Ponda mungu akupe maisha malefu wewe nimtetezi wawanyonge
@universitylink
Жыл бұрын
Mashaallah Allah akuongezee hekima na busara sheikh Ponda Issa Ponda
@tanzanian8847
Жыл бұрын
Shk Ponda Allah akulipe kheriii . Akulipe Janat Firdausi. Ahsante sana sanaa. Naunga mkono hoja yakoo
@silasponeka1773
Жыл бұрын
Uko vizuri ponda.MUNGU AKUBARIKI
@DonMooSTUDIO_Express
Жыл бұрын
Njia ambayo ni rahisi kuleta mabadiliko ni kujichanganya na siasa. Ukijiweka kidini dini utaitwa gaiddi na utakuja kuwa hatalini. Uamuzi wa Sheeikh ponda ni mzuri sana.
@henrymassawe699
Жыл бұрын
Huyu shehe huwa namkubali sanaaa hekima imejaaa halafu akiongeaga hana jazba ila anajua kujenga hoja zake based on facts ama hakika Mungu amajalie maisha marefu aendelee kupigania haki na maisha ya watanzania .
@plujorilugano9489
Жыл бұрын
Mzee Ponda hakika umeongea kwa uchungu mno, Watanzania sasa tuamue leo katiba mpya ni lzm
CCM Oyeeeeeeeeee Nyerere ,MAGUFURI,Dr.Hussein Ally Mwinyi,Dr.Ally M Shein ,OYEEEEEEEEEEH
@alzawahirabdallah2299
Жыл бұрын
Shekh ponda alipaswa kuwa shekhe mkuu bakatwa
@hajjiomary2383
Жыл бұрын
Awamtaki anawalipua
@harunmanura7900
Жыл бұрын
Kuwa sheikhe mkuu unatakiwa uwe chawa wa mamlaka
@meddy_upette9511
Жыл бұрын
@@harunmanura7900 😂😂😂 sure aisee hayo mambo ndo Ponda hayataki
@alzawahirabdallah2299
Жыл бұрын
@@hajjiomary2383 ndio maana wanao wekwa makwata hawezi hata kutetea haki za waislamu nchini wala hawana kauli juu ya maaskofi matako wana kauli wakisema wanaskilizwa na serekali
@selemanimasatu2421
Жыл бұрын
Umeongea very point shehe watu wanateswa sana yani ni kama wanyama tu wanavyofanyiwa
@officialtaslima5409
Жыл бұрын
Kuna Mambo hata hutamani kuyaskia,yanaumiza,yanakera,lakin tatizo ni mfumo na kutokuwa na uzalendo
@danielmgeni1703
Жыл бұрын
Shehe Umeongea vzr sana nanimekuelewa Tanzania inahitaji Tiba
@MohamedHassan-zc5bl
Жыл бұрын
Hakuna sheekh mjanja na mwenye msimamo wa haki kama sheeikh ponda
@mkanjimamkanjimamkanjima2043
Жыл бұрын
Muuza mkaa kapigwa lisasi na askali na selikari imekaa kimya tu 😭 amakweli ccm imewachoka wenye nchi yao na sasa wameamuwa kuikamata nchi kama wakoroni tu
@mangulimanguli3974
Жыл бұрын
Sana kabisa shekhe Ponda yaani nakukubali sana, yote kwa sababu ya sheria zilizo wekwa na awa ndugu zetu weusi,na police wengi elim hawana,
@mubarakmohammed7311
3 ай бұрын
Mapendekezo ya Sheikh Ponda, nayakubali na nnayaunga mkono. Lakini walioko kwenye mamlaka, wanaitafsiri HAKI ni lile linaloendana na sheria waliyoitunga wao. Hivyo hawaijui HAKI vile inavyopasa ijulikane. Ni muhimu sana kwanza wajue HAKI ni nini.
@hajjiomary2383
Жыл бұрын
Ilike that unless ufikili ulimwengu auna mwenyewe .kila ki2 kina mwenyewe
@LadaSaidi
Жыл бұрын
The big Gianti men
@sumayasumaya6455
Жыл бұрын
Akili kubwa pekee yake ndio inamwelewa huyu sheikh.,
@ramadhanichuma7925
Жыл бұрын
Kwenye hilo swala la wauza mkaa skuiz matukio hayo yapo mengi sana wauza mkaa wanateswa sana
@fayeezabdallah2217
Жыл бұрын
Shekh wang ndio man katiba mpy muhim
@rashidomar2771
Жыл бұрын
Mimi siku zote hua ninajiuliza,,wanasiasa wanatuaminisha kama wakoloni walikua wabaya,,lakini mbona wao wanaendelea kuzitumia zilezile sheria zilizoasisiwa na wakoloni hapa inakuaje,,
@hajjiomary2383
Жыл бұрын
Maslai brother
@mangulimanguli3974
Жыл бұрын
Izo sheria nyingi mbovu wamezitunga awa ndugu zetu, wakoloni mambo leo, kwa maslai yao
@ebitariho9720
Жыл бұрын
Pia iwepo sheria kwenye katiba ya kumwajibisha serikali, waajiri wake wakidhurumu haki za watu, basi serikali ilipe fidia. Kwa mfano mtu mukiuwa na police, au kufungwa kimakosa. Serikali ilipe fidia mda na mateso.
@jofreymsigwa85
Жыл бұрын
Ni ukweli kabisa haha mambo yapo hata dakika hii Shee ww ni mtu wa MUNGU kweli🙏🙏🙏
@simonmwaliru8590
Жыл бұрын
Mambo haya ni ya kawaida,kama hayajakukuta.
@denispaulo1295
Жыл бұрын
Mzee kasema vyema
@josephmwita6012
Жыл бұрын
sadness
@saidalhinai1131
Жыл бұрын
Hata wakoloni bawakufanya hivyo hayo maneno mazito kwa mwenye akili
@aliyageorge6794
Жыл бұрын
Jamani, Jamani.
@abujamalaalghammawiy7470
Жыл бұрын
Mpaka nimehisi kulia , hakika waislam tunapitia katika madhila makubwa sanaaa😮💨
@zuzadomikano3765
Жыл бұрын
MAKONDA alitaka Ukimaliza ule wakti kwa Amri ya MAGUFURI ,NA ukteswa ukafichwa ukakimbizwa -Kesiyako imefikiawapi kwasasa???
@nassoraliy3871
Жыл бұрын
Nikweli kaka
@saidnassormohammed9589
Жыл бұрын
Ukweli na Watanzania sote tunayajua hayo hatuwezi kupinga tu kwa vitendo na maneno ni bure kwao
@saidnassormohammed9589
Жыл бұрын
Mama atayamaliza haya Allah ampe nguvu
@kirariwilanya1850
Жыл бұрын
Wazee kama huyu ndio wabebao maana halisi ya Old is Gold
Пікірлер: 45