Kwanza tumechoka na hizo habar za Elia mpanzu kila cku yeye tuuuu!!!
@aniphamalandi4651
14 күн бұрын
Nikwel simba imemusajili Elias mpanz au nimtandao2 ety
@RashdNdumbulaz
21 күн бұрын
Huna maana kichwa na miguu tofauti
@loishiyesamwel1374
21 күн бұрын
Hawa waandishi uchwara watutake radhi, Eti Elie mpanzu tayari kasajiliwa kumbe nothing.
@nengaboy-q8v
21 күн бұрын
Uyo mpanzu kwel au miyayusho t
@JohnTendwa-gn1nl
21 күн бұрын
Kama mpanzu amepatikana Basi tupewe nafasi mashabiki juu ya Nani stole na sio Aubin cramo. Kura yangu iko kwa Michael kolblan huyu stole wabaki watanzania wakimsaidia mukwala.
@user-wk2bg8zf3l
21 күн бұрын
SIMBA NGUVU MOJA🎉🎉🎉❤❤❤
@user-mi7vj3jh6w
21 күн бұрын
Hivi jaman kibu yupo?
@EmanuelMwambu
21 күн бұрын
Pumbavu Sana kichwa Cha habari tofauti na maelezo eti Baki kisiki
Пікірлер: 15