimrindoko4117
@nancyg8664
29 күн бұрын
@@innocentpaulchillu1512kweli kabisa
@ssaa7495
29 күн бұрын
Pole sana mama, pengine Mungu amekuepusha na mengi. Kwa sasa hivi wewe Sali sana mtegee Mungu
@user-uj5wg9mm2t
29 күн бұрын
Ila wanaume naishiwa maneno aiseee😢😢😢😢😢yaan ni viumbe hatar sana kwenye maisha yetu,,,,,,ndo chanzo ya kutukosesha aman
@margarethsolomon9823
29 күн бұрын
Pole sana mwanangu wewe. Ulipougua ndipo alipata mwanya wa kuwa na mchepuko, alidhani utakufa. Ninachoweza kukushauri, hembu mwachie hizo mali, angalia maisha mengine.Tafuta amani kwanza. Nyumba na magari vitabaki duniani huwezi kwenda navyo mbinguni. Mungu akutie nguvu na ujasiri, achilia, kama wewe ndio ulikuwa muongoza njia kwa hiyo nyumba hembu utulie utapata jibu.
@OmanOman-ns3iw
29 күн бұрын
Wewe nimimi kabisa ninavyoipenda amani kuliko chochote
@ruqaiamohammed345
29 күн бұрын
Akisoma hii comment naomba aitilie maanani
@OmanOman-ns3iw
29 күн бұрын
@@ruqaiamohammed345 tena azingatie
@ruqaiamohammed345
29 күн бұрын
@@OmanOman-ns3iw sana yan
@joycekisamo4896
29 күн бұрын
Wewe hujui kabisa biashara. Yaani apambane maisha yote alafu mume wake achukue kika kitu na watoto wao waishi ya umaskini?! Ebu tumieni akili. Au wewe ni ndugu wa huo mchepuko?
@user-rh5iy3ei3g
29 күн бұрын
Huyo baba asubir kisasi cha watoto wake hatakaa amini maisha yake yote Kwa haya anayoyafanya mn wanamtizama mama yao anavyohaingaika kl siku kwny media 😢
@abdultandala6576
26 күн бұрын
Usihukumu kama haijasikilizwa upande wa pili
@roseberryhamoud6542
25 күн бұрын
Kama ingekuwa ni mimi hatokuja kupatana na watoto.
@jacksonkagubho7029
4 күн бұрын
Wazaz wa kiume ni rahis sana kuwakacha watoto wakileta ujuaji 😂
@PrinceWandwe-bo2ps
29 күн бұрын
Huyu Dada yuko smart sana na kama anachokiongea kingekuwa ni uongo maelezo yake yangekuwa na mikato mikato mingi lakini anaonekana anaingea bila utata pole sana sister
@misschagga8042
29 күн бұрын
Kabisa ukimsikiliza tu unapata jibu shida ipo kwa mume na kimada kimeshikilia makali.
@amosstimamaroba1054
27 күн бұрын
Don't trust a girl in a first impression pls
@MansaMusa255
20 күн бұрын
@@amosstimamaroba1054 uko sawa kabisa
@Siasia209
13 күн бұрын
Wewe ndio utakua uyo mumewe maana umekazana kumsema dada wa wawatu@@amosstimamaroba1054
@hyasintasilayo8952
29 күн бұрын
]Pole sana dad,omba kwa nguvu zote maan hakna kigumu mbele za mwrnyez Mung
@kekiplus1andonly
24 күн бұрын
Duh mwanamke ukiwa na mali au akili ya pesa kuwa makini sana , Sisemi zaidi
@winnemassawe8123
8 күн бұрын
Sanaa kuwa makini sana
@Bise270
4 күн бұрын
Kweli kabisa,noted.
@katobirch4759
17 күн бұрын
Snake snake then you snake cut left, sheria mpya inahitajika huwezi kuwa billionaire kwa kuosha vyombo wazee wa Cuba gonga like hapa
@janethhipolite1774
9 күн бұрын
Mikopo jamani..Haujasikia hapo amesema walikopa milioni 250 sijui
@user-qh2bx5em6j
29 күн бұрын
Dada Pole Muombe Mungu wanawake tunapitia mengi ya kuumiza. Mungu akufanyie wepesi
@Tg.7_7
29 күн бұрын
Pole Sana Dada! Nakuombea umwachilie na kumtoa moyoni huyo jamaa na kumove on itakuletea shida mno na hata umauti pengine!! Move On!!
@ZakiaAhmedi
29 күн бұрын
Kwel amuachiye Mungu aanze maisha umpya ajifunze kutoka kwa Queen wa dr mwaka sas hivi anaishi maisha ya amani na furaha zaid tujifunze kutafuta mali zetu wenyew 😢
@reginaedward4883
29 күн бұрын
Pole sana dadangu wachana na yeye kubali talaka mgawane Mali. Wewe ni mpambanaji and l believe you can do it.
@ididitagainn
23 күн бұрын
Bora nipatane na mwenye zake na mimi niwe na zangu upendo tu utupnganishe mambo yakutafuta wote mwishoni ni maumivu maana anaeonekana mtafutaji machoni pa watu ni mwanaume mwanamke anaonekanaga ameolewa tu kumbe wengi ni 50/50 hakuna mwanaume mwenye pesa zake ana mke shepu au sura …wanasema ndege wanaofanana huruka pamoja ilakwasababu mwanamke anamuacha baba awe kichwa badae mwanaume anatumia njia hio kutapeli wakati utakuta apo yeye ana 45% huyu dada ana 55% yuko very calm and clear hajapanic kama anataka watu tumuone huruma …she speaks from her heart
@Ontuzu
8 күн бұрын
Kwenye haya maisha usimsikilize mtu mmoja wasikileze wote yawezekana akija kuongea mwanaume aliyopitia kwa huyo mama tutabaki mdogo wazi ogopa sana mtu anayeongea huku analia au anayeongea kwa upole ni nyoka
@rasheedabby2871
29 күн бұрын
Mwanamke mwenzake kapindua meza daaah
@miriamdavis3893
29 күн бұрын
Atakufa kama inzi huyo
@machakuroger7068
28 күн бұрын
Neema huyo, si mke ni kimada tu inaonekana
@rosehaule6765
29 күн бұрын
Pole mbona Mungu ni mwema sana anakuepusha na jambo fulani❤ shukuru sana
@laurentraphael5470
29 күн бұрын
Pole sana, dhuluma huwa haivuki ng'ambo. Chukua haki yako hata kama ni ndogo, pambana kwa upya ni suala la muda huyo atarudi kwa magoti kuomba msamaha.. Ni jambo la kusikitisha sana maana mahusiano ya nyakati hizi bila Mungu kutangulia mbele ni disaster tupu. Nipange kwa upya, kikubwa uzima mengine yatakuja.
@user-xx4wb9yo9p
21 күн бұрын
Dada usiari mm Happ niliacha Kila kitu ila nilibeba wanangu tu lakini kwa Sasa ninamiliki majumba mawili na gari yangu vyote nilivyomwachia viliisha lizika atakachokupa mungu atakiongezea vingine hutaamini
@nancyyesse1380
24 күн бұрын
One strong thing is ,ukiacha mali yako ipotee bila kupambana ni dhambi…pambana ikishindikana let it go ,karma is gonna hit him so baaad 📌
@happinessakim2679
3 күн бұрын
Pole sana muhanga mwenzangu,,,,, mim nilishindwa kujitetea nikapokonywa kila kitu Namshukuru Mungu,,,, nlpo nalea wanangu kwa Sasa,,,, 😢😢😢
@naomipieter4627
29 күн бұрын
Mtulie mimi mjane namshukuru mungu mume miaka 24 yandoa katwaliwa kaend kwa amani .maisha yaha
Dada anaongea Kwa hekima Sana ingawa anadai Haki yake lakini Bado anaonyesha unyenyekevu. Mungu amsaidie apate haki zake. Aamen .
@user-lo6wd9fj6k
29 күн бұрын
Pole sana ndugu yangu , mm yalinikuta hayo mwanaume aliniacha bila hata100 alificha kila kitu akijua ananikomesha kisa kapata askali mwenzie mpaka godolo kweli inauma usiombe yakukute lkn Mungu alinifungulia njia niko vzr zaidi yasana ,shukuru Mungu malipo nihapa hapa vitu nivyakupita hivyo
@FelisterMunissy
29 күн бұрын
Utashinda dada mungu atapigana hv vita huyo malaya anayekula n huy mwanaume omba mungu atawaua wote huyo mwanaume hana mda mrefu lazma ataanguka chini
@emmanuelmanga25
29 күн бұрын
Mnaosema maneno ya kumshutumu mwanaume, mnajua magumu aliyopitia kwenye hiyo ndoa?, mmesikia upande wake anasemaje?. Mm nipo katikati, sijui yupi atakuwa na sababu maalumu.
@FranklinMtei
29 күн бұрын
101%
@MiriamAbdallah
28 күн бұрын
MUNGU nisamehe matatizo ya ndoa hayapelekwi kwenye mitandao turudi kwenye Mila na desturi zetu Kuna suluhu huko
@bintnouh4483
27 күн бұрын
nyie ndo walewale
@joycemfuru4752
6 күн бұрын
kama ni mwanaume kweli ampe Mali zake
@joyce55727
29 күн бұрын
Dada yangu najua ni uchungu sana pia mm niliyapitia km hayo miaka 10 iliyopita na sasaiz hanipati kwa mafanikio km Mungu ndie mpaji basi atakupa zingine ili uepushe roho yako kubal tu hizo unazopewa anaweza kukumaliza huyo mtalaka wako
@joyce55727
29 күн бұрын
Km kuacha mali zako ni zambi bas Mungu atakusamehe endelea kumuomba Mungu pia pambana bola upate zako uish kwa amani unaweza ukazipata hizo mali unazo taka kutoka kwa mtalaka wako lakin usiwe na aman najua unaumia sana ila jikaze
@user-lo6wd9fj6k
29 күн бұрын
Kabusa
@JumannehassaniomaryJumannehass
29 күн бұрын
Utapata mume namtapendana namaisha yatasoga I'm formo Rwanda Kigali 🇷🇼🇷🇼
@florencemeza6540
29 күн бұрын
Dada yupo Mungu mtegemee tu UTASHINDA VITA SI VYAKO NI VYA BWANA
@nicksonlyimo1562
29 күн бұрын
Pole sana ,lakini ujue tuu kua kanuni ya ki Roho Bado wewe ni mke halali wa Julius Hadi Leo ,ndoa haivunjiki kwani hakuna serikali yoyote duniani ilioanzisha ndoa ,ndoa ilianzishwa na Mungu mwenyewe ,mahakama za Dunia zinafanya kuachanisha ki binadamu tuu lakini sii halali kwa Mungu Neno la Mungu Soma Marko 10:1-12 mjue tuu kua Kila alie ingilia ndoa ya mtu yeyote awe mwanamume au mwanamke ajue hukumu inamngoja yeye na huyo aliekubali kuivunja ndoa ,moto upo na Wala faraja ya dini haimwokoi mwanadamu kwani wote watahukumiwa na Neno ,,kilicho fanyika hapo Dadaangu ni matokeo ya Uzinzi haswa wanandoa kutokua waaminifu na nguvu ya Mungu ukajitenga kusaidia kwani shetani hutafuta makosa Kisha kuharibu,uchawi umehusika Sana kuharibu ndoa za watu haswa endapo wewe dada au mumeo alishawahi kukosa uaminifu kwa mwenzie ,inahitajika binafsi umjue YESU na awe mwokozi wako Kisha uzame kwake na ugeuke kwa kuziacha dhambi zako Kisha samehe halafu omba Mungu aingilie kati ndoa yako,hata ukiolewa Leo Sheria ya Mungu hairuhusu uolewe Tena Hadi kifo kitenganishe watu wanakiuka Neno kutokana na kiburi na fedha imenunua haki za watu lakini Neno linadumu Milele ,dini pia hazisemi ukweli wa Neno na ndio maana zimeacha ukweli wa Neno na kuweka taratibu za kidini na madhehebu .Mungu aku tetee .Amina
@MansourKabuhaya
26 күн бұрын
Sasa ndoa ni nini??? Kama mke na mume Hawako pamoja wala hawashiriki, kuna maana ya ndoa hapo?? Au wewe una maana nyingine tofauti na hiyo kuhusu ndoa??
@nicksonlyimo1562
21 күн бұрын
Ndoa ni muunganiko wa wawili ,mtu anapomuacha mwenziwe ni sawa na wewe kula chakula kwenye sahani Kisha ukaweka na makombo ulioyatafuna halafu unampa mwingine ayale ,nadhani utakua unafanya kosa Sana na dhambi kubwa ,ndugu ujue kua mke wa mtu haolewi na mtu mwingine hata Kama waliachana Bado kwa Mungu ni mke halali kabisa ,sii Mungu ameachanisha Bali ni kiburi cha dhambi ,uovu na tamaa ya mambo ya Dunia na kupenda sifa umaarufu na kupenda fedha ambayo ni chanzo Cha maovu yote, usije ukaolewa na mume alieacha mkewe ,ni dhambi ,Wala usithubutu kuoa mke alieachana na mumewe ni dhambi na Mungu anawaita ni makahaba hata Kama mlifunga ndoa ,hapo mmedanganyika Sana ,mbele za Mungu hukumu ipo na moto unawangoja wote walio achana hata Kama unatoa sadaka kiasi Gani (Mungu ha hongwi kwa lolote ) unathubutu vipi kuoa mke wa mtu na wasichana wapo wengi kiasi hicho ? Unaolewaje na mume wa mtu na vijana wapo wengi hivyo?? Neno la Mungu Linasema usizini ,mpende jirani Kama nafsi yako ,Wala usitamani mke wa nduguyo ,jirani yako Wala mjakazi wake Wala punda wake ,Sasa Kama hivyo ni dhambi je!! Wewe ulie oa na kuolewa unajionaje huoni umesha hukumiwa ???
@gloryexaudy8094
2 күн бұрын
Sijajua unasomaje bibilia ila soma pande zoote biblia imeandika pia mume na mke wanaweza kuachana endapo kuna mmoja ni mwasherati sasa ujaona hapo kama mke amekimbiwa na mume kwenda kwa mwanamke mwingine teyar ni uasherati huo Jua kutofautisha uasherati na uzinzi Uasherati ni kwa wanandoa kutoka nje ya ndoa Uzinzi ni mtu yoyote ambaye hajaoa au kuolewa akakuwa amezini
@nicksonlyimo1562
2 күн бұрын
@@gloryexaudy8094 yote sawa tuu ,hukumu ni moja tuu ,ila swala ni kumilikiwa mwanamke na kumilikiwa mwanamme kwa kua wameunganishwa ki ndoa,ukiachana my friend inakupasa kukaa hivyo au kusamehe muendelee kuishi .,YESU hajaruhusu walioachana kuoa Tena Wala kuolewa Tena soma vizuri utaona na ujue YESUni MUNGU ,Paulo anasema kama mmoja ameamua kuondoka na aondoke lakini hapo sii BWANA Bali ni yeye ameshauri kama vile Musa nae alivoshauri watu kupewa talaka na sii Mungu aliagiza Hilo Bali Musa .
@nicksonlyimo1562
2 күн бұрын
@@gloryexaudy8094 Mungu alisema Hadi kifo kiwatenganishe ,(ni nani mwenye Mamlaka ya kutangua agizi la Mungu ????) Maana ya Neno kifo inamaanisha hakuna namna ingine ya kurekebisha ni ikae kama ilivyo .
@user-cq9cm2hu3z
28 күн бұрын
Dada Mlilie mungu wako wewe muachie mungu afanye kazi yake piga goti kwa mungu atakusikia
@user-gy3dv3tq8d
29 күн бұрын
Wewe dada achana na hizo mali utakufa bule uache wanao wanateseka bora umuachie tu pambana upya muogope sana mtu anae kaa kimya usije poteza.maisha bule
@ziadasadiki8196
20 күн бұрын
Mbona humshauri Mwanamme
@Yanarichbiz
Күн бұрын
Nilimuona huyu dada mara moja tu nikiwa naelekea ngaramtoni tukaongea kidogo sna (ni mdada humble sana)
@shadrackdeogratius6760
29 күн бұрын
Mpaka mwanaume aongee ndio tujue ukweli, wanawake wengi wanajua kulalamika, ila ukija kuchunguza mwanamke ni jau .mpaka mwanaume afanye maamuzi magumu ujue mwanamke ametaka nafasi ya mwanaume ndani.alafu Sasa hivi anatia huruma,ila hyu mwanamke Kuna majuto ya ndani.kwa wanao jua sychology
@salehekisebengo8554
29 күн бұрын
Kweli kabsa ndugu
@MiriamAbdallah
28 күн бұрын
Usema Lina ukweli na huku anajidanganya hakuna haki bali ni kujidhalilisha na kuongeaz chuku
@innonyange6482
28 күн бұрын
Kweli ana majuto, anajua alifanyalo
@aishajuma18
26 күн бұрын
Kunamtu anakoment Sana namuhisi ndio mchepuko wa julias😅mwacheni apiganie haki yake
@zainabumohamed4763
28 күн бұрын
Anavyosema dada mrembo neema ,kwa upole jamani😢
@golebenson4597
29 күн бұрын
Wanaumeee tunapigwa juuu chinii😢😢😢 uyo mama anaonyesha ni mjeuri sana 😢😢😢
@MiriamAbdallah
28 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@aishajuma18
26 күн бұрын
Sasa kama mjeur si ampe Mali zake😊
@golebenson4597
26 күн бұрын
@@aishajuma18 unauhakika ni zake
@aishajuma18
26 күн бұрын
@@golebenson4597 Kumbe za kwako
@husseinshabani9522
27 күн бұрын
Jamaa Amekosa Mke.. Yani Mke kweli...Mke Mwenye Akili nyingi Sana...hata Atakaempata Bado Ni Mke Mwema na Bora sana..Anaitaji faraja na Matunzo..na kumsahaulisha hote yaliyopota na kuanza Maisha Mapya.Allah Amfanyie Wepesi In sha Allah .
@MansourKabuhaya
26 күн бұрын
Umetumia vigezo gani kumuona ni mke Bora na mwema?? Unamjua mke Bora wewe?? Acha kucomment ushamba, kisa umeona ongea yake tu keshakuwa mke bora, je vigezo vya kuwa mke bora vinasema akiongea vizuri tayari mke bora sioo??? Acha ufara
@danielgadiye7983
20 күн бұрын
Bro fanya research utanishukuru mwanamke anatoka kufanya unashuhudia kwa macho yako piga ua anakuambia sijafanya aliyekuambia kaachwa kwasababu ya tamaa ya mali na mumeo kakupoteza so kweli mama kanyanyua mguu mzee kasanda mama anataka huruma na jamaa haelewi kuhusu hilo wanataka wapelekewe moto then wabaki kwenye ndoa zao hiyo kitu hakipo bro hakuna mjadala juu ya nani mwenye haki ya kutoka nje ya ndo ni baba tu katamani kwasababu tumeumbiwa tamaa wao wameumbiwa kupenda
@alexwatae3165
29 күн бұрын
Dah!! Pole sana Wanawake wenye hekika kama hawa kwa sasa Hawapo.. nimependa busara yako
@azzaalhabsi1505
29 күн бұрын
Pole sana dada.mungu atakulipia hapahapa duniani.usisikitike sana.mungu akupe afya na wanao na akufanyie wepesi kwa kila jambo.
@golebenson4597
29 күн бұрын
Mwandishi hongera sana umeuliza swali mzuri kusikiliza upande mmoja na kuhukumu ni mbaya ninachokiona mwnaume amemua kupambana(kimyakimya kiume.huenda dume limetendewa kitu kizito akaamua kupambana kimya kimya🎉🎉.uyu dada anaharibu ndoa yake na watoto aache kuhamgaika na media atafute suluhu Kwa njia salama sio kuongea mambo ya familia yake hadharani makokosa makubwa anaendelea kutenda
@MiriamAbdallah
28 күн бұрын
Penda sana point yako ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉ni aibu kutoa mambo ya ndoa mitandaoni naona Kuna mtu anamdanganya hu mwanamke, hongera ya mwanaume kuwa kimya, aibu hata watoto unyimwe Kuna shida
@Siasia209
13 күн бұрын
Ooooh!pole sana dada mshkuru Mungu Allah atakulipia malipo ni hp hp Dunian
@wilfredcalist4735
21 күн бұрын
Hakimu wa pekee ni Mungu tu. Jipe moyo aliyekubariki atawajibu wote waliokudhulumu.
@Moviesquee
29 күн бұрын
Pole sana
@rosehaule6765
29 күн бұрын
Mali ni shida wanaume wakipata basiii mnatafuta kwa shida kubwaa sana baadae anakimbia anakula na kimada baadae anarudii uwiii😢
@josephkate3664
29 күн бұрын
Ni kusikia upande mmoja inawezekana aliekuwa mumewe akikueleza unaweza shangaa
@shadrackdeogratius6760
29 күн бұрын
Ukweli,ukiangalia uso wa hyu mwanamke unajua TU kuwa anampanda kichwani jamaa,et aliuza bila idhaa yangu😢😅
@monalisaally4387
29 күн бұрын
Kwakweli
@user-wk1ix1gm1p
29 күн бұрын
Sasa si ndoazungumze tumsikie
@veromwanji
29 күн бұрын
Hakika mambo hayo ni Siri , mwenyezi mungu ndio anajua
@MiriamAbdallah
28 күн бұрын
@@user-wk1ix1gm1phuyu mwanaume hapendi mambo ya mitandaoni ndio maana Yuko kimnya,
@user-pp7ug2bc1y
29 күн бұрын
Balance story sio kusikiliza upande mmoja tu, pia pata wanasheria watafsri. Please grow
@Kisimatigin
29 күн бұрын
Tena unaweza kuta jamaa anapitia magumu sana hawa waone tu wanaongea kwa utulivu ni nyoka akili kisoda
@amanibwire4423
29 күн бұрын
Na angekuwa na hekima asingeenda kwenye vyombo vya habari, Wala kwa mkuu wa mkoa wanaume tunapitia mengi zaidi
@barakangila9856
28 күн бұрын
Nikweli
@MiriamAbdallah
28 күн бұрын
Ndao zikishafika kwenye mitandao kurudia ni ngumu na hata wskirudiana amani hakuna, kwani huko hakuna mabibi, mashangazi, wajomba, baba mkwe na mamamkwe na ukoo? Aibu, na mali ni Nini kwani kwa MUNGU tunaenda na kitu, achane na hayo mambo ya mitandaoni ni ujinga
@malikzafarani172
28 күн бұрын
Daaah pole sana dada, wanaume muda mwingine sijui tunafeli wapi 🤔.
@MouhammedSeif
25 күн бұрын
yaan ata mm suali kama hilo najiuliza
@user-br7sf6ey9t
29 күн бұрын
Polesana mlembo ila uyojamaa iposiku atakujutia sana maana wewe nimwanamke aseee amepoteza
@lindaabraham5365
14 күн бұрын
Pole sana, afya pekee ndiyo mtaji, kama una afya njema inuka pambana tena. Pambania tu hiyo nyumba msigawane basi magari na vingine mwachie kama sio haki yake vitapukutika vyoteeee. Mungu atakubariki atakupa zaidi. Ogapa sana watu wanaopenda mali kupita utu wanaweza kukufanya lolote baya.
@delverosedastan5730
21 күн бұрын
Mungu wa mbinguni akusimamie haki yako itasimama daima kwa jina la Yesu
@senziashwaibu3219
26 күн бұрын
Huyu mwanaume nmemuelewa sanaa kawahi mapema kuchukua chake mapema ila huko alipoenda aangalie atapigwa na kitu heavy atajuta maishani
@user-gj2mm3ko8m
25 күн бұрын
😂😂😂😂😂Kweli umesema
@bahatielias6443
24 күн бұрын
Wanaume huwa hatuachi kiurahisi ukiona hivi mwamba alishaona mbali
@FrankDavid-en6on
17 күн бұрын
Kweli kabisa wanawake hawaeleweki anaweza kuongea ukahisi yupo sahihi
@user-vy2bc6xg3i
29 күн бұрын
Huyu mwanamke ana nyota akiachilia mambo aanze upya atafika mbali na huyo mume atalose kila kitu
@shyfettymtunda4619
29 күн бұрын
Umeona kama nilivyoona mimi.
@yusuphibrahim-yq9mv
29 күн бұрын
Nisa hihi hakuna kudhulumu au kudhulumiwa allahu amesema
@kassimsultan3801
29 күн бұрын
Pole
@habibamaguru2722
29 күн бұрын
Pole sana mwanamke mwenzang umepita kwenye mapito mungu pia atakusimamia kwa hili kazana sala na maombi
@arnoldrwekaza2265
29 күн бұрын
Chanzo cha Julius kuondoka home ni kikubwa muno. Mambo hayawekwi wazi
@FranklinMtei
29 күн бұрын
100%
@MiriamAbdallah
28 күн бұрын
Point ☝️
@bintnouh4483
27 күн бұрын
umalaya ndo umemuondoa nyumbani
@edinalihedule7609
25 күн бұрын
Pole mpnz Mungu akusimamie
@muniraahmed624
29 күн бұрын
TALAKA7😂😂😂 pole mama
@faridakailembo3060
29 күн бұрын
Kilichokufurahisha nini?.
@MiriamAbdallah
28 күн бұрын
Talaka saba😂😂😂😂😂
@shelizaomary2536
10 күн бұрын
Mwenye haki haachwi...pole dada...Mungu atakupigania
@benedictamuya1437
29 күн бұрын
kata rufaa kwani sioni kutendewa haki hapo kwenye mgawayo, pili mgungie novena ya soku tisa Mungu atayakibu maombi yako, pole mno mama
@MiriamAbdallah
28 күн бұрын
Novena ya siku tisa kama ana kosa nae kidogo tuu nae itamdhuru kuwa Malini na kitu novena
@user-un8si7wk1z
26 күн бұрын
Dada yangu pole sana, mwachie Mungu , usipiganie Mali mwenyewe, Mungu atakupigania
@saimalunde4002
29 күн бұрын
Ndugu wakiingilia familia mambo ndio kma hya aiseee namshukuru mungu nina maisha yangu yakujua mimi maana hta maisha ya kakangu na mkewe sijui wanaishi vip😂i😂😂😂
@AllenMwafilombe
27 күн бұрын
Pole Sana Dada Mungu atakusimamia kwani unaonekana mcha mungu komaa kwani bado unaishi utafanikiwa
@salmanyangasa1171
29 күн бұрын
Dah! Acheni TU Dida aishi mwenyewe Wallah...wanaume wanakua binadamu mkiwa hamna pesa mkipata TU hua zaidi ya mashetani maana hufanya mambo ambayo hata shetani huyashangaa mh
@julianamasato5655
29 күн бұрын
mama pole sana jasho lako haritapita bure ,kunasiku ataripia .usione mungu abacherewa kujibu maombi enderea kuomba kwa imani .
@maswamills3161
27 күн бұрын
Mungu akulinde mama , mmmhhhh siku hizi mali zinaua, mtangulize MUNGU kila upitapo .
@kelvnkalist7569
Күн бұрын
Mm naona dada achana nazo mungu atakupa .
@user-bw9ne8wx7r
16 күн бұрын
Hiv Wanaume huwa mnalogwa kichwan kushuka chini au ni chin kupanda juu maana inashangaza eti unawasisa hadi watoto wako ni nini lakini????😢
@fredrickkomba7545
4 күн бұрын
Itakuwa chin tu Hapo hapo
@user-ch2it3qt5z
29 күн бұрын
Mwanamk awez kukuacha bila sbb Kuna kitu kizto hapo unaweza ukawa mpole wa muonekano lkn moyon wee acha tu sema maisha au ndoa Zina Siri kubwa....Sasa ulivyo mpole Mzur hivi jamaa anashndwa kurudiana nww Kuna kitu hapo chin ya kapet
@WinfridaFabian
27 күн бұрын
Chin ya kapet yupo malaya mbona jibu simple
@asumaathuman6094
4 күн бұрын
Pole my wanaume nihatali❤
@priscasway3492
24 күн бұрын
Pole sana dada mungu atafanya jambo juu yako
@mwikalijosephine5178
29 күн бұрын
Weee meaning this man was there for wealth not marriage
@user-dx3wl9ly4d
29 күн бұрын
Pole Sana
@eestermos9933
3 күн бұрын
Pole sana Mungu atakutetea
@mwamvuamagongo8163
29 күн бұрын
Daah!! Dunia sio mbaya Binadamu ndio wabaya
@shelyboyshely2928
29 күн бұрын
Mungu akufanyie wepesi upate haki yako dada angu
@margrethemanuel7501
15 күн бұрын
Mim jamani narudiaaaa...staki maskin mim kabsa...shindwaaaa pepo la maskin, shindwaaa, kweli Mwenyenz Mungu niepushe na mwanaume/ rafki maskin
@lotusnathan5918
7 күн бұрын
si vyema sana kuamin kila kitu hasa kusikiliza upande mmoja,wanaume wanapitia meng,wanaume wanacheat sana lakn mke ukijielewa hawez acha familia
@pmp-255
29 күн бұрын
WHAT A CONFIDENCE!!!
@teddytedy248
13 күн бұрын
Dada Mungu yupo,kisasi ni juu ya Mungu,adui wa mwanamke ni mwanamke
@Jacklinejohn7
29 күн бұрын
Daaaah i can feel your pain 😢😢
@jameslaiser6276
29 күн бұрын
SHERIA Haitaji SIASA....Makonda anaendesha mambo kwa mihemko na Sifa...Sasa Dada kaambulia nini zaidi ya Talaka?
@MiriamAbdallah
28 күн бұрын
James hakuna amani ya ndoa kwenye mitandao, Kuna jambo haliko poa tunakimbilia kwenye kwenye issue ya ndoa kweli?
@jamesloshilunye414
29 күн бұрын
Huwezi kujua ukweli kwa kusikiliza upande mmoja,, wanawake wa kichaga ni kati ya wanawake wakorofi sana,ukimkuta mtu anaye ishi naye mpka mwisho ni wachache sana. Ili tupate ukweli inabidi tusikilize pande mbili ila tukiwa tunamsikiliza upande mmoja tutaishia kulaumu. Mwaka 2017 niliwahi shihudia kesi ya mdada mmoja wa kichaga na mume wake na chanzo chake ni mwanamke kutaka kumuua mume wake ili aridhi mali mwenyewe,, yule kaka naye alianza kwenda kwa waganga kumtoa yule mdada kwake mpaka akaja kufanikiwa. Kwa hiyo ni ngumu sana kuwaamini hawa watu ila kama hujakaa nao Karibu huwezi jua
@MiriamAbdallah
28 күн бұрын
Kweli ndoa hitakiwi iingiliwe ni vile watu hawajifunzi kutota kwa. wengine ukimya ni hekima na majibu tosha au kikaa pembeni na kukaa kimya , mi nilipitia hapo na hakuna aliyejua hata babaangu shangazi yangu tuu na ndiye alinishika mkono na Leo na heshimiwa na Kila mwana family
@godlisteokamaokama1782
28 күн бұрын
Pole xana madam
@kokudo8389
18 сағат бұрын
Huyu Mwanamke ni HADHINA ana akili sana na mvumilivu sana❤
@user-us4fe5lg8t
28 күн бұрын
Pole sana najiona kabisa mimi hapa
@StelaJohn-nj5yf
29 күн бұрын
Dada kesho nenda viwanja vya Mageleza Kisongo..Kamuone Pastor Ezekiel
Пікірлер: 683