Naangalia hii 2023, kwa mawaidha haya, tunamuomba Allah afanye Kun-faya-kun kwa ndugu zetu wa Palestine. Afanye miujiza, haki na amani ipatikane Palestine. Naomba kila mmoja aandike Amin iwe kheri In sha Allah.
@user-qu7lz9mu5e
9 ай бұрын
Aamin tulikua na Sheikh sisi..Allah attempted Nuru na Harufu ya peponi kaburi lake..
@Ahmadchobu
5 ай бұрын
Mim naangalia 2024 اللهم غفر له وارحمه واسكنه فلجنة
@khamisjuma5481
4 ай бұрын
aaaamin
@hassanmahamed8744
2 жыл бұрын
Tujuane tuliomsikiliza Shekh miaka ya 90 kwa audio kaset! na sasa 2022 KZitem! nipe thumb.
@yussuphsultan1400
4 жыл бұрын
Mtu anayegonga dislike kwenye maneno haya ana maana gani jamani, dah. Allah akurehemu shekhe, akupe jaannat firdaus, amiyn
@cholochiidi5927
3 жыл бұрын
Ameen
@ismaelayoub5196
2 жыл бұрын
Yani ndugu yangu ukiona ivyo uje hajui Kutofautisha DISLIKE NA KULAIKE
@MohamedMohamed-fc7vh
Жыл бұрын
Aamin ALLA h akurehemu ..Aamin..
@bjzee1981
4 жыл бұрын
Ndio shekhe wa kwanza mimi kusikia mawaidha yake kutoka radioni wakati nakua hadi sasa. Allah ampe furaha ktk maisha yake ya kaburini na kesho Akhera. Aameen
@nadiromar9794
5 ай бұрын
Amin
@omaralidhue
3 ай бұрын
Ameen ameen
@amipol5310
Ай бұрын
Amiin pia ampee kauli sabiti kwenye kaburi lake
@jumahamis227
4 жыл бұрын
Mmoja wa wanazuoni wazuri kuwahi kutokea zanzibar na Tanzania kwa ujumla, Mungu ailaze nafsi ya marehemu sheikh Bacho mahali pema peponi inshaallah.
@samirhassanlau1473
5 жыл бұрын
Hakika hua sichoki kusikiliza mawaidha ya huyu sheikh, ingawa kila nikisikiliza napata majonzi moyoni mwangu Alha ampe nuru ya milele ktk kaburi lake, Na alha amlipe kwa hii sadaka tul JARIYAAAA
@nuaymmuhammad7990
5 жыл бұрын
Amin
@shabanikuchanda3645
4 жыл бұрын
Daaa!
@zubeirjuma1856
3 жыл бұрын
Huzuni xanz
@mohddalali1008
3 жыл бұрын
Amin
@adilihassan8455
3 жыл бұрын
Mashallah! Mtu mwema hujulikana tu akiondoka dunian,shekhe uko uliko tunakutaja Kwa wema sanaaaaaa ,firdaus ushaingia japo hatukuoni ,amiin
@alnasrialnasri721
5 жыл бұрын
Akurehemu ALLAH pamoja na ndugu zete waliokwisha tangulia kabla yetu nasi tupate mwisho mema..
@aboudal-nabahany5338
4 жыл бұрын
Allah amrehemu na amueke pamoja na wema peponi.Ameen 🤲🤲🤲
@selemanially2818
3 жыл бұрын
Amina
@aminamusa9720
4 жыл бұрын
Allah jaalie JANNAT FRIDAUS ktk maisha yako ya peni yaraby
@kibwanamuhsin8772
4 жыл бұрын
Mwenye elimu inayonufaisha hubaki hai hata kama amekufa. Mola akulipe kw sadaqatul-jariah zako hizi tunazonufaika nazo Ameen.
@athmaniyahaya3758
3 жыл бұрын
Mungu akuhifadh afanye kaburi lako liwe ni miongon mwa viwanja vya peponi Insha Allah
@jamilanassoro8408
4 жыл бұрын
Ya Allah mpe kauli thabit shekhe wetu na umrehemu
@kibibijuma8441
4 жыл бұрын
mola akurehemu ww mbele na sisi nyuma. akupe firdaus Iwe makazi yk in sha Allah na ummat mohammed wote pia.
@bindawood978
4 жыл бұрын
Allah akupe pepo ya daraja la kwanza, Alhamdulillah umetuelimisha vya kutoshakusu Qur an na Sunna, kikubwa ni mazingatio
@shairosekambona5301
4 жыл бұрын
ALLAH akurehemu sheikh nassoro bachu na akufanye kuwa ktk waliocheka milele amina ya rab
@taturamadhan5940
7 жыл бұрын
allah mlipe heri nyingi kwa kazi yake kubwa yakueneza maneno yako na utuwezeshe sisi tunufaike na mawaidha yake na iwe chazo cha kuridhiwa na wewe yaa Rabb
@aidahali2840
9 жыл бұрын
ALLAH AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI AMIIN
@jamalidagama1699
4 жыл бұрын
Amiin
@mwanamisiomar443
4 жыл бұрын
Ameen.
@amemeabdulrazak1397
3 жыл бұрын
Amiin
@mbuyatrust8670
3 жыл бұрын
Mungu msamedhe sana makosa yake shekhe nassoro bachu
@khalidmohamed7532
6 жыл бұрын
Allah amlipe jazz a njema..kwa sadakatul jaariya hizi zinazo tunufaisha hadi Leo.
@mutaladjasmini4815
4 жыл бұрын
Allah akupe janat firdawus 🙏
@mohamedathuman1145
4 жыл бұрын
Allah akupekauli dhabitty
@ibrahimmusa5729
4 жыл бұрын
Tucmsahau Sh. Nassor bachu ktk dua zetu.. #in shaa Allah.
@fahadmohamed5508
5 жыл бұрын
Allah akupe kila lenye khyr huko ulipo maalim
@OmarOmar-ew9zs
3 жыл бұрын
Aaaaamiin 🤲
@saidmsinga5450
9 жыл бұрын
ALHAMDULI LLAHI,MWENYEZI MUNGU AMLIPE KWA KAZI KUBWA ALIYOIFANYA KWA KUELIMISHA UMMA.
@raisiwakissdi2691
4 жыл бұрын
munguamlipe kwarehema yaallah
@sleyumsaidabdullah3006
4 жыл бұрын
Mashaallah R.I.P
@saidseif7469
4 жыл бұрын
Ameen
@rahmahamad6251
4 жыл бұрын
Aaamiin
@shukrisharamo1879
4 жыл бұрын
MashaAllah Allah amweke pema
@abubakarinyawaba1378
5 жыл бұрын
Allah ajaalie ampe pepo ya juu firdaus
@zuhurambonde6959
4 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuweke pazuri inshallah napenda Sana mawaidha yako.
@hamzaforogo
3 жыл бұрын
Aaamin yaa rabbi
@mohamediiddi29
6 жыл бұрын
Hakika pamoja na uzito upo wepesi mweyezi mungu amfanyie wepes sheh wetu
@uwingeneyeshadia7697
4 жыл бұрын
Innalilah wainailaih rajiun Allah akulinde adhabu za kaburi akupe kauli thabiti🙏
@inabikorwaneema8815
3 жыл бұрын
Amiin
@mayjaally5026
4 жыл бұрын
Allmarhum Sheikh Nassor Bachu, Allah akurehemu akusameh makosa yko n kuwa katik waja w pepo y Firdous. 🙏
@aminayussuf4161
6 жыл бұрын
Allah amlaze mahala pema muondoleye adhabu za kabri in shaa allah
@abdallaramadhan3850
4 жыл бұрын
Allah akusamehe,akurehemu,akupe kauli thabit na akulaze mahala pema peponi..aamiyn.
@khamisalishaame8777
4 жыл бұрын
Allah amlipe mazuri huko aliko aamin
@fatmahotai7490
6 жыл бұрын
Mwenyezimungu akupanulie kaburi lako
@farajimadangu8283
3 жыл бұрын
Mashaalaha
@QChief
2 жыл бұрын
napenda sana mawaidha yako sheikh wangu shukran afuen
@jumajuma2726
4 жыл бұрын
Napenda sana mawaidha ya shekhe bacho uwa sitokagi pembezoni mwa radio iman saa nne mpaka saa tisa ALLAH amlehem
@didakitole7578
3 жыл бұрын
اللهم غفر له و يرحمه و يسكنه الجنه يارب يارب يارب العالمين ❤
@anitaciza7660
4 жыл бұрын
Allah amulehemu shekhe wetu❤🙏
@rahmasalum7107
5 жыл бұрын
Mashallah mwenyez mungu akurehem akuwepe kwenye pepo ya Firdaus kwa kutupa illmu
@sadiqabdullah1294
4 жыл бұрын
Amiin
@ramadhanisuru1822
4 жыл бұрын
Wallah allah atakulipa malipo yaliyo makubwa sana.... Naakurehem...aaamiiinaaa
@hafidhiiothuman153
3 жыл бұрын
Mashalwa bado mawaidha kama mkuki
@athmanbakari5932
6 жыл бұрын
sikupata kkuona lakini Alhamdulillah nmepata kkuskiza,na napata faida na elimu ya dini yangu ya Islam kwa darsa zako,Allah akujaali pepo ya daraja ya juu,Ameen. .
@yunussaidy1800
7 жыл бұрын
Allah akulipe kwa madhara ya elimu alokujalia ulioiacha katika jamii ya uislam
Mashaallah nakumbuka nikiwa mdogo 90s akija mombasa ilikua sikosi darsa na mihadhara yake Allah amuekee kwenye mizani yake
@mira-gq3qg
5 жыл бұрын
Ya Allah mja wako huyu mlipe pepo kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa ajili yako
@OmarOmar-ew9zs
3 жыл бұрын
Aaaaamiin🤲
@bibinamay1964
5 жыл бұрын
Allah Ajaalie Pepo iwe makazi yako In Sha Allah. Amin
@mohddalali1008
3 жыл бұрын
Ameen
@Truthshallprevail1291
10 жыл бұрын
na mimi. Wallahi nimejifunza mengi kwa kusikiliza durusi zake nami nika hapa Europe. Shehe Bachu alikuwa kweli Asad feel minbar, alikuwa ana style ya Sheikh Abdul Hamid Kishki. Mwenyezi Mungu awarehemu.
@athmanbakari5932
6 жыл бұрын
MrMedu490 Ameen
@hawa4968
4 жыл бұрын
Kizur hakidumu
@funditv8959
4 жыл бұрын
Alhamdulillah, Allah akulipe dahali shekh wetu Bachu
@mruppercut7985
2 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima.. tunakuombea Dua Sana mwalim wetu . Allah akusaamehe pale ulipoteleza hakika uliifahamisha dini kadir ALLAH alivokuwezesha bado tunakupenda Sanaa
@allyrashidi9875
25 күн бұрын
Allah akulipe Pepo sheikh wangu,akuondolee adhabu za kaburi
@maryamsalim8822
6 жыл бұрын
Allah amuondole adhabu ya moto na ya kabr na munyu amjaliye aipite jia ya carat I'll must akim mungu amlaze pema penye wema ameen
@fuadaljabry5330
5 жыл бұрын
Allah humma efirihi wakhufuwan fill jana a ameen
@hashimbalushi9283
3 жыл бұрын
May Allah grant him Jannat Firdaus Al Aala. Alikuwa mwalimu wangu tumenufaika sana kwake.
@tonystantay4013
3 жыл бұрын
Mwenyez mungu amjalie kila la kheri uko alipo,kazi ameifanya shekh wetu,hakika hawa ndo warithi wa mtume wetu muhammad swl
@kassimkitete3058
3 жыл бұрын
Allah amlaze mahala patukufu na inshallah amlipe pepo tukufu inshallah.
@zahramunir8596
4 жыл бұрын
Mashaallah sh Mungu akupe janna Yarrab!! Amiin
@mansoormannix1753
8 ай бұрын
Sheikh Nasur Bachu Allah Amrehemu alikuwa one of the best speaker in Swahili followed by Othman Maalim.
@khadijaramadhanhaji1159
8 жыл бұрын
allah mpe kher uko alipo n mpe malipo ambayo makubwa zaid kuliko juhud aloitumia ktka kuipgania dini yko amin...
@zakiarajabu5132
5 жыл бұрын
ALLAHU akufanyie wepes huko uliko
@mohamedokoteokote5455
4 жыл бұрын
mungu akusaidie
@mohammedrashid2906
4 жыл бұрын
Amin
@jameelaomar6543
4 жыл бұрын
Amin
@abuueidrisa8688
4 жыл бұрын
Amiiyyyn
@alimcheni6372
4 жыл бұрын
Allahummaghfirlahu warhamhu waaskinhum fii janna
@adammohd6215
6 жыл бұрын
mungu akusahem ww na sisi mazambi yetu tulio yafamy
@adamsclassic9306
7 жыл бұрын
Mungu Akulaze Mahari pema pepon Shekhe Nassor Bachu
@faizabaishe5172
4 жыл бұрын
MaashAllah Alhamdulilah Allah amrehemu na amtanganye na wema, Alhamdulilah
@colamboy5563
3 жыл бұрын
Nmejifunza mengi kupitia sheikh huyu na bado naendelea kujifunza na kiukweli nampenda Sana na mpaka Sasa cjamuona sheikh mwengine kwa upande wangu. Mungu ampe kila la kheri huko aliko. Amin
@mudybeka6698
Жыл бұрын
ALLAH mrehem sheikh nasoro bachu na muepushe na kila aina ya adhabu zako na pepo iwe makazi yake ya milele inshaallah
@shabankuchanda9489
3 жыл бұрын
Allah atakulipa kwa sawabu kwa kazi kubwa ya kuuendeleza uslamu
@shabansaid5612
3 жыл бұрын
Allah Akbar Alhamndulillah 2020
@hmedmaulid2069
7 жыл бұрын
Allah amlaze mahali pema.peponi amin.
@adinanabdul
3 жыл бұрын
Nakuomba Allah umrehemu shekh wetu huyu. Tunanufaika mengi kutoka kwake. Aaamiyn.
@mwalimumz2036
7 жыл бұрын
allah mrehemu sheikh bachoo
@calypsotall
11 жыл бұрын
MUNGU MLAZE PEMA PEPONI SHEIKH NASSOR AMEEN.
@allydengo
7 жыл бұрын
allah akulaze mahala pema pepon ameen
@binsleyyum3005
4 жыл бұрын
Amin
@salehenassor1578
3 жыл бұрын
Masha Allah mungu akulipe zaid sheikhe wetu Amin Amin
@shakilaiddrisa5263
5 жыл бұрын
Allah akulipe wema . Amin
@sophiatborah4230
2 жыл бұрын
Mwenyeez mungu ajaalie kaburi lako liwe bustani miongoni mwa mabustani ya peponi ndugu mwema hakika umeondoka kiwiliwili lkn maneno ya ujumbe wa kulingania umma wa kipenz chetu mtume Muhammad bdo yanaish na mioyo ya wenye mazingatio inawaongoza..Allah akulipe jannah inshallah..
@yusufabubakarayub2823
11 жыл бұрын
mungu akujazi kheri na akufungulie milago khery inshallah wewe umetagulia na si tukonyuma mungu atume husini khatima inndal mauti wa raha baada mauti walfauza bijanah
@mashakiabdulrahman3373
4 жыл бұрын
Allahumma amiin ysrab
@is-hakaomar2118
4 жыл бұрын
Amin
@amanabeid5603
4 жыл бұрын
Mungu akujazie kheri
@yussufmohamed2405
4 жыл бұрын
ALLAH AMREHEHU SHEIKH NASDOR BACHU AMEEN
@alilukorito367
2 жыл бұрын
ALLAH akupe pepo na MUHAMMAD BIN ABDULLAH....inshaaallah na akupe starehe na nuru katika kaburi yako..Aaaamin thumma Aaaamin.
@saidmsinga7336
6 жыл бұрын
mungu amlipe kheri
@fahadmahir8355
7 жыл бұрын
Allah akuzidishie Rehma zake. Amin
@OmarOmar-ew9zs
3 жыл бұрын
Aaaaamiin🤲
@jumakumala1337
2 жыл бұрын
Wallaih thuma wallaih mpk nileo tunafaidhika na mawaidha alioyaacha sheikh wetu Nassoro Bachu ALLAH akulipe mazuri yale anayo yajua yeye Amiin
Allah akurehemu na akupandishe toka darja moja Hadi nyingine katika janatul firdaus Kwa faida ninayoipata alhamdulillah kupitia mawaidha yako
@ibrahimdabo7163
3 жыл бұрын
huyu mwamba alikuwa na msimamo na mwanazuoni mzuri sana namkubali sana na wale mashehe wasaka tonge walimchukiya sana mungu amlaze mahala pema peponi amin
@abuabdallahmohammed9048
3 жыл бұрын
Allah akulaaze mahalipema peponi
@arafatsaid962
4 ай бұрын
Nilikupenda zaid ya ninavojopenda, bachu Allah akupe kila lililo jema kwako..
Пікірлер: 477