Hongera sana Mamy Shishi,umewasilisha vzr sn,kwa utulivu na kwa kujiamini na kubwa zaidi unaeleweka sn tu!
@deboraconrad406
Жыл бұрын
Hongera sana Dina Marios kwa kutupa mipango ya maendeleo.🙏
@sharondivine2088
3 жыл бұрын
Hongera Sana da Shishi nakukubali Sana Mungu azidi kukuinia katika kazi zako zote na uendelee na moyo wako huo huo. ♥️🙏🙏
@zubbedatt2771
Жыл бұрын
Asant kwahushahiri
@justafredrickmunyoro1097
3 жыл бұрын
Shishi, mimi ninakupenda sana. Unaniinsipire sana. Najua nmekuzidi elimu lakini maisha unayajua na sioni haya kujifunza kwako. Na leo.nmenote kitu kikubwa sanasana. Mungu azidi kubariki harakati zako
@aishaabdallah4560
3 жыл бұрын
Hongera dada leo nimejifunza ktu kutoka kwa shishi
@aminaomary5567
3 жыл бұрын
Ongera mwanangu shishi,nakupenda sana.
@milkermathias7416
3 жыл бұрын
Najifunza mengi ...Kupitia Shilole, Mungu Akubariki sana
@elizabethmahua9411
3 жыл бұрын
Hongera my shishi nakupenda sana
@mzalendowaasili1727
3 жыл бұрын
Hongera sana dada umenifunza kitu
@jenifajuma5395
3 жыл бұрын
Kweli kabisa wewe wa igunga mpka umepataja Ibologero ni kweli kabisa huo mnada upo kila wiki 👏👏👏
@abdallahamad4682
3 жыл бұрын
Clear madam shishi
@zuhuraamry3620
3 жыл бұрын
Nimekupenda shishi
@user-dj1vx6tr2t
2 жыл бұрын
Shishi siku nikija tanzania nitakutafu nije kula maana ume nitamanisha sana
@aishaalawi64
3 жыл бұрын
Hongera ses
@mename6020
3 жыл бұрын
Mama kijacho... Na hilo dera ukilikusanya kitumbo chaonekana na bado dogo..
@jenifamtima9325
3 жыл бұрын
Shishi nakupenda! Ila fanya mazowezi, ili upunguze unene kidogo, .....uko juu!
@nunially2048
3 жыл бұрын
I love u shishi, natmn kuwa kama wewe.
@sambojaomarhadija6803
3 жыл бұрын
hi 👋 shishi baby 😘 shilole and hadija hata wenza kukuangusha because a na kutengemeya wewe shishi baby foods kikazi na kuwa watu wengine piya wana kuyengemeya wewe shishi baby shilole kuwa kazi yenu au nisema kuwa kazi yako pamoja na upendo wa kifamiliya kimaicha yenu kivivote vile au nisema kazi yenu wawili na muwingine piya because kazi ni kazi shishi baby shilole foods hongera au nisema hongereni kuwa ujuumula and yes yes shishi baby shilole be non 👎 non 👎non 👎non 👎non 👎 about language enlishing it is you just continuings tooling very very good 👍 it is non 👎 non 👎 non 👎 matter usione aimbu and me a i speakening suwahili a just little bit more language speaking much more a i french and english speaking language in world 🌎 also lam here home 🏡 swirtzenland conutiry world 🌎 💖
@wivinemwamini9110
3 жыл бұрын
Shiringi joyakwaza shams yeyekuropoka jamani good shirole
@jenipherkavusha1661
3 жыл бұрын
Ni kweli da shishi
@aishaomari944
3 жыл бұрын
Asante shishi nimejifunza ki2
@janembwana3339
3 жыл бұрын
Shishi ana akili saana
@MctMct-tt4rq
3 жыл бұрын
ILA SHISHI ANAJIAMIN NAMPENDA HUYU DADA SIJUTII KUMSKILIZA MUNGU AKUBARIKI
@florencegideon1467
3 жыл бұрын
Mung azid kukuinunua dada
@tamaraseff.9707
3 жыл бұрын
Alaf io guo.ni zuri il inakutesa ivae tu cku hauna pilikapilika dadaa.
Пікірлер: 31