Zahir, you're the best. Mungu akutunze kwa utukufu wake 🙏 🙏 🙏
@maximumtvonline
3 ай бұрын
Amen
@ANGELA-oz1vi
3 ай бұрын
Glory to Jesus
@ritapiusnicolaus7068
2 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki🙏🥰
@tato8979
3 ай бұрын
Mungu ukujalie usirud ulikotoka uzidi kwenda mbele na akuinue kimaisha
@bolelambunda6554
3 ай бұрын
Mungu ni mwema sana hufanyanjia pasipo na njia
@rosehaule6765
3 ай бұрын
Kumshukuru Mungu kwa kila jambo.maana unapita kwenye majaribu anakuokoa Maana hata mvua zote hizo azikukuchukua kukusomba kupelekea kifo😢 basi mtumikie Mungu anakupenda sana kwa mapito haya utafuka mbali kaka
@TheSalma1999
3 ай бұрын
It is well my brother God is soooooo good tunakuombea kaka yetu
@saidaal1679
3 ай бұрын
Mungu ni mwema sana
@stellasimon8306
3 ай бұрын
Mungu ni mmoja jamani
@julieeliah5511
3 ай бұрын
Mungu anawajua walio wake🙏
@aminajuma1156
3 ай бұрын
AMEEEN Mungu ni mwema barikiwa sana
@ANGELA-oz1vi
3 ай бұрын
Mungu anatutoa mbali sana
@khamisikhamisi7225
3 ай бұрын
Mungu iko nawew
@zulekhaponti9353
3 ай бұрын
Mungu yupo na wewe !
@MeckitilidaTushabe-or9hu
3 ай бұрын
Mungu azidi kukulinda
@MuhammadHassan-rg7ch
3 ай бұрын
Shaaban nijinsky la kiislaamu
@PaulinaMundia
3 ай бұрын
Hao mnaokometi kwa kukashifu dini ya kikrsto endeleeni kwa kujiona ninyi ndio bora zaidi ila nawaombea kwa mungu awasamehe
@kadijahajali3918
3 ай бұрын
Sauro umerudi kanisani Bass siyo mwislam tena ni kafiri sasa bass haya endeleya na ukafiri wako watu wanatoka kwenywe dini ya ukiristo wewe unarudi hatari umeshapinga muhuri wewe na mungu shida ya umu kiyama😢
@maximumtvonline
3 ай бұрын
Kafiri ni mtu wa aina gani!?
@mirnababy5012
3 ай бұрын
Dada mbona yamekutoka maneno sana ww mm muislam pia sija msema hayo looh pengine we kafri kuliko aliyeenda kwa mchungaji
@mirnababy5012
3 ай бұрын
Ww uliyeckua muislam mbona hukumsaidia maisha ndio yanasababisha fala ww
@رقيهالخصيبي
3 ай бұрын
@@maximumtvonlinehilo ni andiko kwenye bibilia Wakristo wameitwa makafiri sio Waislam hawajatoa neno hilo maandiko yapo kwenye bibilia wameitwa makafiri
@رقيهالخصيبي
3 ай бұрын
@@mirnababy5012soma bibilia ndugu yangu hayo maneno hayajaotoka kichwani mwake ni maandiko kwenye bibilia
@tato8979
3 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka Zahir
@maximumtvonline
3 ай бұрын
Ameen
@MuhammadHassan-rg7ch
3 ай бұрын
Mboba hukuwa msikutini
@ASALABOY
2 ай бұрын
Brow Zahir wewe S ulisema uyu jamaa atakaa kwako n kua msaidizi w ujenzi kumbe wewe pia ulimuacha kwenye mitaa
@HanifaOman-oo4pl
3 ай бұрын
Chamsingi. Atafutiwe kazi tena aendeshe maisha yake. Na Munguakusimamie uwachane kweri na pombe. Huyo ajalogwa ni inilisitu. Namawaxo ya yule mwanamke alomtenda
@ChiliHelman-yv4re
3 ай бұрын
Jitahidi kujijenga kiimani usipende kuwa naimani tofautitofauti shikiliya imani moja2 ambayo nimungu huwezi jua pengine nimungu alikupitisha humo ili chema kitokee kwamf. Kama sasa ulivyo
Пікірлер: 54