Ila huyu jamaa Steve mweusi anaroho ya kipekee Sana wapo wasanii wengi lakn hawana MDA na ma legend ila yeye hachagui na wala habagui wote anawaanapiga nao KAZI mwenyezi mungu amuongezee material ili azidi kutufulahisha kila siku 🙌🙌🙌
@glorymanga3650
Ай бұрын
Ameen kweli kabisa
@rashidsaid6015
Ай бұрын
Jambo la kumshukuru Allah ni kwamba zimwi ana afya nzuri tupo pamoja kazi iko pw kbs
@alhamod5597
Ай бұрын
Alhamdulilah Allah amxidishie afya njema amiina
@user-nb6yh2bn9y
Ай бұрын
Duu zimwi amepona yuko vizuri 🙏🙏🙏
@khadijasaleh898
Ай бұрын
Mtanga jamani anachekesha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@AlifaHamis
Ай бұрын
Dah mwamba kapona🙏🙏🙏
@SAYUKI513
Ай бұрын
SAYUKI TV TUNAENDELEA KUKULETEA KAZI BACK TO BACK TUNAOMBA SUPPORT YAKO KWA KUSUBCRIBE KULIKE NA COMMENT GUSA KENGELE NA KUWASHA BATANI YA TAARIFA ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA TUKIPANDISHA KAZI. MPYA
@user-vu6pd7pg9e
Ай бұрын
Uhakik
@aziziabdulrahman3914
Ай бұрын
Hakika nawakubali ila lakost ya stive. Wacha kabisa code ya kwenda
@user-ei4fv6pl5n
Ай бұрын
Welcome back zimwi Allah akupe umbri nyie nyote
@AbuuOmary-vr9oy
5 күн бұрын
Hiyo ni kali sana aisee
@renatusjeremiah
Ай бұрын
Zimwiiiiii zimwiiiiiiii kaponaaaa Mungu ni mwemaaaaaa saaaaaana
@mlangaliromwenda6945
Ай бұрын
Hahahahaha nimeipenda sana
@edithakambuga
Ай бұрын
Ongea baba mtanga.
@user-fs7bs6gy4z
Ай бұрын
Anayesema zimu ishi maasha marefu bac keep on like
@mmnimshindi
Ай бұрын
Mungu niwahumuomba sana zimwiii
@EmmanuelKunzugala
Ай бұрын
kametengeneza nywele kama matembele ...yaan Mtanga
@rithajerome1070
24 күн бұрын
Zimwi kapona jamn tulikumic sana
@saidimgeni9096
Ай бұрын
Zimwi umekuja kuuwa😂😂😂😂
@SAYUKI513
Ай бұрын
Naomba muendelee kunisapot
@Pierjmkakule
Ай бұрын
Akumbe wendo zimwi!? Hee, mi iyo filamu yako uliyo piga muswaki kambuzi iyo ndo nulikupenda, hatimae umetokeya na msanii wangu mpendwa Steve, asanteni Mungu, eti ulikuwa mgonjwa poleni Zi. From 🇨🇩 nakusalimu🎉
Пікірлер: 75