@@nuruchande8848 dAh ! yani namuona Wema Sepetu kwa mbaaaaLi❤️
@Mustykhan
2 жыл бұрын
🥰🤣🥰🙏🙈🙈
@nuruchande8848
2 жыл бұрын
@@dtv6734 alaf kweli walitaka kufanana kdg maeneo ya lipsi sanasana..hakunaga nuru mbaya🙈🤪😄
@mirriamnalupya4684
2 жыл бұрын
Second one congratulations guys
@jacksonhaggai6771
2 жыл бұрын
WOW tiny yani katika ki2 ambacho ume nifulahisha kumu ludisha nagwaaaa ay love nagwa natimu yenuuuu good job guys
@mustaphaishmael3237
2 жыл бұрын
I really admire the great job you guys are accomplishing but i wonder if Masantula could join this series how much amazing it could be 🤗! My Brother @tinwhite think about this ... we fans ; we together bro!👊
@jolinkimaro9939
2 жыл бұрын
kwa kweli kama ukiwa na demu baba yake akiwa hivyo utajuta. mzee pilika mwenyewe kule kwake hakukaliki anajuta kuzaa na wa tandale. Zakayo anapigwa akidanganywa anakuadiwa. majanga tupu hii dunia
@mutungambiti4066
2 жыл бұрын
Nangwa anatosha
@kulusukulusu1061
2 жыл бұрын
Hii na sisi wa kongo tunamsubiri Ringo nae please 🙏🙏 muwekeni na Ringo nae please 🙏🙏 Tin vs Ringo ni cheko hadi kifo 😁😁
@stevenzengo9231
2 жыл бұрын
Amini ndugu
@zaudiashaban7509
2 жыл бұрын
Ningependa na pili Angekuwepo ingenoga hatar jamani ila Well come nagwa my brother
@ally1702
2 жыл бұрын
Pili ana mimba ata kwenye kitim Tim tutamkosa
@zaudiashaban7509
2 жыл бұрын
@@ally1702 ooh sawa pata poa sana kitm Tim bila pili
@mcdanta6919
2 жыл бұрын
Nagwaa ndani ya nyumba kazi saf
@fzlcomrajabu9514
2 жыл бұрын
Najuta kutembea na mademu wa tandale 😂😂😂😂
@mtallitv9995
2 жыл бұрын
zakayo boya sana yani anapitwa pesa tu arafu demu amuoni chizi sana
@Mustykhan
2 жыл бұрын
😂🥰😂🤣🥰🙏🙈
@mtallitv9995
2 жыл бұрын
@@Mustykhan ila mwanangu nakukubali sana ujawahi kuyumba kwenye vipande vyako kaka
@Mustykhan
2 жыл бұрын
@@mtallitv9995 😃😃🙏🙏💪🙏
@rahmasarumaa2732
2 жыл бұрын
Jaman mnachelewesha mnooo wengine vijibando vya kukopa eeehhh alaf sakata itanifanya nifungwe na vibukubuku jamniiiii
@suzzyfredrick1874
2 жыл бұрын
🐱🐱🐱🐱
@muidinimohamedy2381
2 жыл бұрын
Wao nimekuwa wa kwaza leo
@maherzain615
2 жыл бұрын
So,,?
@faithjohn7632
2 жыл бұрын
Nagwa is back wow 🔥🔥🔥
@ناجمهحسن
2 жыл бұрын
hahahahahahaaaa tin white jamani muko sawa nyotee yani nacheka mpaka basi
Пікірлер: 344